Upuuzi mtupu kweli kweli ,yaani mnataka kuiuza nchi sasa kwa miradi isiyokuwa na tija wakat wananchi hata kula yao shida ,shule shida hadi ikatumika fedha za uviko ,afya changamoto kibao miundo mbinu shida na deni la Taifa limepanda sana ,ushauri wangu kwa wabunge Msishibe sana minofu ya kuku afu mkatoa hoja sizizogusa maisha ya wananchi na msipende vya bure mtasababisha vizazi vijavyo kuishi kama digidigi
اللهم انصر زنجبار ومن أراد زنجبار سوء فعليك يا الله اللهم آمين. Km unaipenda zanzibar itikia ameen ili hilo daraja lisijengwe maana hao wana lengo baya na zanzibar
Kwani daraja lina ubaya gani? Hata kama hakuna Muungano, daraja ni kitu cha kawaida. Mbona kuna nchi kibao tunapakana nazo kwa madaraja? Basi kama vipi zikataeni na meli 🙄🙄🙄
ingelikuwa wazanzibar % 99 wakristo wasingekuwa na haja ya kujenga au kufikiria hiyo yote kt pana udini lakin inshaa allah kwabaraka zake Allah na kitume kila alokuwa na ubaya wake kwa wazanzibar Allah awapeperushe na hilo dataja kwabutukufu wa Allah halitadumu
Ukiwa mung Kate ganisha znz na tanganyika basi hili halitowezekana milele, tanganyika ni kubwa sana kwanini mnaitaka znz kwa nguvu zote wa zanzibar hatutaki na mung aepushe jambo hili
Safi sana tufanane wanafiki wa kubwa nyie wazanzibar nyie si mlifurahia bandar zetu kupewa waarabu mnao waabudikia naamuomba mungu ajaalie lijengwe haraka haraka 9:52
Hichi kitanzi chengine cha kuitundika zanzibar na kila mzanzibari mwenye kujitambuwa hatakubaliana na hili na inshallah halitajengwa allah awashulikie kwanza maadui wote wazanzibar
Mohammed,hawa watu wanamalengo yao ya kisiasa. Kuna mambo muhimu zaidi,kwa sasa,ya kuyafanya badala ya hiloo daraja.Mahospitali na huduma zake ziko katika hali mbaya,barabara hazisemeki,elimu iko chini.
Kama muna uwezo huo, kwanza jengeni daraja la kuunganisha visiwa vyetu viwili Unguja na Pemba kwani hii ndio nchi moja kwa jina la Zanzibar. Unguja na Tanganyika ni wapi na wapi. Ushauri wangu kwa viongozi wa Zanzibar jambo hilo wasilikubali hata kidogo. Venginevyo wao sasa ndio watakao imaliza dola ya Zanzibar.
Mnapenda wawekezaji kwakuwa tunapenda mambo mepesi bila kujua madhara yake kwanini serikali isiwekeze yenyewe iongeze uchumi?kama Haina uwezo Sasa ikusanye nguvu kwanza uwekezaji ukizidi taifalinashindwa kujitegemea
W405 Bakhresa atabaki kuwa Bakhresa kama ameweza kuleta boti atashindwa kuleta mabasi ?? TENA yenye tecknologia mpya unasafiri na basi kama upo ndani ya ndege kwahilo daraja Kwa Bakhresa hizo SIO SHIDA zake
Binafsi sioni umuhimu wowote wa kutengeneza hilo daraja, rais alishatuambia kuwa mikopo yote hiyo tutalipa sisi wananchi na hivi tuna madeni hadi vitukuu novyo vitakuja kulipa na madeni hayatoisha, sasa na hilo daraja tunaongeza mzigo tu vichwani, kwani pana umuhimu gani hasa? Itamnufaisha nani jmn?
THIS IS NOT EXCELLENT TO DO ITS THATS ITS ONLY PEOPLES OF GATE MONY ZANZNZIBARI IS ZANZNZIBARI ITS NOT TANGANYIKA THIS NOT ONE COUNTRY THERE ALOTS OF MISING UNDESTAND 👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿
Naomba kuuliza kabla ya kujenga daraja kutoka tanganyika hadi Zanzibar kwani hakuhitajiki ridhaa ya pende zote mbili ? Au nimaamuzi ya upande mmoja tu inatosha
Ujambazi sasa ndo utaongezeka na tutaona machogo wa aina tofauti wakija unguja na uhalifu utaongezeka na mpaka wake kabila la hazard tutawaona maduka ya darajani had hatari mbona hii ss wanataka kuiamaliza znz kwa nguvu zote yaani ss ndo wanaonesha wazi wazi kuwa hawaitaki kuiona wala kuisikia znz mnanini lkn ndugu zetu wa damu lkn
Upuuzi mtupu kweli kweli ,yaani mnataka kuiuza nchi sasa kwa miradi isiyokuwa na tija wakat wananchi hata kula yao shida ,shule shida hadi ikatumika fedha za uviko ,afya changamoto kibao miundo mbinu shida na deni la Taifa limepanda sana ,ushauri wangu kwa wabunge Msishibe sana minofu ya kuku afu mkatoa hoja sizizogusa maisha ya wananchi na msipende vya bure mtasababisha vizazi vijavyo kuishi kama digidigi
Allah atuhifadhi na janga Kama hili wazanzibar tunamuachia Allah ndie muweza was Kila jambo
Huku ndio kunaimaliza asaaaaaa zanzibar......
Musifanikiwe maisha
Mm kwa upande wang napenda kusema kwanza ni vyema serikal zetu zote 2,zikatengeneza barabara za ndanii
اللهم انصر زنجبار
ومن أراد زنجبار سوء فعليك يا الله
اللهم آمين.
Km unaipenda zanzibar itikia ameen ili hilo daraja lisijengwe maana hao wana lengo baya na zanzibar
Amen🙏
Ubaguzi hatutaki sisi. Sisi ni wamoja. Acha kuwa mjinga.
Kwanini msijenge daraja kutoka unguja hadi pemba maana ndio nchi moja
Kama likijengwa na bado niko Hai nitatumia uchawi wangu wote lisisimame kwani mimi kama mzanzibari silikubali darajani Hilo.
Kwani daraja lina ubaya gani? Hata kama hakuna Muungano, daraja ni kitu cha kawaida. Mbona kuna nchi kibao tunapakana nazo kwa madaraja? Basi kama vipi zikataeni na meli 🙄🙄🙄
Kwa nini
Kweli hii ngozi ya ajabu sana,hivi kwanini tunapenda kubaguana?afrika hii ni moja
ingelikuwa wazanzibar % 99 wakristo wasingekuwa na haja ya kujenga au kufikiria hiyo yote kt pana udini lakin inshaa allah kwabaraka zake Allah na kitume kila alokuwa na ubaya wake kwa wazanzibar Allah awapeperushe na hilo dataja kwabutukufu wa Allah halitadumu
Jambo jema lkn maendeleo yasipimwe kwa miundombinu pekee bali yaangazie maisha ya watu
Ukiwa mung Kate ganisha znz na tanganyika basi hili halitowezekana milele, tanganyika ni kubwa sana kwanini mnaitaka znz kwa nguvu zote wa zanzibar hatutaki na mung aepushe jambo hili
NIZULI SANA HILI JAMBO ILA TAFADHALI SERIKALI YETU ZINGATIENI MIKATABA YA HAO NDUGU MSIJE KIUZA MPAKA KIZAZ CHA TANO CHA WA TZ
Majambazi na ombaomba watajaa ZANZIBAR
Hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara musipotoshe ni
Tanganyika na Zanzibar ❤
Kwani jina kaliwezi kubadilishwa? Mfano Congo, Zaire
@@jonamnyone8014 hizo ni nchi 2 zimeungana tanganyika na zanzibar ndio ikajengwa Tanzania
Mbona zanzibar bado ipo jinalake
Ukiunganisha majina ya hizi inchi mbili unapata jina gani
Usijitoe ufahamu kuhusu kilichotokea 1964
Barabara nyingi hapa tanzania hazijajengwa hilo daraja litaghalimu hela nyingi za nchi ambazo zingejenga barabara nyingi huku tanzania bara
Km mnaweza kweli jengeni pemba to unguja
Pemba Unguja ni mbali kuliko bara Unguja ama Pemba bara
@@filamupictures9349 hujui jambo tulia kijana
Safi sana tufanane wanafiki wa kubwa nyie wazanzibar nyie si mlifurahia bandar zetu kupewa waarabu mnao waabudikia naamuomba mungu ajaalie lijengwe haraka haraka 9:52
Hichi kitanzi chengine cha kuitundika zanzibar na kila mzanzibari mwenye kujitambuwa hatakubaliana na hili na inshallah halitajengwa allah awashulikie kwanza maadui wote wazanzibar
Hiyo Kama magu angeweza lakini mliopo mnafurahisha bunge
Hatr sana🎉
Litawezekana na Mungu yuko pamoja na Watanzania
Barabara za ndani ni tatizo sasa gharama ya daraja hilo tutajenga barabara ngapi jamani tusemeni ukweli vijijini hizo zilizokuwepo mbovu
Mohammed,hawa watu wanamalengo yao ya kisiasa.
Kuna mambo muhimu zaidi,kwa sasa,ya kuyafanya badala ya hiloo daraja.Mahospitali na huduma zake ziko katika hali mbaya,barabara hazisemeki,elimu iko chini.
Kama muna uwezo huo, kwanza jengeni daraja la kuunganisha visiwa vyetu viwili Unguja na Pemba kwani hii ndio nchi moja kwa jina la Zanzibar. Unguja na Tanganyika ni wapi na wapi. Ushauri wangu kwa viongozi wa Zanzibar jambo hilo wasilikubali hata kidogo. Venginevyo wao sasa ndio watakao imaliza dola ya Zanzibar.
Huu ni mpango mzima wakutaka kuimeza Zanzibar,
umezwe mara ngapi
Hivi ubaguzi huu utawasaidia nini wazanzibari?
Mnapenda wawekezaji kwakuwa tunapenda mambo mepesi bila kujua madhara yake kwanini serikali isiwekeze yenyewe iongeze uchumi?kama Haina uwezo Sasa ikusanye nguvu kwanza uwekezaji ukizidi taifalinashindwa kujitegemea
Kujenga daraja kuingia watu kwa makundi wazanzibar mkingiziwa wtanganyika m3 wazanzibar hamna nchi tena
Kabla ya kujenga daraja pitisheni tuwe na serekali tatu kwanza baadae ndo mujenge daraja
😅😅😅😅 balaa kweli hii vipovu ndio wasiona
Hatutaki Daraja la aina yoyote washaona kijicho cha Bakhressa boti zake zinatosha looo mahasidi nyie
W405 Bakhresa atabaki kuwa Bakhresa kama ameweza kuleta boti atashindwa kuleta mabasi ?? TENA yenye tecknologia mpya unasafiri na basi kama upo ndani ya ndege kwahilo daraja Kwa Bakhresa hizo SIO SHIDA zake
Safi
Unguja na Pemba itapendeza zaidi ila kwa Zanzibar na Tanganyika litakua ni janga kubwa kwa Zanzibar.
Janga kivipi fafanua tuelewe shida iko wapi
Iloo halijii na halitokuwa hatutaki Zanzibar jengeni mikoani kwenu uko yanakushinden
Utekelezaji miaka 40 ijayo
Binafsi sioni umuhimu wowote wa kutengeneza hilo daraja, rais alishatuambia kuwa mikopo yote hiyo tutalipa sisi wananchi na hivi tuna madeni hadi vitukuu novyo vitakuja kulipa na madeni hayatoisha, sasa na hilo daraja tunaongeza mzigo tu vichwani, kwani pana umuhimu gani hasa? Itamnufaisha nani jmn?
Barbara za ndani mashimo matupu
Tanganyika na Zanzibar kuna shida gani
Tatizo ni muungano sio wa haki
Naro mtakopa mnaenderea kuipa inchi mzigo mkubwa
Kwaiyo alioweka maji mnaona alikosea
Wazanzibari hatutaki mnajiamulia tu kama mlovojiamulia muungano 😡
hivi ndio vitu muhimu
Hiyo ni ngumu kwelikweli, sidhani
Dont limit yourself !
@@mopalmo5818 hiyo ni ngumu kwelikweli
@@MichaelMathew-ke6bi well let's just hope for the best bro .... Ama namna gani
@@mopalmo5818 sawa
Safi sana hii
Unaijua gharama ya ujenz au ni ushabiki tu! Hapo gharama zake unaeza kuta inaweza kujenga barabara za vumbi nchi nzima
Nataman san liwe na litimie...Mungu asimamie ktk hil
Nadhani litasaodia sana katika uchumi wa znz na bara
THIS IS NOT EXCELLENT TO DO ITS THATS ITS ONLY PEOPLES OF GATE MONY ZANZNZIBARI IS ZANZNZIBARI ITS NOT TANGANYIKA THIS NOT ONE COUNTRY THERE ALOTS OF MISING UNDESTAND 👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿
Wanafurahisha bunge tu siwezi kuwaruhusu upumbavu huu nafikiri wakipunguza bei ya mchele kwa masikini kwanza.
Naomba kuuliza kabla ya kujenga daraja kutoka tanganyika hadi Zanzibar kwani hakuhitajiki ridhaa ya pende zote mbili ?
Au nimaamuzi ya upande mmoja tu inatosha