MTANZANIA ALIYEFUNGWA CHINA MIAKA 13 KWA MADAWA YA KULEVYA ASIMULIA MATESO - "NIMETOBOLEWA KICHWANI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- MTANZANIA ALIYEFUNGWA CHINA MIAKA 13 KWA MADAWA YA KULEVYA ASIMULIA MATESO - "NIMETOBOLEWA KICHWANI"
Mtanzania aitwaye Donald amesimulia mateso mazito aliyokutana nayo baada ya kukamatwa nchini China kwa tuhuma za kusafirisha madawa ya kulevya na kufungwa jela kwa zaidi ya miaka mitatu.
Katika kipindi hicho chote, Donald anasimulia mateso ya ajabu aliyopita kabla ya kuachiwa huru mapema mwaka huu…
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
Inabidi tuwaheshimu sana hawa watu wanaotoka na kutoa ushuhuda wa maovu/ mabaya waliyowahi kuyafanya. Si rahisi kutoka mbele na kueleza mabaya yako. Wengi tumefanya mengi mabaya na hatuwezi kuyasema hata baada ya kuacha/kutubu.
HIVI UNAJUA?
Kwa wale walioathirika kwa kutumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu especially vijana na hii inatokana na kutomcha mwenyezi mungu lakini hata hivyo kwa wale waliosarika tayari bado hawajachelewa kwanza watubie kwa Allah na wafanye matendo mema alafu Cha pili watumie dawa inayoitwa PHV solution ambayo imefanyiwa utafiti kwa miaka 25 na muhisika lengo lake lilikuwa watu wakiitumia dawa hii wamche mwenyezi mungu .
Hii dawa inasaidia kuondoa athari zilizoachwa na madawa ya kulevya Katika mwili vile vile na kutibu magonjwa sugu Kama vile UKIMWI , saratani , ugumba , siko seli , homa ya ini ,mkanda wa jeshi nakadhalika hii ipo kwenye mfumo wa Gene Therapy ambayo Ni mfumo mpya tofauti na dawa hizi za hospital za mfumo wa sumu wa conventional medicine na vile vile tofauti na dawa za asili ambazo hazitengenezwi kitaalamu Yani hazina vipimo maalumu sababu wanafanya kwa experience na sio wamefanya research
Dawa zetu hizi hazina madhara yoyote mwili yaani side effects sababu Ni maboresho ya dawa za kisasa na dawa za asili mjumuisho wake na kwa vipimo maalumu ndio unapata dawa zetu za PHVs solution
Kwa maelezo zaidi na elimu piga simu number 0694027242
Nukta ya kuzingatia ; Njia Bora ya Maisha ni kumcha Mwenyezi mungu ( Mfalme wa mbingu na ardhj na kila kilichomo )
fact
your man,A man try every thing to help the family.Thanks to your for guiding the family.
Huyu mzee anaongea point tupu angehojiwa na millard ayo ingekuwa tamu saana
Wewe unapeleka madawa ya kulevya kuuwa watu wa china unadhani ni vyema kuhangamiza jamii za watu kwa tamaa zako wamekogongagonga tu kidogo na haujany’ongwa na umekili mwenyewe ulistahili adhabu hiyo kwa mzigo uliobeba. Mshukuru Mungu japo kwa adhabu hiyo ndogo na bado unapumua hadi leo japo ulikua na lengo la kuhangamiza maisha ya wengine kwa tamaa za fedha za harakaharaka. Tuwe wakweli
Unamhukumu mtu aliyejitokeza hadharani kukiri alichokosea hakika unajihesabia haki na wale waliokubaliana nawe.imeandikwa Hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele za Mungu wote Tu wakosaji.ila wewe Tu hujawahi kukosa Sababu dhambi unazozifanya zimejificha .
Mtangazaji unamaswali yasio natija kabisa
Pole sana 😢imeniuma sana maana sio kwa mateso hayo
Pole sana mzee wetu hayo majuto unayojuta hata ss huku uraian tunajuta kuwapoteza ndugu zetu ambao ni waraibu wa madawa yanayosafirishwa tumeshaibiwa sana kuchinjwa hatujui tuende kwa nani tutafakarin kwa wote
Asante kwa ushuhuda wako mzee na ushauri wako,,
Pole sana. Kumbe Wachina tunawaheshimu bure hapa AFRIKA? Umetoa ushauri mzuri kwa vijana wetu. Hakika, tumejifunza mentioned today kwa Mzee Donald. Pole sana.
Nani anawaheshimu hao wachi siwapende hata kidogo 😢😢
Wala siwaheshimu hata siku moja wanasema Tanzania na China marafiki hawa wabaya sana sisi watanzania hatujijali sana wanapenda kuwanyenyekea sana😢😢 kwani ukikosea ndoo utupwe binadamu wote nisawa lakini hawana wachina hawana roho wanaroho mbaya sana siwapendi kabisa 😢😢
Jamani,jamani wale mnaosafiri epukeni urafiki na wanageria.usitoe hata dk moja ya kuongea nao.wana uwezo wa kushawishei na kukuachia majuto maisha yako yaliyobaki
Pole sana mzee mungu ni mwema anza kukupamban sasa maisha bado yapo kwet tanzania
Mtangazaji arudi shule haraka
Kabisaa
Kweli
Pole sana kiongozi sauti unaweza ukajua ni tundu lissu zinashabiana sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Father kwa ushauri unapaswa ku samehe ao wachina kama vire Mungu alivyo kusamehe wewe pia Mungu akupe moyo wa kusamehe sababu Mungu asinge kusamehe izo habari tusingeweza kusikia
🤔🤔kwa hiyo baba wataka fidia?😢😢😢pole sana
Pole sana mzeewetuu ulipitiya magumuu
Mtangazaji Leo umependeza sana kwa kusuka nywele
Mtangazaji anaboa 🥹
Sana ….anakera kinoma! 😤
Mtangazaji amekolea na stori
Aisee pole sana
Pole sana😢 kwakweli hili ni funzo tuache tamaa tutafute pesa ya halali
Yeah
Jatelo maadam umetoka hai shuulika na maisha yako ata uende umoja wa mataifa akuna atae kusaidia kupata haki
Mtangazajiii Kapwayaaaa maswaliiii hapaaaa hajaitendea haki Interview
Pole mzee hujaanguka ww ni mpiganaji ajari kazin
Pole sana mzee
Naona watu wana mlaumu mtangazaji kosa lake ni nini? Anampa nafasi ya kujieleza
Tamaa syo nzuri mweee
Wewe mwenyewe muhuni hukutaka kuathibiwa .
Unabahati mimi ngeKungoa meno zote
Kwanza ntoe pole kwa majanga yalokukuta, Ila nitoe angalizo Hawa wanaosema aende kwa mwaposa huo sio ushauri, Aseme kwamba aende kwenye maombi na aokoke na Mungu atamponya tu akiamini. By pst P Mwansengo toka Dodoma Tanzania.
Yarabb hata sasa nakushukuru kwa kunipa riziki zangu kwa njia halali.
interview irudiwe na kuwe na mtz anatafsili kichina tuirushe hiyo video kwenye mitandao ya china!
Mwandishi jitahidi kutumia R na L khaa jamani biashala ndo nn sasa
Hii story angesimamia davista ingekuwa bomba Sana... Eiy yawa jalendo oketho Gini,.. davista emanyalo gini.
Duh pole sana baba
Njoo Ifakala tulime mpunga mzee mwenzangu
Tamaa ni kitu kibaya na fedha ulizoaidiwa ni ndogo sana , so ulipata bahati ungekomaa na biashara zako sasa hivi ungekuwa mbali sana,.. mimi sitakagi kabisa ulafik na wanigeria au watu wa west africa , sitaki kabisa mawasiliano na watu hao wanatamaa sana , mimi nipo kiwanjani nasitaki mambo ya ujamajamaa na mtu na komaa na maisha yangu wafrika wengi ovyo sana ukiwa mjinga mjjnga unapenda sifa sifa unapotea fasta maisha haya
Mtangazaji hakuna kitu!
Mwandishi hujui kuhaji step by step ameruka vtu vingi
Mshukuru Mungu kwa kutumikia kifungo chá kawaida na uhesabu Mateso ni sehemu ya kazi uliyokuwa unaifanya, vipi waliohukumiwa kunyongwa? Hawapati hata nafasi ya kuongea haya
Kama ulikamatwa na madawa ya kulevya basi ni haki yako Mzee.Mengine unayosema ni upuuzi tu
Mtangazi Rudi kijijini kwenu kulima, Kazi hii waachie wengine
😅😅
Umetoa ushauri kwa shari sana wakati wewe hata kuandika hujua. 😂😂😂 anaitwa Mtangazaji sio Mtangazi. Mtangazi sio kiswahili sanifu.
@@fredyadam572 Hasira Brother 😂
@@raynellyaugustino3237 😂😂😂 Pole kaka, nimekuelewa!
Wachina hawana kitu kama human rights😢 Usihangaike kabisa😮
Sasa unauza madawa unadhan watakuacha?🤣
Usizingue hilo ni Small occipital Lipoma ,unafanyiwa tu Lipomectomy( Excision under Local Anaesthesia) tena Minor Theatre CO or Nurses
Kwani China waaachiwa. China gani kafungwa huyu. Rafiki yangu mpaka Leo kafungwaa na wala hatujui yuko wapi😢
Naomba na yeye atoke jamani
Wachina na hawana human light baba mshukulu Mungu umerud salama nyumbani
Baba km op ya kichwa ukafanyie nje ya nchi sio Tz baba!!
Mtangazaji umezingua kinoma ujui kuhoji
Pole sana mzee ukosahihi wachina wanaroho mbaya sana mabarozi wakiafrika washamba ndomana hawafatilii wanawaogopa weupe aisee
pole sana ndugu
Hii😮
Mtangazaji ni hajuiiii kuhojiiii
Sheria ya Madawa ya kulevya China ipoje wadau?
Wrong choice of broadcasting media, presenter anaonekana hajui how big this information is. Anaehojiwa ana raise crucial points ila presenter yupo tu with zero response. Huyu baba is trying to educate youngsters and at the same time anaonyesha jinsi haki za kibanadamu zisivyozingatiwa China. Mzee sikuizi kuna twitter…titkot(tikitoku) your information can reach targeted people within seconds!
Andika kiswahili bwana usitubabaishe
Umaskini ni mbaya sana serikali nyingi za kiafrika zipo tayari kukumbatia maovu wanayofanyiwa raia wake ktk nchi mbalimbali zilizoendelea
Huyu bora angehojiwa na milard ayo anachoongea ni point ya kusaidia wenzie walioko huko jela na ambao hawajaingia
😂
Mtangazaji mtafute maiki mbili nakuonea huruma mkono hauchoki!!
😂
Iyo yote ni ubanguzi Asia Continent ni wabaguzi vbaya mno
Watanzania ni watu wa jeuri sana na wakorofi sana.
Muandishi kiwango kipo chini
Ameshindwa kumhoji maswali ya muhimu
Badalayake anamuachia atoe hadithi tu
Hii habari imepoteza Radha kabisa
Yaani mwandishi ajui kazi yake 😮
Angeweza JPM tu
😢😢
Anzisha darasa la luga ya kichina utapata pesa
Mmm, Pole baba MUNGU atakusaidia
Wachina wapigwe marufuku wasiingie Tanzania nikweli wakiwa kwao wakorfi sana wanatuzalau sana watanzania.,ht wahind hao yani Tanzania tunaitwa majina ya ajabu MUNGU AINGILIE KATI.KWA KWELI HUO NI UNYANYASAJI HALAFU SELIKALI INAWAKALIBUSHA SIO.
What explains the Luo,Choli, Langi,Dinka or Nuer accents behind his Swahii?
He is a Luo
Nimefurahi kukuona zar 2024 nilikuwa sjakuona hery ya mwaka mpya
Mbona mara ya kwanza ulipo toboa hujasema
Kumbe mnawakaribisha wachina Tanzania wanachukua vitu vyetu halafu wanakula vitu vyetu bora hata wazungu wabaya sana macho ndogo siwapende sana
I support to get strong punishment so that this bad behavior of selling drugs will reduce in the the world. Hii ni some kubwa kwa sisi wenye tamaa mbaya.
tamaa
Je wakikwambia ukatumikie hiyo adhabu upya maana walikupa kidogo
Kwaiyo umeiba tena gerezani kesi nyingine hiyo mzee wabongo bana 😅😅😅😅😅
Mmh huyu mzee bhana!!!huku umemwomba Mungu,huku mabalozi hawataki vzr,huku umekaguliwa uchi getini lakini umetoka na makaratasi.Sasa hapo kichwani husemi ulifanywaje na wachina mara uliumizwa polisi mara jela.Sijui mzee kama unajua hiyo kilo 1.7 ingesababisha "damage" kwa waChina wangapi
😂😂😂fuvu limelegea kdgo kwa mateso aki pole baba
Damage
Anaogea kama tundu lissu
Kweli kabisa kama tundu
Kweli kabsa😅
Ero kamano
Mtangazaji hujamiuliza hata aina ya mateso aliyopata
Sisi waafrica inaonekana wazi hatupendani kabisa! Na inaonekana hatujielewi vyema
Nawengine mjifunze,ww umebeba madawa ili ukaumize wtt wa wenzio,SASA mungu amekulaani umeumia mwenyewe,hakuna zambi ndogo wala kubwa,ngoja waasirike ili wakome,China msimamo huyohuo watese wateseke na wao kama wanavo teseka ndugu zetu na urabu wa madawa,
Watakuambia huende tena China ukapate fidia,ukifika 2 wana kunyonga
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Adhabu lazima iwe kali mno...ili iwe fundisho,...ingekuwa kula bata ukitoka ungeenda tena!
Uyu dada ajui kuulza maswal anaacha mtu ajielezea wee adi anajiuliza mwenyew
Basi ulifanya makusudiii ulifungwa halaliii
Hii mtihani baba wa watu😮
Mtangazaji mbona unamuhoji uku unasinzia tena sikiliza tambala hilo la malume
Kama ungelifuata sheria, pia kumbuka madawa ya kulevya hayana msamaha, wala ufuatiliaji wa kidplomasia. Hata Marehemu Magufuri alipiga marufuku mabalozi kufuatilia watu walioko Gerezani kwa majosa ya madawa.sasa wewe ni mtu mzima unajua athari za madawa ya kulevya hakuna mtu atakuelewa.ulitakiwa usimamie sheria kama mzazi .
Uwezi pata matokeo kwa madawa ya kulevya
Labda bosi wako Emeka Nigeria man alitoaa hiyo rushwa
Mmh nimeelewa China wanaichkulia poa Africa naimani viogozi wata
Msimueke Tena huyo mtangazaji cz ahoji chochote uyo mzee kazi ya kujieleze to ata apewi maswali
We mtangazaji hujui kuuliza maswali, ungemuuliza alibebaje hizo kilo 1000 na gram 700??
Alibeba tumboni
Amekosea ni kilo 1 na gram 700
Kilo 1000 ni tani moja, alibebaje tumboni we kichwa maji 😂@@dayana5513story
Mtangazaji
Sauti yko kama tundu lissu😅
Wangapi wameathirika kwa ajili yako😮
Hayo mateso ulyoptia china n mavuno uliyopanda mwenyew,
Huyu jamaa ana mengi ya kusema ila huyu mtangazaji nikama hajui kuhoji mambo kiundani
Wangemnyonga tu huyu shetani hawa watu Mimi sina huruma nao
Mtangazaji uliza pointi usipot
We Mzee Kosa la kusafirisha madawa ya kulevya china ni hatari ndio maana ata Kipndi Cha Magufuli aliwaruhusu hayo mataifa yawanyonge,,sasa unategemea Balozi Atafanya nini,,,,,?
Jmn anaongea kama mchungaji
Dada achakuvuta bangi sauti inapotea
Na ndio mkome kwa 7bu mmetuharibia vijana wetu hapa Tz ungenyongwa.kabisa yani ili msije mkaharibu.nchi yetu
Yeye anaangaria damage yake ajui uku tunadamage ngapi kwenye mioyo yetu wanatuaribia ndugu zetu kira siku