BOKASA: RAIS ALIYEKULA NYAMA ZA WATU, AKAACHA WAJANE 17, WATOTO 50..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- BOKASA: RAIS ALIYEKULA NYAMA ZA WATU, AKAACHA WAJANE 17, WATOTO 50..
KARIBU utazame historia ya kiongozi, Jean Bedel Bokasa, aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kati aliyeweka rekodi ya kuacha wajane 17 na watoto 50..
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...
Napenda sana sauti yake ,je ww?mpe like
Uko vzr Sana bro.ngonga like kama unamkubari mtangazaji👍
Ukatili wowote wa Africa utapata ulianzia kwa mafunzo kutoka inchi za wazungu...asili ya Muafrika ni ukarimu na upendo,so sad hua twajisahu, Asante bro kwa historia nzuri...ubarikiwe
Hiyo siyo kweli,watawala wengi waafrika walikuwa makatili toka enzi za mababu.kumbuka ukabaila.waafrika ni ving'ang'anizi wa madaraka sana.
@@naominyonyi5162 zamani we divided into clans na heshima ilikua sana dhidi ya kila jamii, wazungu wakaona njia nzuri ya kututawala ni divide and rule strategy
documentary zako nzur sana
Fantastic
Mtangazaji uko vizur uko vizuri💥💥💥💥💥
Unakuja km mtigwa alafu unakataa woow nice voice 👌😘
Gud narrator gud voice
Big up man
I like narrator
Hatariiiii
Thanks for your history
Uko vzur bro
Safi
Soo tremendous
Kama mtiga vile daaaah wcb mungu anawaona
Mungu anawaona vipi? Mbona diamond ashaandika instagram Mtiga Abdallah alikuwa ashalewa umaarufu. Hakuwa na nidhamu
Nilijua mtiga
Yaani ili mtu aendelee lazima awe serious na kazi na yule chalii alikuwa analewa pombe na sifa vyote kwa wakati mmoja alaf anatangaza eti bila yy hakuna de story book
Sasa naona kdg unaaza kusmulia vzr good sana
Dunia duara jameni. Wah!!
🤔mm nasoma comment tu💃💃💃
bokasa nmemkubali afe2
Tuko sote
Same boat
Nchi gani?maana sijajua alikua kiongozi wa nch gani,.nimesikia central Africa..sasa nchi gani?
Central Africa Republic
We nae vp ndugu yangu kwani hujui kama kuna nchi inayoitwa afrika ya kati.mbona afrika kusini ipo
Kwa kifupi hiyo nchi inaitwa R.C.A. kwa Kifaransa tamka (eer see aa) kirefu chake ni République dé Central L'Afrique, inatamkwa "Repablike de sentral Lafrike". Maana yake: Jamhuri ya nchi ya Afrika ya kati. Itazame ktk ramani ya bara la Afrika hapo katikati utaiona.
Hauko pekee yako Mimi pia sijui
Central Africa
Ride It Ma Man You Can👊
Ananias Edgar kafungua njia .Hana Mpinzani..nimepita mahali nimekuta wengi wamewekewa spika nje wanasikiliza simulizi hadhim msimuliaji Ananias Edgar.
Kabisaa
Kuanzia 1:56 hadi 2:04 aliepo kwenye video ni IDD Amin raisi dikteta wa Uganda na sio bokasa anaezungumziwa.
Kweli
Kosa kubwa hilo
Bokasa ametangulia kwa mbele jaribu kuangalia tean
Mbele ya idd Amin ndo bokasa
@@Qeek_Smart good
Story za edga tamu mpaka kwenye mabasi tunazikuta!
Kabisa😂😂😂
Kbx Ananiaedgar anajua bhn
Kwa nini mmebadilisha ile back ground music? ilikuwa inaendana vizuri sana na na hizi documentaries.
Ufaransa imechaza na Afrika sana.... Lazima pia sisi tucheze nao.
Mmepoteza wa muhimu sana sekta Ananias Edgar na Denis Mpagaze, haya bhana mi niliishahama kwa ajili hawa jamaa.
kwel aseeh
Hapa hamna tena Sauti gani hii sasa mrudisheni jamaaa.!!
Karim Amir unajua Maana ya kuhama au unaropoka mbona bd upo na hao unaowataka kwan ulikuw unawalipa wewe??
@@amandaseleman5444 hawa jamaa walivutia sana, saiv global tv hawana tofauti na amber rutty
Angalia ujumbe unaopata sio sauti tu Mbona jamaa yuko poa
'Bangui' unataamka 'Bangii'!
Lakini si kiswahili neno latamkwa lilivoandikwa? KM video ni vi de o
Dunia
Jaza stor
Je
Braza nakukunalisana
hii sauti kama yule jamaa wa the story book au ninafananisha maana jina ndio silijui alikua anaitwa nan wa WCB aliyeondoka WCB
Km inakuja hlf inapotea
Kule kafukuzwa wcf lkn sie ww unasema mtiga yule anaitwa
Mimi pia naona ndie
Mtiga abdala
wapi ananias edgar ????
yeye ndie mambo yote
Kila mtu na nafasi yake
Huyo bokasa alikuwa mchawi tu, atakulaje nyama za watu?
Ukiona jina au neno usilolijua vizuri , tafuta kujua matamshi yake. Ukiweza Hilo utakuwa umemaliza kila kitu.
Les français vous là . Mupo hapa 🙂
Evarst ndaishimie
BOKASA amefanana na MBOWE sana sijui ni NDUGU
Hahahaha
😂😂😂😂😂
Mtangazaji unataka kumuiga Ananias Edgar, ila unaongea haraka sana...
Alikuwa abasaidiwa hao wake xake
hii story inavutia sana
'Francois' hutamkwa kama 'Fransoa'!
Sio Francois, ni François. Pale kwenye (C) unaweka ile ya Kifaransa (Ç) na haitamkwi Fransoa, Bali hutamkwa Franswaa.
😭😭😭
Je..nikweli alikua akila watu au nikatika kumpaka matope
Hatari tupu❌
Ananias edgaaà yuppooo wapiiiiii
Duh hatari sana
Dunia simama nishuke kkkkkk
Eeehh
Wapi Ananiasi Edigar
Bokasa wa Tanzania
Mtiga ndo fundi jaman hawa wengine wanajalib tuh
ananias edgar unamjua ww
fanya tu una search ananias edgar alaf ckiliza saut ya dhahabu
Kwani Stori tunasikiza sauti au kiini cha Stori??
Wote wamemfuata jamaa anaitwa @ananias edger yy ndo Alie Anza global tv
Beside him being dictator, he was a sellout too, kama Tundu lisu
Huku africa tuna viongozi takataka mdomana bara lipo gizani miaka yote hiyo 😡😡
Duuuuuhhhh
Naona mnamuiga Denis Mpagaze na Ananias Edgar, mshafeli
Wanyab
Kawasaki honda tuyota mitsubitche
Sio mbaya Moto wa Mungu lazima upate nyama na kaburini anatiwa majiti uko Malaika wa Mungu wako bomba katika kutia majiti uko ndani kaburini MUNGU AKUENGEZE MAJITI UKO CHINI.
Nasisi tuwatimue mijibwa koko yaende kwao
Anania Edgar. Ni ndio mkali wa story sio ww unasoma kabisa
Tunamtaka ananias edga
Kweli kbsa tunamtaka jamaa..!
Anani anaweza kwakweli
@@nkingwashadrack3411 ediga kiboko
Tafuta hii hadidhi by Ananias heading"BOKASA; RAISI MJINGA DUNIANI
Kuna mahusiano gn na udikteta na sura mbaya
Jumong
Uko poa
Uyu alikuwa Rais wa wap
Oman Oman Africa ya kati capital city Bangui
Uganda
Unakuja kuja sasa piga kazi baba
Rais mpuuzi uyu baadae c alikimbilia Ufaransa na akaishi maisha ya tabu xn na hela zake alizoweka Ufaransa wakamdhulumu
duh
Hizo ni stori za kutengeneza wala hazina ukweli ni majungu tu
Propagation ,what did he lack that he ate human flesh,
@@jamesernest2668 can you eat a human flesh? You just try and see wat will happen my friend don't take politics propaganda
Munge ariefaki juzi
Hii hadithi imejaa uwongo kuliko ukweli,hizo stori za kukula watu ni hekaya na propaganda tu!
Unajua aje bro
Upo sawa...huwa zinatengenezwa ili kumuongezea mtu ubaya
Kabisaa wazungu wanatulisha sumu nass tunaamini
Mie kwangu naona kama propaganda za wazungu zidi ya watu weusi
Aaaah uyu dawa yake ni mbunge wa iringa msigwa de great
😂😂😂😂u made ma day
Malaisi wengi wa Africa ni wauwaji
Mzee Bokasa alikua mwehu kama Savimbi Na yeye alicha watoto Na wanawake kibao tatizo lako wanajisahau sans,
Huu niuwongo idiamini pia tunaambiwa nae alikuwa anakulanyama zawatu
Huyu so mtiga au nano
nani mwengine aliyegundua kuwa huyu jamaa ni anasoma na kutafsir maandishi yanayopita chini hapo?
walimuweka madarakani na wakamtoa madarakani
Dunia inamambo jmn
Du''',,anatishaaaa.
Na yy kafa nifikili kaluka
Vingine nmekubar lakn kula nyamaa hiyo ya binadamu hapo sisi hapanaa
Ally Thabit kawaid mbn me nakul
Hiyo Nazi kutangaza ya ananis Edgar Nazi nyingi msibake fani
Tunarudi kwenye maandiko, utauwa na kuridhika ni faida kubwa
duuh
Lucky he escaped with his life n lived till his death..
Am sure his extended family members are still very wealthy people ..
Ananias hata mfanyaje hamumfikiii
Mtinga ni wewe?
Waafrika hawawezi kujiongoza
Mtagazaji heri uimbe kuliko stori
Sisi tunamtaka ananius edga
Mafunzo ya kijeshi hayo. kuzoea kukula chochote for survival and you end up eating haman beings too
jiungereo.uwebrioneyazaidi..+255762297199
Mtangazaji muongo huyu