You are welcome to your home Priscilla. Fabulous welcome ❤ Well done you our Tanzanian family. First impressions last longer. Look after our beautiful Queen mother's daughter
Hakajioni maskin ya Mungu kamepita na kucheza ata kama akaelewi sio kama wale wa kwanza jux umepata kasichana kacheshi mwenyezi Mungu awaongoze mpendane hakufute machozi ya ma x wako wote
Wauza sura au hakuwapenda?? Vanesa alikua mdada mzuri tu.sema huyo kwao kuna hela pia watz wanawapapatikia wanaigeria maana mpk maharusini mwao wamekua km watumwa wanavaa ile mikofia yao ni kuonesha kwamba watz hawana nguo za kikwao wanajivalia tu ovyoo.
Coz all his previous girls l know are piece kali. Vanessa was famous, beautiful and rich. Karen was beautiful and now Priscy is too beautiful. So if you won't make it with Priscy! I don't know what else you want in life.
We pray that he will keep her cos she’s young and beautiful, again his mom carbon copy. Priscillia looks so much like his mom and I’m sure he knows that.
@@ChampionsHome-i6v 😄😄😄😄😄 Diamond (a dog) A wise man will not imitate diamond cos he’s stupid. Until now he hasn’t find his ribs, Zuchu will soon take off very soon like the others, Diamond will not find any other beauty like Zari on this earth again 😀😀😀😀 he’s just attached to zuchu cos of the shame. Let him bring out a beauty that surpasses Zari 😀😀😀😀😀.
Hivi y mnawaonyesha wapenzi wenu mitandaoni? Mmesahau yaliowakuta wengine? Mfano wa mobetto. Haya mahusiano mtaniambia wabongo watavuruga tuu na huyu jux asimlalamikie mtu. 😂😂😂
This girl is charming and down to earth person! You have hit the nail jux!🎉
Congratulations from Nigeria 🇳🇬
You are welcome to your home Priscilla. Fabulous welcome ❤
Well done you our Tanzanian family. First impressions last longer. Look after our beautiful Queen mother's daughter
Jux huyu msichana amekupenda na roho yake yote anaonesha ana roho safi sana❤❤❤
Yes indeed!
Here for pricilia lots of love Nigeria..
Congratulations to them ❤❤❤greetings from uganda 🇺🇬 ❤
Hakajioni maskin ya Mungu kamepita na kucheza ata kama akaelewi sio kama wale wa kwanza jux umepata kasichana kacheshi mwenyezi Mungu awaongoze mpendane hakufute machozi ya ma x wako wote
Amiin sana huyu msichana amempenda na roho yake yote
If you want more traffic, pls always translate conversations for us. Its been more than a week, and still no translation of what he said
That’s our Nigerian queen and our. Tanzanite Prince. We love them both ❤❤❤❤❤❤
Jux tunaomba huyu awe wa mwisho oa brother ❤
Amen
Alafu amzalishe jamani eeeh sisi tumejoka tunataka tushike mtoto
KARIBU TANZANIA WIFI YETU WATANZANIA TUNAUPENDO TUNAJULIKANA KARIBU SANA TUKO PAMOJA NA WEWE ❤🎉
Wambea tu
@@khadjamhozyahahaha
She is beautiful I love it
Mm nimempenda hana baya anaonekana mpole anaeshima
Sanaaa
Wow she so simple Mash Allah ❤❤❤❤❤❤ hadi raha ❤❤❤❤❤❤nime mpenda bure ❤❤❤❤❤❤❤
Ni ngepend san wabak ivo iv wawe kam Marioo na paula
Love you so much ❤
Kweli juma na prisilla,marioo na paula nawapenda sana❤
Sasa Nigeria 🇳🇬🇹🇿ndo muda wakuongea kiswahili Sasa..jux ushajipata apo Sasa usimuache uyo dada mana mmeendana sana
She’s so charming 🥰
Sema nimempenda pryscy mwenyewe sio Pow kabisa ni moto WA kuotea mbali😂😂😂😂 kawapigia zake ❤❤❤
😂😂😂
Brother wangu ogera Sana kwakutuleteya wife nyumbani ❤
We love this for her
Mapenzi niungine ulimwengu Frl 💝
Hongera sana na Mwenye Enzi Mungu awabariki 🤲🏽
Go priscy we are solidly behind you❤
Najivunia kuwa mwana afrika mashariki❤❤❤
Hongera jux
Huyu Dada ni mzuri sana kwa kila kitu
She’s a loving person ❤
Mbona pambeee❤🔥
Here for Priscy
God bless you both
Mawifi wanafki sanaa
Kwani huyu juma hana msichana wa kiislamu wa kumpemda.
Kanachangamka nime mpenda bure ❤
Khaa kaka hiyo ps kal congratulations to you🎉
Uyu mtoto ananyota jux mtumie vizur usimpe kero
Yani wewe ndo umeaona mana mi sikuwai kumfatilia jux hila nilivomuona na huyu mwanamke nimeanza kumfatilia
Welcome our lovely wizoo we love you all Tanzanians❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki .mfunge ndoa tu
Am team venessa
Love you guys ❤❤😊😊
Jux anatumia na kuacha😂😂😂
This break up will be scandalous 😅
Vitu mlivyoviona ndo ilivo,Safi Sana J
Am so happy for pricy nwa ogbom may God bless u and Jux
Binti mzur mpk tabia masha allah
Tabia uriijuwaje Kama sio umbeya,
Na hio sura unaoisemea mbona haana
Sura nzuri😅😅😅😅
Jamani rahaaaaa😍😍😍😍😍😍😍 ❤❤❤❤❤❤❤
Please alwys out translation for us 😢
Kwan Tanzania hakuna nguo naona maneg mengi au kaka juma Hana pesa za kununua nguo nimeuliza tu sio Kwa ubaya
Jux kama akuowa uyu basi mpelekeni jux kwa mganga atakuwa anamapungufu
Mashallah mcheshi tu
Mi kuoa napenda ila swala la kupima pima ndo spendi
Jux ana akiri.kimajibu
Jux is a lucky guy. I like him too, but I am suspecting he has a problem in decision making.
Umemaliza kila kitu
You can't tell not on social media,leave and stay without him first then you can conclude
He’s player
Ila harmonize
Tumkupokea bureww❤❤❤❤❤❤
icho kinge cha daa rick
Pls which language is this, God is really trying ...
Swahili
🎉🎉🎉🎉🎉jux pazur apo uoe na ulie wanawake hawaishi wapo weng sana😂😂😂😂 af kila dk uzur unaongezeka
uyu sasa ndo mke wale waliopita walikua wauza sura
Wauza sura au hakuwapenda?? Vanesa alikua mdada mzuri tu.sema huyo kwao kuna hela pia watz wanawapapatikia wanaigeria maana mpk maharusini mwao wamekua km watumwa wanavaa ile mikofia yao ni kuonesha kwamba watz hawana nguo za kikwao wanajivalia tu ovyoo.
Hana njaa huyu kama mademu wa kibongo
Na ndio maana wabongo wamekatwa midomo wanabakia kusifia tu ..ni kwa sababu penye hela..
lkn jmn jux sura mbovu anjikaza kujibrand lkn bado
Ila wabongo munapenda pirika 🤣
kaenda kuchukuliwa yupo sana mara hii akirudi anarudi na mimba
Sasa hapa itabidi muonge kingereza mana itabidi translate😂😂😂😂😂
😂😂 sawa ngoja akutane na chibu hatafrah sana 😂
Haya maisha ya kulazimisha sherehe kila siku how do you sustain it? 😢
English ya mtangazaji😂😂😂😂
Jux kamuiga Vanessa 😅😢
wote wana wapopo now ngoma droo😆
Tutembee huku tunaenda😂😂😂
😂😂😂tutembee uku tunaenda
😂😂😂😂😂 cjui lugha yawapi hiyo 😅
😂
Hilo domo sasa kaka domo wifi domo sijui2 itakuaje
😂😂😂😂😂😂😂
wanawake wa west africa especially wanaija aka wapopo uwa wana sura ngumuuu 😊
Coz all his previous girls l know are piece kali. Vanessa was famous, beautiful and rich. Karen was beautiful and now Priscy is too beautiful. So if you won't make it with Priscy! I don't know what else you want in life.
We pray that he will keep her cos she’s young and beautiful, again his mom carbon copy. Priscillia looks so much like his mom and I’m sure he knows that.
😂😂😂😂his like his best friend diamond they don't marry they hit n run you can see hisnt happy but Priccy is loving him fully
@@ChampionsHome-i6v 😄😄😄😄😄 Diamond (a dog) A wise man will not imitate diamond cos he’s stupid. Until now he hasn’t find his ribs, Zuchu will soon take off very soon like the others, Diamond will not find any other beauty like Zari on this earth again 😀😀😀😀 he’s just attached to zuchu cos of the shame. Let him bring out a beauty that surpasses Zari 😀😀😀😀😀.
Wifi connected 😅😅😅
Jux😮😂😂😂
Hamna lolote hapa, mtoto wa KIPARE kamnyoosha! Watoto wawili na bado anaWAKA!Ndio mana kaiga...
Kanga wamempa wifi
Tutembe huku tunaenda 😂😂😂
Kiswahili si mchezo.
Hivi y mnawaonyesha wapenzi wenu mitandaoni? Mmesahau yaliowakuta wengine? Mfano wa mobetto. Haya mahusiano mtaniambia wabongo watavuruga tuu na huyu jux asimlalamikie mtu. 😂😂😂
Jamani alienda kuonja kwanza
Jux na domo lake anavyotafuna jamaniii khaa
Na huyo mwandishi na English yakee 😅
Hehehe
Ama Domo
Inaboo ningependa kumurudisha darasani akapate mafunzo nzuri ya English
Kapata mjane mke wa mtu,
WANGAPI WAMESIKIA MARA YAKO YA KWANZA KAMA MIMI 😂😂😂
Seme wewe nawe Punguza Umalaya
Kateleza
Tutembee huku tunaendaa😂😂😂😂
😂😂😂
Kakwepa swali la kuchumbia, jux sio muoaji, tunakujua 😂😂
😂😂
Please translate his interview I don't understand your language ❤
Mnapenda ukorofi
@@gloryaderonkeunataka nini kwenye lugha za watu 😹😹mbona sisi hatukuwaingilia na lugha zenu za igbo 😂
@@MkisiStylish 😂😂 Kiswahili ni language rasmi ya Africa now inaongelewa na nchi nyingi pia ila ukisikiliza malugha ya wapopo unatamani kukimbia
jux analo😂😂😂😂😂😂😅😅
Duuuh hayaaaa
I wish i can understand your language..
Usichepuke ohoo wanigeria hao watakuroga a a aa
❤❤❤
Unamvika kanga we umevaa suruali khaaaaaa 😂
Ila watanzania na kingereza buana😂😂😂😂😂😂watangazaji mnazengua
wewe M🔥🔥🔥🔥😋😋
Usichezee mtoto wa watu
❤
Wifi yetu nae ajapoa wa moto ajapoa
❤Like hapa
Dogo ukikosa mtoto nahapa ntakukagua
Demu anasura kavu kama anakula limau😢
wapopo wanawake wana sura nzito ukikutana nao unaweza ku🏃♂🏃♂🏃♂
pisi mbovu
watoto wakali wapo East Africa
Bila pesa una eza zani ni maigizo😂
Ivi unavyo kuw nadem aaongea kingereza unaombaje unyumba au home in.....