Chorus ya ALIKIBA ilivyompagawisha DIAMOND, Tazama shangwe la WASANII lilivyokuwa zito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 70

  • @andrew_Jr
    @andrew_Jr 12 วันที่ผ่านมา +20

    first viewer tuanze kulipwa😅 we are so lonely huku

  • @SalumMajorhood
    @SalumMajorhood 12 วันที่ผ่านมา +5

    Cwezi kuipinga ndoto ya diamond ila na mwijaku na yy kaongea point wote wapo sawa ila mwijaku kamshauri vizuri kwny ushauri na diamond ndoto yake ipo vzr sana kikubwa amuombe Mungu na aongezee juhudi plas nia

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 11 วันที่ผ่านมา +7

    Kingkiba salute

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 11 วันที่ผ่านมา +3

    Mfalume n mmoja tuy King 🤴 fundiiii kama Fundiiii

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 12 วันที่ผ่านมา +12

    Sns waambie rekodi ya harmonize mpaka mda huu ontrend ziko goma 4 za mjeshiii so album bali ni back to 🔙 tafuta hii rekod kama ipo natoa feza ila isiwe goma za alibam sisi atutegemei kolabo kama ao upande wa pili 💊 💊 💊

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 11 วันที่ผ่านมา +8

    Mwijaku ameongea facts na logics vizuri sana bila kupindisha popote! Ila wafuasi wa Diamond wenye akili mbili hawawezi kumuelewa kabsa. Lazima wamuone kaongea pumba tu! Big up sana,bro Mwijaku. Uko sahihi sana,kaka! Diamond,chukuwa changamoto ya mwijaku huyo uifanyie kazi.

    • @Hassan-ot1mc
      @Hassan-ot1mc 7 วันที่ผ่านมา +1

      Umekula

    • @amanimuye1451
      @amanimuye1451 7 วันที่ผ่านมา

      Wewe unawazimu kama mwijaku pia huyo monda huo utajiri alio nao sai nani alijua atakua nao kutajirika ni akili yako broo sio kua na marafiki wenye pesa...na hio ndoto yake nabhakusema ataitimiza lini

  • @user-cs4nj4yn8d
    @user-cs4nj4yn8d 12 วันที่ผ่านมา +10

    Mbona mumekimbiya voice ya king kiba

    • @anthonymlanda7049
      @anthonymlanda7049 12 วันที่ผ่านมา

      🤣 🤣 🤣 Wanajuwa n ya moto

    • @nikkitokke8162
      @nikkitokke8162 7 วันที่ผ่านมา

      Wanamuogopa, huyo ni moto

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 11 วันที่ผ่านมา +3

    Mond ndo star wa mziki wa bongo Kaka piga kazi maneno ya ushindani na watu yasikusumbue

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 11 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo D VOICE Mungu amsaidie tu kwa kweli

    • @lockedaway9121
      @lockedaway9121 10 วันที่ผ่านมา +3

      😅😅😅😅😅😅😅😅nmecheka kwa nguv

    • @aliysaid6162
      @aliysaid6162 7 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂😂

    • @nikkitokke8162
      @nikkitokke8162 7 วันที่ผ่านมา +1

      Hio ngamia ni yule lavalava

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 12 วันที่ผ่านมา +3

    Konde boy jeshiiiiii mnyamaaaaaa no bustaaaa

  • @DidiSimajiBahati
    @DidiSimajiBahati 12 วันที่ผ่านมา +6

    DRC congo tuna pendant Sana Tanzanie ❤🎉🎉

  • @bashirksabu3540
    @bashirksabu3540 12 วันที่ผ่านมา +3

    King Kiba heshima sana

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 12 วันที่ผ่านมา +2

    Ilikuwa occasion gani mpaka wakakusanyika hivi wote?

  • @nikkitokke8162
    @nikkitokke8162 7 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu Alikiba mdharahu tu ila ndio Bongo flavour. Siku mtajishebedua kama Kanumba alivyokiwa Bongo movie

  • @saluuhans
    @saluuhans 4 วันที่ผ่านมา

    Love

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 12 วันที่ผ่านมา +1

    D'voice🎉🎉

  • @ZenaRama-x5w
    @ZenaRama-x5w 12 วันที่ผ่านมา +2

    Wote humu hmnaakili mwijaku punga

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 11 วันที่ผ่านมา

    Pure bongo flava🔥🔥🔥

  • @Baira240
    @Baira240 12 วันที่ผ่านมา +3

    D voice to the air😅😅😅😂

  • @geraldkbona5595
    @geraldkbona5595 12 วันที่ผ่านมา +2

    Dope

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 11 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wengi hapa akiwemo baba levo, ommy na mondi mwenyewe Wana sura za tabasamu feki

  • @fredmabeya
    @fredmabeya 7 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Voice mbona wanamkaushia ivo

  • @redstargroup369
    @redstargroup369 8 วันที่ผ่านมา

    Niaje 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Michealfarah-n1w
    @Michealfarah-n1w 12 วันที่ผ่านมา +3

    Nime penda hapo kwa mbuzi🐐🐐

  • @mptheswagz5399
    @mptheswagz5399 12 วันที่ผ่านมา +2

    Nimelipend xn hili jambo

  • @nikkitokke8162
    @nikkitokke8162 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mfalme akija kaeni kwa kushangaa keeenge

  • @ashirafkhamis1556
    @ashirafkhamis1556 7 วันที่ผ่านมา +1

    mnatuharibia bando letu,an hakuna hata kipande cha alikiba alf mnapost tu

  • @DM_15
    @DM_15 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wasanii wanafiki sana aseeh hapo wakati sauti ya king. Inasikika wame poaaaa kabaki muimbaji namondi wengine wana zugazugakucheza.

  • @kulyafx-c9h
    @kulyafx-c9h 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa spidi aliyonayo diamond toka nenda kamwambie hadi leo angalia alivyo, inatoshakuamn kwa maajabu anayotuonyesha. alikuwa wa tandale huyo msisahau 😂 leo uwezi jua kaona nini.

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 12 วันที่ผ่านมา +36

    King kiba Ni kama Maji usipoyanywa utayaogea

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 12 วันที่ผ่านมา

      Duuuh😂😂

    • @bovickpascal6554
      @bovickpascal6554 12 วันที่ผ่านมา +3

      Duuuu Kwalipi

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 12 วันที่ผ่านมา +2

      Tangu lini😂😂😂

    • @mandyuwimana7735
      @mandyuwimana7735 12 วันที่ผ่านมา

      King Kiba kiboko yawa jinga ❤❤

    • @Zuu673
      @Zuu673 12 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂😂wewe kweli chawa manyoya

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 11 วันที่ผ่านมา

    Hili tamasha mmh

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 12 วันที่ผ่านมา +7

    Apo rafiki wake wa kweli ni B levo tu walobaki wote ni fake

    • @meryamabdullah2081
      @meryamabdullah2081 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ulisikia wp mtu ukapendwa na kila mtu

    • @Mina.15
      @Mina.15 11 วันที่ผ่านมา

      Including your comment to

    • @timetravellor5367
      @timetravellor5367 11 วันที่ผ่านมา

      @@Mina.15 including your replying too

  • @cmaxfrans4654
    @cmaxfrans4654 12 วันที่ผ่านมา +4

    Hilo kundi zima akitokea king kiba anawaacha chaliii 😂

    • @storytime1204
      @storytime1204 12 วันที่ผ่านมา +1

      Haaa hapo ipigwe komasava😅😅wote chali na ali kiba wenu😅

    • @happylimo5766
      @happylimo5766 8 วันที่ผ่านมา

      @@storytime1204 hakuna cha cassava wala mwangaluka ipigwe follen angel kama mond atabakia

    • @storytime1204
      @storytime1204 7 วันที่ผ่านมา

      @@happylimo5766 jina la nyimbo tu huwezi kuandika unadhani ndio watu watasikiliza?😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti follen😂😂😂😂hyo follen imeishia kenya hapo😂😂

  • @sharp7649
    @sharp7649 6 วันที่ผ่านมา

    Where the f i alkiba

  • @davidanselmo4041
    @davidanselmo4041 10 วันที่ผ่านมา

    Mwijaku anachangamsha sana😂😂 hapo vunjabei kaogopa 😅

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 11 วันที่ผ่านมา

    Style up bana video mbovu kama ambae mumerekodi na simu..sns taasisi kubwa tafteni video grapha mzuri ashoot proper content

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 12 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 11 วันที่ผ่านมา

    Sasa Abby umevaa nini yarrabi😢