Yaani huyo mtangazaji bado Sana kwa kazi yake. Hana hata maswali mazuri. Itaonekana kama ametumwa. Kwa sababu hana vision ya mbele yeye kuongeleya ni past tu. Thank you mavocko so smart. Respect bro. Huyo kijana inabidi arudi shule
Mafanikio yanahitaji utulivu wa akili na subira uvumilivu nidhamu ndio msingi mkubwa jamaa kuna watu walimjaza upepo sana alafu wakampoteza angevumilia wasafi angekuwa mbali sana kutokana na uwezo wake
Hapana rich mavoco ana uwezo mkubwa kimuziki kuliko mondi kiufupi alijitoa kwenye njia mapema sana akivoenda wasafi asingeendaga kabisa wasafi angekua mbali sana
Mimi ndie nilie kuwa manager wake pale Wasafi. Kijana alikuaga analipwa lakini kuigiza hakukuwa anaigiza chochote. Mwenye anifate. Na account yangu iko private kama Umenielewa! Napost privacy
Hawa prisenter wa wasafi wana shida. Mtu ana Project zake mpya haudeal nazo unakalia kuuliza m2 maswali ya kiuchonganishi. Mna matatizo gani? Mjipange Crown wanakuja poa sana mtapotezwa.
MCHAGA OG bado hajakwiva kwa kuuliza maswali, kwanza maswali yake yanajirejea, then anaegemea sehemu moja ya maswali yake, tatu anajaribu kutaka kumfelisha RICH ili asijibu maswali anavyotaka yeye, na mwisho interview haikua nzuri sababu tulitegemea hoja na maswali mazuri.. TUNAOMBA WASAFI RICH MAVOKO tumpate THE SWITCH KWA LIL OMMY please 🙏🙏
WCB wakiona umesogea Kwa kiasi Fulani wanataka kujifanya wanautu lkn ni waongo sana,,kipindi chote walikua wapi mpaka Leo mavoko kajisogeza ndio wanampa Hadi interview,,kujifanya wanataka utu ,,wanafiki wakubwa saana
Team mavoko tujuane hapa ❤
Mavoko. Tunakukubali sana all the way from Zanzibar 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 if you are coming from Zanzibar like here
Nimekuelewa sana Mavoko. Uko fresh sana. Bifu hazina mana.
Yaani huyo mtangazaji bado Sana kwa kazi yake. Hana hata maswali mazuri. Itaonekana kama ametumwa. Kwa sababu hana vision ya mbele yeye kuongeleya ni past tu. Thank you mavocko so smart. Respect bro.
Huyo kijana inabidi arudi shule
Hivo ndo vitu wanataka wengi wanataka kusikia ,
Mavoko hana njaa mungu kamrudisha upya mshaanza kujamba kid bilionea forever 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 .mwaki talema ipo town ❤❤❤❤❤
Team mavoko 2juane na likes 🇶🇦.
❤Rich Mavoko Unaakili kubwa sana Wewe ni mwanaume 😂❤
Mafanikio yanahitaji utulivu wa akili na subira uvumilivu nidhamu ndio msingi mkubwa jamaa kuna watu walimjaza upepo sana alafu wakampoteza angevumilia wasafi angekuwa mbali sana kutokana na uwezo wake
Wachache wangeliona hilo ila Mimi nililiona sana
Punguza bange hujui maumivu ya mtu😢
uNafikiri ilifaa avumilie Nini, Mana yawezekana unajua mengi 😊
Hapana rich mavoco ana uwezo mkubwa kimuziki kuliko mondi kiufupi alijitoa kwenye njia mapema sana akivoenda wasafi asingeendaga kabisa wasafi angekua mbali sana
Vipi kuhusu Queen Darlin? , Mpelekeni mbali na D Voice😂
Much respect 2 mavoko anajielewa Sanaa. Mchaga alitaka kumzidi akilo lakini ameshindwa...❤❤❤❤
Jamaa he is very matured, i still like his song rudi 🎉
WASAFI FESTIVER MNAMTAKIWA KUMUITA UYU JAMAAA
Acha ibaki kua story....nkiona Mavoko nakumbuka hii song ❤❤❤
Yaani mpaka leo media bado huwa zinauliza mavoko mambo ya wcb? Hamna maswali mengine?
Upuzi
Mchaga og sikupingi uko vizuri kwenye kazi yako
Umekuwa brother mavoc
Mavoko utafanyiwaje interview na media ya wasafi wakati lebo hiyo hiyo ndy ilishaga kuharibia mzee baba hao wanafiki Sana
Rich banaa wewe ni mkali hata bila ya Band yoyote Ile unafaa kuwa unatoa track kila wiki💪💪💪
Rich mavoko billionea kid Messi unauwasana ❤❤❤❤
Mi ni shabiki wa mavoko since wcb na rich mtu mwenye akili mingi sana namkubali pia dua kwake 🎉
Kwel bro mavoko akili Sana utafik mbali
Izi Ni dalili zakuludi home wcb😂😂😂
Naomba nikuone wasafi festival brooo nalazima utakuwepo
Rich akili nyingi sanaaa
Napendanga mavoko anakuanga mtrue ..
Interview imekaa kinyonge sana inaonyesha rich anamengi sana moyoni
Ya kiburi yes maana hata mwaka hakumaliza atakuwa na mengi yepi nenda kalime viazi
Anasema mkataba unambana
Kabisa kaka
Kanyaga shingo bado anapumua @@tanzcanmediatv4473
Watu mshakuwa na waganga
DIAMOND we need mavoco on the stage WASAFI festival ❤❤❤❤❤
Andaa show yako umuite
Thankful for your answers ❤❤
Waoooo Mavoko❤❤❤❤❤
Mavoko mwakitale Kali Sana kka nkutazama nkiwa mombasa
Dhaifu sana
Jamaa kapoa san sema mavoko mm shabiki ako sana
Kaogea vizuri sana ana tatizo na mtu daimond
Tunamtaka mavoko wasafi festival
NILICHOPENDA MCHAGA OG ANAJUA KAZI YAKE KAMA PRESENTER
Mbon mnamforce aongelee Wasafiii na hatakiiii eeeh good job Rich mavoko❤❤❤
Mavoko unajielewa sana kaka🎉🎉🎉🎉
Ludi ON AIR MOVOKO... mashabik tunakuombea bro
Hii interview imekaa kifundi nimependa sana hongera sana aisee🔥🔥🔥
Presenter kuwa professional , unamhoj msanii huku unamshika shika!!
Asanteee breoo kumuongelea K ulie achananayo nikumtaka fan iv 🎉🎉🎉
Wa 100 hp team mavoko gonga likes hp👍
Umeongeya point Sana broo
Hafifu Sana zee yuyu
💞💞💞💞💞💞💞💞💝💝💝💝💝💝💝💝💝 rich mavoko 💝💝💝💝💝 forever from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Nimekubal mavoko kukubL interview na wasaf media
mwakatelema❤❤❤❤❤❤❤❤ toa kali zaidi ya hiyo meeeeeeessi
aisee mdogo wangu lich mavoko kuna kitu ame nifundisha
Funzo ni : uvumilivu, fanya mambo yako na kufunga mdomo
Safi good point
Safi good point
Kali sanaa hii #nakumiss new love chapter
Una akili sana Rich I got U👍
Richy is a very mature and talented artist...i wonder what transpired ila Mungu amsaidie arudi level alizokuwa.
Mavoko mwenyewe❤❤
Huyu mtangazaji amesahau Doki aliwapeleka wasafi mpaka Basata.
Jamaa namkubari sana Kwa maamuzi magumu.
Mavoko inabidii aje WASAFI FESTIVAL 🔥👑
Watangazaji Waovyo Mnajitaidi Kumulazimisha Lichi Aongee Vibaya Dhidi Ya wasafi ila Anawajibu Kitaalam Safi Sana Mavoko
😂😂😂😂hivi hata wewe huoni pia hujui kuandika
Hujielewi alipo mlazimisha wapi?😂😂😂
Kaka rich wew mtu sana najifunza sana kwako ❤
Mavoko jamaa uko wise Sana ❤❤❤❤
Sema mtangazaji unajua kuuliza, hukati tamaa
Nimeipenda❤❤❤
wasaf kampun kubwa bhana
Wapi
Muulize mustakbali ya kazi zake kwa sasa na baadae sio kila dakika wasafi tu
the guy is so humble........
Mtangazaji Elimu ndogo sana ya Utangazaji maana mda wote maswali ya aina moja tu Mtu anakataa unalazimisha swali la wasafi wasafi wasafi mda wote
Alisahau nn ambacho wewe ulitaka kuuliza?
Kaongezee wewe msomi😂😂😂
RICHIEEEEE🎉
Good 👍
Mimi ndie nilie kuwa manager wake pale Wasafi. Kijana alikuaga analipwa lakini kuigiza hakukuwa anaigiza chochote. Mwenye anifate. Na account yangu iko private kama Umenielewa! Napost privacy
Ingekua Kenya wanangu kinyama yani Mondi angemrejesha Mavoko ama tumupige machupa during wasafi festival
matured
Messi 🙌🔥🔥
Hawa prisenter wa wasafi wana shida. Mtu ana Project zake mpya haudeal nazo unakalia kuuliza m2 maswali ya kiuchonganishi. Mna matatizo gani? Mjipange Crown wanakuja poa sana mtapotezwa.
Broo nakukubali sana unajua kupangilia maneno
Rich mavoko please please 🙏 back in wasafi record please 🙏
MCHAGA OG bado hajakwiva kwa kuuliza maswali, kwanza maswali yake yanajirejea, then anaegemea sehemu moja ya maswali yake, tatu anajaribu kutaka kumfelisha RICH ili asijibu maswali anavyotaka yeye, na mwisho interview haikua nzuri sababu tulitegemea hoja na maswali mazuri.. TUNAOMBA WASAFI RICH MAVOKO tumpate THE SWITCH KWA LIL OMMY please 🙏🙏
Kaka richi Mavoko a.ka bilionea kid nakukubali sana ishi kaka pambania ndoto yako unajua sana kaka
Mbayaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
Anawajibu bac tu mwana anawamaindiii
Mavokoo
Safi sana richi🎵🎵💯
Mavoko🎉🎉🎉🎉
Kakunja mkia....kundu la mamake
Rich Mavoko anajielewa sana
Uyu mchaga na wasafi tunacho ayavfurahiaaa
BACK GROUND MUSIC IS TOO LOUD OG
MY G....
Wasani wakubwa mukumbuke kuangalia videos zawasani wachini nawo tuna wasayidia100% ilahamu tusayidiye hata1%
Pole
Jifunze kswahili kwanza
Mchaga og, uliyemuhoji akili kubwa lakini punguza ushabiki unapomuhoji mtu aliyewahi kuwa na maslahi na kampuni yako.
Itakuwa heri na baraka kama wasafi diamond akaruhusu channel ya you tub ya rich mavoko wamuachie aisee
Lini mtamtafuta Boss mwenyewe wa WCB mfanye naye interview?
Movoko back to the top
Rich ana Akili sana
Kaka mungu mkubwa pambn na kukubali sn toka long time ago
Watoto wakimaskini nazani tumeskiana tizingatie maokoto 🙏🙏😂😂
DIAMOND SI AKUBALI TU .MAVOKO AKUWE WASAFI FESTIVAL PIA JAMANI 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Unajielewa kitambo
Bilioneakid sisi atujapendaaa na nyieee ubwea ubwea amajipya nw
Voko my king
Dhaifu sana
We imara uko wapi@@_martin_oduor_
Hafifu sana yuyu.....
Mtangazaji kama msenge vile, maana hana la kuhoji zaidi ya issue ya wasafi. While kuna mambo mengi ya kumuhoji.
Nimeipenda sana iyo siwezi kumuongelea mwanamke ambayo tumeashana😂
Enyewe akili ni nyuele
Safi Sana
Wasafii Turudishieni ile beat Ya zamani ya kwenye REFRESH Siku izi hiki kipindi hakinogi kabisa yaani wengi hatuna hata mudi na kipindi
Anko messi❤
WCB wakiona umesogea Kwa kiasi Fulani wanataka kujifanya wanautu lkn ni waongo sana,,kipindi chote walikua wapi mpaka Leo mavoko kajisogeza ndio wanampa Hadi interview,,kujifanya wanataka utu ,,wanafiki wakubwa saana