Tena kipindi cha kina chid nyimbo zilikua nzuri alaf hakukua na hela yan mziki ulikua haulipi saiv wapeni heshima zao kina chid,profesa jay na jide wapewe maua yao na heshima zao pia inabid wasanii wazamani pia wapewe pia heshima na wafaidike pia kupitia mziki wao
You have to respect yourself!
Usihitaji kuheshimiwa wakati tabiya zako za ajabu ajabu (Mtu akikusaidia kidogo utaskiya uko unamtukaniya mitandaoni
UKI ANGALIA JAMAA ANA UCHUNGU SANA ALI SAIDIA WATU ILA WAME MU SUSIA JAMANI MKUMBUKENI 𝐖𝐄𝐌𝐀 ❤@RICK MEDIA
Daah huyu jamaa anamachungu sana sana aisee
THEY NEED TO PUT RESPECT ON THIS GUY
CHIDI BENZ Mungu akulinde, nilikuwa BILLCANAS kipindi unachakaza sana club na jimbo la HOI... Bro this interview imeniuma
Sema waandishi wa Habari wanaogopa Kumuuliza maswali chid
Chidd anamajibu 10 katika swali 1 la mwandishi hivyo ngumu kumuuliza....
Hatari
Dah chid uyo mjinga uyo dah
Mbona Bado ww ni tajiri chidii
S wamuulze maswali 😂😂😂
Mwamb anaakili san daa angekuw mbali san nchi hiii
Tena kipindi cha kina chid nyimbo zilikua nzuri alaf hakukua na hela yan mziki ulikua haulipi saiv wapeni heshima zao kina chid,profesa jay na jide wapewe maua yao na heshima zao pia inabid wasanii wazamani pia wapewe pia heshima na wafaidike pia kupitia mziki wao
Heshima ipi ya nani kajamba aa nyie ndie mnamponza hammwambii ukweli kazienu nikumjaza tu
We neema unakula unga?
Unajitahd kupromo ilala
Daah chidi it's so painful😭😭
Jamaa anaongea zilipendwa tu!!
Sasa hayo mambo ya zamani kama hukuyageuza kuwa mafanikio watu watakuheshimu kwa lipi bro!?