Baga anaheshima sana kazi anafanya bzuri sana ila anajua kabla ya yeye kuna mkubwa ambae nikitale hivyo baga hatakama anafanya vizuri kuliko nagwa ila bado anaheshima hivyo heshima kwako mzee baga achana nao wanao ongea ongea sana we fanya kazi mzee tupate kula Kaka
😂Nagwa ni jinga kubwa sana halijui,kuwa na uhalisia tofauti pia upumbavu wake anataka kuufanya kwa watu wote,,,ipo siku atakutana na hamnazo,,msanii ni kioo cha jamii siyo kwamba yale unayo igiza ndiyo uwe nayo mtaani utaonekana kituko
Manzese midizini umenikumbusha nyumbani nakufatilia baga nikiwa dubai Al rashidiyya Street upo sahihi mtu wangu hata mmi mtu wa uswahilini nakukubali sanaa
yaan kichwa cha habar eti uso kwa uso hivi waandishi mnatuchukuliaje nyie eti mbna baga ata msingeandika ivo watu tunampenda tunaview tu jamn kwan kuandika ukweli wa baga ingeharibu nn mnazingua mjue🤧🤧🤧
Kwan nyinyi jaman watu Mulie soma hapa dar es salaam Munasema muliogopa umande Kwan hapa town dsm kuna manyasi Njia zake munipe majibu au Umande amuujui hee!
Baga for life 😅
Baga before nilikua nakuchukia kmb una kitu ndani yako nimekukubari sana una ekima njema bro mungu akupe maisha malefu yenye fulaha
Ila mchiz baga umefanna mno na harmonize. Anae amini ilo gonga like apa twende saw 24:54
Duu nlizani ni mm pekeangu nnae mfananisha na konde
Urongo huo
Mm nilizani niyeye kaacha mziki😂😂
Wanafanana
Broo mi ni moja ya mashabik zako nakubal sanaaaaa
Baga ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Izooooo manzese apa show love Kaka nagwa mchumba tu msela naturel awezi kukata viuno no forever my blood
Nakukubari sana BAGA
Baga kwenyegem kitambo sana ❤❤❤
Nicee sana Baga ukoo vizurii mhnii smart na akiliii piaa
Itikeli kali salute nagwa 💯
Oyah we baga asifananishwe na vitu vya hivyo baga mwamba😂💪
Nisaidie buku 2 ya nauli😂😂😂😂
Baga ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Baga Mteme anaweza bana
😅😅😅😅😅😅 wali kula ww makoko tuachie meipenda hyo baga
pamoja sana kaka
Hahahaha raisi ni mama tu dadek 😂😂
Naombeni like jaman kwa baga🙏🤲
Mi nacheka😅😅😅😅😅
Namkubali huyoo jama baga
Tunao mkubali BAGA 👍👍
Baga fundi sana nagwa kwa baga bado sana
Good bro pamoja sana
Bagaaa mwambaaa
Nakubali sana mzee baga
Mwanangu sana Baga nakubali achana na mchumba mmoja huyo bado hata mitaa haimjui analazimisha
Msela baga maneno kdg vitendo ving
Naqbar sana Baga respect sana mtaa tunajua kaz zako
You is good men
Mwanang wa Moro Icon mxela uyo bagaa
Rahisi wa iyo sector n kitale pekeyake
Hakika waambie
Saana kiatale pekeakee
Wa elfu mbili weweee
Baga anafanana sana na harmonize
Bagaaaaa fresh kaka safi saana
Kweri mzee baga maana
Umeongea ukwel kinoma
Utasikia ooh 26 number mala
Oh sijui nn ni ujinga tupu
Baga anaheshima sana kazi anafanya bzuri sana ila anajua kabla ya yeye kuna mkubwa ambae nikitale hivyo baga hatakama anafanya vizuri kuliko nagwa ila bado anaheshima hivyo heshima kwako mzee baga achana nao wanao ongea ongea sana we fanya kazi mzee tupate kula Kaka
Huyo kitale wako kapita mikono ya baga labda uwe mtoto wa buku 2 ndio utakuwa hauelewi
Baga yupo kabla ya Kitale
Baga ni noma
Baga msulimoto
@@jkifutu7936 Toka enzi za Jumba la Dhahabu watoto wadodo hawawezi kuelewa hiyo
ANEJIITA RAISI MAMA
😂Nagwa ni jinga kubwa sana halijui,kuwa na uhalisia tofauti pia upumbavu wake anataka kuufanya kwa watu wote,,,ipo siku atakutana na hamnazo,,msanii ni kioo cha jamii siyo kwamba yale unayo igiza ndiyo uwe nayo mtaani utaonekana kituko
Baga uko vizuri babu
Nakubali sana nagwa
Nakukubali san kwenye mv ya chado master👍
Baga unatisha Baba huwezi fananishwa na wengine we noma Sana Mzee unajua
sema nagwa ni rais wa masela wa sasa ila baga ilo limeliwa kitambo
Nakubali Baga saloot Raisi ni mama 2
🔥🔥🔥🔥 baga
Anayekukojoza humjui
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nampenda sana Baga😘
Baga,💥💥
Baga anajua mpaka anakera
Madini kutoka kwa Baga oa mzee umetema madini sana kama nagwa anashindwa kujifunza hapa badi hatapata mwalim tena wakumfundisha
Wote wakali 💯
Huyu baga kumbe mstaarabu hv jamani ukimuona kwenye movie utamuogopa hana ushamba kam wa nagwa saa zote ubabe ubabe usio na maan ujinga tu 😅😅
Baga yupo juu
Nagwa nakukubali sana❤
Nmekukubali sana kwa kusema ukweli wa life yako ongera sana
Hhhhh baga no 1
Kama unamwerewa nagwa gonga like apa
Baga ni msela wama sela..nagwa ni msela wa kina mama
Baga
Tunae muona baga kufanana na harmonize like
Nimekupa bure like yangu kweli kbs sema kasoro kiingereza
❤❤❤
Saana anafanana na harmonizer
Nimdogo wake ulikua ujui
Sijui nduguuu
Baga kwenye mission impossible duu unatisha😂😂😂😂😂
Baga kitambo kwenye game nagwa anapaswa kumuheshimu sana tunamjuwah baga toka kwenye movie yake ya escape 2013 au 2014 kam sijakosea
utile sheliaaaa😅😅😅😅
Mkiskia nimetoa nyimbo tena mniite mbwa 😢
Good boy
Nagwa no 1
❤❤❤🔥
nangwa unazengua umesahau kina kitale wamekutangulia kucheza usela?banga yuko vizuri kwenye gam pia wazamani#baga🔥
napenda sana iwe Kiki wasilogane tu
Mi binafsi naona nagwa hailimishi anafundisha huni tu kwa jamii mtu utakuta hanatumia nguvu nyingi mpaka povu ninamtoka ndo nini sasa
Ilaaa bagga
Baga nyota yake ni kali sana
Kitale ndo rais wa maselaa imeisha hyooo
weka sawa maneno tatizo gubu Au na nguvu za kiume Auna 😂😂😂
Nagwa dunga mawe hatari
naimani sikumoja ntafika hii atua 🤲 god
Baga kinachomsevu heshima na utambuzi wa mambo sio kujitia chiz jumla Kama mwenzie Hadi mtaan anaekt usela
Baga ndio kusema
Urais ndio kinawafanya mpige mipasho mitandaoni sio 😮
Laisi wa wahuni ni kitale wengine wana vaa viatu vyaketu lkn banga m badala wa kitale alafu ndo nangwa
Eti amjuwi nagwa 🤣🤣🤣👋
Baga anajua
Manzese midizini umenikumbusha nyumbani nakufatilia baga nikiwa dubai Al rashidiyya Street upo sahihi mtu wangu hata mmi mtu wa uswahilini nakukubali sanaa
Nawakubali wote sana kwanza baga
Nagwa hawezi
Ila me namkubali sana baga kwamala ya kwanza nilimuona kwenye elimu mtaani duh aliua kinoma
Usela co lazma uwe sura ngum km nagwa wakuu kuna babe face kbao lkn wahun knoma yan
Ila baga najua we konde ila acha battle ns nagwa
Baga yup pow sana
🔥🔥
Uyo nagwa mwenyewe siyo muhuni ila msela mavi wauni hawapo kama alivyo
Baga nagwa wote wakali Ila kitale ndyo mkali wenu
ila babylon upo kimya sana kwenye move
Oyaa acheni masiala baga muhuni jamaa mm mkenya apa nadai ivo
yaan kichwa cha habar eti uso kwa uso hivi waandishi mnatuchukuliaje nyie eti mbna baga ata msingeandika ivo watu tunampenda tunaview tu jamn kwan kuandika ukweli wa baga ingeharibu nn mnazingua mjue🤧🤧🤧
Baga mtaalam nakubali sana
Baga namkubali sana
Nagwa kwa sasa Tanzania haijalishi nani kaanza nagwa ni best kwa kuekt uhuni
Anaekti uchizi yule sio uhuni
@@Rolemodel_wa_taifa vyote vyote vile bt kwa ss nagwa the best
@@dullahbatuf9223 Kwa machizi wenzake sio kwa Tz yote
Waandishi wengine bwana eti uso kwa uso
Kenya tunajua rais wa masela ni kitale
Kwan nyinyi jaman watu
Mulie soma hapa dar es salaam
Munasema muliogopa umande
Kwan hapa town dsm kuna manyasi
Njia zake munipe majibu au
Umande amuujui hee!
😂😂😂
Muandishi hii ndo uso kwa uso kuma la mama ako
😅
Nakuaminia kamanda baga we kama mimi tabia yko