Hata wanaomuhoji hawaelewi kinachoendelea kwenye mziki wetu daah broo mshukulu mungu kakujalia upeo mkubwa sana akili nyingi chid hunijui sikujui ilaa unatufungua wengi
We mhariri very stupif unakata kata nini sasa, au mnataka aonekane anaongea pumba ?? Msiwe mnakata script wekeni kila kitu stupid kabisa. Nyie ndo mnafanya aonekane anatumia unga wakati jamaa anaongea kwa uchungu. Msiedit content stupid
Anaongea point nzuri tuu ila hata wewe ukiwa na Matatizo alafu ukaongea chochote bila kujibadilisha hakuna mtu hatakuamini ni sawa mimi ni chui alafu nivaa ngozi ya kondoo alafu nimesha julikana na watu hata niwambi nini hawawezi kuniamini mbaka nivue moja .sasa mimi nampenda sana chidi pia kila sehem tulikuwa pamoja pia sio kama nafundisha ila nampa uhalisia
Kwa kifupi tuu mm cjaelewa hata na cjui hata hoja ya msingi hapo ni nn maan amechanganya mchicha dagaa pilipili nazi samaki maharage nyama supu ya pweza mlenda yaani tafurani
Akili nyingi sana brother 👏👏👏👏
Hata wanaomuhoji hawaelewi kinachoendelea kwenye mziki wetu daah broo mshukulu mungu kakujalia upeo mkubwa sana akili nyingi chid hunijui sikujui ilaa unatufungua wengi
Kabisaaaa mzeee
🤝
Akili nyingi saana chidy👊
Huyu Jamaa historia inasumbua . Kweli ukipata nafasi itumie vzur
Nafasi gani unayo taka wewe
😊
@@ISSASHABANI-sw7lx5:41 😊
Wengi walitumbukia kwenye ulevi wa kupindukia 😢😢😢 wamejikuta wanaangukia pua kina
Kbsaaaa yan
Kweli chid uko sahihi wasanii wale wale kwenye show zao gaweni riziki kwa wote
Huyu jamaa hadi umuelewe uwe na akili kubwa sana.
Rashidi Makwilo ni kichwa chene mafini,ila wanamdhalau jinsi alivyo.
Acha mashairi
Sema kaka akifanya chidi haifai wakifanya wengine poa
True fact
Preach bruh
Chidi Benz mzee wa fact😂😂
Huyu kweli ajaacha unga 😂😂😂😂
Me naona ka ana bwabwanya ata simuelewi😂😂😂
Ukisikia Profesa kaishia kuwa mlinzi wa duka la mpemba ndio huyu!!
Sasa ingekua wasanii ni kama hawa tasinia yetu ya mziki ingekua vipi surely!!! 😂😂
Ingekiwaje unavo ona ww
@@ISSASHABANI-sw7lx Ingekuwa tasnia ya waithirika wa madawa na ma kapuku ambao wakiongea ni kama wanaongea vya maana ila umaskini unawasumbuwa
Lijamaa linamchana mama samia makavu🤣🤣
Chidi oa acha bangi😅
Kilio cha samaki
Kichwa hiki
Mwehu uyo
Mavokali
We mhariri very stupif unakata kata nini sasa, au mnataka aonekane anaongea pumba ?? Msiwe mnakata script wekeni kila kitu stupid kabisa. Nyie ndo mnafanya aonekane anatumia unga wakati jamaa anaongea kwa uchungu. Msiedit content stupid
Anaongea point nzuri tuu ila hata wewe ukiwa na Matatizo alafu ukaongea chochote bila kujibadilisha hakuna mtu hatakuamini ni sawa mimi ni chui alafu nivaa ngozi ya kondoo alafu nimesha julikana na watu hata niwambi nini hawawezi kuniamini mbaka nivue moja .sasa mimi nampenda sana chidi pia kila sehem tulikuwa pamoja pia sio kama nafundisha ila nampa uhalisia
😂😂😂
Uzee unakusumbua
Ukitaka kumwelewa chidibenz lazima uwe na degree ya mustaz😂
Kwa kifupi tuu mm cjaelewa hata na cjui hata hoja ya msingi hapo ni nn maan amechanganya mchicha dagaa pilipili nazi samaki maharage nyama supu ya pweza mlenda yaani tafurani
What are u trying to say bruv 🥱
Huyu ni mpumbavu sana wallah Sasa diamond platnumz sio wa kimataifa Kwa fact gani
😢 wewe ndo mpumbavu na usojielewa
Mama yako wewe ndo mpumbafu alie kuzaa wewe choko
😂😂😂😂 eti choko
Mataifa yapi 😂
Wakati huo anaimba mziki ulikuwa unalamba makasi yako na bado unanuka maziwa ya mama yako.
Akili nyingi saana chidy👊