Mziki siyo rahisi kila mtu anapigania tumbo lake ila bro Chidi kuna kitu ajifunze maisha ya sasa usipokuwa kibaraka wa serikali utaula wa chuya akubali tu kutumikia watu kama atataka izo ela ma mafanikio is not easy bro so sad 😢
Hicho cha ukibaraka ndicho anachokipigania Chid kisiwepo ili mkate wa taifa ugawanywe kwa uwiano sawa by now hakuna anayemuunga mkono cause wanamuona miyeyusho ila akitokea kiongozi mmoja mwenye nguvu akaact kufuatana ushauri wa Chid utaona wanafiki wanavyojifanya wako pamoja nae
Kufanya wrong sababu ya wakat ni ujinga wa phd wakat haubadilishi watu ila ss ndio tunabadilisha wakati so kila mmoja akibadilika na kuwa kibaraka tutakuwa na taifa la namba gan ? We hv to produce people like chid so as we can change the wrong situation….
@@mckobatz5861this is really bro, yaani daahh inaumiza kwakweli Hadi natamani Mungu ambariki Mapema ili wengine waaibike maana daahh jamaa anapitia wakati mgumu sana
Makalio wewe mambo yakutaja nchi alafu kujumuisha watu wote kuwa tunaakili ndogo shika adabu yako na km umekosea kiswahili chake kuandika vizur andika kwa lugha ya kiingereza mlichozoe
Ukiona unamuelewa legendary chidy benz jua wewe una akili nyingi ila wale ambao oblongata yao imekaa upande wataona jamaa anachekesha ila jamaa anaongea fact sana Ni hivyo tu watu hawataki kumpa sikio
The things is inawezekana ikawa yupo seriously but the way anavyo ongea unaweza ukajua utani or usimuelewe kabisa, kwa mfano mimi 2b honestly wallah simuelewi kabisa Sorry.......
Wapo watakao kuona kichaa brother
Ila mmi nimekuerewa vizuli sana🎉
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,Usihukumu kava lakitabu kwakua limechoka,big up chid💪💪perfect sana
Kiukwel chid sio chiz anasema ukweli kabisa ilaa watuu katika ukweli wanamuona chid chiziii big up sana chid benziii
Really
Jamaaa Anajua anachokidanya #Broo Akili nyingi sana na elimu Dunia ni kubwa sana kwake makosa hayajaondoa Akili yake
Huyu jamaa na sense sana. Tanzania🇹🇿
Sasa mumchukue akaigize kipaji kingine hicho anacho wafazali mtazameni huyu kaka huwa Mungu ananjia tofauti za kumnyanyua kiumbe wake❤😢
Always chid uko Smart...lakn kwa nyimbo ya meja kunta...apo mmezinguaa..athari yake ni kubwa kwenye jamiii..
Yupo smart anajitambua ila analalamika sana aache kulia sn Dunia inataka mapambano
Mnaomuona chid kadata anglia akili yako kwanza na alichosema kuna ubaya gani alaf jitathmini wew mzm😢😢😢
Me simuulumii napenda fact asa kwenye usawa❤
😈Real Talk Chidi 💯💯💯
Kumuelewa chidi lazima uwe na degree ya Street 😂😂😂
💪
D 3
Daaah yaaan chid anazungumzia vitu vingi kwapamoja
Kama hujalelewa n kitaa huwezi muelewa❤❤❤
Really
Malalamiko FC
Benz very Talented 👋👋
Nimemuelewa chidi vizuli sana😂😂😂😂😂😂😂
Chiddy anaongea fact sana
Chid kavaa nguo nyingi 😂😂😂😂😂
Come on you boomplay
Lakini kaka Chidi kwenye wimbo wa mabantu sijakuelewa ulichoimba
Pengine Allah anakusaidia ukiwa hivyo maana angelikupa nyingi ungeuliwa hii kauli yako nimeichukuwa big brother
Child is good boy bro good blessing you
Yuko sawa kbs anachongea
😂😂😂😂😂😂bila D mbili tu huwez ukamuelewa chid ,,, anaongea ukwer mtupu
Ila harmonize 😂
Chid Benz is very right ✅️ all wasafi is full of dirty entertainment wanaimba matusi sana!
Kila siku wanaimba matusi lakini nyimbo zao zinapigwa na watoto wanaimba
@@Kijosh854wasafi ndio wanyonge wenu asilimia kubwa ya wasanii wanatumia taarifa laini wangetumia ngumu watu hawawezi kuelewa
Big up chiid benz
His xo really. N Hi don't give a dm to the cameras. Amezizoeaxana. Big up Bro.
wasafi na mabantu wanaongoza kwa matusi ila hawafingiwi
Kwan mom wakina nani 😅😅😅
Chid baraa hadi wenye maswali wamerudi na maswali yao dadeki
❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
JAMAA WANAMDHARAU,BUT ANAONGE POINT NA FACT.
Sio kuongea tuu huyu jamaa ni kichwa
Huyu jamaa ana akili sn angekuwa kwny game cjui ingekuwaje angekuwa mbali sn, usikute aliemuingiza kwny madawa alitaka kumtoa kwny reli😢
Chidy ungesepa tuu tz patakuchangana maana tz sametime ni noma
😅😅😅😅aisee
Naomba kumjuwa huyu amani kaka voda ni nani 😂
Njaa mbaya sana😂😂😂😂
Haki ya mungu nimecheka 😂😂😂😂 kumuelewa huyu ufanye kazi uache kazi 😂😂😂😂😂
Mwaambieee ashtueeee..!!
Mmam mmaam mm ae ni huyu
😂😂😂😂
nice
Ukiondoa mawazo kuwa huyu ni mlevi, aise anaongea point kubwa sana lkn umsikilize ukiwa na utulivu wa akili
Bangi mbaya point yake Iko wapi na wanahabari amnakazi sana
Naamini naamini... JOTI alimaindi kakaaa 😂😂😂😂😂
Mmk
Huyu Jamaa Km Una Akili NDOGO Na Uwezo Mdogo Wa Kufikiria Huwezi Kumuelewa!
Sijui unenielewa😅😅😅
Makwilo nakukubali kinoma, madawa ayajachukua akili zake
Labda nikitoka hapa😂😂😂😂
Chidi mental yupo sawa
Mziki siyo rahisi kila mtu anapigania tumbo lake ila bro Chidi kuna kitu ajifunze maisha ya sasa usipokuwa kibaraka wa serikali utaula wa chuya akubali tu kutumikia watu kama atataka izo ela ma mafanikio is not easy bro so sad 😢
Hicho cha ukibaraka ndicho anachokipigania Chid kisiwepo ili mkate wa taifa ugawanywe kwa uwiano sawa by now hakuna anayemuunga mkono cause wanamuona miyeyusho ila akitokea kiongozi mmoja mwenye nguvu akaact kufuatana ushauri wa Chid utaona wanafiki wanavyojifanya wako pamoja nae
Kufanya wrong sababu ya wakat ni ujinga wa phd wakat haubadilishi watu ila ss ndio tunabadilisha wakati so kila mmoja akibadilika na kuwa kibaraka tutakuwa na taifa la namba gan ? We hv to produce people like chid so as we can change the wrong situation….
@@denishaule6314 fact 💪💪💪
Ushaur wa kioga sana unatoa ww😢 shame, jifunze kumwamn na kumheshm Mungu tu kwny haya maishaa
@@mckobatz5861this is really bro, yaani daahh inaumiza kwakweli Hadi natamani Mungu ambariki Mapema ili wengine waaibike maana daahh jamaa anapitia wakati mgumu sana
Ukiacha kumchukulia kama mlevi. Chid Anamadini sana
Sure king Kong anaongea vitu vya maana
Ana madini gani uyu PUMBA tupu😂
@@abdulmohd6880 😁😁😁😁😁😁 msikilize kwa makini
Pumba ni ww ulichanganyikiwa@@abdulmohd6880
Sasa to tell you chid is clean from ngada lbda bangi
Waandish maskiiniiiii jaman uwelew
Raisi Kitunguu bin Nyanya kmk 😀
Mm wallai atasimuelewi anaongea nn 😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉 nakubali
Bila D mbili huezi muelewa
Ilijamaa linaongea ukweli ujue
Labda nikitoka hapa ....😂😂😂😂
😂😂😂😂
Mungu tuepushe na madawa
Kanye wa Bongo
Hahaha daah sjaona comment mbayaa kwa huyu jamaa so anakituuu atakama kapotea kwenye game huyu jamaa anacho kituuu kikubw tuuu mpen nafasi aisee
Data imezima
Chid huwa na akili nyingi sana lakn watanzania wakona akili ndogo huwa hawaelewi wakenya tunajua mtu mwenye akili na tunamwelewa..🇰🇪
Makalio wewe mambo yakutaja nchi alafu kujumuisha watu wote kuwa tunaakili ndogo shika adabu yako na km umekosea kiswahili chake kuandika vizur andika kwa lugha ya kiingereza mlichozoe
@@ce-08 unabonga nn manzi
@@musiccaentertainment100k8 nambie mchuchu kajifunze kiswahili tena alafu urudi hapa
Kama wa Kenya ndo akili zao kama za chid Benz bas mmmmhhh😂😂😂
@@RamVsouth-Ra we kasome umbwa tatizo leno mmekataa masomo mnafikiria kama watoto wafogo
dah mwenye camera kafeli
Kafeliiiii kiseng**** eti kashoot hadi miguu... eti nishtueeee😂😂😂😂😂😂
Kwn ukuta umemfanyaje😂
Mmh Tayari
Angalia maisha ungonvi sio jambo LA busara
Anauliza nimevaa vibaya???? koti, shat, t shert
Hakuna tofauti ya hizo online media na huyo msanii😂😂😂
King Kong 😂😂😂
Shida n uhuni
Laabuda😂😂😂
Kumbe jamaa chizi
huyu jama anajua sana kuongea
Chidi nakushauri ugombanie uraisi
Mihadarati mabange na mabange
Drugs noma jamani embu fatinielieni maneno yake kiundani uyu kadata
Chidi kavuta kitu cha Arusha seheemu inaitwa Kisimiri😅😅😅
Orikokola
Usiongee na simu wewe sogea pembeni au toka😂😂😂
Tuambizane iyo nyimbo tukaisikilize jamani
Ukiona unamuelewa legendary chidy benz jua wewe una akili nyingi ila wale ambao oblongata yao imekaa upande wataona jamaa anachekesha ila jamaa anaongea fact sana Ni hivyo tu watu hawataki kumpa sikio
huyu jamaa kachizi, mpende msipende, huyo sio chidi wa zamani
chid saka huyu
Watu wanasema anaongea pumba lkn wanatazama hadi mwisho
Chibenzi kang,ata harmonize chdibez kang,ata harmonize 😅😅😅😅.King 👑 kong
Bila D mbili huwezi kumelewa jamaa
8:42 anaongelea wimbo gani?
Ilikua ya kumponda mwanasiasa mmoja hiv
Huyu wamfungie kesi Yako ni Yako semea kesi Yako baba
Yaani waandishi mmekaaa mmnamsikiliza kalaba kulewa huyo yaani xjui anaongelea nini 😂😂😂😂😂
Ana haki yakusikilizwa 😅
hehehehehehehehehheeheheh
Ukiwa na akili ndogo huwezi kumuelewa huyu jamaa..!!
😂😂😂
Anaongea vitu vikubwaa
Ukiwa mtoto wa 2000 huezi elewa chochote
Kashadata huyu😅
King yupo sawa ila kapitia kwa Aziz Ali
Jamaa anaongea kama Nyerere
😂😂😂
😅
Nawajua bas ni nani?,,, Kuwa manin wewe unamwambj basata anaimba ma2ci, fanya mzk Wacha kuinga m2😊
The things is inawezekana ikawa yupo seriously but the way anavyo ongea unaweza ukajua utani or usimuelewe kabisa, kwa mfano mimi 2b honestly wallah simuelewi kabisa Sorry.......
hili Jamaal lisenge sana
Mjomba angu anaongea ukwel
ushakuwa kichaa brother
Nila rafuz tu ila anatoa madini konk