NAMBA ZA WATUMISHI +255788592059, +255688478530, +255684380949, +255786730894. KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO CHAMAZI - DAR ES SALAAM TANZANIA KARIBUNI SANA.
Mariam musa naomba maombi sana kwa watoto wangu wako kenya mm nko saudi roho ya wizi iko ndani mwao plz majina Rose nyàrotso and Ruth mwenje and Andrew masheti
Amen.
MUNGU ni MWEMA. YESU KRISTO ni BWANA.
Ameni ameni and ameni 🎉
Halleluya Uweponi mwako Bwana kuna Amani
Amina
Am blessed God bless you servant of God
Natangaza kila silaha walizoziandaa kwa ajili yangu nazigeuza ziwarudie wao wenyewe
Mariam musa naomba maombi sana kwa watoto wangu wako kenya mm nko saudi roho ya wizi iko ndani mwao plz majina Rose nyàrotso and Ruth mwenje and Andrew masheti
Amina tunawaombea maana hiyo ndiyo kazi Yetu kuombea wengine
AMINA mtumishi wa MUNGU nabalikiwa sana Asante sana Kwa NENO HILI kweli limenitia nguvu ya kuendelea kusonga mbele
Amina, Ubarikiwe sana Naomi, shujaa wa Bwana Yesu Kristo, Songa Mbele
Aminaa
Bwana Yesu azidi kukubariki sana