ONA MAFUNDISHO YA ZINAA YALIVYO KUMBA KANISA EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 76

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 28 วันที่ผ่านมา +11

    Hallelujah Hallelujah,
    Ni wakati wa toba na matengenezo
    ukitubu, na kutengeneza na Bwana. kukaa katika kauli na sheria za Mungu utainuliwa bila kupokezwa baraka za uongo. Wachungaji wa mchongo ambao wameenea kila mahali na kuhubiri kubarikiwa wanawalaani wengi sana utabariki aje mtu aliyeasi na kumwambia pokea mchumba, nyumba, gari haiwezekani kupokea chochote kama wewe mwenyewe dhambi.
    Ukishatubu na kuomba rehema kwa Bwana omba kama ni mke au ni mume na kwakweli roho wa Bwana atakuelekeza mpaka kwa yule aliye wa kwako. Lakini mahusiano yeyote bila kuwa na msingi kwa Kristo mtasalitiana.
    Ubarikiwe sana mtumishi kanisa liko topeni watu wamefungwa katika maneno za watu na hawako tena katika NENO la Kristo. Ni wakati wa kurejea kwa Bwana ni sekude chache na Kristo atareje

  • @upendoshija2235
    @upendoshija2235 28 วันที่ผ่านมา +9

    MUNGU wa Mbinguni akulinde mtumishi çasian adui asikuguse kwa jina la yesu

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 28 วันที่ผ่านมา +4

    Tukirejea katika injili ya TOBA kwa hakika kila mmoja atakuwa salama. Kila mmoja ataenenda kwa hofu ya Mungu na kutunza uaminifu wa Mungu mahali popote.
    Ubarikiwe sana mtumishi.
    Asate kwa neno hili nimepiga hatua ingine mbele.🎉

  • @maxinenaibei
    @maxinenaibei 25 วันที่ผ่านมา +1

    Listening from Kenya be blessed I always follow your teachings

  • @JacklineMroso-gy6ej
    @JacklineMroso-gy6ej 28 วันที่ผ่านมา +5

    Njia pekee ya kumwona Yesu ni kutubu dhambi na kuacha

  • @joycefaida6548
    @joycefaida6548 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akutunze mtumishi wa Mungu🙏🙏,,,,,nabarikiwa Sanaa na na pia unanifundisha na kunikemea pale nimekosea🙏🙏,,,
    Mungu akutunze daima🌎

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah umeubiri INJILI YAKWELI

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 28 วันที่ผ่านมา +4

    bwana asifiwe sana mtumishi wa Mungu akubariki sana

    • @RachelKabwe-mw5ne
      @RachelKabwe-mw5ne 27 วันที่ผ่านมา

      Mungu akutunze Mtumishi

    • @SafiAkinyi8361
      @SafiAkinyi8361 27 วันที่ผ่านมา

      bwana ni mume wa mtu ama boss lakini BWANA ni wa juu mbinguni Amen

  • @DanielNasibu
    @DanielNasibu 22 วันที่ผ่านมา

    Ubalikiwe mtumishi wewe ni sauti iliae nyikani mungu aendelee kukupigania ❤❤❤

  • @ImaniKalinga-z8e
    @ImaniKalinga-z8e 27 วันที่ผ่านมา +1

    Hallelujah!!! Tuwapate wapi wasema kweli kama huyu ndani ya makanisa!!!!!!

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 28 วันที่ผ่านมา +1

    Amena Mungu akubariki sana Ev Paschal Mungu akupe nguvu🎉🎉🎉🎉

  • @Deborah-dl4ug
    @Deborah-dl4ug 23 วันที่ผ่านมา

    Hii ndio injili tunayoitaka, barikiwa mtumishi wa Mungu Caccian

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini 27 วันที่ผ่านมา +1

    Oooh hiii ni injili ya kwel .Mungu akubaliki

  • @bhavinjani4415
    @bhavinjani4415 28 วันที่ผ่านมา +2

    Amen sana hakika Mungu akubariki

  • @MaryMnjamche
    @MaryMnjamche 7 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi kazi yako njema

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 25 วันที่ผ่านมา

    Ujumbe wenye nguvu, tunakuombea upaze sauti zaidi,kila mwenye mwili asikie neno la Mungu ambalo Roho anakumbusha kanisa.

  • @Zawadijoelmkonda
    @Zawadijoelmkonda 27 วันที่ผ่านมา +1

    kwajina la yesu mitego na shauri za adui shetani zishindwe Amina mungu akulinde

    • @SafiAkinyi8361
      @SafiAkinyi8361 27 วันที่ผ่านมา

      Yesu ama YESU MUNGU ama MUNGU c mungu tafadhali ama c yesu

  • @user-ep9by3ui1v
    @user-ep9by3ui1v 27 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe mtumishi wa bwana 🙌

  • @user-pp1mp2sr6b
    @user-pp1mp2sr6b 26 วันที่ผ่านมา

    Kaka paschal nakuombeya kwa mungu akupe afya njema ili uzidi kutufungu tuokoke

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 28 วันที่ผ่านมา +1

    Amen ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @user-ef7pn5wt7g
    @user-ef7pn5wt7g 26 วันที่ผ่านมา

    Hakika Kila mtumishi anashika mahali pake ili ajaze kanisa... pascal Mungu akutunze wewe ni sauti iliyotumwa kuleta matengenezo....Mungu akulinde daima

  • @user-gj2gc4en3t
    @user-gj2gc4en3t 28 วันที่ผ่านมา +1

    Sema kweli mtu wa mungu tuko pamoja, asante nakutizama kutoka mombasa

    • @TatuOmar001
      @TatuOmar001 27 วันที่ผ่านมา

      Atammi niko OO1 Abarikiwe sana mtumishi wa mungu 🙏🙏👏👏👏

  • @PastroryMasanja
    @PastroryMasanja 25 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu aliye hai
    Ubarikiwe sana na Mungu akulinde sana

  • @ChristinaSanga-pl5jm
    @ChristinaSanga-pl5jm 22 วันที่ผ่านมา

    Piga kelele usiache mtumwa wa Bwana ni kweli injili ya kuacha dhambi haihubiriwi tena Mungu atusaidie turudi kwenye toba

  • @laurentbulabo5002
    @laurentbulabo5002 25 วันที่ผ่านมา

    Hakika mtu huyu anafundisha kweli ya Mungu, ni ngumu sana katika kizazi hiki. Kumuelewa

  • @user-kl6zb6so3i
    @user-kl6zb6so3i 28 วันที่ผ่านมา +1

    Amen sema tupone Mtumishi wa Mungu.

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 27 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nisaidie kunyenyekea. Miguuni Pako unisamehe maovu yangu.nitubu Toba ya kweli.Aminaaaa.

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 25 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi wa Bwana unachokisema ni kweli kabisa

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 27 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi mungu aendelee kukuinua na kukuweka viwango vya juu ili uendelee kutukumbusha juu ya kumtumikia mungu

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mm hakuna mafundisho ya kweli zaidi ya mafanikio eee BWANA sababisha moyo wangu kuwa na Toba ya kweli kweli kabisa kusema kweli umeitwa na BWANA MUNGU atusaidie kuyashika mafundisho ya kweli ya MUNGU

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา

    Yan nilikua namuuliza Mungu naifanyaje Huduma yangu zaidi nimepata nyongeza zaidi...yakufanya kazi ya Injili zaidi.....

  • @brianshomi722
    @brianshomi722 27 วันที่ผ่านมา +1

    Hii nilikuwa naisubilia injili ya namna hii❤

  • @maxinenaibei
    @maxinenaibei 25 วันที่ผ่านมา

    Hoping by grace of God you'll come Kenya expecially my.elgon

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา

    Naumenipa kitu chakuongezea katika huduma yangu barikiwa Sana mtu wa Mungu aliye HAI.....

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา

    Kutubu dhambi kunakupa mpenyo wa Maisha uwiiiiiiii barikiwa Man of GOD

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubarik sana kaka

  • @AdamJulius-z5i
    @AdamJulius-z5i 28 วันที่ผ่านมา +1

    YESU tusaidie tuvuke salama, maana injili imevamiwa.

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 28 วันที่ผ่านมา +1

    Twende twende twendeeee Aminaaaaa ✊✊✊🙏🙏

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubaliki sana 🙏

  • @kalungirugoye2607
    @kalungirugoye2607 28 วันที่ผ่านมา +2

    Go go goooooooooo Ev.!

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา

    Leo nimekuelewa sanaaaaaaaaaaaa huko kwingine sikuelewagi

  • @godfrelykitundu3323
    @godfrelykitundu3323 27 วันที่ผ่านมา

    Napenda injili ya namna hii

  • @MichaelWallace-sz7mu
    @MichaelWallace-sz7mu 25 วันที่ผ่านมา

    Wapatikane wapi watumishi Kama huyu,Hali imekua mbaya ndani ya Kanisa duniani.

  • @LovenessAugustino-he7xh
    @LovenessAugustino-he7xh 28 วันที่ผ่านมา

    Amen sana🙏.. Mtumishi wa Mungu

  • @GodloveMwaijande
    @GodloveMwaijande 28 วันที่ผ่านมา +2

    Niukwel mtupu

  • @user-yb2uh9vc9w
    @user-yb2uh9vc9w 25 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumish wa Mola

    • @user-pq1hy4gh4n
      @user-pq1hy4gh4n 25 วันที่ผ่านมา

      Amen I wish all the best,my god bless you

  • @user-wz6zb7wh1n
    @user-wz6zb7wh1n 27 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏🙏 iende mbele injili ya toba

  • @nyangiboke
    @nyangiboke 27 วันที่ผ่านมา

    Msema kweli anachukiwa ninachojua wewe si waulimwengu huu kaza mwendo baba

  • @EzekiaMwaiga
    @EzekiaMwaiga 24 วันที่ผ่านมา

    Amena balikiwa pia

  • @user-fh7gu7eb2d
    @user-fh7gu7eb2d 26 วันที่ผ่านมา +1

    habari ya mahusiano ipo ndani ya biblia,kwa hiyo sio dhambi kufundisha,toba,mafanikio,mahusiano,utumishi nk,lakini msingi ni kristo mafanikio ndani ya yesu sio dhambi,kanisa linatakiwa kufundishwa,watu wapate maarifa,kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi,watu wakishaokoka wanafundishwa mafundisho kuyashika yote alitufundisha ila ukihubiri toba ndiyo msingi maana ni kristo,mafundisho ya ndoa ,utumishi,kuwaleta watu kwa yesu nk ,paulo na petro wamefundisha sana mahusianona kufanya kazi

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 26 วันที่ผ่านมา

    Kweli tumebaki na pesa na bikini aaaa shetani hana adabu tz ole wetu MUNGU MIKANISA YA AJABU IMEJAA NA KUJICHUBUA NA MIKOPE NA MASENGENYO KIBAO

  • @MargrethMloka
    @MargrethMloka 25 วันที่ผ่านมา

    Amina❤❤🎉🎉

  • @rosemassawe4187
    @rosemassawe4187 27 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa tuambie tupone

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 27 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @RamondLema-po6py
    @RamondLema-po6py 28 วันที่ผ่านมา +2

    HUU NDIO MUDA TUNAHITAJI KWELI WALA SII FARAJA

    • @imanimwanjoka2671
      @imanimwanjoka2671 28 วันที่ผ่านมา

      Ivi huumii sauti

    • @user-ol4my2mx1u
      @user-ol4my2mx1u 27 วันที่ผ่านมา

      Alie ndani ya yesu akuna kitakacho muumiza

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา

    Ukinikuta nahubiri stand au wapi Injili yangu ni Toba tu.....wananichekaga wanaona sina content
    Ila sibadilishi nahubiri TOBA TU

  • @thembarikiwa
    @thembarikiwa 28 วันที่ผ่านมา

    Great is HIS NAME JESUS

  • @angelamos2261
    @angelamos2261 28 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi hio Shirt inakubana mwili

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 27 วันที่ผ่านมา

    Yes ssss

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 22 วันที่ผ่านมา

    🤝🙇😭😭😭 tunapotezwa jmn huku kwenye makanisa yetu,,,😭😭😭 MUNGU tusaidie Dunia inawayawaya 😭😭😭 natamani nisimame nihubiri neno la Mungu kanisani kwangu MUNGU niinue😭😭😭🙏 YESU kristo nitie nguvu 😭😭😭😔😔😔

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 27 วันที่ผ่านมา

    Wewe mnona ulimuacha.mke wako. Kakuuguza wee alafu umemuacha

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา

      Mbona alieleza hafanyi kazi maana alipata shida kwenye uume wake alipopata ajali , mke wake kaona aondoke

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 26 วันที่ผ่านมา

      Barikiwa saana KWA KAZI YA MUNGU ALIYE HAI

  • @CarolineNafula-rx8bs
    @CarolineNafula-rx8bs 28 วันที่ผ่านมา

    Amen

    • @JeniNachega
      @JeniNachega 27 วันที่ผ่านมา

      Mbinguni ni kwa watu wario tubu dhambi nakuziacha usipo tubu wewe ni wamotoni

  • @dicksonmangah1648
    @dicksonmangah1648 28 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi,thambi haikemewi siku hizi makanisani .

  • @rosewacharo3336
    @rosewacharo3336 15 วันที่ผ่านมา

    Amen... barikiwa