HISTORIA YA SHEIKH MSELEM HADI KUINGIA GEREZANI (EPISODE 2)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 53

  • @amourmohamedfaki4506
    @amourmohamedfaki4506 10 หลายเดือนก่อน +14

    Wallahi nampenda shekh mselem bin Ally nikimuona nahisi kama namuona baba yangu mzazi Allah akupe khusnul hatima in sha Allah

    • @ZeProfesa
      @ZeProfesa 5 หลายเดือนก่อน

      amin. atupe sote mwisho mwema

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 10 หลายเดือนก่อน +10

    Allah akulipe pepo wewe na sisi kwan hakika mmepitia mazito mno. Twamuomba Allah pia akutilie alama ya ndio kwa mtihani wako huu wewe na wenzako na awapandishe daraja na pepo za juu Akhera. Kwan hakika dunia ni mapito.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 10 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atawalipa Shekhe Mselemo hapa Duniani na kesho mbele ya haki In shaa Allah.

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 10 หลายเดือนก่อน +5

    Yaliyo pitasindwele tugange ya jayo tufanye ibada ili tutafute radhi za Allah basi tukifa upate malipo mema peponi Inshallah

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 10 หลายเดือนก่อน +3

    Allah Akbar sheh wetu ana juwa Sana

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah kheir

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 หลายเดือนก่อน +3

    Dah! Allahu-akbar

  • @user-lx2wg4je3t
    @user-lx2wg4je3t 2 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar nawapenda munamsimamo sana

  • @jaafarmanhekman
    @jaafarmanhekman 3 หลายเดือนก่อน +1

    The only sheikh i know !!

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 10 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah Shekh Msellem Allah akuhifadhi 🤲

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli sheikh wetu,,, waislam tunakandamizwa ktk nchi hii,,,,ila wacha tu sote tutakufa

    • @tztanzania2262
      @tztanzania2262 10 หลายเดือนก่อน +1

      Na kinachosababisha ni tumefarakana sana tumeiacha Qur'an na sunna tukazusha mambo ktk dini Kisha tukapigwa udhalili lakin tukirud ktk dini sawasawa tutapata izza

  • @fatimajuma8900
    @fatimajuma8900 10 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Subhaana akulipeni kheri na ahadi ya Kheri ni kweli tutakutana yotee

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 10 หลายเดือนก่อน +2

    MaashaAllah sheikh wetu

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakumullahu khair Shekh Rashid kutuletea Shekh wetu mpendwa na kumfaham.

  • @makamekhamis1501
    @makamekhamis1501 10 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akulinde sheikh Mselem Bin Aly. Allah akupe afya njema

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe kila la kheri duniani na akhera Shkh.Mselem bin Ally, aya ya mwisho uliomalizia mahojiano nathubutu kusema imebeba ujumbe mzito na hata km ingkw kipindi kizima umeizungumzia hiyo tu bac ingetosha kabbisa. جزاك الله الخيروبعدالخيرجناةالنعيم،امين ثم امين ثم امين

  • @jumangosho7569
    @jumangosho7569 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe kila lilo la kheri sheikh wetu mimi ni shabiki yako wallahi

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 10 หลายเดือนก่อน

    Allah amjaze kheir Sheikh Mselem na Allah akulipeni la kheir alfatah tv online

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 10 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Allah aipe nguvu idhaa yetu hii Allah ampe umri mrefu sheikh wetu huyu ila naomba kaka Rashid utuletee sheikh Othman Maalim tupate historia yake na yeye inshaAllah

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tunamuomba Allah Akubari shekhe

  • @user-fo1sf4og7f
    @user-fo1sf4og7f 10 หลายเดือนก่อน

    Allha akujalie Shee wangu natamani siku moja niwe mwanafunzi wako nipo dar unaweza nisaidia Shee

  • @vich2mussa997
    @vich2mussa997 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezimungu ni mueza wakila kitu

  • @AbdiSilva-mt6xs
    @AbdiSilva-mt6xs 8 หลายเดือนก่อน

    Allah atakulipa ujira mwema shekhe moselem bin aly

    • @AbdiSilva-mt6xs
      @AbdiSilva-mt6xs 8 หลายเดือนก่อน

      Allah atakulipen hapa dunian na kesh yauml kiama shekh wet mselem bin aliy tunakupenden sanaa

  • @allyidrissa2912
    @allyidrissa2912 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana shekh mselem.. na malim rashid mi napenda kukuita mzaire tuwekee vitu vizuri zaidi ya hivi

    • @husseinbougers8275
      @husseinbougers8275 9 หลายเดือนก่อน

      Atavitolea wapi vilivyo vizuri zaidi ya hivi?
      Au amlete Nani atakae kua fasaha wa maneno kuliko mtuhuyu anae hojiwa hapa? Una hiqidi moyoni jitakase

  • @idrissajuma7308
    @idrissajuma7308 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akubariki sana katika maisha yako
    Sheikh mselem Ali

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 10 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe kheri uitarajiayo na usiyoitarajia kwa wema huu wakutuletea wasifu wa mtu huyu wengi tumpendae ,,nikimsikiliza mara nyingi moyo wangu hupata furaha kidogo,lakini huzuni hua kubwa nikikumbuka madhila waliofanyiwa ,,binadamu wenzetu,,waislam wenzetu na mashehe wetu hawa

  • @khairatsalum5183
    @khairatsalum5183 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah Allah akulipe pepo Sheikh

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 10 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh Rashid tunamuomba tena sheikh Mselem please tufkirie hilo

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah,,, Allahu-akbar

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 10 หลายเดือนก่อน +2

    Allah azidi kuwahfadhi

  • @hajisalumomari3460
    @hajisalumomari3460 5 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba pia mahojiano na sheikh farid

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah naomba number ya shekh mselem

  • @nuhukenny7183
    @nuhukenny7183 10 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran, Pole sana Sheikh. Watupe number zake

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 10 หลายเดือนก่อน +2

    Akasema wameufyata

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nchii hii waislam ndio wanaotolewa kafara lkn wakatolik kina slaa na wenziwe sasa wanapiga kelele za uchochozi lkn wametiwandani sikutatu wakapewa dhamana

  • @asilclub
    @asilclub 10 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاء الله تبارك الله الشيخ وضح وطبق ما تعلمه حفظه الله
    اما انصار كارومي المجرم ويصفقونه ويرقصون له سيلقون ما يستحقون يوم القيامه

    • @ebrahimahanifaatrash5534
      @ebrahimahanifaatrash5534 9 หลายเดือนก่อน

      و الله تمنيت أن أر ما جرى في الماضي و خاصة عنما يقول معلمنا شيخ بن علي

  • @abubakaralliy8435
    @abubakaralliy8435 10 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba utuletee na sheikh othman maalim

  • @HumudJumaa
    @HumudJumaa 9 หลายเดือนก่อน

    Wallwahi chozi limenitoka mselem hanabaya

  • @JiiniazJiiniaz
    @JiiniazJiiniaz 3 หลายเดือนก่อน

    naomba nipate nafax

  • @ramadhankhamis1363
    @ramadhankhamis1363 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi video naweza kuzipata vp?

  • @ramadhanimwasi1647
    @ramadhanimwasi1647 10 หลายเดือนก่อน

    aje huku kwetu moshi mselem atupe mawaidha

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 10 หลายเดือนก่อน

    Ulikuwa usimuulize swali kuhusu
    UAMSHO
    Ayo yashapita kwa nn uyarejeshe

    • @sadammkhamis8960
      @sadammkhamis8960 9 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ndio historia ndugu yangu

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 10 หลายเดือนก่อน

    Muungu akulipe heri

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 10 หลายเดือนก่อน +1

    KIKWETE NDIE FONDESHEN NYINYI MUBAKI MAGEREZA NA SHENI AKISAIDIA NA DR. MWINYI NA MASAUNI NA SEIF ALI IDDI CHONGO JICHO NA ZAIDI ILANI YA ccm KUHAKIKISHA URITHI WA NYERERE ,AUWAWE ATAE DAI ZANZIBA IWE HURU !