SHUHUDIA TUKIO LA AJABU ALILOFANYA SHEIKH OTHMAN PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 249

  • @HalimaSaid-w2j
    @HalimaSaid-w2j 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ma Sha Allah,Allah akujaze kila lenye kher na ww Shekhe wetu Othman Maalim🤲

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 6 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah, Sheikh hongiera kwa kazi nzuri ALLAH akulipe kheri innshaallah hpa na kesho akhera.

  • @itigimitigosawafy364
    @itigimitigosawafy364 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh Mashallah mashallah Allah awape maisha marefu na Afya njema inshallah ❤ wote Anae toa na wasaidizi wote inshallah

  • @mohamedrandu7712
    @mohamedrandu7712 6 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllha Ata mimi natamani siku moja nikuoene sheikh Atha an Maalim.. Umenijenga kiimana kwa mawaidha Mungu akupee umri mrefu tuzidi kufaidika wengi

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 6 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah
    Mungu awafanyie waislamu wote wepes na awarahisishie kwenye Maisha

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ma Shaa Allah....mwenyez mungu akujaalie Pepo ya firdaus

  • @dullamuwise4802
    @dullamuwise4802 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashalllah mashallah allah atubarik pajona n mashekh wetu Amin🤲

  • @AbdallaYasin
    @AbdallaYasin 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah tabalkallh mwenyezimungu akuongoze

  • @mwanaishaakinyi-l3g
    @mwanaishaakinyi-l3g 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tabarakallah thanks

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli afrika wa masikini ni wengi tunamuomba mungu atuondolee umasiki africa

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ❤❤❤❤

  • @AeshaSaid-pe3tn
    @AeshaSaid-pe3tn 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amueke umri mrefu wenye kheri na nyinyi

  • @hamsouledi17
    @hamsouledi17 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ma Shaa Allah.

  • @therealhajjkhan_
    @therealhajjkhan_ 6 หลายเดือนก่อน +20

    Ndo maanake nampenda nakumheshimu Sh Othman Maalim 😢

  • @mpembarino1917
    @mpembarino1917 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allha

  • @wizzydomtz
    @wizzydomtz 6 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana uyu shekh

  • @ibraahimjuma8408
    @ibraahimjuma8408 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 6 หลายเดือนก่อน

    I love othman maalim and am not from that of the world JazaakAllah.

  • @ZaiduHashim-ry1zr
    @ZaiduHashim-ry1zr 6 หลายเดือนก่อน

    Aminn

  • @maji106
    @maji106 5 หลายเดือนก่อน

    Ingelikuwa wabunge wawakilishi mawaziri wakurugenzi makatibu wa kuu matajiri wa zanzibar wangefanya kama ivvo kuwasaidia masikini na jamimii kama alivyofanya shekhe othmani maalim umasikini ungepungua zanzibar

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 6 หลายเดือนก่อน +2

    hawa ndio warith wakweli wa mtume s.a.w popote shekh ulipo toka tabligh kundi siku 40 utie nguvu watu wa dawa na tabligh

  • @nuhukenny7183
    @nuhukenny7183 6 หลายเดือนก่อน +8

    Na mimi nakupenda kwa Ajili ya Allah ya Sheikh Othman Maalim.
    Nakufatiliya kutokea Oman. My country is Rwanda.

  • @KarimuYusuph
    @KarimuYusuph 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nahapa mbele yamungu mwanangu wakiume nitampa jina hili la othman arithi kilakitu najua badae ataniombea kama mzazi wake nifuraha sana mwanao kushika dini kama hivi

  • @katan671
    @katan671 6 หลายเดือนก่อน +1

    HUYO SI MWANZAZUONI BHAANA...TUACHE KUPAKANA MAVUTA.
    HUYO NI TWAALIB ILM KAMA MIMI NA WEWE.

  • @abdullhilali7483
    @abdullhilali7483 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ila muhandisi hadi video inaisha hatujuwa hiyo sehemu ni wapi pemba sehemu gani hapo

  • @AliyussufMakame-js5dp
    @AliyussufMakame-js5dp 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi namini matajiri tulio nao Zanzibar ni wagumu kutoa mali zao kwani ukiangalia wazanzibar ni wafanya biasharara wakubwa lakini tunaroho mbaya katika kusaidiana na kuoneana huruma

  • @maryammas
    @maryammas 6 หลายเดือนก่อน +8

    maa shaa Allah 🎉🎉 Allah amlipe kila la kheir sheikh othman maalim na amfanyie wepes ktk mamb yake na amjaalie kuwa ni miongoni mwa waja wema wa peponi aamin

  • @Fetty-i1v
    @Fetty-i1v 6 หลายเดือนก่อน +3

    Baarak Allah, hongera sana sheikh Othman Maalim, bw. Bopar, sheikh Rashid Salim, kikundi cha Al Fatah, na wote walioshiriki kutekeleza jambo hilo la kuwakumbuka ndugu zetu. Allah awalipeni ujira wenu na kuwamiminia kheir na barka biidhnih

  • @HusseniKifulu
    @HusseniKifulu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Piakgm wapowaisilam hawajiwezi kalibuni hataramadhanikwawoningumu shekhenasiniwaislam

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 6 หลายเดือนก่อน +5

    MASHAA ALLAH
    MASHAA ALLAH
    MASHAA ALLAH
    ALLAH BARQI kwa kila mnasho kifanya nijambo la kher ALLAH yupo pamoja na nyny

  • @AminaMuhammad-c7v
    @AminaMuhammad-c7v 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah nimelia kwa huzuni na furaha Allah akulinde Sheikh Othman maalim nakupenda sana❤❤

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzushi kava kapero hatari sana vaa vazi la kisunna alilovaa mtume mhamad sw acha mavaz ya kiyahudi

    • @ZayZaham
      @ZayZaham 6 หลายเดือนก่อน

      acha ujuaji ndugu

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy 6 หลายเดือนก่อน +23

    Maasha allah mpk natowa mchoz kwafurah kuwakumbuk ndugbzetu jaman mungunampe kilalenye kher huyu baba bopar dunian nanakher alipotowa mungu amuongezee

  • @Animerecap-h3j
    @Animerecap-h3j 6 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh Othman afwan nakuomba msaidie dadaetu mwislam anaelala chini ya mti roho inaniuma sana ya Rabi mpe mja wako nusra ya haraka ya Allah

    • @hamadngwali5864
      @hamadngwali5864 6 หลายเดือนก่อน

      Assalamu alykum naomba kumfahamu uyo mtu

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wajiitao Salafi na wajifunze mema na hekima kupitia wale wawaitao watu wa bidaa

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 6 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulillahi,MashaAllah,hakika waja wema wangalipo,Rabbi akulipe mema leo/kesho Sheikh Othman,Aamin!

  • @maryammas
    @maryammas 6 หลายเดือนก่อน +3

    pemba maeneo gan jamn ii😊😊

  • @hamzahussein896
    @hamzahussein896 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mansh Allah

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana sheikh wngu

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masha allsh mungu akufanyie wepesi katika hali zote nakupenda kwa ajili ya allah

  • @aishamwachi7854
    @aishamwachi7854 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤mashaallah shekhe wallah allah akuhifadhi,,,ww pamoja ncc pia uzidi kutuelimisha kwa ajili y allah ,,nakupenda sana

  • @aishabakarimsimbooman2750
    @aishabakarimsimbooman2750 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah Maashallah Maashallah tabarack rahman ❤❤❤allah awazidishie kwa kile walichokitowa hakika ni neema kubwa mno Maashallah mkono kwa mkono had pepon 🕌🫶🤝🤝

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w 6 หลายเดือนก่อน +1

    MashaALLAH tabarakallah, umeKumbuka Kwenu msambweni. But sikupenda jinsi mlivyowapiga picha hao mlo wasaidia

  • @NassraSoud-ou3qv
    @NassraSoud-ou3qv 6 หลายเดือนก่อน +2

    MashaaAllah Allah awalipe kher ya Rabbi 😢😢
    Jmnii na mm nna hamu pia ya kumuona sheikh Othman maalim ❤❤❤❤ npo pemba tumbe vp shekh Rashid mbn tumbe hakufika jmniiii

  • @SawidaSaidi
    @SawidaSaidi 6 หลายเดือนก่อน +1

    MaashaAllah baarakallah feekum Allah akufanyie wepesi sheikhe wetu nakupenda sana kwaajili ya Allah

  • @KngSully
    @KngSully 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa'allah

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah maashaallah maashaallah BARAKALLAH FIIKIY yaa SHEKHE OTHUMAN MAALIMU ❤kwa AJILI YA ALLAH 🤲 YAA ALLAH NAOMBA umhifadhi SHEKHE WETU KIPENZI

  • @kaomyhamad-jg1df
    @kaomyhamad-jg1df 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah shekhe wetu mungu akufanyie wepesi kila penye uzito

  • @mohdjuma.3049
    @mohdjuma.3049 6 หลายเดือนก่อน +2

    MAASHAALLAH Allah tukubalie funga zetu na sadaka zetu karibu na nyumbani kiwani pia tunakukumbuka sana

  • @nujaimaabdalla
    @nujaimaabdalla 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah❤

  • @mikentukai7647
    @mikentukai7647 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni MKIRISTO kutoka Kenya lakini nipenda mafundisho ya sheikh Othman,,,Mwenyzi Mungu amwongezee hekima,,,,,nampenda kwa sababu hana time ya kupinga UKRISTO yeye anawaonya watu kwa njia zao mbaya

  • @Salim-qq3eh
    @Salim-qq3eh 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wallah nampenda sheikh huyu ❤❤❤ mungu amufanyie wepesi insha'Allah kwenye mambo yake dunia na akhera

  • @jimmyngala2058
    @jimmyngala2058 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Allah amjazie palipo pungua ushallah🙏🙏🙏

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naam Shekh vizurisana viongoziniborakuonekana live siokwenyemitandaotuu kama unavyosemahaliningumu Shekh twakuomba umkumbushe raisiwetu awemzalendo mpendakwaosimtumwa,Mungu ibariki Tanzania ameen

  • @abiseniaboys5070
    @abiseniaboys5070 6 หลายเดือนก่อน +2

    mashaalah mimi kutoka Ethiopia

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallaah watabarakaallah shekhe mwenyezi Mungu azidi kukuhufadhi vyema ishaallah ww pamoja na wengineo wenye roho kama yako mpaka machozi yanitokaa 😢😢😢😢😢

  • @saadanaufal-pe2zn
    @saadanaufal-pe2zn 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuifazi shk osmani❤❤❤

  • @abduawesu9165
    @abduawesu9165 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah mzee wetu Bopari njoo na huku kwetu Michenzani ya Pemba hatujawah kupata msaada wowote , wazee huku pia wanashida sana.

  • @MussaRasul
    @MussaRasul 6 หลายเดือนก่อน +1

    MASHA ALLAH

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 6 หลายเดือนก่อน +1

    MA SHA ALLAH

  • @ushyentoabdulnunu8044
    @ushyentoabdulnunu8044 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda bure Babangu 😢

  • @HalidiMalande
    @HalidiMalande 5 หลายเดือนก่อน

    Dah!!!!huyu shekh ninavyompenda?Hata akitaka nimpe Bint amuoe bure Wallah Wabillah Nampa.

  • @rajabuselemani8833
    @rajabuselemani8833 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah ❤❤❤ Allah ampe moyo uo uo 🙏🙏🙏

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah

  • @chancelorharubu2731
    @chancelorharubu2731 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu akbaru,allah amwajalie kila lenye kheri.
    Wapo matajiri wengi sana lakini wao udhamini wao ni mpira na starehe zingine,allah awaongoze

  • @yunusmohamad5136
    @yunusmohamad5136 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Ampe umri shk othman azidi kutuelimisha katika dini na amjaalie khairal jazaa kwa kazi yake njema. Kutoka Mombasa tunapenda sana mawaidha yake.

    • @Abdallahmohamed72
      @Abdallahmohamed72 6 หลายเดือนก่อน

      Amiin thummah amiin

    • @asilasaidsalim6138
      @asilasaidsalim6138 6 หลายเดือนก่อน

      Maashaa allah allah akuzidishie shekh wet kufanya hidma za jamii

  • @shaabanbindawood6538
    @shaabanbindawood6538 6 หลายเดือนก่อน

    Nimesoma post ila Kuna baadhi ya wapemba hawajapenda hilo jambo mtihani kwa kweli ila shekh wetu alhadullah umefanya jambo la heri Allah akulipe heri

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh Othman maalim twakupenda❤kwa Ajili ya Allah

  • @masoudseif4962
    @masoudseif4962 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awatakabalie sadaka zao na wote waliofabikisha hili jambo la kheir Allah awalipe

  • @kamberejuma3413
    @kamberejuma3413 6 หลายเดือนก่อน +1

    MaashaAllah

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi ndio inavyotakiwa kwa masheikh

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹
    Shekh Othman nakupenda kwajili ya ALLAH 😊

  • @UkhtyRahma
    @UkhtyRahma 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah mlipe shekhe wetu othuman allh akbaru ❤❤❤❤ 5:00 5:03

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah kuna sehem insitwa makangale wilaya ya micheweni huko pemba pia ina hitaji msaada😢😢😢😢

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ma sha Allah

  • @DarueshKhalfan
    @DarueshKhalfan 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mungu akupe umri mrefu shekhe othman malimu

  • @Mswaki679
    @Mswaki679 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah baarakallah fiiq

  • @husseinhassain8188
    @husseinhassain8188 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤Allah akbar
    Masha,Allah huyu ni mja wa pepon moja kwa moja na ukipata nafas yakuonana nae live usimwache kumpa mkono wa salam na muombe lau dakika moja akuonbee duaa huyu dua yake haina pazia nawambie huko mnaokaa na Sheikh mna neema ila hamjui kama mnaneema jaman huyu sheikh me nampenda sanaaaaaaaaaàaa kwa ajili ya Allah

    • @MohammedShehe-x8p
      @MohammedShehe-x8p 6 หลายเดือนก่อน

      Weeee muogope Allah nani kakupa taarifa kuwa ni mtu wa peponi umekuwa mtume na wewe au

    • @MohammedShehe-x8p
      @MohammedShehe-x8p 6 หลายเดือนก่อน

      Usiseme ivoo dua yake haina pazia weeee muogope Allah mapenz yasikufanye ukamuas allah

  • @dizzoswagz4976
    @dizzoswagz4976 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu shekhe ndo wakwanza kufanya kitendo kama hicho shekhe mkubwa apande baskel thubut weeeeeh

  • @fakikombo255
    @fakikombo255 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalla mungu akuzidishiee mwalm wetu

  • @yussuflucas7049
    @yussuflucas7049 5 หลายเดือนก่อน

    Maasha allah tabaarak llah.
    Jakallahu kaira ❤❤❤ i love you lillahi taala..

  • @zuwenakizere4687
    @zuwenakizere4687 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢yaraby nataman nikae katika madrassa nisomeshwe na huyu ustadh kabla umaut wangu😢😢😢😢

  • @HashimSalim-h8e
    @HashimSalim-h8e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baarakallahu fiy humaa

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kheri in shaa Allah. Mtangazaji punguza kusifu sifu

  • @HalimaNasser-l9g
    @HalimaNasser-l9g 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mshallah masha leyo umechezeya juwa kesho allah atakupa kivuli

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 6 หลายเดือนก่อน +2

    Manshallaah allaah awalipe kila la kheri❤❤❤

  • @Abubakarhemed-cp5wb
    @Abubakarhemed-cp5wb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allaah akulipe thawabu tele

  • @hassanussein1817
    @hassanussein1817 6 หลายเดือนก่อน

    Alie changia kutoa sadaka, kamwe ajuti, amekwisha ona palipokwenda amana hile

  • @MahMoud-nl9rm
    @MahMoud-nl9rm 6 หลายเดือนก่อน

    Allah..akujalie mema na kizazi chako na jamaa zako..na umbri wamema akuwekee shekhee wetu Othman maalim..atuwe wenye Kufata mema uliotufundisha chakula Charohoo...tuongonge mema na vizazi vyetu kutoka kwako nakupenda sana biin..Allah..Shukuran jazillah uzidi kutupa mema wenye kufata ..Allahhumma Ameen Ameen ya rabbi Allah Ameen Ameen

  • @mankaswai5313
    @mankaswai5313 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah Allah awatunze wewe nafamilia yako shekh Othman maalim

  • @HassanAlly-k2p
    @HassanAlly-k2p 6 หลายเดือนก่อน +1

    😢allah akupe tawfiiq nahuku manyara tunakuelewa

  • @habibiddy8096
    @habibiddy8096 6 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah............ni mfano mzuri wa kuigwa na iwe hamasa kwetu waislam kuinuana na kusaidizana Allah awalipe heri nyingi

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 5 หลายเดือนก่อน

    Ma Shaa Allah kwa kweli hata Mimi nimejikuta najichekesha Alhamdulillah

  • @Aysha783
    @Aysha783 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa Allah...Allah awabarik na kuwalipa malipo makubwa Wote wanaojitolea ktk njia ya Allah

  • @alraiyannasheed6891
    @alraiyannasheed6891 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah allah awape wepesi

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 6 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah awazidishie wote walotoa chochote kwa nduguzetu wa pemba Allah akupe umri maalim othman ❤❤❤

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 6 หลายเดือนก่อน +1

    mashaAllah Allah a2lipe kher inshaAllah 😢😢

  • @NajmaAlly-gt6nw
    @NajmaAlly-gt6nw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashanllah nimefurahi sana anllah akupe kila la kheri shekhe othman maalim nakupenda kwa ajili ya anllah

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masha'allah Masha'allah

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ma Sha Allah JazzakaAllahu kheir Allah awaongezee palipo pungua