Azam FC 2-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 25/12/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • DAR DERBY: Yanga imeitandika Azam FC mabao 3-2 kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa, Dar es Salaam, mchezo wa #NBCPremierLeague
    Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 31', Stephane Aziz Ki dakika ya 33' na Farid Mussa dakika ya 78' wakati Azam wakipata magoli yao yote mawili kupitia kwa Abdul Hamis Suleiman Sopu dakika 27 na 47.

ความคิดเห็น • 442

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 ปีที่แล้ว +60

    Anaerudia kuangalia hii mechi kama mimi gonga like yako tujuane wanayanga wenzangu💚💛💚💛💚💛

  • @mohammedsalahosman6922
    @mohammedsalahosman6922 ปีที่แล้ว +16

    From Sudan, congratulations to the African Yanga Team

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 ปีที่แล้ว +20

    Gonga like km unarudia rudia tn kuitazama hii mechi km mimi💚💛💚💛💚

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +218

    Anaeirudia hii mechi kama mimi like hapa tujuanee vipenzi vya Yanga 🥰💚💚💛💛

  • @mohammedsalahosman6922
    @mohammedsalahosman6922 ปีที่แล้ว +10

    Azzam TV is very good. I am watching from Sudan

  • @allexmathias3593
    @allexmathias3593 ปีที่แล้ว +10

    TUJUANE AMBAE SAA HII YUKO LIVE ANACHEKI HII GAME 🎯

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 ปีที่แล้ว +6

    What a match🙌🏾🙌🏾utasema walikuaa wanacheza finally,,
    Pira popcorn 🍿lipo pale pale 💛💚💛💚bravo young Africans 👏🏽👏🏽

  • @suzancharles1639
    @suzancharles1639 ปีที่แล้ว +10

    Waliomba kuvaa hizo kaniki zao lakini wapi😂😂😂😂😂
    Hongera my team 💚💚💚💚

  • @suzancharles1639
    @suzancharles1639 ปีที่แล้ว +10

    Tuisila sahizi anaanza kuja kuja big up

  • @christopherkigoda495
    @christopherkigoda495 ปีที่แล้ว +6

    Nimerudi apa kumuona akamiko na kpre...💚💚

  • @tumaramadhani3381
    @tumaramadhani3381 ปีที่แล้ว +4

    Sisi ndio yanga like zangu jamn kwa wana yanga 💚🧡

  • @mjukuubujaga3230
    @mjukuubujaga3230 ปีที่แล้ว +6

    Fun wa nyanga safi sana kwa kupata point tatu💚💚💚💚💚,Azam Wana wachezaji Bora zaidi,imecheza vizuri sana,mna team

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว

      unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu

  • @MandrivaShinnyFirstMedia
    @MandrivaShinnyFirstMedia ปีที่แล้ว +7

    More appreciation azam media for ur contribution in tz football,always flying high

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว +9

    Tukisema Dabi Ni Yanga na Azam Muwe Mnaelewa Jamn Bonge La Mech🔥🔥💛💚💛💚💛💚

  • @Tiwiniankid
    @Tiwiniankid ปีที่แล้ว +64

    Jmniiiii tujuane tanaoendelea kuburudika na hii video kw kurudiarudia😆😆💚💛💚💛💚💛yangaaaaa thamuuuuu nyieeeee

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว +6

      unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu

    • @lowasakitwiyan7758
      @lowasakitwiyan7758 ปีที่แล้ว

      Exactly

    • @bonifacesinkala6745
      @bonifacesinkala6745 ปีที่แล้ว

      Tupo p1

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว +1

      @@bonifacesinkala6745 nakuomba subscribe

    • @shaurikihuru5015
      @shaurikihuru5015 ปีที่แล้ว

      Yaan naicheki kwa mala ya sitin sasa😂😂

  • @robinabomola8030
    @robinabomola8030 ปีที่แล้ว +8

    Usikalili wafungaji wa yanga mana hawaeleweki yeyote anaweza kufunga 🤣🤣🤣💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛

  • @dotodizo5354
    @dotodizo5354 ปีที่แล้ว +119

    Wakwanza nipe like zenu wana yanga

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 ปีที่แล้ว +5

    I love you yangaaaa

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Sana Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nyote nawapenda shalom shalom

  • @ednapulugu3050
    @ednapulugu3050 ปีที่แล้ว +5

    2023 of Njanuary still watching the game ki was on fire

  • @ramalida2547
    @ramalida2547 ปีที่แล้ว +5

    Hii mechii kila nikiweka bando nailudia 😁yanga 🙌🥰

  • @barakakaduma4395
    @barakakaduma4395 ปีที่แล้ว +3

    Match nzuri mtangazaji anatangaza vizuri sana Yanga 💚💛💪

  • @erickmasumbuko3841
    @erickmasumbuko3841 ปีที่แล้ว +9

    Jamn tujuane tunaoludialudia gonga lak

  • @majaliwaeliasi9387
    @majaliwaeliasi9387 ปีที่แล้ว +19

    jamani sijachelewa sana hata like 10 zinatosha🙏🙏🙏

  • @nestorymapunda3988
    @nestorymapunda3988 ปีที่แล้ว +8

    Wana nch lek kwa azzk leo💚💚🤟🏻

  • @esthercharles5945
    @esthercharles5945 ปีที่แล้ว +2

    Sijakosea kuwa na mapenzi ya yanga nakupenda sana yanga 🥰💚💚💚🧡

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +5

    Daah Ahsante MUNGU kwa ushindi maana hivi vicha vingetufunga sijuwi ingekuaje

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว +7

    Azam mkikutana na Simba msivae jezi nyeus mtanishukuru baadaye🤣🤣 alaf Aziz Ki nahis mishti yake ya Moto makipa wanateseka Sanaa 💚💛💚💛💪

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 ปีที่แล้ว +10

    Nan amekuja kuangalia tena

  • @user-ko6cs7mn4c
    @user-ko6cs7mn4c ปีที่แล้ว +3

    Naipenda sana yanga

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga6338 ปีที่แล้ว +10

    Yanga ni kubwa kuliko team yoyote hapa Bongo 🔥, kama unabisha karambe ukwaju 😂😂

  • @aishaahmed9102
    @aishaahmed9102 ปีที่แล้ว +3

    Kikubwa nasema Alhamdulillah 🤲🏻💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana Benchi la ufundi
    Hongera sana management nzima
    Na Hongera mnooo mnooooo wachezaji wetu kwa kupigania bendera ya YANGA
    Aziz Ki Ahsante sana
    Na mayele kwa ushangiliaji wa goli lako hakika ni message tosha kwa Azam na benchi lake
    Bravo Dar young African

  • @marisirogamaris1017
    @marisirogamaris1017 ปีที่แล้ว +9

    Yanga timu kubwa💚💚💚💚💚💚💚

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว

      unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu

    • @rashidimkongewa3927
      @rashidimkongewa3927 ปีที่แล้ว +1

      @@floodboytz7038 tumekuchoks

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว

      @@rashidimkongewa3927 hahahahaha

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว +9

    Msimlaumu Ahmada
    Muulizeni Manula atawahadithia vizuri shuti la Mwamba kutoka WAGADUGU

  • @winfridantandu2870
    @winfridantandu2870 ปีที่แล้ว +2

    Ila Key m2 na nusu kwa Upande wangu man of the match👌

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 ปีที่แล้ว +4

    Katika mechi ninayoipenda ni hii 🤣🤣🤣💚💛💚💛🔥🔥🔥🔥

  • @joycezacharia2988
    @joycezacharia2988 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda Sana yanga daima mbele nyuma mwiko

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 ปีที่แล้ว +5

    Shangilia ya mayele dah nzuri eeh

  • @ndimyakejacob3793
    @ndimyakejacob3793 ปีที่แล้ว +7

    ♥️ YANGA

  • @mussahassan5020
    @mussahassan5020 ปีที่แล้ว +5

    Ukibishana na Yanga tufunge nawe ufunge hiki ndokitafata hatubishani kwa maneno tunaenda kwa vitendo 💪💪💪💪

  • @asfiwemkumbwa5520
    @asfiwemkumbwa5520 ปีที่แล้ว +4

    Jaman Mungu atupe nini wanayamga haya mashuti ya ki azizi tutakuja kuta magolkipa wamezimiaa haki hakuna anaweza daka shut lile💚💚💚💚💚💚

  • @sarafinajohn7517
    @sarafinajohn7517 ปีที่แล้ว +5

    Baada ya kuchek mechi ya Simba a unarud kuchek mechi ya yanga na Azam ili kujua mshind atakuwa Nan nawaza 2 kombe linaenda yanga

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 ปีที่แล้ว +3

    point 3 zmetimia Asante sana Mungu wa watu wote

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 ปีที่แล้ว +5

    Tutamfunga yoyote atakaemfunga simba,Mayele,Morison ,Aziz,Farid,Timu nzima ya yanga inacheza kibingwa sana.Kocha Nab anajua kusoma mchezo.Azam Kipre junior, ni hatare sana

  • @kapessachristopher9006
    @kapessachristopher9006 ปีที่แล้ว +5

    Imeisha hiyooo kombe la simba musimu huu ni kuona fei Toto akisajiliwa azam,hongereni wanasimbaaaa

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 ปีที่แล้ว +4

    Yanga, green jerseys. Let’s go Wananchi!

  • @andersonjacob9447
    @andersonjacob9447 ปีที่แล้ว +5

    tunaoangalia 22/1/2023 tujuane

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 ปีที่แล้ว +7

    Sisi ndio wababe wao itabaki kuwa hivyo 💚💛⚽️⚽️⚽️😂😂 Yanga Africa

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 ปีที่แล้ว +9

    Nimecheka Sanaa nyonyo mmoja jirani yangu amesikika akisema hajalala kabisaaa Kila usingizi ukitaka kumpitia anashtua anaona Kama shuti la azizi ki linamjia usoni...

    • @deonisileonard9044
      @deonisileonard9044 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

    • @mjukuubujaga3230
      @mjukuubujaga3230 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว

      unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu

  • @perfectkadewele312
    @perfectkadewele312 ปีที่แล้ว +1

    MECHI KALI YA LIGI KUU YA NBC PL KWA MWAKA 2022

  • @augustinemakoba5622
    @augustinemakoba5622 ปีที่แล้ว +4

    Ilikuaga mechi moja kubwaa sana Ua nikitaka kumkumbuka fei toto awekaga hii mechi najiliwaza.....leo tareh 25.06.2023

    • @emmanuelmalima5939
      @emmanuelmalima5939 ปีที่แล้ว +3

      Nipo hapa tarehe 28.06.2023

    • @chandukotz-fe8oy
      @chandukotz-fe8oy ปีที่แล้ว

      Hii fei hakuwepo alikuwa tayar kashaiacha yanga

    • @augustinemakoba5622
      @augustinemakoba5622 ปีที่แล้ว

      @@chandukotz-fe8oy sindo nasema nikitak kumkumbuka ...maan walitaka watutoe kweny mchezo ili tuharibu na tukawakanda

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 ปีที่แล้ว +4

    Asikwambie mtu yanga tamu 💛💚💚💛

  • @sokisigrace6836
    @sokisigrace6836 ปีที่แล้ว +9

    hongera sana jigijiara

  • @doramangesho157
    @doramangesho157 ปีที่แล้ว +6

    Mm mwenzio narudia Kira md

  • @koteimbamai6793
    @koteimbamai6793 ปีที่แล้ว +10

    Mnatufunga afu mna chum camera 📸 zetu jinga nyie 🤣🤣🤣

  • @joshuajulius1807
    @joshuajulius1807 ปีที่แล้ว +3

    Yanga. Yetu💚💚💪💪

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 ปีที่แล้ว +4

    Yanga tamuuuuuuuuuuu

  • @happyngwada
    @happyngwada ปีที่แล้ว +5

    Naludia kila wakat jaman

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 หลายเดือนก่อน +2

    Hii mechi mpaka leo haichuji 😂😂😂

  • @joellylewis3246
    @joellylewis3246 ปีที่แล้ว +1

    Amani sana nimeelwa show hii

  • @hassanmzaa957
    @hassanmzaa957 ปีที่แล้ว +4

    Yani kuna watu roho zao zinawauma sana kwa ushindi wa point 3.

  • @abdulimagar
    @abdulimagar ปีที่แล้ว +1

    Mechi nomaaa love yanga...🍏

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +5

    Sasa tumesha mjua aliekua ana mroga Azizi Ki

  • @chacha-255
    @chacha-255 ปีที่แล้ว +13

    Yanga ina kikosi kipana, walisema bila feitoto atutoboi ila tumejibu kwa vitendo.
    Feisal mdogo wetu tunakupenda sana, huenda umekwazika kwa kudhani Yanga imekubania kwenda azam ila ndivyo sivyo.
    Yanga umetupa msaada mkubwa na hatuna sababu ya kukubania mafanikio, tunakulinda usiingizwe chaka na hao mawakala wanaoogopa kukaa meza moja na yanga, wamekufata wewe maksudi kwasababu wanajua huna elimu ya mikataba.
    Kwanini wakwepe utaratibu sahihi na wakufate wewe kwa njia za mkato ? Jibu ni kwamba kuna ulaghai wanaotaka kuuficha ili wafaidike wao, wale kwa jasho lako na kukubana zaidi wewe, Hio milioni 16 ni mtego tu kama nyama iliyotegwa kwenye mtego wa panya, kwa haraka haraka utadhani ni mshahara humbe kwenye vifungu vya mkataba hali ni tofauti kabisa na ndio maana hawataki kwenda kukaa meza moja na Yanga maana wanajua wataumbuka.
    Ushauri wetu fata utaratibu wa kuhama waambie timu inayokutaka wakae mezani na Yanga,

    • @davidibrahim9138
      @davidibrahim9138 ปีที่แล้ว +1

      Anahamishwa na mashabaki wa simba kwa maneno ya kurahisisha

    • @mohamedkutwambi
      @mohamedkutwambi ปีที่แล้ว

      Safari yake ni ya kwenda Msimbazi kule Chamazi anapitia tu, ni suala la muda tu utakuja amini maneno yangu,.

  • @azizambise
    @azizambise 11 หลายเดือนก่อน +3

    Navyoipenda hii game

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g ปีที่แล้ว +3

    Uyu aziziki

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi ปีที่แล้ว +7

    Kijani nazo zinaua tuu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kapessachristopher9006
    @kapessachristopher9006 ปีที่แล้ว +5

    Yanga ni kubwa kuliko Feisal,mmeona hakuna pengo lolote hapo

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +5

    Moja ya kipengele kinacho mbana Azizi Ki kwenye mkataba wake ni haruhusiwi kufunga ndani ya box

  • @makobaathumani6473
    @makobaathumani6473 ปีที่แล้ว +3

    22 January 2023 ...Yanga

  • @halimahamis7370
    @halimahamis7370 ปีที่แล้ว +3

    Yanga punguza raha nakuwa kibonge nanenepa💚💛

  • @rehemadeus6190
    @rehemadeus6190 ปีที่แล้ว +3

    💚💚💛💛

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 ปีที่แล้ว +7

    Nani kakuambia makip WA tz wanadak faul za aziz ki

  • @jacklineboniphace8439
    @jacklineboniphace8439 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wana nchi noma

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 ปีที่แล้ว +7

    Maamuzi. Huyu. Amembeba. Ssnna. Bimdogo. Ilaa. Cc. Ndio. Yanga

  • @lowasakitwiyan7758
    @lowasakitwiyan7758 ปีที่แล้ว +5

    Kisinda katisha mnoooo

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 ปีที่แล้ว +8

    Haya Sasa semeni Tena tushawatia madole matatu..

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว

      unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu

  • @user-vz7yb1yi1e
    @user-vz7yb1yi1e ปีที่แล้ว +2

    Nzuli. Sanaiyo

  • @lievinntaganda1715
    @lievinntaganda1715 ปีที่แล้ว +5

    Watching a football match is good but think Jesus Christ the son of the living God is the way, the truth and the life ,the day of repentance is today. stay blessed

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 ปีที่แล้ว +6

    Jezi nyeusi bila majina ya malegendary ni kaniki swaaafi

    • @suzancharles1639
      @suzancharles1639 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂kaniki

    • @jenniferbernard7027
      @jenniferbernard7027 ปีที่แล้ว

      Sure, sasa sisi jezi zetu zinabaraka za malegendy et nao wakaiga ahahhaha

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 ปีที่แล้ว +6

    Ukisikia mwaka wa kuugua kisukari ndo yanga tamu jaman

    • @hassanparamana2215
      @hassanparamana2215 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣 na kesho kutwa mtibwa ndio wanazidi kutuongezea kisukari 🤣🤣🤣🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

    • @ecostats51
      @ecostats51 ปีที่แล้ว

      @@hassanparamana2215 🤣🤣🤣🙌🙌,na hivi wanalima miwa!

    • @hassanparamana2215
      @hassanparamana2215 ปีที่แล้ว +1

      @@ecostats51 🤣🤣🤣🤣

  • @binwasiumbanga9256
    @binwasiumbanga9256 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndio Yanga

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว +6

    Walivaa hadi jezi nyeusi lakini wapiiii🤣🤣🤣

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 ปีที่แล้ว

      Umeona eee💚💛😘, mambo vp hamida nipe matamu bby

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว +1

      @@enockabumba7513 Mambo poaaa sijui ww🔥

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 ปีที่แล้ว

      @@hamidayanga8224 mie mzima bby, kukuwaza tu😄😘

  • @mjukuubujaga3230
    @mjukuubujaga3230 ปีที่แล้ว +9

    Fataki la aziz ki na mguu wa left wewe usicheze

  • @samlema3536
    @samlema3536 ปีที่แล้ว +5

    Azizz ki ni mtu na nus bwana

  • @mathayoeliah5042
    @mathayoeliah5042 ปีที่แล้ว +7

    raha tunayopata yanga itatuchelewsha kuoa

  • @Kinungatv
    @Kinungatv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan jumapili hii tunailamba ice cream😊😊😊😊💚💚💚💛💛💛💛

  • @ezekieljonas6477
    @ezekieljonas6477 ปีที่แล้ว +2

    Tupo sawa

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 ปีที่แล้ว +11

    Yanga bila Fei inawezekana

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว

      unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu

  • @halimakawambwa7775
    @halimakawambwa7775 ปีที่แล้ว +2

    Yanga ni kubwa kuliko mtu yoyote no Feisal no problem 😁💚💛🔰

    • @floodboytz7038
      @floodboytz7038 ปีที่แล้ว

      unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 ปีที่แล้ว +6

    Tuliwanyoooshaa wazee wakuficha matukio

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣baada ya hii mechi na shogaang tulienda klabu kulinoga balaa

  • @robinabomola8030
    @robinabomola8030 ปีที่แล้ว +5

    Mnahakika morrison ni mghana huyu mbn akili zake ni za kibongo🤣🤣🤣🤣

  • @dinermafuru4433
    @dinermafuru4433 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la gemu ilikua 💚💚

  • @elyydevie4763
    @elyydevie4763 ปีที่แล้ว +2

    Yangaaaa💚💚💚💚

  • @fatumasaleh60
    @fatumasaleh60 7 หลายเดือนก่อน

    The king🎉 miss you

  • @dulamkono3165
    @dulamkono3165 ปีที่แล้ว +3

    Mwakahuu..maji..wataita..mma..🤣🤣🤣

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 ปีที่แล้ว +1

    Daima mbele nyuma Mwiko...yanga viva

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 ปีที่แล้ว +6

    Wakazikataa n jez zetu nyeus lakn wapiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ngja nchekeee tyuuu