Yanga SC 4-1 Tanzania Prisons | Highlights | ASFC 03/03/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Clement Mzize amehusika kwenye magoli yote manne, Yanga ikiichapa Tanzania Prisons 4-1 katika mchezo wa 16 bora na kutinga robo fainali kwa kishindo.
    Clement Mzize amefunga magoli magoli dakika ya 70 na 88 huku akisababisha goli la kwanza lililofungwa na Bakari Mwamnyeto dakika ya 52 na penati iliyofungwa na Stephane Aziz Ki dakika ya 69.
    Katika mchezo huu uliomaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza bila goli, Tanzania Prisons walipata pigo kwa beki wake Ibrahim Abraham kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 baada ya kupata njano mbili, lakini pia Clement Mzize alikosa penati dakika ya 90.
    Ni #AzamSportsFederationCup iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

ความคิดเห็น • 62

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 ปีที่แล้ว +6

    Tunawatakia kila la kheri siku ya jumatano,
    Inshaa Allah mtashinda kama mlivoshinda kwa prisons💛💚

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 ปีที่แล้ว +1

    Mpira mzuri sana hongera Yanga

  • @sharifamandimu873
    @sharifamandimu873 ปีที่แล้ว +2

    Azam heshima yenu ❤️

  • @tabithadaniel7364
    @tabithadaniel7364 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mmechelewa sana jamani

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +18

    Tena Clement Mzize ni Bora zaidi ya Yule Ugali na Sukari. Wananchi wenzangu mnasemaje?

    • @lowasakitwiyan7758
      @lowasakitwiyan7758 ปีที่แล้ว +1

      Exactly👍

    • @ngolomarco-7340
      @ngolomarco-7340 ปีที่แล้ว +1

      Umetisha

    • @victorbugobola2276
      @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว +1

      Mzinze nmazur lkn anahitajika utulivu maana anajua kufunga aongeze utulivu asichoke kuongeza Ubunifu kijana anajua

    • @hamisuuhamadi1663
      @hamisuuhamadi1663 ปีที่แล้ว

      Kweli mwanachii mtt anakuja na mot wa kifuu

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +2

      @@hamisuuhamadi1663
      Kazi Kazi Mwananchi mwenzangu

  • @dangomc_niger
    @dangomc_niger ปีที่แล้ว +3

    Ila Kuna CK azizi ki atsmuua golikipa Niko pale

  • @hamzamuhidini
    @hamzamuhidini ปีที่แล้ว +3

    Daaa ila hiyo penait ya mzize

  • @bakarimohammed9851
    @bakarimohammed9851 ปีที่แล้ว +2

    Sisi tunajua highlights tunaipata lisaa li1 baada ya game Aya imekuwaje Tena Azam 🫣ukorooooofi

    • @kaminambeho
      @kaminambeho ปีที่แล้ว

      Mpaka tumuachie fei toto ndio tutapata mapema haha

    • @bakarimohammed9851
      @bakarimohammed9851 ปีที่แล้ว

      @@kaminambeho FEI kajichanganya mwenyewe mzembe yule

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 ปีที่แล้ว +3

    Mm Simba lakini huyu Clement muzize atakuja kuisaidia timu yetu ya taifa baadaye ,ana kipaji kikubwa ,Yanga walipoteza nafasi nyingi Sana kipindi Cha Kwanza,uyu dogo alivyoingia kipindi Cha pili kafunga goli mbili ,akasababisha na penalty aliyoifunga Aziz ki.

    • @chacha-255
      @chacha-255 ปีที่แล้ว

      nae kipa wa prisons sio wa kumvhukulia poa,

  • @fredyomary9440
    @fredyomary9440 ปีที่แล้ว +2

    Yanga bado wabovu kwenye ulinzi wa set pieces na kujilinda kwenye kona
    Lkn pia yanga bado wabovu kutumia kona kupata mabao

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว +1

    Sukari sukari💛💚💛💚💛💪💪

  • @ibrayusph5603
    @ibrayusph5603 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Yona Amos.. ulijitqhidi

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +2

    Ila hyu Musonda wrtu Levels nyengine tena. Wale wanasema tumepigwa! mmepigwa wenyewe Kinyumenyume FC.

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 ปีที่แล้ว +9

    Azam siku hzi sijui mkoje jana nimelala saa 8 kusubiri hii mechi daaah tulioko nnje ya nchi tunateseka

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ibrahim abrahamu mbn anacheza rafu hiv kumbe kad nyekundu imemlazim kupat

  • @scopy0428
    @scopy0428 ปีที่แล้ว +2

    Naamin Bench la ufundi la yanga limeona mapungufu na madhaifu ya Mipira ilyokufa Tumeruhusu magoli 4 hiv karibun na yote ni yavichwa

  • @pharesdismas8876
    @pharesdismas8876 ปีที่แล้ว +1

    Kwann highlights za yanga zinachelewaga mara nyingi

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว

    💚💛💚💛

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic ปีที่แล้ว +1

    Iko wapii baraka mp 😢

  • @dianajeremiah1547
    @dianajeremiah1547 ปีที่แล้ว +1

    Nilikua nasubir kwa hamu zote 😊

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic ปีที่แล้ว

    Yona amosi 😢Anajuwa sanaa duh! Japo anafungwa

  • @ngolomarco-7340
    @ngolomarco-7340 ปีที่แล้ว +1

    Kipa mzuri. Ila mabeki sasa

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 ปีที่แล้ว

    💪💪

  • @saidmasengo7988
    @saidmasengo7988 ปีที่แล้ว

    Azam mnazinguaaaaaaaaaa!!!.Au kisa yanga ameshindaa nyingi???piaaaa kabisaa😂😂😂😂

  • @josephshangarima1921
    @josephshangarima1921 ปีที่แล้ว

    Mzinze on fire

  • @issamaduka1066
    @issamaduka1066 ปีที่แล้ว +2

    Yanga aijawai kuferi kukosekana Kwa mtu mmoja

  • @moussasandwidi3061
    @moussasandwidi3061 ปีที่แล้ว +1

    Azizi Ki

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +2

    Alafu anatokea kijana umoja eti anataka kuniowa,kwa raha hizi ninazo zapata yanga niolewe nataka nini

    • @asyashariffu7717
      @asyashariffu7717 ปีที่แล้ว

      Mpra na ndoa Haina uhusiano my friend ni vtu vi2 tofaut

  • @enockmalack1185
    @enockmalack1185 ปีที่แล้ว +1

    Et walishafanyiwa wengi!!!! Du!!!!

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 ปีที่แล้ว

    Nyieee ndio mwatuma sai khaa

  • @barakamollel1659
    @barakamollel1659 ปีที่แล้ว +1

    Magoli Tunayofungwa Yanga Ni Yaleyale Ya Kutenga Sijui Kocha Haoni

  • @asyashariffu7717
    @asyashariffu7717 ปีที่แล้ว

    Well-done kipa wa prison ila naapa kipa wa Bamako hatoboi kwa mashuti hay na juhudi hizi za mastrikers wetu wot mh sio poa

  • @pmall8867
    @pmall8867 ปีที่แล้ว

    Makolo Mme wakilishwa vibaya poleni Sana😂😂

  • @michaelmoshi7121
    @michaelmoshi7121 10 หลายเดือนก่อน

    M home s simba

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว

    Haaaaahaaaaa penati mzize nikituko

  • @hassaboypesa2877
    @hassaboypesa2877 ปีที่แล้ว

    🙃🙃

  • @gymsonkisangaike
    @gymsonkisangaike ปีที่แล้ว

    Kaka naungana nawewe in kweli usemacho

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g ปีที่แล้ว

    Tangu jana wapuzi nyie

  • @ahmadiswaleh-ys1ui
    @ahmadiswaleh-ys1ui ปีที่แล้ว

    Babu tukubali tukatae fei mtu

  • @fredyomary9440
    @fredyomary9440 ปีที่แล้ว

    Yanga bado wabovu kwenye ulinzi wa set pieces na kujilinda kwenye kona
    Lkn pia yanga bado wabovu kutumia kona kupata mabao