SIRI NA NGUVU YA UTULIVU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/02/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
    Tuma maombi ya matarajio yako mwaka huu kupitia form yenye link hapa chini:
    forms.gle/ufrQ...
    Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
    - M-Pesa Lipa Namba : 5252176
    - MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    - KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.

ความคิดเห็น • 129

  • @kmtcuniversity9310
    @kmtcuniversity9310 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen Amen Glory Glory Glory Glory Glory ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤oye Great Man of the Lord God
    ❤❤❤❤Much Love of the Mightier Creator God To You From
    Niederösterreich ❤❤❤❤❤❤

  • @user-md7ks7um4o
    @user-md7ks7um4o 7 หลายเดือนก่อน +14

    Amen napenda sana mafundisho yko pastor mungu akubriki sana akupe zaidi ili ulshe watu wako katika neno much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕🙏🙏🙌

    • @PurMer-lx4qf
      @PurMer-lx4qf 6 หลายเดือนก่อน +3

      Amen❤❤

    • @fridahjacky7820
      @fridahjacky7820 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wooow kumbe from Kenya tuko wengi

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @user-sd4yc7gb8c
      @user-sd4yc7gb8c 3 หลายเดือนก่อน

      Yes tuko wengi tunapenda mafundisho haya 🇰🇪

  • @user-cu7zo7uq2l
    @user-cu7zo7uq2l 25 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli pastor nabalikiwa sana na mafundisho yako mungu azidi kukutumia vile apendavyo yeye

  • @SophyNaibei-q2r
    @SophyNaibei-q2r 12 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana pastor umefanya nimekuwa karibu na Mungu na kuelewa neno❤❤❤🙏🙏

  • @elizabethbisendo4843
    @elizabethbisendo4843 2 หลายเดือนก่อน

    Namiss sana Kanisa Langu JRC, nawamiss sana watu wa JRC, Nawamiss sana Pastor na Mama Janet🙏🏽

  • @kindulijumanne7632
    @kindulijumanne7632 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu Pastor

  • @user-gq6xo8zu1b
    @user-gq6xo8zu1b 3 หลายเดือนก่อน

    Amen man of God,napenda sana mafundisho yako,umekuwa wabaraka sana

  • @JulianaNdashikwaMsonga
    @JulianaNdashikwaMsonga หลายเดือนก่อน

    Ahsant sana Kwa Ujumbe huu umenisaidia Sana

  • @JeannetteKatungu-br1pj
    @JeannetteKatungu-br1pj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Baba achsanti nime barikiwa kwa mafundosho Yako yote ambayo nimesikiya mungu akuzidishiye akuchunge baba

  • @HappyMwangata
    @HappyMwangata 24 วันที่ผ่านมา

    Kweli kukosa utulivu ni anguko lngu nmeamini mtumishi, ila kuanzia sasa naomb Mungu nisaidie nipate ulivu Ili nipate maswali ya majibu yangu, Amina

  • @rachelmutia7297
    @rachelmutia7297 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen.watching from Kenya .macho yangu yanafunguka Sana .ukenibariki Sana kwa haya mafundisho

  • @lolodestermissanga3877
    @lolodestermissanga3877 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeen ❤❤😊

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @HinohiatHidoCo
    @HinohiatHidoCo 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu Baba naomba utulivu katika familia yetu.
    Ondosha kiburi kinachojitokeza miongoni mwa watoto wa ndugu yetu, ambao wanatukana matusi humu mitandaoni. Gusa akili zao ili wawe watu wa kutafakari zaidi kuliko jeuri wanayoionyesha mbele ya hadhara.

  • @HildaKaganda
    @HildaKaganda หลายเดือนก่อน

    Pasta ubarikiwe saana maana hapa nimejifunza kitu

  • @user-kj8cd9zt7b
    @user-kj8cd9zt7b 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nashukuru mungu sana Kwa uwezo aliyekupa ili utumike chombo Cha msaada! Najengwa kiroho na mafundisho yako,ubarikiwe sana!🙏

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks for ur teaching pastor....kwa hakula hua namiss mafundisho yako

  • @IssaKoloba
    @IssaKoloba หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe kuskia kuelewa na kutendea neno kazi Mungu naomba unipe utulivu

  • @tusiimerwihura634
    @tusiimerwihura634 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi😢😢😢😢yaani mimi jamani yaani hata sielewi mimi ila baba unanisaidia sana kupitia mafundisho yako ubarikiwe sana ngoja nijifunze kukaa kwenye utulivu Mungu atanisikiliza maana nipo katika hali ya sintofahamu mimi😢😢

  • @FurahaMwasila
    @FurahaMwasila หลายเดือนก่อน

    eh Mungu nipe utulivu nipate majibu yangu

  • @julianajaphet8864
    @julianajaphet8864 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hekima yake Mungu mkuu izidi sana ndani yako na ndani ya huduma Mungu amekupa mch. George Mukabwa

  • @DeborahEyenga-nn3qy
    @DeborahEyenga-nn3qy 7 หลายเดือนก่อน +4

    Very powerful teachings more grace unto you MOG 🙏

  • @deborahsomba180
    @deborahsomba180 หลายเดือนก่อน

    Nimejufunza mengi sana ya muhimu kutoka kwenye ujumbe huu. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.

  • @vestinambawala3238
    @vestinambawala3238 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba

  • @RichardStephen-xc7yc
    @RichardStephen-xc7yc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Haya mafundisho ni mazuri mno ,Sina sadaka ya kukptia ila Mungu akukumbuke kwnye uflame wake

  • @LovelyBreakingWaves-pu5hu
    @LovelyBreakingWaves-pu5hu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @clairenahimana1787
    @clairenahimana1787 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sanaaa mchungaji una nipandisha viwango

    • @hadijambwambo6833
      @hadijambwambo6833 7 หลายเดือนก่อน

      Pastor naelewa sana mafundisho yako, MUNGU akubariki sana 🎉

  • @user-oz9qi4ux6b
    @user-oz9qi4ux6b 2 หลายเดือนก่อน

    Mmebarikwa na bwana mungu aendelee kuwatumia, amen

  • @user-ym6jf8zo7j
    @user-ym6jf8zo7j 7 หลายเดือนก่อน +1

    🙏 🙏 unanharibu nguvu za adui kwa take Moja na kupotea miezi Sita,😂😂 Asante mchungaji🎉🎉🎉Mungu akuzidishie maarifa.

  • @ShavulaMusav
    @ShavulaMusav 3 หลายเดือนก่อน

    Hili jambo ni kubwa nabarikiwa sana na haya mafundisho ' ungekuja Congo tubarikiwe zaidi Mungu atupe kuelewa nakutulia na vita Ili tupate amani

  • @epunguson123
    @epunguson123 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen ....Nakupenda saaana My Greatest Prophet of Mighty..... Blessings to you From Niederösterreich ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @mariamlinus3686
    @mariamlinus3686 24 วันที่ผ่านมา

    Unanibariki

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @MohammedAlsalamah-cz1gt
    @MohammedAlsalamah-cz1gt 9 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwa dhamiri hatujasikia

  • @dianahnyakangi
    @dianahnyakangi 7 หลายเดือนก่อน +1

    We love you from 🇰🇪 you always bless us with the word of God

  • @FeiShila-gy1ne
    @FeiShila-gy1ne 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Baba Ubarikiwe. Mungu azidi kukupa hekima na ufunuo uendelee kukifundisha kile Mungu alichokusudia ukiachilie kwa watoto wake.Mungu akutunze

  • @user-wv9go4xr5n
    @user-wv9go4xr5n 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤niombee

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry 4 หลายเดือนก่อน

    Paster asant kwa mafundisho yako inanilea kiroho ninakusikilisa nikiwa kenya

  • @user-bz7sk6zx2s
    @user-bz7sk6zx2s 7 หลายเดือนก่อน

    Pasteur na shukuru Mungu sana kuni fikishia iyi ujumbe ya utulivu kuku pitia wewe ila naomba musahada ya maombi ili ni karibiche moyo wa utulivu ndani yangu naidi izae matuta ya utulivu

  • @magejay4715
    @magejay4715 6 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri sana nimebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu, Yesu akutunze Namie ntakua na utulivu kama ulivonena 🙏

  • @user-ou4rz4bh2q
    @user-ou4rz4bh2q 7 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru tangu nianze kufuata mafunzo ni week mbili, lakini nimetoka mbali, namuomba Mungu azidi kunifungua macho, barikiwa mtumishi

  • @user-ks9gx9ln9v
    @user-ks9gx9ln9v 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu utukuzwe kwaajili ya mtumishi wako

  • @gracekasambala4712
    @gracekasambala4712 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ujumbe ni wangu kabisa

  • @PurMer-lx4qf
    @PurMer-lx4qf 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana mafundisho yako ilini badilisha Mahali singejua Mimi ninani mwenyezi Mungu aendele kukuficha Na damu YA means kodoo Wa yesu Christo barikiwa Sana🙏🙏🙏🙏💖💖💝💝💖💖🎊💝💝💝💯

  • @petrosshingumi
    @petrosshingumi 7 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu toka Mozambique karibu sana utusaidi

  • @noellyamuya3844
    @noellyamuya3844 7 หลายเดือนก่อน

    Amina katika jina la YESU KRISTO AMEN

  • @hellendanson2546
    @hellendanson2546 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kuna somo kubwa sana la kujifunza hapa....Mungu awajalie vyombo vyenu vikae sawa ili tusikie vema ktk masomo mengine

  • @user-cp1tc3io3w
    @user-cp1tc3io3w 7 หลายเดือนก่อน

    Pasta Mungu akubariki akuwongeze mafuta nafundishwa sana

  • @mugenibahati7156
    @mugenibahati7156 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba unanibariki kabisa.

  • @brownabdul1016
    @brownabdul1016 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana mch barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @elifitiapallangyo6019
    @elifitiapallangyo6019 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani Mungu akubariki mno ninabarikiwa mno na mafundisho yako

  • @mariamwidete4265
    @mariamwidete4265 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa maziwa mazuri yasiyoghoshiwa,Natamani kila mtu angesikia hii

  • @HakizimanaYusuf
    @HakizimanaYusuf 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante mutumishiwamungu mungu akubariki

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 6 หลายเดือนก่อน

    Pastor umeniongelea mimi tu,naitwa sana na Mungu lakini simpi nafasi,

  • @kalalambuyumadeleine5050
    @kalalambuyumadeleine5050 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki pasta kwa kunichenga eaidi

  • @user-nf8zp4bx4m
    @user-nf8zp4bx4m 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor kwa halinilio nayo kwa sasa na neno hili mungu akubariki sana

  • @tumainimhavile9797
    @tumainimhavile9797 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Kwa mafundisho mazuri.

  • @user-fd4pr2io7q
    @user-fd4pr2io7q 7 หลายเดือนก่อน

    Muchungaji Mungu akubariki sana tena saaana

  • @user-wv9go4xr5n
    @user-wv9go4xr5n 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho mazuri,je unapatika channel ipi aamina na barikiwa

  • @eliyakazimoto4086
    @eliyakazimoto4086 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa na mafundisho haya sahihi

  • @annawanjiko2838
    @annawanjiko2838 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nikuwe na utulivu.

  • @celinamushi7700
    @celinamushi7700 7 หลายเดือนก่อน

    Ooh Mungu wangu sauti imekata sehemu tamu sana

  • @FundiGuru
    @FundiGuru 5 หลายเดือนก่อน

    meditation heals jaman asante Mtumishi

  • @user-fd1mm5yw3w
    @user-fd1mm5yw3w 6 หลายเดือนก่อน

    Amen nimebarikiwa sana

  • @DavidNdosa-mj4ei
    @DavidNdosa-mj4ei 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye mtandao sauti inasumbua Baba Mungu asaidie vyombo vikae sawa

  • @epunguson123
    @epunguson123 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubariki sana

  • @ombeniasegelile
    @ombeniasegelile 2 หลายเดือนก่อน

    mungu naomba utulivu

  • @happiness_713
    @happiness_713 7 หลายเดือนก่อน

    Asante 🙏🙏 ubarikiwe. Amen 🙌

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 7 หลายเดือนก่อน

    Very very powerful 🔥🔥🔥✍️✍️✍️ points taken

  • @paulpeter5879
    @paulpeter5879 7 หลายเดือนก่อน

    Amina. Ubarikiwe sana

  • @user-yg6vu9gp7c
    @user-yg6vu9gp7c 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Pastor

  • @hellenabea741
    @hellenabea741 7 หลายเดือนก่อน

    May God bless you i like your teachings so much

  • @fredgersimbeye5394
    @fredgersimbeye5394 7 หลายเดือนก่อน

    Powerful teachings more grace 🙏

  • @margaretbaya696
    @margaretbaya696 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen🙏🙏🙏ameen

  • @user-mj4lt9ti5w
    @user-mj4lt9ti5w 7 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana mchungaji.

  • @theresialubida161
    @theresialubida161 7 หลายเดือนก่อน

    Nita mngoja Bwana

  • @MariaNgusa-gn4gk
    @MariaNgusa-gn4gk 7 หลายเดือนก่อน

    Asante baba

  • @LovelyBreakingWaves-pu5hu
    @LovelyBreakingWaves-pu5hu 7 หลายเดือนก่อน

    I like this

  • @EsthermlongoEsther
    @EsthermlongoEsther 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏

  • @fredgersimbeye5394
    @fredgersimbeye5394 7 หลายเดือนก่อน

    Napokea neema ya utulivu

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @magejay4715
    @magejay4715 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ntamngoja Bwana apo kwenye Kofi na teke nimecheka mnooo 😂😂😂

  • @maryfrancis990
    @maryfrancis990 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

    • @ruthelia7088
      @ruthelia7088 7 หลายเดือนก่อน

      Asante nimejifunza mengi nakufunguliwa kupitia mafundisho yako ubarikiwe

  • @user-hf7vg1rs4f
    @user-hf7vg1rs4f 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙌 mchungaji Mungu akuongez nguvu

  • @user-ph3dq3zu9h
    @user-ph3dq3zu9h 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubariki unabariki moyo wangu

  • @HinohiatHidoCo
    @HinohiatHidoCo 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli. Mengi yamepita, hatujayasikia.

  • @user-eg5nc4po2n
    @user-eg5nc4po2n 7 หลายเดือนก่อน

    Sauti imekata pazuri duu

  • @teresahjuma9305
    @teresahjuma9305 7 หลายเดือนก่อน

    Nitangoja bwana

  • @hadijambwambo6833
    @hadijambwambo6833 7 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @user-ek2tu6ve3b
    @user-ek2tu6ve3b 4 หลายเดือนก่อน

    Kuanzia Leo nimejifunza kutulia

  • @dianajacob-yz7jp
    @dianajacob-yz7jp 6 หลายเดือนก่อน

    Hii irudiwe jmn maana hapo kati umeme sjui umesumbua mitambo

  • @aquilineanthony1115
    @aquilineanthony1115 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tulia semezana na Mungu atakubia yakupasayo. Sasa unaomba Rena uombewe. Hiyo ni dawa ulia uweponi semezana naye

  • @Millie-q6x
    @Millie-q6x 7 หลายเดือนก่อน

    SAUTI

  • @user-jq2fi1ij9j
    @user-jq2fi1ij9j 6 หลายเดือนก่อน

    Ame n

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 7 หลายเดือนก่อน

    ASANTE

  • @peninahobok4848
    @peninahobok4848 6 หลายเดือนก่อน

    Hii kanisa iko wapi? Mafundisho mzuri kabisa ya kiroho

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 5 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Mwanza mnafaidi mafundisho ya Mchungaji huyu hakika analisha

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi umeongea ukweli kabisa jamani

  • @user-qc7to5wx3t
    @user-qc7to5wx3t 7 หลายเดือนก่อน

    Saut imepotea jmn