FAHAMU JINSI MUNGU ANAVYOONGOZA - PASTOR GEORGE MUKABWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2023
- Jesus Restoration Center ni kanisa liliopo Mwanza, Tanzania (Kirumba Polisi Mwisho wa Lami) Likiongozwa na Pastor George Mukabwa.
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Gospel Teachings for soul winning Purpose. - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Amen … niongoze mungu wangu .. maisha yangu yamekua yakujirudia Rufus sana
Ee mungu Baba, mbariki huyu mchungaji George Mukabwa, Gusa kila Hitaji la moyo wake na ukamuinue katika kila atakacho, katika jina la Yesu Kristo, Amen
Mungu akubariki sana. Tangu Mungu anielekeze hapa nimeinuliwe sana yaani saaanaa. Blessings Man of God
Hallelujah hallelujah gloty glory to God thank you father 🙏🙏🙏
Asante muchugaji kwa kusikia mungu
What a strong word can't wait to visit the church I know God is giving me a testimony 🙏
halleluya jina la Bwana libarikiwe,amen
Mungu akubaliki sana
Mtumishi Mungu azidi kukutumia, ili uzidi kutubariki.
Hakika wewe nimtumishi wamungu, mungu anakutumia sana, naomba kila anae mpenda uyu mtumishi asije akaomba bila kumuombea mungu azidi kumulinda.
Neno Mungu mpendwa uwe unatumia herufi kubwa ukiandika herufi ndogo hao ni miungu wengine,,pitia biblia yako uone ufafanuzi huu,,usije ukapishana na baraka za Mungu kwasababu zinazoepukika,,ubarikiwe
Namshukuru Mungu Kwa ajili yako Baba nimejifunza mengi.Mungu azidi kukutunza
Mungu akubariki sana pastar,Mungu akutunze,,Nabarikiwa sana na mafundisho yako
Na barikiwa sana
Shaloo pastor uko vzr
Ubarikiwe sana Pastor Mungu aendlee kukutunza, Umekuwa baraka kwenye maisha yangu kwakwel kila ninaposikilza mafundisho yako umekuwa ukiinua iman yangu sana
Nabarikiwa sana na mtumishi wa Mungu huyu namuelewa . Mungu akutunze uzidi kuwafanya watu wakamuone Mungu
Umenibariki baba 🙏🙏Mungu akutunze 🙏
Daah leo asubuhi na mapema nlienda nyumbani kwa mteja kwa ajili yamhumidumia ( kumsuka) ghafla aka connect cm kwa TH-cam + TV.... hakika nmebarikiwa sana..... nimerudi wangu nyumbani nlikua na Aim ya kwenda kanisani... Kwangu lkn Roho imesukumwa nimsikilize tena... hakika imani imesema hapa nikanisani pia...sijacherewa Bado Mungu naomba Neema ya tenda neno lako Kwangu
Amen mungu akuzidishie upako mchungaji nabarikwa nikiwa kenya be blessed
Shukrani sana Mtumishi Wa Mungu.
Umeniinua sana pastor asante sana na barikiwa
I am addicted to your teachings,pastor George you are a blessing to me.
Mungu.akubariki.mimi nilichelewango sana kuku.sikiliza..mwalimu.mwenye.hekima..namaarifa. Yaki mungu.ooootupate.walimu..nachukuru.hatakwa.hili néné ninalolisikia.kwa.sahi.hatakamahaliko laleo lakini mafuta .niyalayale.yaileile Siku.hataka.mahatukuweko
Am growing spiritually through you man of God following you from Saudi Arabia home country Kenya be blessed man of God
Amen mtumish mafundisho mazuli tunabalikiwa
AMINA ubalikiwe
Mungu akuvike nguvu zaiidi
Past
Nabarikiwa sana na wewe
Asante napenda inavyofundisha pastor unanikiza kiimani sana
Ubarikiwe sana pastor kwa kweli kupitia masomo yako nimepata kuvuka hatua moja hadi nyingine
Amen thank Lord
Mungu akubaliki sana kwa mafundisho yako
Nakuruhusu mungu uniongoze katika hatua zangu zote
Mungu wambiguni akuzindishiye ninapo zikiliza ni nasikia fuara
Napenda mafundisho yako sana .mungu akubarik nakuengezee zaidi.
Yupo Mungu mbinguni asikiaye maombi yetu, Yupo Mungu mbinguni ajibuye maombi yetu
Tunapooomba asikia anajibu🙏🏾
Niongoze ee bwana maishani mwangu
Amen
Amen amen amen 🙏💖
Holy spirit 🙌
Ur blessed Man of God ur Sermon blessing me 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu akubariki Baba🎉🎉🎉
Mungu akubariki kila wakati ninapo kutazama na kusikia somo lako lapata ufahamu mpya
Amen amen nasikiza kutoka mombasa
HALLELUYAH ❤HALLELLUYAH❤HALLELUYAH 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kutoka Kenya,nimebarikiwa kweli
Amen!!!!
Mungu nisaidie
Mafundisho yako yamenifungua sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen
Nakufata toka kongo napendaka mafundisho yako
Ameeni
Hakika . mafudisho yako ni ya hali ya juu❤
Kweli Mungu azidi kukuzidishia maarifa kwa kutayarisha bibi arusi
Nina shukuru tena tena sana Nina jisikia Amani dani yangu . Hauna number ya simu mtumishi wa Bwana
Nilikuwa na uliza baba mtumishi number ya simu
Njoo na Dar mtumishi tuna kitu sana
Ameen
🙏🙏🙏👏👏👏😊
🙏🙏🙏🙏😊
Thank you for your word Lord Jesus Christ through your servant Lord may he do good to you servant 🙏🙏❤❤
Amen Baba❤
So blessed, more grace sir 🙏
Asante mtumishi,hakika mafundisho yako ni ya kuliaandaa kanisa linalo kwenda mbinguni. Mungu akutunze,apanue mipaka yako ya huduma, na akupe kutumikia shauri na kusudi la Bwana. We love u.
Iam blessed in Jesus name Amen and Amen
Uzidi kuinuliwa Pastor
👍
Amen 🙏
Aminaaa
Njoo utufungue baba
Napenda ufundishaji wako wa kina Askofu
Kwa Nini wengi hawadiki.jameni.munawalimu..mwenye maarifa naujuzi.wamandiko..adikeni.saaaaaana.muwewanafuzi wazuri.nyinyi mukokaribu nae.musikieni.sana.sisi tukombali.
Shalo m paster iko vzr ila inakatikatika sana
Ameeeeeeeeeeeen
Mtumishi wa mungu , mungu akuzidishiye
Maubiri mazuri imenigusa saana
Naweza kupata number ya sim yako
Amen Ameeeen
Ameni
❤❤
Wakenya mko wapi . Personal haya mafundisho yamenijenga sana wakati nayazingatia
Naombeni namb ya huyu mtumishi kwa aliye nayo
0753333008.
Ubarikiwe sana baba kwa masomo mazr umeniinua mara nyingi ninapokuwa nimeanguka
Amém glória a Deus
Naomba namba ya kutoa sadaka
0753333008.George Mukabwa
Kweli inafundishwa
Ameeen
Amiin
🤣🤣🤣🤣😂😂
Mungu akubariki sana pastar,Mungu akutunze,,Nabarikiwa sana na mafundisho yako
Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen