"MKE wa MSECHU Alivaa KIGODORO, Sijatoa MCHANGO, Siwezi KUMTAJIRISHA" - BABA LEVO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • "MKE wa MSECHU Alivaa KIGODORO, Sijatoa MCHANGO, Siwezi KUMTAJIRISHA" - BABA LEVO
    Ikiwa ni siku tano zimepita tangu msanii wa Bongo Fleva, Peter Msechu, afunge pingu za maisha na mkewe Lauren, hatimaye Rafiki yake wa Karibu ambaye ni Msanii mwenziye, Baba Levo ametaja sababu zilizosababisha ashindwe kuhudhuria katika Sherehe hiyo.
    UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
    ( +255 676 229628)
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    www.youtube.co....
    Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
    Subscribe bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 378

  • @ndalushabani2859
    @ndalushabani2859 4 ปีที่แล้ว +5

    Baba levo na msechu ni watani sanaaa... asi changanye watu.

  • @dastanmangube5595
    @dastanmangube5595 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha

  • @MonikaFedrick-td8nv
    @MonikaFedrick-td8nv 8 หลายเดือนก่อน

    Baba levo mungu anakuona mke wa msechu kavaa kigodoro jmn

  • @celinelawrence2015
    @celinelawrence2015 4 ปีที่แล้ว +5

    Baba levo unga unamsumbua pia Bado ana arosto yakuishi jela

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 4 ปีที่แล้ว +27

    Duh huo utan umepitiliza mama Rahaaa saaaana mbavu zangu

    • @fatumayusufu1706
      @fatumayusufu1706 4 ปีที่แล้ว

      Yaan wanautan mpka raha ila baba levo anamuonea sana mwenzie

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 4 ปีที่แล้ว +13

    HAWA jamaa nawapendaga sana wakat baba levo yupo gerezan msechu alisema wakat anatoka gerezan atakuta mke wake ana mimba hiiii ni zaid ya utani

  • @sadinamachaku5197
    @sadinamachaku5197 4 ปีที่แล้ว +11

    Yani yukaka anavituko jamani ila anasema kweli ❤️❤️

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 4 ปีที่แล้ว +49

    😂😂😂😂sijawahi kuwaza kama unaweza kumpenda chizi nimempenda huyu mwehu kwa maneno yake hahahahaaaa Tz comedian niwengi.

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 4 ปีที่แล้ว

      Msechu ni.mtaani wake uyuuu

    • @mariaferick7381
      @mariaferick7381 4 ปีที่แล้ว

      Souvenir Weber watani sana awa usipanik

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 4 ปีที่แล้ว +5

    He is a good man! So funny!

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +29

    mwandishi alitafuta umbea,ila jamaa kaiweka kikomedi...safi sana

  • @beckarluhanga8421
    @beckarluhanga8421 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo a.k.a all in all 😁😁😁😁😁harusi imejaa maharage

  • @solomonmpuluma282
    @solomonmpuluma282 4 ปีที่แล้ว +19

    Baba Levo weee ni chizi aisee. Mbavu zangu jmn!!

  • @AthanasGabriel-j9p
    @AthanasGabriel-j9p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo amenifurahisha sana jaman pita msechi alienda kuomba mchele😂😂😂😂😂😂

  • @ayshachondo9090
    @ayshachondo9090 4 ปีที่แล้ว

    Baba levo we noma

  • @twahabuiddy9612
    @twahabuiddy9612 4 ปีที่แล้ว +12

    Baba levo nakupenda saana 😂😂

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว +2

    waswahili wanafiki sana rafiki yako wadamu kisha mwenziyo kashindwa kukualika wala kakualika kisha ukaogopa kwenda juu unatokeya jela huna pesa.

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 3 ปีที่แล้ว

    Pua yako nzuri

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 4 ปีที่แล้ว

    Babalevo nakingwendu hawana tofauti

  • @joseojuang6402
    @joseojuang6402 4 ปีที่แล้ว +2

    BABA levo wewe Ninoma Sana kaka

  • @sabinesalah1177
    @sabinesalah1177 4 ปีที่แล้ว

    Jamani we baba ni comedian

  • @hassanijr8905
    @hassanijr8905 4 ปีที่แล้ว +4

    Marahage maharage Yan we jama ni fara sana

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Nimecheka Sana huyu jamaa noumaaaaaa

  • @johnsaid9143
    @johnsaid9143 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂Baba levo Mungu anakuona jamann Daaaah

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁 yaan baba levo we ni kiboko 😁😁😁😁😁 mbavu zangu jmn😁😁😁😁

  • @compressartvonline2169
    @compressartvonline2169 2 ปีที่แล้ว

    Baba levo umeua🔥🔥🔥

  • @swaleherashid9953
    @swaleherashid9953 4 ปีที่แล้ว

    Eti top 50

  • @aboukhalphan1309
    @aboukhalphan1309 4 ปีที่แล้ว

    Utani ni mzuri kweli yaani raha

  • @williamdigge6940
    @williamdigge6940 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa interview za baba levo kuliko nyimbo zake maana mikufurahi tu ukimsikiliza

  • @rukiasalim2512
    @rukiasalim2512 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba levoooo njooo mimi nakungoja

  • @elizalwakatare8070
    @elizalwakatare8070 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂baba levo mungu anakuona aisee

  • @ernestmbwana6282
    @ernestmbwana6282 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama umeskia hudhulia ya kithembe gonga like

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 4 ปีที่แล้ว

    Babalevo jamani😁😁nakupenda ujue

  • @juniorcx0114
    @juniorcx0114 4 ปีที่แล้ว +1

    Et katoto kake nikatundu😀😀😀😀mbavu zangu baba levo nimekupenda bule

  • @priscazacharia3307
    @priscazacharia3307 4 ปีที่แล้ว

    Baba levo jmn unapenda makwanguvu kwer

  • @kahangwaerick3373
    @kahangwaerick3373 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀baba levo bana

  • @Lucas1962
    @Lucas1962 4 ปีที่แล้ว

    Babalevo huyu sio wa kawaida

  • @senoritapippy9124
    @senoritapippy9124 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mnatuchekesha

  • @hadijapazia8255
    @hadijapazia8255 4 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂Uyu jamaa huwa cpiti interview zake

  • @g_crispokatoto7478
    @g_crispokatoto7478 4 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @Michoarbah
    @Michoarbah 4 ปีที่แล้ว +5

    saiv nisha wajua nyie mnapendana sana washenzi nyie napenda sana u rafiki wenu......

  • @AhmedAli-qr9ug
    @AhmedAli-qr9ug 4 ปีที่แล้ว +1

    Weee puaaa sio powaaa kumkashif mwenzioo sio ishuuu naweee owaaaaaa

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni watani hawa..😂😂Luna cku alikua jela uyu..msechu akamwambia ukitoka jela utapata mkeo ana mimba😂😂😂😂

    • @AhmedAli-qr9ug
      @AhmedAli-qr9ug 4 ปีที่แล้ว

      @@zenamadhan2517 hahahahahah p😂 sikujuwa

  • @annarosegodfreymuro1194
    @annarosegodfreymuro1194 4 ปีที่แล้ว

    Utani huu kiboko! Dah nimecheka sana

  • @victoravelin575
    @victoravelin575 4 ปีที่แล้ว

    Nimechekaaa mmmmh

  • @janesalimu3049
    @janesalimu3049 4 ปีที่แล้ว

    Duuuh amejua kumfunga mdomo mwandishii😯😯😯😯

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 4 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂Duh nyie utani wenu bhana nimeupenda sana

  • @filibetamakweta4108
    @filibetamakweta4108 3 ปีที่แล้ว

    Haa

  • @petermende5153
    @petermende5153 4 ปีที่แล้ว +61

    😅😅😅😀tambueni baba levo anatania hakuna ukwel alioongea hapo

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 4 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe ni utani 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @samwelchonya1906
      @samwelchonya1906 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawa jamaa ni watani toka shule msije mkajua anachoongea kweli ni Utopolo😁😁😂

    • @elizabethkisogole34
      @elizabethkisogole34 4 ปีที่แล้ว +2

      Nahic kuhusu kukosa harusi kwaajili yalocation itakuwa kweli

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 4 ปีที่แล้ว

      Baba Levo unajua kunifu rahisha mineno yako

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

  • @meshachkigumbi5676
    @meshachkigumbi5676 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni zaidi ya comedy

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 4 ปีที่แล้ว

    Ka sio kwa majungu haya baba levo acha wivu

  • @ephraimkagungu6050
    @ephraimkagungu6050 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀 Hiv Dem Wako Wakipindi Cha Ishi Kampeni Alikuwa Anaitwa Nan Vile Clara ???

  • @samiramaulid9252
    @samiramaulid9252 4 ปีที่แล้ว

    Maharageeee

  • @rehemamustafa8520
    @rehemamustafa8520 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 baba levo ni shida kabisaaa

  • @jenifersamwel8990
    @jenifersamwel8990 4 ปีที่แล้ว +2

    Hhahahahahha jaman baba levo ana vitukoo ila wanapendana 😁😁😁😁

  • @abeliwazamani9249
    @abeliwazamani9249 4 ปีที่แล้ว

    Huyu baba levo anatisha

  • @johnsaid9143
    @johnsaid9143 4 ปีที่แล้ว +7

    Ety kigodoro ila huu utani ni nomaa sanaaaaaa Ba levooo😂😂😂😂😂😂

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +27

    Hawa watu wanajuana kwa vilemba ,ngoja msechu nae aje tumskie

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 ปีที่แล้ว +2

    Wew baba.levo jiangalie mke wa rafiki yko atakuja kukutega sumu maana c kwa miutani hiyo eti kigodoro ww

  • @sadokigaston3550
    @sadokigaston3550 3 ปีที่แล้ว

    𝐇𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚.𝐡𝐢𝐥𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐚 𝐛𝐡𝐚𝐧𝐚

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf 4 ปีที่แล้ว +5

    Isee nmerudi kuona interview aty anaenda kuomba mchele na maharagwe dah

  • @mackladislaus474
    @mackladislaus474 4 ปีที่แล้ว

    Alivaaaa kigodoro

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 4 ปีที่แล้ว

    Kuhusu sababu ya kutohudhuria ni ya kifala

  • @maadamray9282
    @maadamray9282 4 ปีที่แล้ว +1

    Salut baba lever🤣🤣🤣❤

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 2 ปีที่แล้ว

    Kama mnataniana wewe Na Peter Msechu iwe ni Nyie
    Msilete Kwenye Familia
    Af Baba Level Punguzo mdomo
    Kwanza afadhali hujaenda
    Unakula sana

  • @nestonesto1537
    @nestonesto1537 4 ปีที่แล้ว +5

    Duh utani kama huu ni nomaaa🤣🤣🤣

  • @emmanuelernest3776
    @emmanuelernest3776 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa anapua kubwa atariii😂😂

  • @sadickmakanwah2076
    @sadickmakanwah2076 4 ปีที่แล้ว

    Hapa hamna ukweli wowotee

  • @GHOST-gc8ju
    @GHOST-gc8ju 4 ปีที่แล้ว +22

    YAANI HAWA WAPUMBAVU AKIFA MMOJA KUNA MTU ALIA MPAKA AZIMIKE

    • @evelinaluvata1471
      @evelinaluvata1471 4 ปีที่แล้ว +2

      😀😀😀😀🤣🤣🤣yan hawa ndo marafik wa kwel akiondoka mmoja hapo kuna mtu haamki wik

    • @fatumayusufu1706
      @fatumayusufu1706 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaan hawa mi nilijuaga baba levo chizi kumbe wanautan2 wa nguvu

    • @GHOST-gc8ju
      @GHOST-gc8ju 4 ปีที่แล้ว

      @@fatumayusufu1706 wanataniana sana yaani ukimsikia huyo msechu unaweza ukadhani wana ugomvi sasa hivi wamemuongeza dada yao shishi

    • @GHOST-gc8ju
      @GHOST-gc8ju 4 ปีที่แล้ว

      @@evelinaluvata1471 wala hujakosea dada yangu yaani urafiki aina hii hata ikitokea mkigombana kusuruhisha rahisi

    • @faustinsirili3480
      @faustinsirili3480 4 ปีที่แล้ว

      Baba Levo utaua watu na kicheko

  • @teamwcb7728
    @teamwcb7728 4 ปีที่แล้ว +2

    We baba levo acha zako bhn 😂

  • @pendobaharia6922
    @pendobaharia6922 4 ปีที่แล้ว +8

    Baba levo una Nini lakin 😂😂😂😂

  • @mgogomtata
    @mgogomtata 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha eti kila kitu maharage...kitoto siku mbili kinapiga mtoto wa boss

  • @frankchamba8894
    @frankchamba8894 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyo nae mmmh konki mwingine

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaa jamaa Jinga sana. Dah Ila nimecheka duh! Kwa wageni wanakushangaa lkn

  • @pendonkaina350
    @pendonkaina350 4 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂eti ile ni suti au track ya mazoezi khaaaa

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 4 ปีที่แล้ว +3

    Baba levo mshenzi kwel😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramadhansagutangu5902
    @ramadhansagutangu5902 4 ปีที่แล้ว

    Msecho

  • @frankdavid8592
    @frankdavid8592 4 ปีที่แล้ว

    Eti kama rodirofa

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wanapenda sana msechu na diwani huyo chiiiii

  • @ahmedmwembo99
    @ahmedmwembo99 4 ปีที่แล้ว

    Wallahi baba levo hakamatiki aseee

  • @saidadaji7814
    @saidadaji7814 4 ปีที่แล้ว +10

    Hahaaaa😂😂 ni nomaa saaana 🤪🤪

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 4 ปีที่แล้ว

    unaroho ya kishetani na wivu,,utateseka sana jinga ww,,kwani huyu ni nani???ulizuia ndoa kufungwa?

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 4 ปีที่แล้ว +1

    UTANI WA NGUMI HUO

  • @sadickmakanwah2076
    @sadickmakanwah2076 4 ปีที่แล้ว

    Waha hamjawai kosea

  • @joshuakiwelu7306
    @joshuakiwelu7306 4 ปีที่แล้ว +7

    Msechu alikua anaenda kuchukua mchele kwa MDAU; msechu HANA PULINI😂😂😂😂

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂atukuwezi baba levo

  • @noelmsoma8859
    @noelmsoma8859 4 ปีที่แล้ว +33

    Mzeee wa "still" na "all in all" haya maneno kila interview lazima Baba levo ayaongee chunguzeni 😁.

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 4 ปีที่แล้ว

    Msechuuuu! Mh.Diwani kaharibuuu!

  • @daniellaaidal2233
    @daniellaaidal2233 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani jamani uuuwiiiii!!huyu baba huyo loh!

  • @annabalenga7637
    @annabalenga7637 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaa baba Revo ninouma

  • @KUYALAI
    @KUYALAI 4 ปีที่แล้ว

    Kavaa truck nguo za mazoezi 😀😀😀😀😀

  • @joeyvanrhoussim8738
    @joeyvanrhoussim8738 3 ปีที่แล้ว

    All ni all😂😂😂😂😂😂

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว +1

    Hafusi ya maana ni mme kutoa kila kitu sio kuchangisha,hauna uchungu wa doa ukichangisha ndiyo maana ndoa hazidumu

  • @maryamjuma9816
    @maryamjuma9816 4 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅 bb levooo

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว

    Utazeeka na wivu

  • @amadeohaule658
    @amadeohaule658 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani jamani nimecheka mpaka basiiiiii hahaahahaahahaaaaaaaaaa

  • @labanakyoo4177
    @labanakyoo4177 4 ปีที่แล้ว

    Hawa ni watani wa jadi

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 4 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha noma eti hana push 📍watoto wake watundu hahaha

    • @savelianmteisi7124
      @savelianmteisi7124 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 254 interview zako sikosi wanimaliza na kicheko

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 4 ปีที่แล้ว

      Nimecheka😂😂😂

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 4 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂nimecheka saana huyu jamaa daaah. nasubiri majibu ya msechu

  • @maggiehazel2454
    @maggiehazel2454 4 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 4 ปีที่แล้ว +1

    Roho mbaya hiyoooo

  • @ماذايوجدفيحقيبتيعزهمحمدالأغبري

    Hhhhhhh chiz kweli