Mke wa Baba Levo, Salma aomba msamaha na kumtaka warudiane, 'Marafiki walinidanganya'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
    / @simulizinasauti
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 247

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar ปีที่แล้ว +65

    Ndoa ni kitu kigumu na pia ni kitu rahisi sana la msingi sisi wanawake hasa ukiwa na watotto atusiwe tunasikiliza maneno ya watu wa nje ku judge ndoa zetu , huyo anekushawishi umwache mumeo utoke kwenye ndoa jee yeye yupo tayari kukuhudumia wewe na watoto wako au ndio uwe strong upambane mwenyewe kutaka kuoneyesha. Rudi nyumbani dada furaha na masikitiko ya ndoa anapaswa kujua ni wewe mwenyewe na mume wako , hakuna mume wala mke alie kamilika sote tuna mazuri na mabaya yetu.

    • @aminaabdallah3644
      @aminaabdallah3644 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa 👍

    • @svt3
      @svt3 ปีที่แล้ว +5

      Aroma of Zanzibar &Beyond: umenena ukweli mtu wanawake wengi ujinga una wazidi kukubali watu wa inje waingilie maisha yao ya ndoa

    • @khamissons1206
      @khamissons1206 ปีที่แล้ว +3

      aroma of zanzibar

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah umeongea maneno mazuri mpk nafurahi umetufundisha mambo mengi tumefungua kiakili.

  • @oyay2821
    @oyay2821 ปีที่แล้ว +49

    Babalevo uropokaji wote hakuwahi sema lolote kuhusu mama Ruby, kumbe B levo ni mume bora

    • @alphadreammedia
      @alphadreammedia ปีที่แล้ว +2

      Ila kweli jamaa yuko makini sana na hilo aongeeee yote na huyo mwehu mwijaku ila yeye wala kimyaa kuhusu mke wake... 👍👍👍👍

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +2

      Ndio inavyotakiwa.ukianza kuanika maisha ya ndani ya ndoa basi ndo unafungua mlango wa washenzi na wanafiki kukufanyia husuda.

    • @wakisawakisa5455
      @wakisawakisa5455 ปีที่แล้ว +2

      yaani mm pia ndo nashangaa, kwani waliachana lini

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +3

      c juz tu wakat anawandaa watto wake alisema analea watt pekeake

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว +20

    Baba levo nakupenda sana Kaka..embu msamehe mkeo mlee familia yenu

  • @mghazamghaza3361
    @mghazamghaza3361 ปีที่แล้ว +21

    Ushauri mnzuri dada.babalevo mtu mnzuri sanaaa...anaenzi familia yake.nampendea apo🙏🙏

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis ปีที่แล้ว +10

    She's beautiful 😍. Baba Levo take your girl back!!

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 ปีที่แล้ว +15

    Mwanamke mzirii mashallah kifaa kizuri baba levo anamiliki dem mzuri kiasi hiki aya jmn tafuteni hela

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 ปีที่แล้ว

      Kbuka ni Mika saba Dani ya DOA ujaesabu mausiano kabla DOA walipatana kabla hawajawai na kituu like unamuonga Yuko nacho baba love wamevunja wote

  • @shabajims2966
    @shabajims2966 ปีที่แล้ว +33

    Msamehe na mungu anasamehe. Uyu mwanamke nimzima sana na anajitambua kbsa

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +7

      Angejitambua asingesikiliza marafiki na kukimbia nyumba. Sema tu katendwa uko alikokimbilia ndo anataka kurudi.

    • @rhma6073
      @rhma6073 ปีที่แล้ว +1

      @@vanessalaizer4363 umenena

    • @brandinamarco2335
      @brandinamarco2335 ปีที่แล้ว

      Baba levo ao Mzungu, wivu umemuingia baada ya kuona umepata Mzungu....hachana nae Kajala mwingine

    • @joleal7941
      @joleal7941 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 ปีที่แล้ว +7

    Nice one Shemeji.Mama Ruby you are so strong and honest.

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 ปีที่แล้ว +2

    Despite him being mrobokaji he never talked ill about his wife anywhere...👏👏👏👏 baba levo kongole take her back pliz

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 ปีที่แล้ว

    Pole nami nakuombea msamaha. Baba levo akusamehe tu. Asipokusamehe endelea tu kumwomba msamaha kuna siku atakusamehe. Aachane na mzungu wewe ndo wa baba Levo

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +6

    I love this mm hakuna rafiki humueka karibu na my hubby wala mazoea maana nawajua...

  • @drdd774
    @drdd774 ปีที่แล้ว

    Huyu dada HAFAI KUWA KWENYE MAHUSIANO, alivyotoka kwa baba Levo kama angekuwa na maisha mazuri, asingemuomba msamaha baba Levo sasa ameona baba Levo angalau alhamdulliah ndiyo anajifanya nyo...nyo...nyo...nyo.........jinga sana.

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo safi sana,you are strong man💪🏻💪🏻

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 ปีที่แล้ว +26

    Ubarikiwe umefanya jambo la maana umesamehewa in Jusus name Amen 🙏

    • @mazikumange9130
      @mazikumange9130 ปีที่แล้ว +1

      Hello please respect the name of jesus how can you mispell it rewrite correctly jusus to Jesus

    • @oyay2821
      @oyay2821 ปีที่แล้ว

      How does Jesus come into this? This is a come we stay arrangement which is basically fornication

    • @elishajuma2615
      @elishajuma2615 ปีที่แล้ว

      Oya wew kama nani

    • @upendofancy1781
      @upendofancy1781 ปีที่แล้ว

      @@mazikumange9130 very true.its JESUS not Jusus

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +1

      @@mazikumange9130 labda jusus ni mganga wake wa kienyeji jamani au mkuu fulani wa mapepo na sio huyo mnaezania nyie au ni idd Amin jasusiii😂😂😂😂

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 ปีที่แล้ว +18

    Kajitambua👏👏

  • @prettymasha2430
    @prettymasha2430 ปีที่แล้ว +23

    Maskin pole umejitambua 😢rudi ulee watto

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 ปีที่แล้ว

    Wewe ndio super women hongera sana dadaangu, babalevo nakushauri kamchukue mke mzazi mwenzio wewe ndio mwanamke bora 👍👍

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 ปีที่แล้ว +18

    Babalevo msamehe sana

  • @saimonmaiko3130
    @saimonmaiko3130 ปีที่แล้ว +14

    Ndoa tamu wew

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว

    Wa nashukuru make mzuri wa baba levo sijaona make kama wewe umejitampua umejua uliko kosea baba Levo masmehe make wako rudianeni mungu atawapariki na maisha mazuri

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 ปีที่แล้ว +13

    Yaaan unasikiza marafiki be serious

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 ปีที่แล้ว +24

    Tutafika tumechoka sana aisee hii mitandao na ndoa

  • @mbakijonas5647
    @mbakijonas5647 ปีที่แล้ว +14

    Mwezi wa kwanza mgumu sana huu tutaona mengi😁😁😁😁😁

    • @nelsonmwaipaja3727
      @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @johnnsembele4401
      @johnnsembele4401 ปีที่แล้ว

      we acha ndugu mpaka uishe nawashauri waje niwape ata buku kumi kumi

    • @salmasaid1521
      @salmasaid1521 ปีที่แล้ว

      😄 🤣 😂 😆 😄

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 ปีที่แล้ว

      ​@@johnnsembele4401 tupe basi🤣😂

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART ปีที่แล้ว +7

    😄😄baba levo ameupiga mwingi, huyo dada ajifunze

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 ปีที่แล้ว +7

    B levo kumbe anapendwa sana 🤣🤣🤣

  • @lettysalala2504
    @lettysalala2504 ปีที่แล้ว +7

    Baba levo msamehe mama luby

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว +4

    Ni baraka kubwa kuwa na mume mwema maisha magumu huku nje mpende mumeo

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +3

    Mmh,kuna kitu anafata huyo

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 ปีที่แล้ว +6

    Mwende mkapime afya kwanza msamaha utakua umefika

  • @jairosdaka7328
    @jairosdaka7328 ปีที่แล้ว +14

    Please baba leavel forgive your wife and God will bless your family more🇨🇦🇨🇦

    • @shuaibsalim9816
      @shuaibsalim9816 ปีที่แล้ว +1

      More women wako....move on Baba levo !! Huyu dada kaona nyota yako iko juu sasa ataka kurudi mimi sisamehii

    • @robo7311
      @robo7311 ปีที่แล้ว

      Huyo anarudi sababu kakosa alichokuwa anatafuta mazee

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 ปีที่แล้ว +1

      @@shuaibsalim9816 hata baba levo kumsamehe mkewe ujuwe aliishi nae tokea baba levo pangu pakavu anamuelewa huyo mwanammke vizuri kuwa ni mwanammke mwema ..ila hakuna mkamilifu .aliishi na babalevo kwa shida na raha hajafata nyota yeyote.

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 ปีที่แล้ว +7

    Majuto ni mjukuu,,

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 ปีที่แล้ว

    Baba Levo msamehe mkeo amekuomba radhi adharani dunia nzima wanamuona plz msamehe tu,maana amejua kosa lake,huyu ndio mke plzzz baba Levo msamehe plzzz!huyo ni mke wa kweli msamehe,maneno mabaya ya watu yalimponza na Sasa amegundua kosa msamehe, ushauri wangu mke ndo anaeijenga nyumba yake na mke mpumbavu anaibomoa nyumba yake mwnyw vitabu vya MUNGU vimeandika!baba Levo nakupenda plz msamehe

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 ปีที่แล้ว +7

    Ukiachana na ushauri wa watu uro shauriwa ira ck zote ukiona mwanamke Ameanza kiburi jua huko peke yako

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว

      Ndomaanake...mi wangu ameanza hizo mambo...namuangalia tu kwenye side mirror😄

  • @cosbytz2370
    @cosbytz2370 ปีที่แล้ว +2

    Siku zote mwanamke akijifanya Mjuaji ndo inakuaga hivi tayari umedanganywa tayari umejua Makosa yako sasa, baba levo Mnyalishe huyo mkeo 😅

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 ปีที่แล้ว +5

    Ati watu ndio walikushauri?🙄🤔

  • @swazeadolfine5072
    @swazeadolfine5072 ปีที่แล้ว +16

    Masikini 😢siyo masihara mwanamke kufanya ivo yani apo kaumiya zakutosha😢

    • @ericron6115
      @ericron6115 ปีที่แล้ว

      Kashauriwa tu na mastar rafiki zake..

  • @josephdaniel7341
    @josephdaniel7341 ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli ,huo msamaha

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 ปีที่แล้ว +8

    Ujumbe umefikaaaa Khaaaa

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 ปีที่แล้ว

    Issue yote mm naifahamu kuna shoga ake huyo bibie alikuwa anamnyatia baba Levo 🤗alivyoona mshua hasomeki baada ya mitego yote akaamua amjaze upepo mwenzio ili wakose wote, pole sana Salma bora umejiongeza rudi mwaya ukamlee familia yako😭💪🙏

  • @ed3ezekiel388
    @ed3ezekiel388 ปีที่แล้ว +5

    Hujasema neno nimejifunza 😁

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 ปีที่แล้ว

      Wewe tena😆😆😆

    • @ed3ezekiel388
      @ed3ezekiel388 ปีที่แล้ว

      @@maloomaalmnsj5111 kaona B la baba kapata mzungu ndo anaanza kujiliza mitandaoni 🤣🤣🤣

  • @john-cg9qu
    @john-cg9qu ปีที่แล้ว

    dear baba levo, uki kubali itakuwa hujaona yaliyo pitiya kati ya kilandage na kajala.siku iki pita inapita hakuna kurudi.time is the greatest juge in this life.

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 ปีที่แล้ว +6

    MZIKI MGUMU SANA SIKU HIZI, MAISHA BINAFSI YA WASANII NDIO YAMEKUWA JUU KULIKO NYIMBO ZAO😂

    • @amirymkupete3334
      @amirymkupete3334 ปีที่แล้ว

      Hamna kitu hapo mambo magumu kwako ushaona chawa karudi uturuki kua making baba love hawafugiki hao kunguru

  • @victorrock6660
    @victorrock6660 ปีที่แล้ว +7

    😅😅ka gari kamewasha motooo

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake bhana. We na uzuri wako huo ulihisi ungempata nani zaidi ya B level ba!

  • @m___ck799
    @m___ck799 ปีที่แล้ว +8

    Nawaonea huruma wasichana wa Tanzania! Sad, Sad!! Focus on yourself love !!

  • @RespectShorts666
    @RespectShorts666 ปีที่แล้ว +4

    Diamond kasema "kaka unasinema wewe" sio kaka unasema ww 😂🙂

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 ปีที่แล้ว

    Kimbe ulikuwa unasikiliza Marafiki?

  • @harunmruma2291
    @harunmruma2291 ปีที่แล้ว +1

    Life changed

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 ปีที่แล้ว +12

    Ushaomba radhi ndio mjifunze mtu anakupenda unachukulia poa

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 ปีที่แล้ว +1

    Mkapime afya kwanza

  • @dottohami
    @dottohami ปีที่แล้ว +1

    Sisi wanawake tunapenda sana kusikiliza maneno ya watu sijui kwann jaman Insha Allha atakusamehe🙏

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 ปีที่แล้ว

    Kaona baba levo kapata mzungu anajifanya anampenda dah🤣😂😂

  • @paschalchleopherce9462
    @paschalchleopherce9462 ปีที่แล้ว +3

    Kwani watoto alikuwa hawaoni ........pesa ndo imekurudisha

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 ปีที่แล้ว +1

    Baba Levo kwa sasa ni levo kweli mi nafikili kipato kimeongezeka ni moja ya sababu kubwa ya baby mama kujirud na kujiona kuwa hakuwa na subra ktk maisha sema Kuomba msamaha ni jambo jema

    • @nuhumaalim9338
      @nuhumaalim9338 ปีที่แล้ว

      Ni kweli njaa imemmrejesha

    • @mishikombowato1457
      @mishikombowato1457 ปีที่แล้ว

      Wala sio kipato wametengana juzi tu akiwa vile tayar

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 ปีที่แล้ว +1

    Usisingizie marafiki nawew akili ukuwa nayo uwenda ulivondoka ulihisi mumeo atadhalilika sasa umemuona anaendelea vizuri ajadhalilika unajitia marafiki wakikudanganya umetoka kwwnye ndoa yako uwenda umesota umechacha umeona urudi ndo ukome uwezi kuwacha watoto wadogo vile jmn babalevo samehe saba mara sabini kaka

  • @DavidJohn-yc1ho
    @DavidJohn-yc1ho ปีที่แล้ว

    Kakosea msamaa aombe vizuri

  • @leonardojoao2775
    @leonardojoao2775 ปีที่แล้ว

    Baba levo anamke mbaya ivyo khaa

  • @brunokimaro1053
    @brunokimaro1053 ปีที่แล้ว

    MLIACHANA LINI NA KILICHOKUDANGANYA NI KINANI,KIKO WAPI NA JE USHADINYWA NA WANGAPI.JIBU TUKUOMBEE

  • @husseinmdwangi8966
    @husseinmdwangi8966 ปีที่แล้ว

    Baba Levo linapokuja swalúa la familia a nn aliheshimu sana hata maji ya Ombo la mkeo huyo alisema :Hata mm nishamkosea sana mama Rub na kama kagundua kosa lake arudi tuendeleze familia,that is enf.Na wala hakusema arudi waendeleze MIZAGAMUO!!

  • @leoncenondo
    @leoncenondo ปีที่แล้ว

    Mimi niko mukongomani . Baba levo rudisha mkeo. Neno mwisho yangu ndiyo hiyo

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe li” Bar Bar Level “ lina akili.

  • @DavidJohn-yc1ho
    @DavidJohn-yc1ho ปีที่แล้ว

    B.level BAAA

  • @DavidJohn-yc1ho
    @DavidJohn-yc1ho ปีที่แล้ว

    Kwel yamekukuta ndugu yangu tumsameh shemeji yet kaka huyo akiludi atoloki tena msamehe bro b levo baa

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 ปีที่แล้ว +3

    Katika wanawake ambao wanajitambua, huyu dada anajitambua sana kwa hichi alichokifanya. Tangu nizaliwe sikuwahi kuona mwanamke akiomba msamaha kwa stye ya aina hii kwa mwenza wake mara tu anapoona amekosea kwani wengi wao wameathiliwa na slogan za haki sawa. Dada umekomaa na umetumia hekima sana.

    • @bobwhite9252
      @bobwhite9252 ปีที่แล้ว

      Katamani safari za dubenga .. wanawake unawajua unawaskia😬... Yaan uhame nyumba uende kupigwa miti harafu urudi😁.. inahitaj ujasiri sana

    • @ziadamtebwa3712
      @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว +1

      Kujishusha nivizuri kalee watoto wako pole

    • @joleal7941
      @joleal7941 ปีที่แล้ว +1

      Kbx nimemkubali

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว

    Mhh, acha nipite kimya🤔

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 ปีที่แล้ว

    Pole nahisi umejifunza na Ulimwengu umekufunza Binafsi umejitambua Sisi tutakuombea kwa Mwanaume mwenzetu au Kaka yetu akusamehe kwani umejitambua na usije ukarudia kila lakheri na Mwenyezi Mungu awape nafasi nyingine

  • @rahmambugi1950
    @rahmambugi1950 ปีที่แล้ว +5

    Naimani ukiludi utakua naheshima yameshakushinda uko utokako, sasa ukamtunze mumeo na ukawee mke mwema ukawe mfano wa kuigwa

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว

      Hao hawaelewekagi.wana mioyo miyepesi hubadilika badilika kama kinyonga.

    • @rahmambugi1950
      @rahmambugi1950 ปีที่แล้ว

      @@ahz6907 kujiendekeza na kutokujitambua

  • @DM_15
    @DM_15 ปีที่แล้ว

    Kushawishika nikawaidasana mbona, tatizo ni namnagani uliondoka kama uliondoka kwa maneno makali huwanimbaya sana

  • @themicbandforeveryone19997
    @themicbandforeveryone19997 ปีที่แล้ว +1

    Kabla yaku rudia na waka pime

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 ปีที่แล้ว

    Xaiz umeona amepata Hela ndo unakumbuka c ungemvumilia kwa yote!! Me naona ba levo akupotezee tu!

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania wanapenda kiki sana...sasa mbona asimtafute mwenyewe wasuluhishe....Jamaa washapiga piga sana na kusepa

    • @janetahmed6948
      @janetahmed6948 ปีที่แล้ว

      sio kiki jamani waliachana kitambo

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 ปีที่แล้ว

    Natumain baba levo amekusikia si vibaya kuomba msamaha kwa mumeo

  • @rhma6073
    @rhma6073 ปีที่แล้ว +7

    Dini tofaut kumbe

    • @fredymushy9674
      @fredymushy9674 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo wewe una una ona dini tu

    • @asiakheir8684
      @asiakheir8684 ปีที่แล้ว

      @@fredymushy9674 ndy wanazinituu

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuwa wa 90

  • @husseinmdwangi8966
    @husseinmdwangi8966 ปีที่แล้ว

    BABA LEVO ALIJIBU KUA ARUD WAENDELEZE FAMILIA NA SIO MIZAGAMUA na alimaliza kwa kusema THAT IS ENF.

  • @omarmahewa928
    @omarmahewa928 ปีที่แล้ว

    Hiv baba levo alishawahi kuoa ndio nasikia leo isije watu wamezaa tu kutumia neno la Mke au mume kana watu hawajaoana ni dhambi

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +10

    Kwa nini usiongee na mumeo moja kwa moja?

    • @lovenessaron2669
      @lovenessaron2669 ปีที่แล้ว +1

      Itakuwa kaongea nae tayari,Labda ndo kamshauri arudi mtandaoni aliko mchafua mwanzo ili waja wajue kinacho Endelea

    • @aishaissa2512
      @aishaissa2512 ปีที่แล้ว +3

      Amepewa amri aongee ndo arudi

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว

      @@aishaissa2512
      Basi kazi ipo

    • @chancelebishopofficial2785
      @chancelebishopofficial2785 ปีที่แล้ว +1

      Kwaiyo ameisha fukunyuliwa adi amechoka ndo anarudi kumulisha mabaki baba levo au ?😂😂😂😂 2023 inaanza na Kasi sana 😂😂😂😂

    • @roselinasandi6509
      @roselinasandi6509 ปีที่แล้ว

      Yawezekana kamblock

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 ปีที่แล้ว

    Yaani maisha ya siku izi mwanaume akiwa anakutimizia maitaji na akupingi wala akuongerei vibaya kwa watu kaa utulie. Maana Sasa hivi hali tete mitaani wanataka kualibu vya watu ili wakucheke sasa hawo walivyo kushawishi wameshakukimbia😂🤣

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 ปีที่แล้ว

    Anataka umaarufu!!! Be levo baba fundi majumba lea watoto wako singo baba

  • @backtoback6956
    @backtoback6956 ปีที่แล้ว +1

    Ali sikiliza wimbo wa dear ex aka jaa kichwa, je uta mrudiya ex wako ama bora kufa!😂😂😂😂

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 ปีที่แล้ว +1

    Jamani waturuki ni waasia sio wayuropu!😁

  • @nelsonkileo3247
    @nelsonkileo3247 ปีที่แล้ว +1

    Mkiambiwa kuna mchongo tunasikilizia muwe mnaelewa ! Unaona sasa•

  • @rashidikhassim8125
    @rashidikhassim8125 ปีที่แล้ว +1

    Kashaenda katombwa tombwa huko sasa anataka kumletea mwamba kisonono

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว

    Mumefunga ndoa vpi dini tofauti?

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 ปีที่แล้ว

    Baba Levi anaakili levo

  • @franceanton4360
    @franceanton4360 ปีที่แล้ว

    Kwendraaa 😊😊

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    Walikuwa weshapanga ila ili asamehewe akuombe msamaha mitandaoni huna lolote babalevo

  • @mehdyahmed8479
    @mehdyahmed8479 ปีที่แล้ว

    C kwa ubaya lakini huyu dada anataka kurudiana sababu kwa sasa baba levo has got chedaa with him..kwa ufupi ni pesa amefwata

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza nianze kwa kusema Baba Levo aende akipime DNA ya yule Mtoto (RUB) waliezaa nae. Namashaka sana nikimtazama yule Mtoto hafanani na Migebuka kabisa!
    BABA LEVO USIJICHANGANYE KABISA. HILO NI PEPO.
    KWANZA KUNA MAMBO YA MSINGI AMBAYO HAYAWEZI KUCHANGAMANA KATI YAKO NA BALEVO!.

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 ปีที่แล้ว

      Yule dogo asa DNA ya nini pale,,mtoto baba levo mtupu,,haswa lipua,kama konzi

  • @chany9950
    @chany9950 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣🤣🤣pore mama Kajitambua jmn🤣🤣🤣wamama waimasiku jmn

    • @_Nora_xd_
      @_Nora_xd_ ปีที่แล้ว +1

      Babe Levo msameheme kajua kosa lake.kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa🙏🙏🙏

  • @krauseshamim8274
    @krauseshamim8274 ปีที่แล้ว

    Siugeomba kimya kimya tu

  • @redpromediat.o.tstrongteam1679
    @redpromediat.o.tstrongteam1679 ปีที่แล้ว +1

    Comment ya Diamond: Kaka una cinema wewe (kaka unasnema wewe)

  • @mosesgatsinzi7308
    @mosesgatsinzi7308 ปีที่แล้ว

    Herí wariduyane kabisa mwanamuke akisha ona makosa aliyo fanya akayaomba msamaa mumpe tu

  • @joleal7941
    @joleal7941 ปีที่แล้ว

    Baba levo msamehe wifi yetu kaka

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 ปีที่แล้ว

    Shetani ana shida kila anaye tumia upumbavu ana mzingishia Shetani

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 ปีที่แล้ว

    Akapambane aache ujingaaa

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 ปีที่แล้ว

    Maisha si mchezo mchezo yatakuwa yamempiga kisawa sawa

  • @selemanimchana3598
    @selemanimchana3598 ปีที่แล้ว

    Wanawake mnapokua kwenye ndoa hua mnakua na vichwa viwili viwili mkiachwa mnaanza kusahau kichwa kimoja

  • @Blackmachamdizi
    @Blackmachamdizi ปีที่แล้ว +1

    Walikuzagamua but its understandable😂

  • @azamajid9530
    @azamajid9530 ปีที่แล้ว

    Hujui kama mnje kumgumu shost unaowaona wanainjoy ujue kunasehemu zinaumia