PETER MSECHU AUPONDA MJENGO WA MWIJAKU, ADAI HAUNA THAMANI YA BILIONI ATOBOA SIRI "ANGENITAFUTA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 316

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 8 หลายเดือนก่อน +56

    Peter umeongea point na Kwa busara. Ni miongoni mwa vijana wachache ambao ni mfano wa kuigwa! Inaonesha kuwa una nidhamu na umelelewa vizuri! Hongera Kwa kumjali mkeo na kuthamini mchango wake ktk mafanikio yenu!

    • @odiramwamba-fb2el
      @odiramwamba-fb2el 8 หลายเดือนก่อน

      Big up !

    • @boniphacejohn2981
      @boniphacejohn2981 8 หลายเดือนก่อน

      Safi sana Peter, point sana na busara nyingi mnoo kichwani

    • @KUPASteven
      @KUPASteven 8 หลายเดือนก่อน

      Safiii Sanaa msechu

  • @alecheconradninje6183
    @alecheconradninje6183 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka Msechu weka wazi ndo taaluma ya mkeo kasoma Ardhi university ana degree kali mnooo😂

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 8 หลายเดือนก่อน +17

    Peter ameongea fact sana huweZ pata interview nzur yenye ukweli kama hii amini hivo😅😅😅😅😂😂

  • @IbrahimIddy-z4y
    @IbrahimIddy-z4y 8 หลายเดือนก่อน +27

    Kaka hongeraaa sanaaa umeongea point sanaaaa hongeraaa mungu akubariki ushushe mjengo mwingineee

  • @shafiimwehemba4549
    @shafiimwehemba4549 8 หลายเดือนก่อน +55

    Awali sikuwa namfahamu Msechu, kumbe ni mtu mwenye busara zake! 👏👏👏

    • @jelasnkoma4240
      @jelasnkoma4240 8 หลายเดือนก่อน

      Alafu ni Msomi pia

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 8 หลายเดือนก่อน +10

    Af pia nyumba ya mzechu Ina gharama kubwa kuliko ya mwijaku!

  • @dicksonmutabazi1966
    @dicksonmutabazi1966 8 หลายเดือนก่อน +34

    Msechu kaongea vyema sana, sisi wataalamu wa ujenzi tumemuelewa.

  • @selestinokazumba
    @selestinokazumba 8 หลายเดือนก่อน +11

    Haya ndo maneno yakuongea mtu mwenye akili Big up msechuu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 8 หลายเดือนก่อน +24

    Yaaaan nilikuwa nakusubilia hii interview ya Peter msechu maaana walikuwa wanakutag Sana na nyumba yako Ila umeongea kwa utulivu Sana

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sikieni. Mwijaku nyumba siyo yake. Mnapoteza mda kuzungumzia. Ya nini kulinganisha nyumba ya owner na mwingine mpangaji tu. 😂😂😂😂.. Mwijaku ni mpangaji tu. Sifieni ya Peter ambaye ni nguvu zake mwenyewe.
    Hongera brother Peter na mkeo.👏👏👏👏👏👏😇

  • @rerisamba
    @rerisamba 8 หลายเดือนก่อน +13

    Lakini. Nyumba ya Msechu imekaa na msingi mzuri

  • @fredrickmichael2317
    @fredrickmichael2317 8 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu chagga Ana uelewa naongea ukweli si kupata sifa..nyumba ya msechu ina kiwango ina dhamani zaidi

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 8 หลายเดือนก่อน

      Msechu ni Mpare sio mchaga

  • @SaidKiganga-i1q
    @SaidKiganga-i1q 8 หลายเดือนก่อน +3

    Msechu nimsanii mwenye akiri nahofu yamungu big up msechuumewaelimisha vizuri vijana

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa ndo utajua kuwa #mwijaku sio mpenda naendeleo kwa wenzake…na elimu yake haijamsaidia chochote. Uwezi kaa mbele ya chombo cha habari ukazungumza shiti… 1.3 billion. “Unaijua ??????”
    Peter msechu anaongea ukweli..na utainspire vizazi na vizazi. #mwijaku ropo ropo tu…

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ooooh kumbe maneno alianza mwijaku 😂😂😂😂😂peter msechu achana na mambo ya mabishano,sio style yako.
    bora mtu una nyumba jamani ...kwani ni mashindano😮😢🙄🙄🙄

  • @mwakwelisaid3152
    @mwakwelisaid3152 8 หลายเดือนก่อน +19

    Congratulations mr msechu for ur advise

  • @felistersanga4207
    @felistersanga4207 8 หลายเดือนก่อน +15

    Mjengo wako naukubali Sana msechu big up mama Lolo

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 8 หลายเดือนก่อน +13

    Kusema kweli mi mwenyewe nyumba ya mwijaku siku yielewa japo nami sina 🫠 bora ange jenga nyumba ya chini ya maana

    • @RaymondNjengo-bq1zc
      @RaymondNjengo-bq1zc 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kiwanja kidogo cha Mwijaku kujenga nyumba ya chini,ndio maana kajenga ya juu ili apate nafasi

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @amaniluhambire5080
    @amaniluhambire5080 8 หลายเดือนก่อน +8

    Big love from Canada. Naomba namba ya Peter Msechu.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 8 หลายเดือนก่อน +8

    MSECHU NIMEKUPENDA HUWAVUNJI MOXO VIJANA BALI UNAWATIA MOYO NAO WAANZE TARATIIBU.

  • @MichaelSikapundwa
    @MichaelSikapundwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    msechu unajitambua, upo unique...last time tulikutana ktk tukio la mradi wa mwalimu Nyerere....kwel nilipenda style ya music wako ambao upo ktk promo

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 8 หลายเดือนก่อน +14

    Nimeuchukua ushauli wako🙏Hongera sana msechu

  • @OtoyoSibuor
    @OtoyoSibuor 8 หลายเดือนก่อน +14

    Big up Msechu , you were focused . From +254

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 8 หลายเดือนก่อน +7

    Safi Sana brother una akili sana msechu nafurahi muno kutupa moyo

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 8 หลายเดือนก่อน +7

    Binafsi nimevutiwa sana na nyumba ya msechu ingawa mwijaku nae katu nyoosha🙌

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 8 หลายเดือนก่อน +3

    nyumba ya mwijaku haizid mlion 500 iyo bi,1.3 akawambie wamasai

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nikweli nyumba nifinishing. Msechu nyumba yako nzuri sana Finishing nigharama sana pia Mwijaku honger kwakujenga utakuja kukarabati miaka ijayo

  • @NataliaKenny-vb6os
    @NataliaKenny-vb6os 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nyota na ing'ae kwako wee nakuombea🎉😊

  • @starjay3052
    @starjay3052 8 หลายเดือนก่อน +4

    peter msechu umeongea ukweli kabisa ata me najenga naona ela jinsi nnavotumia ela mwijaku muongo peter yupo saii

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nyumba kujenga taratibu ndio inakuwa nzuri coz unadisaign taratibu na kwa uwakika na kupata material yauhakika unakuwa na mda mzuri wa kuchagua

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 8 หลายเดือนก่อน +6

    Congratulations bro kimfaacho mtu nicheke nahakuna kitukibaya urichokitafuta kwa jashorako💪💪

  • @starjay3052
    @starjay3052 8 หลายเดือนก่อน +3

    ata mimi mtani kwangu watu wamejenga magolafa ila me yachini na boma tu ahabali wanayo ✌️💯💯 ipo ivo mwijaku kaongea uwongo me boma mbaka nimekamilika na ni bola la viumba vi 4 ila nimetumia milioni 6 mbaka leo mwijaku muongo

  • @MagretSagi-y2j
    @MagretSagi-y2j 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie nawo na vibanda vyenu vya kufugia mbwa ndo makelele kila siku Mgekua na mjengo Kama wa mulokosi tusinge pumua mbna🗣️🗣️🥴🥴🥴🥴🥴

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 8 หลายเดือนก่อน +11

    Msechu umeongea pointi safi sana

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana Msechu nyumba yako nzuri sana nimeona kwa nje tu hiyo garden na garbions zimepandisha thamqnivhiyo nyumba sana

  • @ReginaManyangu-u4j
    @ReginaManyangu-u4j 8 หลายเดือนก่อน

    Msechu Yuko poa sana Hana ubabaifu mwijaku uongo mwingi,porojo😅😅😅😅😅

  • @alexsuleiman3795
    @alexsuleiman3795 8 หลายเดือนก่อน +27

    Safi sana msechu umeongea kama mwanaume

  • @laukhanpaulo4996
    @laukhanpaulo4996 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daah Msechu kiukweli umejenga mwanangu kwanza hapo ndani kwako ni 🔥🔥🔥 tunavionaga kwenye TV

  • @cymioncassian4846
    @cymioncassian4846 8 หลายเดือนก่อน +1

    Msechuu nmekuelewa sana tena mno,maneno Unayosema yamenif undisha sana,mimi mwenyewe kibanda changu nmeanza kujenga 2019 mpka leo sijamaliza na sio nyumba ni kibanda cha kuepuka kugombana na wenye nyumba mjini hpo,tuache sifa mnatakiwa mseme Ukweli ili sisi tujifunze kutoka kwenu,

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 8 หลายเดือนก่อน

    Msechu anaongea kisomi sana akiulizwa swali kuhusu Mwijaku anamsifia kisha anarudi kwenye point safi sana ila angakua mwijaku yeye ni kuponda tu mwanzo wa maada mpaka mwisho

  • @babanadia3201
    @babanadia3201 8 หลายเดือนก่อน +68

    Mtu ambae hajawahi jenga ndio anaweza kukubali hiyo garama ya 1.3bl lakin ukweli huo mjengo hauwezi zidi 300ml

    • @Dianamwansasudddw
      @Dianamwansasudddw 8 หลายเดือนก่อน +5

      Wewe ujenzi gharama zake unajua wewe

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Dianamwansasudddwhaizid ml 350

    • @jwisetv4833
      @jwisetv4833 8 หลายเดือนก่อน +1

      Co kweli mzee nawewe hujajenga 300 ni ndogo sana kwenye ile nyumba

    • @elizampayo4057
      @elizampayo4057 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 8 หลายเดือนก่อน +6

      ​@@DianamwansasudddwNyumba ya bil 1 unaijua wewe?

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sijawahi kumusikiliza uyu jama peter .ina ni mtu anaakilizake timamu .anaogeha jambo lamahana sana ku usumaisha .kwanza nyumba yake kalisana tena sana Mimi naishi cape town .kuishi kwenye nyumba ya chini dio utajiri gorofa ni style zakimaskini sikuizi matajiri wote wanaishi kwenye nyumba as chini kama nyumba ya peter msechu ...kaka peter usiwe najibu kama ule mwijaku chizi ule .sio muzima ..

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sema na ww Peter Msechu muongo iyo nyumba yako aifiki M 800 muongo ww sote tumejenga iyo nyumba yako inaweza kufika m200mpaka m180 au 150 umo msitake kudanganya watu,tena inategemea finishing ulio ifanya ndani ,ilo boma toka chini mpaka kuezeka maximum M 40 finishing ndo uwa inakula ela labda finishing umefanya M 80 let say,wasanii mmeanza kujenga juzi tu uongo mwingi,

    • @rassjouker1257
      @rassjouker1257 8 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅wnatupiga matango pori

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaaa

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 4 หลายเดือนก่อน

    Ni a kiwanja changu huko madongo kuinama nishapata ushaur kwa nsechu yani nikipata matofali 10 mi naita fundi tu

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yani wa Bongo kila kitu munacho fanya lazima mukipost kwenye media😢😅😭 this is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 6 หลายเดือนก่อน

      Wanahamasishana, Kwa hili litawakumbusha vijana kushindana ki maendeleo na sio kujirusha wapi na nani, mrembo yupi au kapangisha nyumba ya gharama Gani na maeneo Gani!
      Vijana shindaneni kumiliki vitu kama hivi..
      Hongera sana Msechu, Hilo umeitoa hapo ni darasa kubwa.

  • @seifsaid845
    @seifsaid845 7 หลายเดือนก่อน

    flat kukauka vizuri, 2 weeks to 1 month, not 3 months msechu

  • @rashidywandwi1543
    @rashidywandwi1543 8 หลายเดือนก่อน

    28day you have m25 or 20 according of engneer recomandation but that is 28 day exactly okay

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 8 หลายเดือนก่อน +2

    Afu nikweli nyumba ya mwijaku ni vyumba vilivyobebana TU sio gorofa😂😂😂

  • @Saidi-x4h
    @Saidi-x4h 8 หลายเดือนก่อน +2

    Msechu yupo sahihi sana, nyumba yangu ilikua naijenga haraka sana, inabidi niturie ili nifanye kitu kizur zaidi

  • @gidixgillogillo3359
    @gidixgillogillo3359 6 หลายเดือนก่อน

    umeniinspire sana brother msechu sana yan sjawai kua inspired namna hii. nami ntajenga zaidi ya hii

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 8 หลายเดือนก่อน +1

    Big nimekupata umejielewa sana

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nawee pia unadanganya nyumba ya chini ulipofika mil 400-500 hapo haijaisha tena!! Tukuulize kitu kimoja tu umeezeka bati ya design gani?

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 8 หลายเดือนก่อน

      Hapo kadanganya sana na ni muongo sana boma tuu m500 jamaa muongo sana

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 8 หลายเดือนก่อน

      Hamna nyumba ya mil500 pale. Sana sana 150

  • @abednegokavisheaskfocus9453
    @abednegokavisheaskfocus9453 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu na nusu ..

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 8 หลายเดือนก่อน +20

    Busara zimefunika ufaham wa msechu. Hongera kwake kwa kujitambua kiasi hicho

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 8 หลายเดือนก่อน +4

    Msechu kwa kweli Mwaka mmoja kujenga nyumba na hela ipo... unaweza jenga nyumba hata mwaka ni mwingii sana .

    • @edsonDR_90
      @edsonDR_90 8 หลายเดือนก่อน

      Nyumba nzuri hata kama una pesa ya kutosha atleast kuanzia mwaka

  • @bumbagoz
    @bumbagoz 5 หลายเดือนก่อน

    si kweli thamani ya nyumba ya peter au mwijaku kuwa bilioni ...watu tumejenga na tuna mahekalu na thamani zake hazifili hata mil 130

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน

      Acha zako wewe finishing ya Msechu ni hatari na nusu.

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 8 หลายเดือนก่อน +6

    Peter umeongea point sana yaan hubabaishi

  • @msaphirimagallah5781
    @msaphirimagallah5781 8 หลายเดือนก่อน

    Msechu miezi mitatu sio kweli... nisiku 21 tu.. ila kazi haisimami.

  • @hawamsangi5590
    @hawamsangi5590 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwijaku nilimbukeni kubali nyumba ya Msechu ina mvuto Hilo ghorofa lake sio standard . Hiyo bathroom tiles za mchina alafu the bathroom is big for nothing kaweka SINK jeusi choo cheupe daah. Peter Msechu is also interior designer tena international designer hiyo ni talent yake. Big up Msechu that is a good house and classic.

  • @ArafaSleiman
    @ArafaSleiman 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka msechu kunywa soda mm nitakulipia kwa kututia moyo vijana tutajenga mdgo mdogo

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 8 หลายเดือนก่อน

    Na siyo miezi 3 kisha ukae ni wiki 3au hata mwezi mmoja mi injinia umekosea hapo

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 8 หลายเดือนก่อน +4

    Una b moja unajenga mwaka mzima unajenga nini?

  • @piterfedrick4647
    @piterfedrick4647 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana peter na asante kwa kutufundisha vijana

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 8 หลายเดือนก่อน

    We Mwenyewe ndo wale wale tu wa majisifa huna jipya

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba ya msechu ndo nyumba hasa. Ni kubwa, ina nafasaf kubwa.

  • @AhadiMkuyu
    @AhadiMkuyu 8 หลายเดือนก่อน

    We ndoumeongea point sio mwijaku mpenda masifa

  • @mwambiretv165
    @mwambiretv165 8 หลายเดือนก่อน

    Nyumba ya Mwijaku haifiki hata robo hapa

  • @righitkileo
    @righitkileo 8 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤point .❤❤ila hiyo nyumba ya Mwijaku ni ya kawaida sana. Hiyo qarama anayoisema hamna.kama.kiki labda sawa.kawaida sana

    • @rynerlinuma8484
      @rynerlinuma8484 8 หลายเดือนก่อน

      Gharama aloitaja Mwijaku ni kikombelezo tu

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wasanii wote wangeishi ktk ukweli km Msechu, Jamii ingeelimika sana kupitia Muziki wao na Maisha yao binafsi

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 8 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe unabusala saana kaka msecu safi sana

  • @Allyabdalah-oj2wc
    @Allyabdalah-oj2wc 8 หลายเดือนก่อน +7

    Very matured

  • @Kissarop
    @Kissarop 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mwijaku.I think is crazy person

  • @AbuubakarMfinanga
    @AbuubakarMfinanga 5 หลายเดือนก่อน

    Dah kwel yupo vizur mashalah

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 8 หลายเดือนก่อน +1

    Msechu ungekua mshauri wa taifa tu ili watu tuendelee kimafanikio

  • @RodriguezOdhiambo
    @RodriguezOdhiambo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Akili kubwa SANA mwanangu...hongra Petermsechu

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 8 หลายเดือนก่อน +4

    Msechu anaongea facts

  • @CostaGelu
    @CostaGelu 7 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kitu kwako bro

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hata boss wa doto magar ilisifu nyumba ya peter

  • @jonathansenkondo8093
    @jonathansenkondo8093 8 หลายเดือนก่อน +5

    Msechu una akili sana

  • @juliusmerere3900
    @juliusmerere3900 8 หลายเดือนก่อน

    Aisee nimekukubali sana umenyooka sana yani umeongea ukweli mtupu...ghorofa bila quality ya finishing nikama jengo la chuo😅😅

  • @ismailjuma6185
    @ismailjuma6185 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka ww ndo muanzilishi wa hili battle la ujenz wa nyumba big up umetu inspire sanaaa kaka asant saaanaaa

  • @saadarashid8174
    @saadarashid8174 8 หลายเดือนก่อน +2

    So so true 👍 nyumba hujengi siku moja

  • @jimmymwita3714
    @jimmymwita3714 8 หลายเดือนก่อน +1

    Rekebisha hapo kaka ni wik 3 siyo miez 3 (eng chacha

  • @jumaally4263
    @jumaally4263 8 หลายเดือนก่อน

    Gorofa ukizeeka utapandaje juu

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 8 หลายเดือนก่อน

    Msechu unaakil saaana ,, inatosha umeongea kwa busara Sana Achana nayule pimbi,, maneno mengi,,hotel inajengwa kwa million800,had B,,harafu kale bilion1.3 achen masihara na b jamaniiiiii

  • @JacobMorogoro-is7kj
    @JacobMorogoro-is7kj 8 หลายเดือนก่อน

    Akuna nyumba nzuri kama ya mbowe

  • @sabokoMAILA
    @sabokoMAILA 8 หลายเดือนก่อน +4

    Point sana msechu

  • @jumaally4263
    @jumaally4263 8 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea vizuri saaana umewatia moyo vijana

  • @hallin9561
    @hallin9561 8 หลายเดือนก่อน

    mjengo wa marehemu Mengi kule machame lilicost million 800 na lilikuwa ni kasri matata, icho cha mwijaku million 200 tu ata finishing yenyewe ni cheap kabisa

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 8 หลายเดือนก่อน +4

    Msechu yko real sannnah.

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 8 หลายเดือนก่อน

    Msechu yuko smart sana high5 kwake.Huyu sasa anasema ukweli slim fit ya DC haifiki ile bei kwa vyumba alivyo sema,there is no value for money pale buana.Na kwanini aongeze masifuri haoni anawapa mtihani TRA😂😂😂😂.Tutampa hongera kujenga lkn asitudanganye yeye sio wakwanza kujenga,nyumba haina hata fanicha inafikaje hio bei? Anatuchukuliaje kwani?👋👋

  • @GabbyRomaniz
    @GabbyRomaniz 8 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku anazungumza kama mtto

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona umesema mtu akija na biliion 3 huuz, nawee ni mnafk tu

    • @wolframmwalo2432
      @wolframmwalo2432 8 หลายเดือนก่อน

      Kunawakati ukiwa na kitu unachokipenda huwezi shawishika kukiuzaa Kwa thamani yeyote nazan hanampango wa kuuza

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 8 หลายเดือนก่อน

      Ushawahi penda mali yako wew?ukipenda mali yako mtu hata aje na hiyo hela huuzi

  • @happynessdavid7921
    @happynessdavid7921 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kitu kikubwa nimejifunza na kuwa inspired

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 8 หลายเดือนก่อน +2

    Peter msechu umesema kweli

  • @zeddyshindika9502
    @zeddyshindika9502 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka mkubwa,,,we jembe umeongea kiungwana...busara na hekma ndo msingi wa kujengana na kutiana moyo...si watu kupata pesa washakimbilia mitandaoni kujisifu,,mtu kajenga ishakuwa nongwa kwa waso na nyumba,,,but kitu muhimu watu waache mambo mengi waangalie maisha yao ili wengine wajifunze toka kwao..

  • @AhimidiweMchau
    @AhimidiweMchau 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa brother

  • @SiaPatrick
    @SiaPatrick 8 หลายเดือนก่อน

    Alafu iyo H yenyewe feki

  • @Truly_Afrikan
    @Truly_Afrikan 8 หลายเดือนก่อน +1

    The big brain talking points

  • @HelenaNkwera
    @HelenaNkwera 8 หลายเดือนก่อน +4

    Umenene hapo kakaa🎉