UKIACHANA NA MTU LAZIMA UMUOMBEE YAMKUTE MABAYA| KUACHANA NA MTU KWETU NI VITA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2023
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 34

  • @user-ms3tp9oy2o

    Baba levo unaogea point sana broo ni kweli kbsa npo south Africa mkoa wa north west province klesdorp

  • @mobilespecialschool4216

    Hao wamesoma wanazidiwa uwezo wa kufikiri na uyo mjinga Babbaevo duh. Nikitaka kuajiri sitaki vyeti nataka talent

  • @frankjohn2201

    Baba levo wewe nishida hua unaongea point sana japo kua watu wasio kufaatria hua hawajui madini uliyo nayo

  • @lumistarboy8499

    Vipo sana point ya Oscar ni mfano alisia kabisa kwa family ya Mama mdogo ila point ya manyanyaso ya Baba Levo pia nailewa hipo sana point sana

  • @HubertCubaka

    Oscar umeongea ukweli kabisa... Nyumba zetu zina siri saana... Watu wameshaachana lakini wanaishi nyumba moja na kila mmoja wao ana mtu wake...

  • @zeddymourice4249

    Oscar hiyo point,Mimi nikaka yangu kabisa wanaishi nyumba moja na kila mtu na chumba chake.

  • @FredoBoy

    Hiyo kweli kabisa

  • @Anna-jl2ie

    vita lazimaa😮

  • @user-ln9px2vh6r

    Baba levo yuko sahihi mwanaume hamuwez mka share nyumba eti mnalea watoto aone unazagamuliwa na mtu mungine

  • @patricklufundya5009

    Kama mnapendana sana mkiachana chuki lazima iingie mtu uliyempenda moyo unauma sana

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg

    Baba Levo mnasema hajasoma? Mbona anaongea point sana

  • @magzeeee

    Bora andazi😅

  • @jumakhaji1620

    Promaxxxx ❤😂🎉🤣🤣🤣🙏

  • @HusseinMajali-dd4vx

    Wapo wengi sn mm mwenyewe nawafahamu baadhi yao ila anachokisema baba levo ni asilimia kuvwa

  • @MS.independent8934

    Oscar yupo sahihii vipo mmoo TZ

  • @fundishalabours4971

    Baba levo kichwa san diamond amuongezee mshahar ao wengine ni mpira2 hamna k2

  • @vincosmeticsmarvin

    Sio mabaya tu,,, lolote limkute 😅😅😅

  • @kassidpandu866

    Huwezi kuchambua vizuri kama utaweka ushabiki wako Mjengoni

  • @omarykimamure7656

    Da.! fund manyumb nakukubar kinyam..