DIAMOND Ashindwa KUJIZUIA, BABA LEVO Akifanya VITUKO VYAKE kwenye GARI, Watu WOTE HOI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @macklinemkatasa6256
    @macklinemkatasa6256 3 ปีที่แล้ว +31

    Kama unamkubali baba levo gonga like tujuane

    • @nastonjuma5306
      @nastonjuma5306 3 ปีที่แล้ว +1

      Baba levo tunakupenda sana

  • @husnaali36
    @husnaali36 3 ปีที่แล้ว +10

    Mbosso mbn kanyamxa sanaa😍😍. Team mbosso gonga like

  • @AIPusle
    @AIPusle 3 ปีที่แล้ว +5

    Naona kuna watu wanatamani sana hayo maisha .. kila jambo na wakati wake ! Kuna mda wa kufurahi, huzuni,ukipata time ni kutumia vile Mungu atakuongoza!!.

  • @emanueldaud2360
    @emanueldaud2360 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo ww nomaa

  • @fatumamahungo9278
    @fatumamahungo9278 3 ปีที่แล้ว +11

    Mfike sarama namrudi salama,mana mmejikusanya wote 🙏🙏

    • @johnwilliam2013
      @johnwilliam2013 3 ปีที่แล้ว

      Nakuona ambangile mtaalamu wa kushusha nondo

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +6

    Tz ni nchi ya amani sana mungu ibariki Tanzania🙏🙏🇹🇿🇹🇿

    • @makongoronyerere2595
      @makongoronyerere2595 3 ปีที่แล้ว

      Syo aman futa hyo kauli yako, sema ninch yawatu waoga Kama utaminyana utajua mwenyew

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว

      @@makongoronyerere2595 Duh kumbe🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

    • @mayajuwair5301
      @mayajuwair5301 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salomewandya7257 achana na huyu bwana amani sana tz🇹🇿😍

  • @daudyasini2412
    @daudyasini2412 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo another level

  • @mlenglewis1747
    @mlenglewis1747 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba levo hawezi angalia mbele kama wengine😂😂😂😂

  • @halimomar1617
    @halimomar1617 3 ปีที่แล้ว +8

    Uyo ndo baba levo tunakpenda bure

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 ปีที่แล้ว +2

    Simbaaaa

  • @mujunior1731
    @mujunior1731 3 ปีที่แล้ว

    B baba

  • @ahmedlao7273
    @ahmedlao7273 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaaan namkubali baba levo mpk basi yaan

  • @maulid1950
    @maulid1950 3 ปีที่แล้ว +6

    Tulio sikia tusi na k""""""""Mae gonga like apa

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l หลายเดือนก่อน

    Sasa kwann bb levo afanyi comed mana kila safar bb levo anachekesha khaa

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 ปีที่แล้ว

    Hii nimependa sana. Bosi kujichanganya na watu wake katika gari moja

  • @niyonsabasaada7831
    @niyonsabasaada7831 3 ปีที่แล้ว +6

    Vicha2 wamekutana yam levo na gigy borawangekuwa mukenamume

  • @worldboy1726
    @worldboy1726 3 ปีที่แล้ว +1

    Bana Apo Diamond ayuko VIP

  • @idrissamakungu5966
    @idrissamakungu5966 3 ปีที่แล้ว

    Hawa watu wanashunga dunia tuuu hatari mukumbuke uko xk mtakufa na kuna maisha ukoo

  • @optatusgkaloba4393
    @optatusgkaloba4393 3 ปีที่แล้ว +4

    Watu wakula raha jamani humo ndan mna kila kitu dah!

  • @friesinger0963
    @friesinger0963 3 ปีที่แล้ว

    Ndooo mjuwee wanzanzibar hawapendi shoobo

  • @jerryswax425
    @jerryswax425 3 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaaaaaaahhh

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว

    Bora ungemsemea Giggy na Baba Levo

  • @worldboy1726
    @worldboy1726 3 ปีที่แล้ว +3

    Bana nyinyi munafuraisha 👈😂😂😂😂🎙️🤦

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 oh my goodness

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 ปีที่แล้ว +5

    Hapo diamond mabaunsa wake wanamfuatilia nyuma ya iyo kosta hawamuachi. 😁

  • @shiahkarbalah1990
    @shiahkarbalah1990 3 ปีที่แล้ว +1

    ihi

  • @ashraphayubu3807
    @ashraphayubu3807 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo diamond unamjua?

  • @miriaadam4874
    @miriaadam4874 3 ปีที่แล้ว

    Lakini hii bus ina makiketi ngapi,I see random sitting 😁😁😁😁🤭🤭🤭

  • @innomsangi5321
    @innomsangi5321 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyo Diamond yupo wapi hapo???kama mmekosa chakupost vungeni, viewers hawatafutwi kwakufosi!!!!!! Ukisikia ukanjanja ndio huo

    • @jollieeezely100
      @jollieeezely100 3 ปีที่แล้ว

      Ndio dereva

    • @johnson20176
      @johnson20176 3 ปีที่แล้ว

      Kwani umeitwa huku kafie mbali huko we mwehu nnn

  • @abdulkassim976
    @abdulkassim976 3 ปีที่แล้ว

    Manina zenu

  • @bestinarajabu34
    @bestinarajabu34 3 ปีที่แล้ว

    7

  • @magrethjohn8576
    @magrethjohn8576 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi siku hizi Edo kumwembe anafanya kazi wssafi??

    • @abdulkassim976
      @abdulkassim976 3 ปีที่แล้ว

      Hapana, anafanya kaz wachafu sio wasafi

  • @isackcabysa1580
    @isackcabysa1580 3 ปีที่แล้ว +1

    Ambangile kama ambangile

  • @thomasmrageri8745
    @thomasmrageri8745 3 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kudere anadelaaa hapo

  • @dogolazari830
    @dogolazari830 3 ปีที่แล้ว

    Wasafi imeshika mbaya zuchu nakuona unaongea sana bt msimnyoe van boy

  • @ayshakayeko2043
    @ayshakayeko2043 3 ปีที่แล้ว

    Corona ziiiiiiijj

  • @roi2553
    @roi2553 3 ปีที่แล้ว +1

    Gigy vitu vyake ivyooo sijui amba lulu wa mauno costani yuko wap

  • @salumanadsalumanad5900
    @salumanadsalumanad5900 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna siku tutapata msiba wa taifa

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 3 ปีที่แล้ว

      Sio mawazo mazuri

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว

      Utaanza kufa wewe

    • @ashamagembe8089
      @ashamagembe8089 3 ปีที่แล้ว

      Wewe utabaki

    • @gibsonntamamilo490
      @gibsonntamamilo490 3 ปีที่แล้ว

      Wewe nipumbavu kuwaombea wenzako mabaya. Mungu anajua atakushughulikia.

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 3 ปีที่แล้ว +1

      Naamin hajamaanisha vibaya kuongea hvyo sema weng ndio mmemuelewa vby,ni kwel hatuombei ila ikitokea ajal kwa walivyo huo utakuwa msiba mkubwa

  • @zach4068-c9e
    @zach4068-c9e 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣