Wasifu wa Yesu. Na Pr Dominic Mapima

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2018
  • Uchambuzi kuhusu Uungu wa Yesu na Utatu Mtakatifu.

ความคิดเห็น • 71

  • @barnabasanga7552
    @barnabasanga7552 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana PR.Mapima kwa mafundisho mazuri.wakristo wamekuwa wakiyumbishwa na wapinga kristo

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi Dr.Prince Katega II nimetafiti na ninao uhakika kuwa, Yesu sio kiumbe na wala hakuwahi kuishi duniani katika mwili.Ni jina la kisa asili. Yesu ni jina la Kigiriki " IESUS CHRISTOS".Issa bin Mariam na Yesu ni vitu viwili tofauti.

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyeandika hayo maandiko yanayoitwa ya Yohana ni yuleyule Mrumi.Hakuna jina Yesu katika hiyo Johana.

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi sote na viumbe wote asili yetu ni ya ki'Mungu.Hata miti,wanyama,wadudu vilikuweko kabla ya Ibrahim.

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 2 หลายเดือนก่อน

    Biblia ni maandishi ya.haohao waliolitunga jina Yesu

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo yangu ukitak iite Kategaosis

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 2 หลายเดือนก่อน

    Issa sio Yesu

  • @esterjoseph670
    @esterjoseph670 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa kamanda.

  • @sangitosumari8261
    @sangitosumari8261 4 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu uko vizuri ubarikiwe sana nawezaje kuputa cd au flash za haya masomo yako maana yamenibariki sana nami ni mwanafunzi theologian

  • @franciskabila8136
    @franciskabila8136 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mchungaji wangu umenibariki sana

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 5 ปีที่แล้ว +1

    Tumeenda sawa mtumishi ufafanuzi mzuri yesu aliwepo kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu

  • @sixbertrweyemamu8928
    @sixbertrweyemamu8928 5 ปีที่แล้ว +1

    Vema saana pr. Mapima. Razima Kweli ifunuliwe kwa hari yoyote. Barkiwa sana mtu wa Baba.

  • @pippipa920
    @pippipa920 4 ปีที่แล้ว +2

    Nitaomba juu yako na pia nitaomba tupate walimu wa dini wawe wengi na wawe kama wewe maana umenipa maneno nimepata ujasiri wakusema yesu ni mungu ana uungu ndani yake

  • @stanslasskilingo5405
    @stanslasskilingo5405 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaa tungepata walimu kama wewe wengi wengi ingekua vizuri kweli yani,

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukitaka kujuwa kwa nn yesu kasema hivo anza juu ndo Utajuwa kwa nn kamanisha hivo

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji kweli neno laweza kumtangulia mnenaji

  • @leonardgewa5875
    @leonardgewa5875 5 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu wanauliza km Yesu ni mungu mbona alipokufa alisema mungu wangu mbona uneniacha . Naomba ujeutufafanulie hio kitu ili uzidi kutujenga katika imani yetu ya kikikristo

    • @rashidikadu21
      @rashidikadu21 5 ปีที่แล้ว

      yesu.....ni mja wa mungu au tafsir nyengine mtume wa mungu sawa mungu hana baba ana mama na wala ajafanana na k2 chochote......?
      He said: "I am indeed a servant of Allah: He hath given me revelation and made me a prophet;

    • @hassansalim9498
      @hassansalim9498 5 ปีที่แล้ว

      Yohana 20 :17 Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

  • @geofreymbila4089
    @geofreymbila4089 5 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana mwalimu

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

    Waambie awo wamezidi kutuchafua kumchafua yesu2 waambie awo

  • @leahonsala2423
    @leahonsala2423 5 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe pastor Mapima

    • @hassansalim9498
      @hassansalim9498 5 ปีที่แล้ว

      Yohana 20 :17 Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

    • @njiasalamatv4794
      @njiasalamatv4794 4 ปีที่แล้ว

      Barikiwaaa

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 2 หลายเดือนก่อน

    Maandiko yameandikwa na nani? Sisi wote tuko na asili ya ki' Mungu maana sote tumeumbwa na Mungu.I wish niipate contact ya huyu Mwalimu.

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 5 ปีที่แล้ว

    Kwa sababu Mungu ni mmoja na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja mwanadamu Kristo yesu.Timothy 2:5

    • @esterjoseph670
      @esterjoseph670 2 ปีที่แล้ว

      Mungu ni roho c mwili elewa unacho fundishwa Yoh 1:14

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

    Naomba ufafanuzi juu ya wale wanaosema Yesu hakufa

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Mw.Mapima,Danniel,zebedayo,chaka,Kobelo,jasper nawengineo hii ndio timu tosha ya Yesu iwafundishe waislamu kua Yesu ni Mungu wakweli na ndivyo alivyo

    • @rashidikadu21
      @rashidikadu21 5 ปีที่แล้ว

      mungu gani anakufa? na mungu hana tabia ya kubadilika badilika soma bible vzr.......? mbna sehem nyengine asomi

    • @hassansalim9498
      @hassansalim9498 5 ปีที่แล้ว

      Masikini upotevu hatari

    • @hassansalim9498
      @hassansalim9498 5 ปีที่แล้ว

      Yohan 20 :17 Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

    • @hassansalim9498
      @hassansalim9498 5 ปีที่แล้ว

      Yohana 20 :17 Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

    • @hassansalim9498
      @hassansalim9498 5 ปีที่แล้ว

      Yohana 20 17 Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

    Mapima nakukubali aswa uyo anojiita mzinge kaziyake kuchafua ukristo2 mwambie mazinge nifala ajui biblia

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Kwanza Hilo jina mazinge kikwetu matusi makubwa kwahyo happy alipo Hana jipya

  • @gladysjosephmacharia3250
    @gladysjosephmacharia3250 5 ปีที่แล้ว

    hallelujah

  • @salmamrisho3330
    @salmamrisho3330 ปีที่แล้ว

    Yesu alisali vp alipo kuwa hapa dunian? Maana kila dhehebu wana namna yao ya kusali. Maandiko yanasemaje? Tafadhar tusaidie

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 5 ปีที่แล้ว

    Ww tupe andiko moja tu pale yesu alipo sema mm ni Mungu wacha mazungumzo mingi mandiko ndo tunataka

  • @gladysjosephmacharia3250
    @gladysjosephmacharia3250 5 ปีที่แล้ว

    mimi ni msifu wa yesu?

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 5 ปีที่แล้ว

    Utupe majibu

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +1

    Leonard Gewa: Quruan inamtaja Yesu ni neno litokalo kwa Mungu, Biblia ktk kitabu Cha mwanzo inasema, hapo kale alikuwako neno, naye neno alitoka kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu. Hiyo ni Biblia takatifu. Nadhani wameshapata jibu hao Waislam! kupitia Bible na Quruan!

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

      @Abdulhalim Mohamed:Kama mpaka hapo bado hujaelewa tu itakuwa una tatizo kubwa, na kama siyo pepo!

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

      @Abdulhalim Mohamed :Sibishanagi na wabishi tangu dunia ianze, nna mengi yakufanya, nilichoandika namaanisha mana nimesikiliza kwa utulivu na nimeelewa. Nyie mnafaa mkajifunze kukatana vichwa na kuuana kwa kupigwa na mawe ndo sheria zenu zilivyo! humu au haya ya Yesu muachieni Hamza Issah!

  • @makenzipareto8042
    @makenzipareto8042 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @senejumaa6197
    @senejumaa6197 5 ปีที่แล้ว

    mifano mizuri sana lakini at the wrong place

    • @rajabukassim9891
      @rajabukassim9891 5 ปีที่แล้ว

      5:37 yohana Baba nae alienipeleka amenishudia,sautiyake haijawahi kusikika wakati wowote wala surayake hamjawahi kuiona !!? Kwa hy usidanganye watu kuwa yesu ni mung

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      @@rajabukassim9891 ukiamn amn uspoamn acha hatukupg kwa mawe usiogope njia yako uliyopo itakupga

  • @omarmgeni8782
    @omarmgeni8782 3 ปีที่แล้ว

    QURAN yetu hatutaki ongeleeni UKAFIRI wenu2

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Kwahyo we mungu hata tukuogope? na majin yenu kwenda huko

    • @davidpaulmungai5131
      @davidpaulmungai5131 ปีที่แล้ว

      wewe punguani wa akili kilaza wa maisha

  • @tuliitulizana3459
    @tuliitulizana3459 5 ปีที่แล้ว

    Watu wangu wamekuwa kama kondo walio pote na wachungaji wao wamewapoteza

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

    Sorry hapo mwanzo na siyo kale!!!

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Hauna maajabu😏😏😏 ndo yaleyale

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

    Kwenye kuran katajwapia ni roo wamungu Sasa wakataa nn awo mashetan yawachanganya Kwanza awawezi kutafsir biblia wanna tafsir wanavyo weza Wai kunamajitu ayana imani wakristo wenzetu walivyo kuwa wajinga wanabadilishwa dini Kama njugu wakidanganywa kidogo2 nawasilamu waongo basi wabadilishwa din

  • @hassansalim9498
    @hassansalim9498 5 ปีที่แล้ว

    Huna lolote ulilo nalo ispokuwa dalili za kipagani pagani tu bass

    • @rajabukassim9891
      @rajabukassim9891 5 ปีที่แล้ว

      Utawaongopea wenye uelewa mdogo

    • @rajabukassim9891
      @rajabukassim9891 5 ปีที่แล้ว

      Kwa hy yesu ndoalimuanzisha meanadam

    • @rajabukassim9891
      @rajabukassim9891 5 ปีที่แล้ว

      Hapo ndo utaona maajabu et mtu amesoma anatetea et yesu Mungu lakini chaajabu yesu wanamsemea Ila yesu mwenye we Hamna maali katka bibilia anapojisemea mwenyewe kama yeye mungu

    • @steventitus2174
      @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

      Ww usemiyako yashetan kulala misikitin nakusoma mashairi2 kwataarifa yako yesu kafanya miujiza 11 muamad kafanya mangap Zaid yauchaw2

  • @suleimanali8317
    @suleimanali8317 5 ปีที่แล้ว

    kuna mtu anaitwa Yussuf Wambugu nenda akusaidie maarifa,inakuwaje neno litangulie kabla ya mnenaji.
    kawaida ya Allah akileta kitabu natuma na nabii sasa biblia alipewa nabii gani?

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Sasa yy mwenyewe neno alafu wataka kitabu? Hakka sio ww ila Ni hilo jini ulilonalo linalokupelekesha usiamn ili ukaokolewe