JE YESU ALIKUJA KWA ULIMWENGU MZIMA AU ISRAELI PEKEE?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 33

  • @junicnamuwenge6957
    @junicnamuwenge6957 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen mungu awabariki sana🙏🙏🙌🙌🇺🇬

  • @enockmkasulu3573
    @enockmkasulu3573 4 ปีที่แล้ว +1

    hakika mnanibariki na nyinyi mbarikiwe kwa kazi kubwa muifanyayo mungu hatowaacha kamwe kwenye ufalume wake

  • @hugowilfredlukoo4971
    @hugowilfredlukoo4971 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ndio faida ya kusoma na kuwa mtafiti wa kimaandiko sio kubishana na kutukana mbarikiwe sana

  • @gablielsamwely1081
    @gablielsamwely1081 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmechambua vizuli sana nawapenda sana from Tanzania

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      HAMNA LOLOTE. YESU KATUMWA KWA WAYAHUDI HAWAHUSU. MATAYO 15:24)

  • @winniehall5569
    @winniehall5569 4 ปีที่แล้ว +1

    "Akatuvusha mpaka binguni. Hili ndiyo tumaini la wanaompenda Isa bin Mariam waliokombolewa na damu yake. Bei Kali sana." Asanteni kwa hili somo ndugu zanguni.

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 3 ปีที่แล้ว +2

    asanteni mimi nipo kigali rwanda

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 4 ปีที่แล้ว +1

    nawapenda sana walimu wakiislamu kwakua waziwazi kuonyesha uthaifu wao wa elimu ilipowafikia ,maana hukita tu kwa andiko moja. sio vibaya ila nikuonyesha elimu yoa ya uelewa ndipo ilipo fikia, bali, walimu wakikikristo nimaprofesa

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna mkristo mwenye akiri. Akiri yakumuabudu yesu hiyo akiri. Ukristo ufreemason

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 3 ปีที่แล้ว

    mada ambayo mlio izungumzia wala hamku ifafanua kama ipasavyo bado bado sababu yesu mwenyewe bado hakutuma mtou yeyote kwa walimwengu

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 3 ปีที่แล้ว

    bali ni paulo jamani yesu hajazungumzia mataifa mengine mimi hua na benda kufata izo debet

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 ปีที่แล้ว

    Unajua ninimaana yamkazo Mimi sijawapatavizuri kuhusu mkazo hivi kweli maana ya mungu kusema kwawanawaisraeli .lazima awaonye waistael siokwawatuwote msipotoshe maanaya mkazo

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Hata aibu huoni 😜😜😜ningekua ww ningekaa kimya

  • @kasandapatrick1762
    @kasandapatrick1762 3 ปีที่แล้ว

    Yesu hashubuliki na wewe kama hauamini kama hunaimani ya MUISRAEL... yule mkanani aliyakiwa alionekana ni mkanani kwa umbo la nje lakin imani yake niya MUISRAELI kama mimi sio MUISRAEL lakin nina imani ya MUISRAEL (MUISRAEL wa KIROHO)

  • @ismailkaita8183
    @ismailkaita8183 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini mnajifungia chumbani mnajadiliana wote wa dini moja badala ya kukutana na waislamu kama mnasema kweli

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Lengo lao sio kubishana huu sio wakt wa kubishana Ni wakat wakupeana maalifa yakimungu sio kimtu flani uktaka kaa ueleweshwe

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 ปีที่แล้ว

    Lengo kwamama huyo ulikua nininimtot wake apona ama??. Huyo binge kasema isaq nimtot waviuno siomkweli kakosea

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 2 ปีที่แล้ว

    HALAFU HILO TAIFA LILIMKANA YESU TOKA LINI BINADAMU AKAMUUA ALIYEMUUMBA? YULE ALIYEULIWA NI MTUME WA MUNGU, NA NDIYO MAANA HADI LEO ISRAEL INALAANA INAUA WATU HOVYO.

  • @tresorkihungu4156
    @tresorkihungu4156 3 ปีที่แล้ว

    Nataka nambar kutoka kwenu niweze kujifunza

    • @tresorkihungu4156
      @tresorkihungu4156 3 ปีที่แล้ว

      JC awabariki Sana kwahiyo Walahi nilikua napenda nijuwe na quaran pia

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 2 ปีที่แล้ว

    MNAKAZANA KUONGEZA MAONI YENU YA KICHWANI BILA KUONGELEA POINTI,MBONA MNATULAZIMISHA WAISLAMU TUAMINI KUWA YESU NI MUNGU? HALI YA KUWA YESU SI MUNGU? NYIE JIAMINISHENI MLIVYOAMINI NA WAACHENI WAISLAMU WAAMINI WALIVYOAMINI. YESU SI MUNGU NI MTUME WA MUNGU, KWA HIYO KWENYE BIBLIA KUNA ALIYOTAMKA YESU NA ALIYOTAMKA MUNGU.

  • @kasandapatrick1762
    @kasandapatrick1762 3 ปีที่แล้ว

    Mm natofautiana na nyie , nasema ivi nyie hamuelewi maana ya MUISRAEL/TAIFA LA ISRAEL.. Sikilizen kwa makin niwafundishe , apa kuna makundi mawili
    1. ISRAELI - watu wanao muamini Mungu muumbaji (Mungu wa ibrahim, isack & yakobo- ndiye aliye mtuma Yesu)na kufata amri zake
    2. MATAIFA - watu wanao amini miungu wengine (sio Mungu wa ibrahim,isack na yakobo)hawafati amri ...
    Sasa ili Yesu akuponye nilazima uwe na imani ya MUISRAEL yani uwe MUISRAELI KIROHO (umwamini Mungu wa ibrahimu - ndiye aliye mtuma -Yesu)yule mwanamke alimwa mini Yesu - aliyetumwa na Mungu wa Ibrahim, isack na yakobo kwamaana hiyo alikuwa mkanani kimwili lakin alithibitisha kuwa Muisrael kiroho ndipo uponyaji ukaji

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 4 ปีที่แล้ว

    Mch. Dominick acheni habari ya kuongea lafudhi ya Kiislamu. Sisi Wakristo tuna namna yetu ya kuongea na hata kumwita Mungu wetu. Kusema Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma japokuwa ni kweli ni mwingi wa rehema, ni kama kuhalalisha Uislamu. Kuliko kuonekana umetaja kama Waislamu, bora kutumia lugha nyingine. Biblia inatutaka kutoka katikati yao na kutengwa nao. Tutengwe nao kiimani, kimatamshi, kimavazi, nk.

    • @HabariNjemaTV
      @HabariNjemaTV  4 ปีที่แล้ว +5

      1 Wakorintho 9:20-23
      [20]Nalikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nalikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe si chini ya sheria), ili niwapate walio chini ya sheria.
      [21]Kwa wale wasio na sheria nalikuwa kama sina sheria, (si kwamba sina sheria mbele za Mungu, bali mwenye sheria mbele za Kristo), ili niwapate hao wasio na sheria.
      [22]Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu.
      [23]Nami nafanya mambo yote kwa ajili ya Injili ili kuishiriki pamoja na wengine.

    • @davisrotich116
      @davisrotich116 4 ปีที่แล้ว

      @@HabariNjemaTV umemjibu vyema yaonekana hakujua kua yanatuhusu wakristo

    • @jamesmgonda
      @jamesmgonda 3 ปีที่แล้ว

      Umemjibu kabisaaaa... Maana Lugha haiathiri kitu

    • @hugowilfredlukoo4971
      @hugowilfredlukoo4971 3 ปีที่แล้ว

      Majibu Safi kabisa

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Sio hoja hiyo hapo hajamtukuza mtu kamtukuza mwenyez mungu mwing wa rehema, km uktaka hivo bas makanisa yaliyoko uarabuni itakuaje