Jana nimepita shule moja ipo karagwe, inaitwa Rwambaiz aiseee nilichokiona ni aibu tupu, maharage na ugari niliouona pale ni mbaya kuliko ule wa magereza, aiseee nimehuzunika sana…
Mimi huwa nashaangaa mtoto ana miaka mitatu eti ameshaanza shule ya awali prepo 1na 2 sijui na 3 mimi nilishasema hayo ni matumizi mabaya ya PESA mtoto wangu atasoma chekechea akiwa na miaka 6 mwaka wa 7 aende shule ya msingi
😂😂 shopping Saikoloji,hii imefanana kidogo na mfano wa wana wali wapumbavu waliotoka kwenda kununua mafuta ya taa zao pindi Bwana harusi anaingia,Matokeo yake wakafungiwa nje.
Wazungu hawataacha kutuburuza kwa maana wao wanatuuzia Lugha yao sisi wakija tunawashobokea tunawafundisha bure. Matokeo wanapewa kwenye bahasha wakafungulie nyumbani hapo kila mtoto hatavuka ktk nafasi ya 5. Jaribu siku uombe matokeo yanayoenda wizarani uone mwanao anavyoburuzwa na watoto wetu wanaosoma kidumu na mfagio
@@paschalcharles3617 nimekuwa kujua Hilo badae na shida nyingine kukosa mwenza aliye sahihi mmoja nimenyoa mwingine ngoja aendelee mwakani arudi kayumba, kabisa kumpeleka watoto private no ujinga
haka ka jamaa kanako muhoji mchokonozi ni kanafiki sana we kuamakini kaangalie tu macho yake, kuna muda kanajifanya kama kanamuuliza swali ambalo lina pinga mawazo ya mchokonozi kumbe kapo pamojanae alafu kana itikia tu, eti mhhh mhhh mhhh.🤣🤣🤣
Mungu awasamehe nyinyi. Hamjui mlitendalo. Kama NI kiingereza mbona hata Kiswahili shule binafsi za mfumo wa kiingereza huwa zinaongoza? Mlienda shule laki ni hamkusoma. Watoto wenu watawatumikia watoto wa hawa mnaowatukana. Sikilizeni wimbo wa Nay wa Mitego wa NITASEMA.
Wachokonozi mkojuu kileleni ata uku kenya tunawapata vzuri sana
Nawafungua sana makufuli vichwani....nazidi kukuza famialia ya wachokonozi....apa MS
Nakubali sawa miamba ya africa mnatuludisha kwenye mstali
Jana nimepita shule moja ipo karagwe, inaitwa Rwambaiz aiseee nilichokiona ni aibu tupu, maharage na ugari niliouona pale ni mbaya kuliko ule wa magereza, aiseee nimehuzunika sana…
Kutoka Nairobi, Niko Ndani Ni kuchokonoa maswala tata
Sikiliza na uelewe usisikieetu. Binafsi nawaelewa sana wachokonozi
Wataelewa tu.. tuko pamoja 👍👍
Ni wachokonozi pekee wanao nifanya nije TH-cam kupata madini kwa ajiri yangu na jamii yangu, shukran sana kwa kutupa uelewa
Hata mm
MB haziendi bure aaiissee 💪
Mimi huwa nashaangaa mtoto ana miaka mitatu eti ameshaanza shule ya awali prepo 1na 2 sijui na 3 mimi nilishasema hayo ni matumizi mabaya ya PESA mtoto wangu atasoma chekechea akiwa na miaka 6 mwaka wa 7 aende shule ya msingi
Oyaee oya oyaaae hii imekaa good Dah nimewaerewa kinyama
nmekuja nahuku😂😂😂😂
❤❤❤Safi kabisa
LINUSI NDIO MCHOKONOZI 😂😂
Wakwanza leooooo😂😂
Au cio
Mrindoko atakupa soda
wachokonooozi ninyi niwataalamu wamambo kweli
🔥🔥👌
Wasema kweli
Umeliona hili eeee, Mimi NIMEONA kitambo, hamna Cha maana private zaidi ya LUGHA ya kiingereza ila content yote ni vile vile na serikali
LKn mlisema hmtak wafuas ila mm niko na ninyi
Mitano tena wachokonozi
Nawapata wazee
ati wakitoka huko waishi maisha private kitaa pia😂😂😂❤❤❤❤❤254
Ila wazazi et shule flan ina faulisha chaajabu mtaara 1
Classmate wangu aliye kuwa mwalimu wa private school alinambia hichi kitu kwamba private school wanafunzi wanatengenezwa tu wala hakuna elimi
❤❤ always
Nipesa tu private na majengo nilishawaikufikiria hili kwann private azifunzi mpira, music,ufindi mbalimbali hakuna nafrai kujazia maarifa toka kwenu
😂😂 shopping Saikoloji,hii imefanana kidogo na mfano wa wana wali wapumbavu waliotoka kwenda kununua mafuta ya taa zao pindi Bwana harusi anaingia,Matokeo yake wakafungiwa nje.
Asanteni kwakuendelea kutoa huo ukweli mchungu 😂
Wazungu hawataacha kutuburuza kwa maana wao wanatuuzia Lugha yao sisi wakija tunawashobokea tunawafundisha bure. Matokeo wanapewa kwenye bahasha wakafungulie nyumbani hapo kila mtoto hatavuka ktk nafasi ya 5. Jaribu siku uombe matokeo yanayoenda wizarani uone mwanao anavyoburuzwa na watoto wetu wanaosoma kidumu na mfagio
mdogo wangu analipiwa kwa mwaka m7.6 , ye Ameomba Ada ya mwaka mmoja aanze biashara wasimlipie miaka miwili hii ipo sawa?
👍👍👍👍
watatu leo
Utapewa bando na mrindoko
😂😂😂punguzeni sauti ndo tushawapeleka hatuna namna
Unachofanya wewe ni matumizi mabaya ya PESA TU mtaala ni ule ule Bora ungempeleka sandekayumba tu😂
@@paschalcharles3617 nimekuwa kujua Hilo badae na shida nyingine kukosa mwenza aliye sahihi mmoja nimenyoa mwingine ngoja aendelee mwakani arudi kayumba, kabisa kumpeleka watoto private no ujinga
💪💪💪💪💯
Ni kweli kila unachowekeza kinatakiwa kikuzalishie apa ndio narudi kwenye mawazo ya yule mzee kishimba anayotoaga bungeni asee mko sahihi
Sio Kila kitu una sapoti fikiri kwanza je kama mtoto ana umri mdogo utampa kaz gan
@IsakoKino mzee wewe undoka kwenye hio akili ya kimaskini ulionayo dunia iko mbali sana kiasi kwamba ww ni toleo la mwisho
duuh bila nyie tusingejuah dini na elimu vinatungiza kwenye mifimo ya watu
Mtanifundisha utune mbwa nyie 😂😂
✅✅✅✅✅
Mm mwanangu ana miaka ni 4 chekechekea teyale hapend shule 😂😂
Kbs yaan ila tunawafos tu
😂😂😂 hatar sana
Nikweli kuhusu mtawala waelim yenyemajukum wakuubadilisha ni wananchi sirikali haitokaiweze kwasababu sikaliyetu inawaenzi wakoloniwao
Leo sjawaelewa kwakwel
Kweli watoto hawapendi kwenda shule, hayo maamuzi tunaita " normative decision"
Privet school zinafundisha watoto ku kalili maneno ya kingereza na sio wasomi
Wachokonozi kwa hili mmechemka kwami elimu ya bure haina maana yoyote. Nay wa Mitego AMKENI
Dah leo nimechelewa dakika 10
Kesho uwahi mrindoko atakupa bando la wiki
😂😂
haka ka jamaa kanako muhoji mchokonozi ni kanafiki sana we kuamakini kaangalie tu macho yake, kuna muda kanajifanya kama kanamuuliza swali ambalo lina pinga mawazo ya mchokonozi kumbe kapo pamojanae alafu kana itikia tu, eti mhhh mhhh mhhh.🤣🤣🤣
Kananogesha uchokonozi!
Joseph mrindoko natamani ugombee URAIS
Mpe urais
Ameshakwambia hataki dini Sasa Kuna serikali bila dini
Alafu awe.Rais wa familiayenu😂
We tutaishi kama mbuzi akae Tu hukohuko 😂😂 huyu mtata Sana
Gombea ulaisi ubadirishe mitazamo yawatu
Magufuli wetu
Nikweli watoto hawapindi shule
Mimi ninaendaga shule Kwa sababu ya demu Wangu na marafika zangu na kucheza mpira Ila siendagi shule Kwa sababu ya Kusoma naishi marekani
Kwa nini sasa
@Catherine-mh8sw kwa sababu ya my future wife 😂😂
@MuganwaPatrick-jy3fx yani nimecheka mie. Kusoma hutaki unafata demu na mpira tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@MuganwaPatrick-jy3fx Marekani sehemu gani unakaa
Tuliopeleka watoto tupo wengi,Hadi Baba zenu😂😂😂!!!
Sio kosa kupeleka ila isiwe kwa mkumbo ndio kinacho zungumzwa
Ni kweli wengine mikumbo
Mm nimekataa wangu yupo serikali ila ukimleta wako wa private anagaragazwa mavumbini.
@@mwasoprince3459 kweli eee!
Wewe mbona ulisomeshwa ikizu unamaanisha wazazi wako walikuwa wajinga kukusonesha huko ikizu?.
Kwani wazazi hawawez kuwa wajinga? Maana hata wewe ulivyo mjinga unaweza kuzaa kesho, unadhani ukizaa ujinga unaisha?
Mungu awasamehe nyinyi. Hamjui mlitendalo. Kama NI kiingereza mbona hata Kiswahili shule binafsi za mfumo wa kiingereza huwa zinaongoza? Mlienda shule laki ni hamkusoma. Watoto wenu watawatumikia watoto wa hawa mnaowatukana. Sikilizeni wimbo wa Nay wa Mitego wa NITASEMA.
Naona wachokonozi wanaongea kuipamba serikali hamna cha maana walichoongea stupid shenzi kabisa😂😂
𝕍𝕚𝕫𝕦𝕣𝕚 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕜𝕒𝕜𝕒✅
Hawa jamaa ni wajinga
Kama niwajinga wewe utakuwa nani? 😂😂