NABII MKUU AFICHUA SIRI KUHUSU BIBLIA - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 280

  • @TheopistaGervas
    @TheopistaGervas 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante sn kwa Mafundisho na Ufumbuzi huu wa Ethiopian Bible 88. Mengi tume fichwa Baba. Natamani nisikilize Vitabu 22 kutoka kwko. Asnte Barikiwa sn.

  • @juxtin6o
    @juxtin6o 9 วันที่ผ่านมา +8

    Bwana yesu yuko mbioni kuchukua kanisa hakika kile kilichonenwa kwenye biblia takatifu ni dhairi na ni hai. wale wasio itiii sauti ya mwnyezi mungu na shauri lake wataangamia, ewe mchungaji usietakaswa ila uliepotoka nawe mvua ya hukumu ya bwana yesu kristo na ikupate. na maneno haya bwana yesu yatie muhuri amen

    • @nishatiog5379
      @nishatiog5379 6 วันที่ผ่านมา

      Yesu hakuja kuangamiza...Je wewe hayamawazo umeyatoa wapi?😊

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 4 วันที่ผ่านมา

      @@juxtin6o soma ufunuo 6 na wewe .na ufunuo 8 yote,acha kupotoka

  • @SimonMathu-h5e
    @SimonMathu-h5e 9 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu amekuanika wazi

  • @RithaPhellan-qw3uh
    @RithaPhellan-qw3uh 13 วันที่ผ่านมา +10

    Kuna mengi sana yamefichwa....
    Tumekaririshwa kuwa waoga,ati itakuwa dhambi kuchimba kuhusu imani oooh tutamkosea Mungu si kweli...

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 13 วันที่ผ่านมา +1

      @@RithaPhellan-qw3uh kwahy wewe unapingana na Biblia au unapingana na Neno la mungu kwamba linajitosheleza?

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 9 วันที่ผ่านมา

      @@RithaPhellan-qw3uh tupe neno linalokuruhusu hivo,mawazo yako si ya kiMungu

  • @WATUWEMAMUSIC
    @WATUWEMAMUSIC 9 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu anajuwa kuwa anawapotesha mwisho ametumia fumbo amini mungu vile unamuamini shika sana ulichonacho hakili kichwani hapo.

  • @TzMose
    @TzMose 9 วันที่ผ่านมา +4

    🎉hiiiiiii tatiso sasa mpinga kristo uyo Katia timu

  • @thomasmchau9862
    @thomasmchau9862 14 วันที่ผ่านมา +15

    Hivyo vitabu vyoooote ni starter tu... Engine nzima ni hii hapa.
    “Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.

    - Yohana 16:13 (Biblia Takatifu)

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 13 วันที่ผ่านมา +2

      Biblia hii tuliyo nayo Kuna maneno mengi hayapo mm ninacho kitabu Cha Enoch kina vitu vingi Sana na uhalisia wa Mungu kuliko ufunuo umezidiwa

    • @Jastus100
      @Jastus100 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@EriyaRichardnisaidie nikipate kitabu cha enock nakitafuta

    • @thomasmchau9862
      @thomasmchau9862 13 วันที่ผ่านมา

      Vitabu vyooote mwishonwake inatakiwa uwe na UPENDO...vilikuja huku duniani kwa lengo moja Mwanadamu awe na UPENDO Tu... Mungu ni pendo. kweli ni neno la Pendo.
      “Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.

      - Mathayo 22:40 (Biblia Takatifu)
      Viwepo vyote viwepo vichache
      Mwenye Upendo ana vitabu vyoooote..

    • @thomasmchau9862
      @thomasmchau9862 13 วันที่ผ่านมา +1

      “Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.

      - Yohana 16:13 (Biblia Takatifu)
      Hakusema itakapokuja biblia ya Ethiopia

    • @dennissiriwa2233
      @dennissiriwa2233 13 วันที่ผ่านมา

      @@EriyaRichard Henoko amenenwa kama nabii ktk biblia, na kutwaliwa na Mungu kwa sababu ya imani yake, hata Yuda mtume wa Yesu ameongea habari zake pia, na zinaaminiwa maana zinatoa ufafanuzi zaidi na kwa kina wa yaliyomo ktk biblia halisi, si kwamba hayamo kabisa, mfano habari za majitu, malaika walioasi, na wanefili hayo yote yapo kwny biblia halisi, ila Henoko ameeleza kwa upana zaidi. Hakuna kilichomo ktk kitabu cha Enoch ambacho hakipo kwny vitabu 66.

  • @JenifaJohn-v1c
    @JenifaJohn-v1c 7 วันที่ผ่านมา

    Baba baba naomba ujumbe wangu baba ukufikie mimi nimuumini wako nipo geita naomba baba nipate ata msaaba wakufika apo kanisan natamani namimi nishiliki ibada pamoja naww baba wewe ndie mungu kakutea kusema ukwer baba naomba baba

  • @JenifaJohn-v1c
    @JenifaJohn-v1c 7 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu Baba baba naomba ujumbe wangu baba ukufikie mimi nimuumini wako nipo geita naomba baba nipate ata msaaba wakufika apo kanisan natamani namimi nishiliki ibada pamoja naww baba wewe ndie mungu kakutea kusema ukwer baba naomba baba

    • @Priscus-w1o
      @Priscus-w1o 7 วันที่ผ่านมา +1

      Msikilize vizuri hayo anayo ongea sio Mungu kamwambia Bali kafanya utafiti kuchunguza vitabu Hana hata Roho mtakatifu waku mjulisha

  • @carolicarlos8699
    @carolicarlos8699 11 วันที่ผ่านมา +3

    Sawa nakubali by hivo havijavuviwa na roho mt.

    • @MeshackMalick
      @MeshackMalick 10 วันที่ผ่านมา

      Nani alisema havija vuviwa na roho mtakatifu?

    • @johntambwe9980
      @johntambwe9980 10 วันที่ผ่านมา

      Roho mtakatifu ni nani?

  • @jaymoe5920
    @jaymoe5920 8 วันที่ผ่านมา +2

    Watu awapendi ukweli 😅. He’s right

  • @NokaKuzen
    @NokaKuzen 14 วันที่ผ่านมา +5

    Watumishi wengi hawasemi haya.asante sana GD hapo uko sawa ukweli upo na Mwenye nguvu za asili Yupo Muumba wa vyote vionekanavyo na visivyoonekana safi sana

    • @AbuuAssalafy
      @AbuuAssalafy 11 วันที่ผ่านมา

      Kuna mtu mmoja anaitwa Gino Jennings ni mchungaji mtu mweusi wa marekani,anasema hakuna Jina la kitabu Cha mungu kiitwacho biblia ni holly scriptures.

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje 10 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekwelewa mtumishi

  • @thomasmchau9862
    @thomasmchau9862 14 วันที่ผ่านมา +5

    “Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa.

    - Yohana 16:12 (Biblia Takatifu)

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 14 วันที่ผ่านมา

      Manake yapo kwenye kitabu cha ufunuo

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@maxmillanayo2979unajua kitabu Cha ufunuo wasinge weka wangeweka kitabu Cha Enoch maana kitabu Cha Enoch imejaa vitu vingi zaidi kuliko kitabu Cha ufunuo

    • @dennissiriwa2233
      @dennissiriwa2233 13 วันที่ผ่านมา

      Endelea mistari inayofuata basi mbona umeishia njiani

    • @thomasmchau9862
      @thomasmchau9862 13 วันที่ผ่านมา

      @@dennissiriwa2233
      Kila neno kila sentensi inaujumbe wake.. hatusomi kama kitabu cha historia..

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@thomasmchau9862ndomana hata kanisan hamafundishwi bible literature ukijua Hilo utajua Ving

  • @edwarddaud6785
    @edwarddaud6785 14 วันที่ผ่านมา +1

    Major prophet....

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeipenda hiyo😊

  • @AnethMasaki-c5f
    @AnethMasaki-c5f 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nampenda hivi baba,Asante Kwa maarifa.🎉🎉🎉❤❤🕊️🕊️🕊️🦅🦅🦅👌🏼

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 12 วันที่ผ่านมา

      @@AnethMasaki-c5f Baba ni mmoja tu,naye ni mungu mathayo 23:9,jamani tokeni uko mlipo,kwahy mnapingana na YESU???

  • @DulleSalehe
    @DulleSalehe 12 วันที่ผ่านมา +2

    🎉. 🎉🎉❤❤saaafiii mkuu++@ MUNGU akupe MIAKA mingi kuishi duniani@

  • @amanzuberi2138
    @amanzuberi2138 8 วันที่ผ่านมา

    Allah Akbar. Ni kweli kabisa kwa mujibu wa injil hakuna sikukuu ya uzazi wa yesu tarehe 25/12

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 10 วันที่ผ่านมา +2

    Nabii umeongea vitu vizito sana

  • @DavidChacha-c5z
    @DavidChacha-c5z 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtumishi anajisikia sana. Sijawahi kuona unyenyekevu wa Kimungu ndani ya hotuba zake.

  • @SamwelSoya-y5u
    @SamwelSoya-y5u 11 วันที่ผ่านมา +1

    kabisa kabisa kabisa ni kweli kabisa.

  • @yohanaminga5638
    @yohanaminga5638 13 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana big up bro

  • @abubakaranwar337
    @abubakaranwar337 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi Nina amini 100👍👌

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 11 วันที่ผ่านมา +5

    Na bado, BIBILIA itapunguzwa sana vitabu vingi, maana kuna vitabu vingine havina tija kwa nyakati hizi, na zijazo, lakini haitufanyi tuache ukristo.

    • @danieljoram8533
      @danieljoram8533 10 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo ile kauri kwamba neno na MUNGU halitakiwi kupunguzwa sio kweli eti.....

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 10 วันที่ผ่านมา

      @@danieljoram8533 neno la MUNGU ni amri KUU 2, ukizitendea uaminifu, huhitaji kuhangaika na habari nyingine, mfano! Habari ya daudi, kumpiga Goliath, na daudi kuowa wake 300, hizo habari hazina tija kwa nyakati hizi za YESU KRISTO, maana nyakati hizi sio za Israel taifa la MUNGU la kale,,na mataifa waabuduo sanamu na miungu wageni, kwa sasa kila, aliempokea KRISTO kwa kabila zote na mataifa yote atafanyika kua Israel.

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ni Mungu muweza wa yote ,hivyo vitabu Mungu hakushindwa kuviweka wazi kwa uwezo wake ,kama maandiko yalifukuliwa hata ardhini na kwenye mapango lakini vikalindwa Hadi nyakati zilizoamriwa ndipo tukapata Biblia ilio njema na ufunuo imeonya kuongeaza lolote na kupunguza lolote na hiyo ndio muhuri ya Mungu .ila tuu Ethiopia sii mbinguni kwa hiyo hata wao sii zaidi ya mitume na manabii kwamba Kuna ukweli ,(hizi ni siku za mwisho walimu watakua wengi Sana na lengo kupotosha watu wasiingie mbinguni ) Mimi kwa ushauri wangu wanawake huko waache mapambo ya Yezebeli na wakae kama Mungu alivyowaumbwa bila hivyo hukumu ya Mungu itachukua nafasi yake 1petro 3:3-5 na Mwanzo 35:1-5

    • @KelvinSilias
      @KelvinSilias 10 วันที่ผ่านมา

      Katumwa kuzimu huyo kashawashika washirika wake

  • @IvoHaule
    @IvoHaule 11 วันที่ผ่านมา +1

    Amina nabii mkuu na kukubali sana.

  • @12322879
    @12322879 11 วันที่ผ่านมา +2

    Leo nimekuelewa Nabii 👏

  • @Anti-Evils09
    @Anti-Evils09 9 วันที่ผ่านมา +3

    Hekima ya Mungu haitafutwi kwa elimu ya duniani bali kwa ufunuo ya Roho mtakatifu 📌📌📌👎👎👎👎👎

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 9 วันที่ผ่านมา

    Duuuu mnatuletea vitabu vya kututoa kwenye mistari ya Mungu

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeenda Ethiopia Wana makanisa ya methodx church. Anayo ongea ni kweli tarehe zao na zetu ni tofauti. Pia, wao jumapili ni siku kama siku za kawaida

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna kitabu kimoja tu cha uzima.
    Yaani kujifunza tabia ya Uungu ili uishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu.
    Vinginevyo ni upagani na kukosa ufahamu wa Mungu.

  • @Ww.tzd.orginal8305
    @Ww.tzd.orginal8305 9 วันที่ผ่านมา +1

    Musenge shaitwani utakufa vibaya

  • @isayatippe6409
    @isayatippe6409 10 วันที่ผ่านมา +4

    Hivyo vitabu tunavifahamu vyuoni na pia tunajua ni vizuri lakini havina uhai kama vile 66 tulivyo navyo!
    Watakatifu wa kale kwa kuongozwa na Roho wa Mungu walitenga vile 66 kwa kuwa vinatimiza Makusudi ya Mungu kwa binadamu!
    Kwa hiyo mzee katika utafiti wako hakuna kipya ulichokileta!

  • @oscarurio1176
    @oscarurio1176 14 วันที่ผ่านมา +3

    Ameeni

  • @JudithMaziku-tf5os
    @JudithMaziku-tf5os 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 11 วันที่ผ่านมา

    Daaaah hee karibuni katika uislamu hauna shaka na kitabu chake hakijaingizwa hata nukta wazungu walijaribu wameshindwa

    • @teyllalugazia
      @teyllalugazia 11 วันที่ผ่านมา +1

      Sio wameshindwa hakuna nguvu ya Mungu kwanini wajisumbue nacho, mti wenye matunda ndio hupigwa mawe

    • @zeddybass6672
      @zeddybass6672 10 วันที่ผ่านมา

      Hicho kitabu chako og kipo Vatican😂😂😂 na mtume amesema yy si kiroja miongoni mwa mitume hajui atakacho fywa yy wala mtakachofanywa nyinyi mnaofuata 😂😂😂harafu yupo kaburi na yesu you juuu

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 10 วันที่ผ่านมา +1

      @zeddybass6672 mhmm huo ujinga wako tu kuwepo kipo duniani kote ila ni kile kile hakina shaka ndani yake haijawahi kuongezwa hata nukta moja wala kupunguzwa

    • @OfficialAkilinyingi
      @OfficialAkilinyingi 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@zeddybass6672wa2 wadin vichwan zero 😢😢😢😢

    • @MkobaHardware
      @MkobaHardware 9 วันที่ผ่านมา

      dada inabidi ujifikilie sana kwanini biblia inaandamwa sana kuliko vitabu vingine??

  • @kilimaentertainment1687
    @kilimaentertainment1687 13 วันที่ผ่านมา +3

    Kwani leo ndio mnajua.

  • @thomasmchau9862
    @thomasmchau9862 14 วันที่ผ่านมา +4

    “Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

    - Yohana 21:25 (Biblia Takatifu)

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 13 วันที่ผ่านมา +2

      Umeongea vzr lakini Kuna vitabu wame vitoa mm ninavyo huku Mbeya vili takiwa viwekwe kwenye Biblia ya kawaida tena vina vitu muhimu kuliko hata vitabu vilivyopo ndani ya Biblia ya kawaida

    • @Jastus100
      @Jastus100 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@EriyaRichardnisaidie nivipate ulivitoa wap

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 13 วันที่ผ่านมา +3

      ​@@EriyaRichard
      Nini Sasa kiliko jipya kuliko Bibilia la kawaida? Lile la maana si nikujua Mungu, vile aliumba Dunia, vile alimtoa mwanawe Yesu,,vile tunafaa kumkubali Yesu kama mwokozi wa maisha yetu. Nini ingine cha maana Sasa?

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 13 วันที่ผ่านมา

      @mutuasteve2179 Kuna vitu vingine vya kuitawala dunia kama mtoto wa MUNGU hapa duniani na ufanikiwe vime fichwa havipo mule ndiyo maana kanisani waumini wengi maisha magumu ukienda kwa waislam masheli makubwa yote Tanzania Wana miliki wao wakristo wao Wana miliki vibanda vya mama nitulie na wauza vipodozi biashara za kuingiza pesa nyingi wao hawafanyi manake Kuna material hawna watu Hawa kuhusu Mungu WAO ndiyo hapo Sasa ukija kwangu mm nili mwambiaga MUNGU mm nataka nifanikie hapa duniani na mbinguni niingie kwaiyo lazima nitafte maarifa kokote yaliko jifichi kuishi kwa imani2 peke yake hakutoshi.

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 13 วันที่ผ่านมา

      @@mutuasteve2179 ni muhimu kuwa na maarifa zaidi ndiyo maana kwenye Biblia haioneshi Ili watu wawe na nguvu za kiroho za kupitia kawaida Wana bidi wafanyaje Biblia inasema watu wafunge na kuomba waombea Nini watu wawe watakatifu ndiyo wata kuwa na nguvu mbona Kuna watumishi wengi2 hawana nguvu kwaiyo ndugu yangu Biblia siyo mwisho wa maneno ya MUNGU ndiyo maana Kuna Roho Mtakatifu

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 6 วันที่ผ่านมา

    Ayo makofi umempigia shangazi yako😊 mpigie yesu,,,na kelele za shangwe je😊,,,skizeni mm naskiliza maneno yake,napenda,,,we kama unafokas na pesa zake kapataje ilo ni tatizo lako binafsi ndomana mpaka leo uko apo unawaza uchawi usiouona,,,we kama humpend acha ata kuview bas,, video umu yutube ziko nyingi tafta ata muvi uliyoiona rudia,,,mnataka kusema huo umati uliojaa hapo hao ote mazuzu ao,,,kwani hawasikii yanayoendelea

  • @yohanaminga5638
    @yohanaminga5638 13 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi napenda mahubiri yako. Ni mtu unayepembua sana mambo. Tofauti na wengine wanahubiri mapokeo tu. Mimi ni mwalimu wa sekondari hapa mbonea Dar es salaam. Naridhika sana na mafundisho yako. Ni nabii ambaye uko so deep kiroho. Una elimu ya kutosha sana ya mafundisho ya kiroho. Ubarikiwe sana sana sana. Wchungaji watakapokusikiliza watasema wewe siyo wa kiroho kwasababu wengi wanakariri vitu tu huku hawafanyi utafiti wowote kujua mambo. Naridhika sana na wewe nabii. Big up sana.

    • @melkizedck
      @melkizedck 13 วันที่ผ่านมา +2

      Jiulize hivi vitabu 66 wameelewa vyote?

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 13 วันที่ผ่านมา +3

      Nabii mkuu n m1 tu.. Yesu Kristo mwana wa Mungu alie hai..

    • @Gwidohitila22
      @Gwidohitila22 13 วันที่ผ่านมา +3

      Wewe ulishafariki rohoni siku nyingi

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 13 วันที่ผ่านมา

      @@yohanaminga5638 kwani hii biblia aijitoshelezi??alafu unataja na jina kabisa kwa kujiami,hii biblia kila unalotaka lipo humu,hivyo vingine ni wapi iliandikwa vinapatika ethopia

    • @blandinaJoseph-z1h
      @blandinaJoseph-z1h 13 วันที่ผ่านมา +1

      Pole Sana mwalimu kabisa na elimu yako unadanganyika na wahuni wapigaji na wanao peleka watu kuzimu.Kama kweli umeokoka unajipoteza Kama hujaokoka no sawa tu endelea

  • @alexchilo5674
    @alexchilo5674 12 วันที่ผ่านมา +2

    Bibilia inasema katika kitabu cha ufunuo 22:18 namshuhudia Kila mtu ayasikiae maneno ya unabii wakitabu hiki mtu yoyote akiyaongeza mugu atamwogezea hayo mapigo yalio andikwa katika kitabu hiki namtu yoyote akiodoa lolote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki mugu atamwondolea sehemu yake katika ule muti wauzima nakatika nakatika Ule mji mtakatifu ) jamani muwe making na hizo bibilia mnazoletewa hatakuzimu wameleta hizo jamani muwe makin hizi ninyakati zahatari

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 11 วันที่ผ่านมา

    Dunia ina mambo kweli .. Yani Kuna mtu anadhani eti miaka itapungua kwa kubadili jina la mwaka

  • @hellennoah5514
    @hellennoah5514 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi nakuamini Hadi nakuamini tena

  • @kapanikapani5280
    @kapanikapani5280 11 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @ChristinaKilowoko
    @ChristinaKilowoko วันที่ผ่านมา

    Wakristo tuwe macho tuamke hasa tuitwao walokole

  • @AbuuAssalafy
    @AbuuAssalafy 11 วันที่ผ่านมา

    Krismas ni sikukuu ya mungu jua sio kristo

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 9 วันที่ผ่านมา

    Akwa teee iyaaa

  • @MarleenClymans
    @MarleenClymans 14 วันที่ผ่านมา

    💖🙌💖jezus help mij totaal bevrijding..ik hoor de heiligegeest niet...ik hoor al van december..dat ik apostel k⚘️thryn moet los laten....ik krijg zoooo fel pijn als ik buiten kom...help mij ik hoor bij jezus❤amen ❤

  • @zachariangoyo6495
    @zachariangoyo6495 14 วันที่ผ่านมา +9

    Mkuu nakuelewa Sana ila katika hili ingepaswa,ibakikuwa ufahamu Kwa watumishi tu
    Kwasababu ya kulinda Imani ya wakristo na kanisa

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 13 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna hilo utumishi ni lazima kusema ukweli

    • @ShafyMtupil
      @ShafyMtupil 13 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa hiyo ukristo ni janjajanja

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@ShafyMtupil😂😂😂

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 11 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂​@@ShafyMtupil

    • @fafakimchicha1337
      @fafakimchicha1337 10 วันที่ผ่านมา +1

      Kwahio unaogopa WATU kujuwa ukweli

  • @laxmajor
    @laxmajor 13 วันที่ผ่านมา +2

    🔝devi

  • @Elecovid
    @Elecovid 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kajini haka kajamaaa

  • @nishatiog5379
    @nishatiog5379 6 วันที่ผ่านมา

    Nabii mkuu inapaswa ujue kwamba sisi hatusherekei siku lakin tuna sherekea kuzaliwa kwa kristo na katika Mwaka tumechagua tusherekea tarehe 25/12...Napia hakuna cku inayomilikiwa na miungu yoyote labda kwa mtu anae hiamini miungu hio sababu Mungu ndie aliziumba cku zote na aliona vema kuwepo kwa cku zote na ckuzote ni za bwana yan dunia na vyote vilivyomo ni mali yake

  • @annastziatimotheo2160
    @annastziatimotheo2160 11 วันที่ผ่านมา

    Asante Sana BABA kunifungua ufahamu nigejua wapi haya kama siyo wewe Asante Sana BABA

  • @EdinaJohn-i3f
    @EdinaJohn-i3f 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nawaende kwa sheriya na kwa ushuhuda ili wampendeze MUNGU, na kama hawaendi sawasawa na neno la MUNGU birashaka hapana asubuhi.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 11 วันที่ผ่านมา

    Huyo alokaa hapo juu ndio mke wa bosi si ndio mana hachanganyiki na wengine anacheo na kiti cha kipekee kwa mungu

  • @johnjerome
    @johnjerome 8 วันที่ผ่านมา

    Sija wai kuja kusali hapo ngurumo L akini wewe ni wamuimu sana maana Kuna wachungaji wengine ni wabishi sana kuelewa wewe ni baba unae jua mambo kwa uwazi kuliko Hawa wengine hawaju ata Kenya awajafika ila ni wabishi sana

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 12 วันที่ผ่านมา

    Umesema kweli kweli baadhi ya wakiristo wanaficha vitabu vingine vya bibilia

  • @dieudonnekayobera933
    @dieudonnekayobera933 12 วันที่ผ่านมา

    From Burundi. SASA TUNASOMA KITABO KILICOTIWA MUHURI , SIO BIBILIA TENA. KAMA JINA LA MUNGU LILIBADILIKA KWENYE AGANO LA KALE KUTOKA KWENYE JEHOVA, LIKAWA YESU, NA SASA PIA LIMEBADILIKA KUTOKA YESU KRISTO KWENDA MUNGU MWENYEZI KUPITIA KAZI MUPYA IKO INATENDEKA SASA NAE .

  • @yasintamsuya
    @yasintamsuya 14 วันที่ผ่านมา +3

    Kwakweli ww ni baba🎉

  • @ElisifaLukas
    @ElisifaLukas 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ila ukristo jaman umechakachuliwa sana korani nimoja dunianipote

    • @ProsperUlungi-p3t
      @ProsperUlungi-p3t 2 วันที่ผ่านมา

      Acha uwongo wewe quran wanayotumia mashia na wasuni ni tofauti ya mashia kuna aya zimepungua . 😂😂😂wadanganye mazuzu

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 13 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🥳🥳🥳🙋

  • @mjunikabajuna7667
    @mjunikabajuna7667 13 วันที่ผ่านมา

    Great job

  • @danieljeremia8629
    @danieljeremia8629 10 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi tunapataje iyo biblia ya ethiopia

  • @sebestianbaha7945
    @sebestianbaha7945 14 วันที่ผ่านมา

    Mdo3:22 Kwa maana MUSA kweli alisema ya kwamba Bwana Mungu- - - -katika mambo yote atakayo nena nanyi'

  • @JoaquimdriveMicher
    @JoaquimdriveMicher 12 วันที่ผ่านมา

    Mathayo 24:11 _24
    II petro 2:1-2

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nabii Mkuu ahsante sana kuna Mambo mengi kwenye bible yananichanganya saana mpaka Nafsi inanisuta ninapohubiri Injili

    • @nassorkhamis6233
      @nassorkhamis6233 13 วันที่ผ่านมา +1

      Karibu ujifunze pia na Quran

    • @yusuphkayoka5452
      @yusuphkayoka5452 12 วันที่ผ่านมา

      Iwekwe kiswahili maana tunatamani kujifunza ila nayo imekuwa tatizo sababu ya kiarabu, ndio maana hata waislamu wengi hawaielewi​@@nassorkhamis6233

  • @philomenamueni30
    @philomenamueni30 5 วันที่ผ่านมา

    Nabii mkuu naomba vile naeza nikufikie nizahidie tu nikufikie

  • @mcjoodegreattv5427
    @mcjoodegreattv5427 9 วันที่ผ่านมา

    Kristo yesu ni mungu mwenyezi hawezi shindwa na jambo lakini hivyo vitab mm siamin nachoamin sana ni kuwa mtakatifu tuu bc

  • @MrUshindi-b8k
    @MrUshindi-b8k 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu achilia rehema zako kwa huyu jamaa

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 13 วันที่ผ่านมา

      Rehema gani hapo mbona mm ninacho kitabu Cha Enoch na kitabu kingine lakini havikuwekwa vina vitu muhimu Sana kuliko vitabu vilivyo wekwa kwenye Biblia mfano Kuna kitabu Cha Enoch kina zidi ufunuo

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@EriyaRichardsasa wewe kama unakitabu cha Enock tafsir ya unavitabu 67 lakin yeye amekuambia vipo 88 haya hivyo vingine vipo wapi?

    • @mjunikabajuna7667
      @mjunikabajuna7667 13 วันที่ผ่านมา

      Rehema gani unataka Acha ukweli usemwe

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@EriyaRichardKitabu cha Henoko hakiwezi kuzidi vitabu vya injili maana hapo ndipo kuna wokovu

    • @blandinaJoseph-z1h
      @blandinaJoseph-z1h 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@warakawayohana2896Achani afanye kazi yake aliyotumwa kuzimu,lkn kanisa la kweli halitavurugwa,acheni majinga yazidi kusombwa kuelekea kuzimu

  • @godchila8013
    @godchila8013 10 วันที่ผ่านมา

    Hadii tuchanganyikiwee

  • @CréneITERITEKA-j6o
    @CréneITERITEKA-j6o 14 วันที่ผ่านมา

    Shalom kabisa huwo niukweli kunavitu walikuwa wanataka kutufica wazungu bwana apewe sofa najuwa baba atatufunulia hayo

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 12 วันที่ผ่านมา

      @@CréneITERITEKA-j6o mathayo 23:9

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 10 วันที่ผ่านมา

    Mwaka ni mmoja tu hakuna miaka yote hiyo. Mwaka mmoja halisi yaani majira moja Halisi

    • @johntambwe9980
      @johntambwe9980 10 วันที่ผ่านมา

      Wewe sio mfatiliaji. Unatakiwa kujua kuwa hata hii miaka 2025 imepangwa na wazungu

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 14 วันที่ผ่านมา

    Gd

  • @PaschalMjika
    @PaschalMjika 13 วันที่ผ่านมา +2

    Umesema Biblia ya vitabu 66 Haina vitabu vingine yaani imepunguzwa kwa hiyo ulikua unafundisha mapungufu ?

  • @PeterMoenga-b1m
    @PeterMoenga-b1m 10 วันที่ผ่านมา

    Hawa watumishi wamejaa hapo kupokea udaku coz wamejaa marangi kwa midomo Yao na Mungu amekataa Mwanzo 35-3-4-5 Pete za masikio ni miungu soma kifungu hiki

  • @IbrahimKamir-l6w
    @IbrahimKamir-l6w 14 วันที่ผ่านมา

    Nakubali nikweli maana tulivisoma shuleni ila walimu waka rukiya iyo page

  • @EmmanuelMelson-n4q
    @EmmanuelMelson-n4q 13 วันที่ผ่านมา +3

    Waumini wanapaka bleach kanisani then unajiita baba😊

  • @maxmillanayo2979
    @maxmillanayo2979 14 วันที่ผ่านมา +13

    UKISIKIA KUZIMU HAPA NDO NAMBA MOJA

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 13 วันที่ผ่านมา +1

      Ni Akili Yako haitak kukubaliana na Ukweli

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 13 วันที่ผ่านมา

      @Mahene-w1l soma Biblia ndugu yangu acha kuabudu sanamu,hili neno linajitosheleza soma yohan 21:25 na ufunuo 22:19,wakati unakuja,hakika utalia machozi

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@maxmillanayo2979huo wakati ni lini?

    • @blandinaJoseph-z1h
      @blandinaJoseph-z1h 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mahene-w1lUnapotea masikini😭😭

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 13 วันที่ผ่านมา +1

      @blandinaJoseph-z1h Kuna Mambo Huwa anayahubir yapo sawa na mengine hayapo sawa so ni jukumu la Mtu Kuwa tayar kupokea changamoto Mpya

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mwaka ni mtazamo tu ambao umetengenezwa tu so Mtu pia Anaweza jitengenezea Mwaka wake akaishi kweny mtazamo huo

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 11 วันที่ผ่านมา

    Allahu akibaru waislamu wamepiga kelele kuhusu krismasi sio siku alozaliwa yesu sasa leo munaelewa kwamba ni siku ya kuzaliwa mungu jua😂

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 10 วันที่ผ่านมา

    Muumba hana dini ni kweli. Amosi 5:21-27

  • @alfredmichael5691
    @alfredmichael5691 13 วันที่ผ่านมา

    Ziko 2 Africa

  • @pastorytitus5189
    @pastorytitus5189 10 วันที่ผ่านมา +1

    Point of correction mfalme wa uingereza (King James) hakuandika Biblia aliwaambia wasaidizi wake waitafasiri Biblia iliyokuwa imeandika kiebrania iandikwe kiingereza, Biblia hiyo ilitafasiriwa ikakamilika mwaka 1611, kwa kuwa yeye ndiye aliyeagiza kazi hiyo Biblia hiyo ikaitwa King James Version.

  • @PeterMoenga-b1m
    @PeterMoenga-b1m 10 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi laleni makanisani hamtaki kusoma bibilia na dhambi zenu kutajwa mtaungua

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 8 วันที่ผ่านมา

    Mzee mbona hicho kitabu kipya kinakuaje na maandishi ya original?

  • @talentedboys-tv1507
    @talentedboys-tv1507 13 วันที่ผ่านมา +1

    GD 🤗the Great ,,amekubali kupigana na kanisa...😂😂😂hapa mafarisayoo watampiga vita ya htarii🤪ukion ty mty analeta kamdomo ujue 🤌🏽ndo farisayo mwenyeweee..,

  • @ImmanuelWilliamAyo
    @ImmanuelWilliamAyo 9 วันที่ผ่านมา

    Umeona kule gari yako inaungua mzee baba mbona husemi ki2

  • @NokaKuzen
    @NokaKuzen 14 วันที่ผ่านมา

    Baba umeshapata mafanikio makubwa sanaaaa.nisamehe kama nitakuwa siko sawa,kama wapo wapotoshaji ulionao ushirika nao achana nao maana unachokiongea hapo ni neno la uzima mtupu Pepo utaiona kwa hakika

  • @Limbumbuli
    @Limbumbuli 12 วันที่ผ่านมา

    Jaman mnapata wapi ujasili wakumtukan mtumishi wa mungu kumbukeni kuwa mungu katuambia tusihukumu tusije nasi tukahukumiwa kwan hata unaona mtumishi anamakosa yupo aliyemuita samahan

    • @micheniharoni9867
      @micheniharoni9867 8 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni agent wa miungu ya ulimwengu huu wa giza

    • @Priscus-w1o
      @Priscus-w1o 7 วันที่ผ่านมา

      Mtumishi wa Mungu yupi anafanya utafiti Hana hata roho mtakatifu waku mwongoza nilifikiri Mungu kamwambia kumbe utafit anapata wapi ujasiri waku jiita nabibi Yesu akasema haoniviongozi vipofu

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 10 วันที่ผ่านมา

    Njoo Kanisa Halisi ujifunze siyo lazima uende Ethiopia. Hapa hapa tz kuna ufahamu kuliko Ethiopia

  • @ALPHAKASKIL
    @ALPHAKASKIL 10 วันที่ผ่านมา

    Sawa Nabii wetu, ila naomba niulize swali kuhusu kalenda hiyo ya wa Ethiopia: "je, mwezi wa kalenda yao, unatimiza mzunguuko wa siku ngapi?"

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 13 วันที่ผ่านมา +2

    Hata huyo Yesu ameundwa na hao waliobadili biblia, kwani Yesu hajawahi kuwepo balli Kristo alikuwa mtu mweusi.

  • @bambuguyasamuel3107
    @bambuguyasamuel3107 14 วันที่ผ่านมา

    Nabii Mkuu wa Mataifa ❤

    • @blandinaJoseph-z1h
      @blandinaJoseph-z1h 13 วันที่ผ่านมา

      Taifa lenu usituchanganye

    • @CanuteMaleta-tx1co
      @CanuteMaleta-tx1co 10 วันที่ผ่านมา

      Kwa Dunia tunayoishi mwalimu ni mmoja TU zouloular 100

  • @MultiPhillip1983
    @MultiPhillip1983 10 วันที่ผ่านมา

    How's he different from TB Joshua ?

  • @JosephBasedeke-iv3rf
    @JosephBasedeke-iv3rf 10 วันที่ผ่านมา

    Uishi nabii wa bwana nakufuata toka bukavu RDC asante kwa kitabu hiki ni joseph

  • @isayatippe6409
    @isayatippe6409 10 วันที่ผ่านมา

    Apart from 66 books of the Bible, we don't need other books because these 66 are totally enough!!!

  • @OmariWaziri-h4t
    @OmariWaziri-h4t 9 วันที่ผ่านมา

    Ukristosidini yakweri

  • @levisdiamond4797
    @levisdiamond4797 3 วันที่ผ่านมา

    Haya ndo mafundisho ya kuacha dhambiii😂

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 10 วันที่ผ่านมา

    Ata tanzania kuna tunaoenda kinyume na Gregorian calendar. kisleu hadi Buli na hakuna mwezi wenye siku zaidi ya 28