Leo ndiyo nimejua siasa ina watu wakee ,hapa wamekutana vichwa wiwili vyenye vipawa vya hali ya juu!! Muuliza maswali Kwa maana ya mtangazaji ni Genius na Mjibu maswali naye ni Genius×2 = na Bonge Moja la interview!!❤❤❤🎉🎉🎉
Kwenye eneo la familia mzee c mchezo watu kitaype tu humu mtandaoni ni waoga wewe na risasi zote bado upo kweli wanakushangaa wengi na wala hawakulaumu mh.lissu...Mungu akulinde wewe ni kusudi la kweli kwa hii nchi...❤❤❤🎉🎉🎉
Kama tunataka nchi iwe na kichocheo kizuri, sauti na upinzani wa dhati basi hapana shaka Mheshimiwa Lisu ni msukumo usioyumba. Nchi lazima iwe na watu wenye kuikosoa serikali ni jambo zuri lenye kutoa ushawishi na msukumo wa maendeleo ya nchi. Wengi tunajua kuwa Tz bado tuna mashaka na mitihani mingi ambayo inahitaji na itahitaji watu wenye mtazamo, msukumo na maneno yenye ushawishi ili tupige hatua. Tupendane bila ya kujali itikadi ya chama, mtu, rangi, kabila au dini. Sote ni wamoja na kila mtu ana haki ya kuchagua chama akipendacho bila ya woga au unyanyapaa kutoka kwa mtu au kikundi cha watu. Asanteni kwa mchango wenu🤝
Kwanza Hongera sana Charles kwa kumhoji Tundu Lisu maswali magumu. Pili hongera sana Mheshimiwa Lisu kwa majibu mazuri na makini, unawafungua sana UBONGO wabongo. Big up! Hoja ya familia ilivyojibiwa sidhani kama kuna mtu bado atakuwa na swali jingine. Kwa kweli ata Sisi ambao si familia ya yako tunakushangaa! Yaani Lisu kama ningekuwa mpiga kura, basi kura yangu ingekwenda kwako. Wewe ni HAZINA kwa Tanzania.
Safiii Sana, uchaguzi mungu awabariki ktk uchaguzi huu . sauti kuu!😮. Hongera Sana Mwandishi makini na umetumia hekima ktk kuuliza maswali kosomi kweli kweli ninakushukuru mno 😂❤❤❤
One of the best interview, safi sana. Nimeenjoy. Labda kuongezea tu, tumieni Pin Mics badala ya hizo handheld mnajichosha kushikilia mics kwa saa nzima!
Nakuelewa sana CHARLES unajua sana Mahojiano., nakuelewa SANA LISU una kitu ndani yako umenyooka...Sababu hiyo siioni sababu ya kuvutana na Mbowe. But Freeman angekuacha ugombee kisha yeye akashika nyazifa zingine..Uongozi ni kupokezana.
Huyu Mwandishi wa habari ni wa Wasafi kweli au wa media nyingine. Sikutegemea kuona Mwandishi makini kama huyu kutoka Wasafi Media. Waandishi kama huyu wanatupa hamasa wa kufatilia media kuliko waandishi wanao onekana kama machawa. Nampongeza kwa kweli.
Umeona kama mimi... Kuna kile kikosi cha magazeti, kinatia shaka sana.. kaz kubwa ni kusifia wale wanaouwaunga mkono, kukosoa wasiowaunga mkono. Kwa kifupi wako na dalili zote ulizosemea.
Bado hawezi kuhoji hivi viongozi wa Serikari au CCM..uchawa ni wa kwenye madaraka na Matajiri tu,uwe mwandishi ukawa chawa wa CHADEMA utapata nini?!...Tundu Lissu angekuwa Waziri Mkuu asingehojiwa hivi..kwa mfano tu!!Wewe ushawahi kuona viongozi wa serikari wanahojiwa vizuri..ya Bandari kwa mfano, au kuuza misitu kwa wa UAE( Dubai) - Carbon off setting & Carbon Sequestration , washawahi wahoji,hapana..ni Viongozi wa CHADEMA ndio wanahojiwa vizuri ???
Wasafi wajiandae wakati wowote huyu jamaa Kuna siku tutamkuta kwenye mkeka wa mama huyu ana kitu anapaswa isaidia nchi ✅✅ila Leo amekutana na kichwa kiukwel nimeelewa Kwa Nini lisu anapaswa kuwa MWENYEKITI WA hicho chama Chao🤝
Hujui unachosema, tutakaa sana kuja kupata mtu kama Magufuli East Africa sio Tanzania tu. Yes alikuwa na madhaifu yake lakini kwenye maeneo ya ubora wake huwezi kumfananisha na mtu ambaye hata dola hajawahi kushika, unatushawishi vipi? Kwa maneno au Matendo.? Weigh your statement before you spit
@@elianoel8398Lissu leo hii yupo hivyo alivyo(ulemavu) kwa sababu ya magufuli,na alitakiwa kuuawa ila Mungu hakuwa ameruhusu hilo,damu ya mtu ni thamani kubwa kuliko mazuri yote ambayo ungeweza kufanya hapa duniani
Toka mwaka huu wa 2025 uanze ni interview mbili pekee zilizo jaa professional ya journalism ni hii na ya BBC Swahili ya (Sammy), wengne msiogope kujifunza kwa hawa jamaa. Ila hatujasahau bado mbowe must go.
Lissu ni genius sana. Anajibu maswali yote perfectly. Tena kiulaini na kiurahisi. Anajibu maswali kama vile alijiandaa kabla. Bado sijaona mwandishi wa habari hapa Tz anayeweza kumpiga maswali ashindwe kujibu.
Charles William upo vizur safi sana swali zuri ambalo Tundu amekiri hajawahi kuulizwa popote wewe ndio wa kwanza kumuuliza kwa nn alitoka Nccr mageuzi.👍👍👍
Like za lissu na charls ziwekwe hapa😅
Anaeunga mkono mtangazaji aongezwe mshahala gonga like hapa❤
Ni jembe haswa
Huyu ni talented kabisaaaa
Kbs
Excellent mwandishi
Leo ndiyo nimejua siasa ina watu wakee ,hapa wamekutana vichwa wiwili vyenye vipawa vya hali ya juu!! Muuliza maswali Kwa maana ya mtangazaji ni Genius na Mjibu maswali naye ni Genius×2 = na Bonge Moja la interview!!❤❤❤🎉🎉🎉
Much respect Kwa Charles William 🔥🔥🔥🙏🙏🔥
Dah huyu Mzee inaonekana ni muwazi na mkweli anapofeli anasema ukweli tu He is brilliant 🙌🏾🙌🏾
Ni kwa kipind kirefu sana kuona interview safi sana Kama hii host Charles William your the best
Ok
Kwa kifupi inavyoonekana mwandishi alikuwa na mengi ya kuuliza na kukimbizana na mdaa pia ilaa interview n nzur
@@Teacher_01Charles kwa ndani hapa hana mpinzani
What an excellent interview Lissu definitely a Leader and Charles I can see you working for the BBC .. 🇬🇧
One of the best host big up brother. Sky is the limit 👏👏👏
Straight questions with Straight answers, safi sana tundu na Charles
Hanaga kona ila angeulizwa Mugabe angezunguka weeee😅😅😅
@@Hence2008😂😂😂
Namkubali Sana lisu mungu amfanyie wepes ashinde huu uchaguz
Mim ni mwana CCM lkn namuunga mkono Lissu
Kwenye eneo la familia mzee c mchezo watu kitaype tu humu mtandaoni ni waoga wewe na risasi zote bado upo kweli wanakushangaa wengi na wala hawakulaumu mh.lissu...Mungu akulinde wewe ni kusudi la kweli kwa hii nchi...❤❤❤🎉🎉🎉
Nomaaaaa charles❤❤🎉🎉 Big Lissuuuh❤❤❤❤
Timu Lissu one love. 💪💪💪
Wewe ni muandishi Bora kabisa wa kizazi hiki your talent is very genion.❤
kweli sana
Hana uandishi bora wowote anauliza mambo yasiyokuwa ya maana…. Anaongea on top of Lisu
Vipi kuhusu odemba
Vipi kuhusu odemba
Anamuoji vizuri
Kama tunataka nchi iwe na kichocheo kizuri, sauti na upinzani wa dhati basi hapana shaka Mheshimiwa Lisu ni msukumo usioyumba. Nchi lazima iwe na watu wenye kuikosoa serikali ni jambo zuri lenye kutoa ushawishi na msukumo wa maendeleo ya nchi. Wengi tunajua kuwa Tz bado tuna mashaka na mitihani mingi ambayo inahitaji na itahitaji watu wenye mtazamo, msukumo na maneno yenye ushawishi ili tupige hatua. Tupendane bila ya kujali itikadi ya chama, mtu, rangi, kabila au dini. Sote ni wamoja na kila mtu ana haki ya kuchagua chama akipendacho bila ya woga au unyanyapaa kutoka kwa mtu au kikundi cha watu. Asanteni kwa mchango wenu🤝
Kwanza Hongera sana Charles kwa kumhoji Tundu Lisu maswali magumu. Pili hongera sana Mheshimiwa Lisu kwa majibu mazuri na makini, unawafungua sana UBONGO wabongo. Big up!
Hoja ya familia ilivyojibiwa sidhani kama kuna mtu bado atakuwa na swali jingine. Kwa kweli ata Sisi ambao si familia ya yako tunakushangaa!
Yaani Lisu kama ningekuwa mpiga kura, basi kura yangu ingekwenda kwako. Wewe ni HAZINA kwa Tanzania.
Mwandishi wa habari yupo makini sana, tofauti na waandishi wakongwe
Wandishi wakongwe hamna kitu
Yaan wasimbana lisu mwandishi anasifiwa,mwandishi Ni chadema pia
@@EmmanuelMlowe-u1vMh
@@EmmanuelMlowe-u1vinahusu
BonGe Moja la interview Saafi kabisa Charles William and Tundu Lissu😊😊
Mwandishi bora, mwanasiasa bora, interview bora kabisa.
Maneno machache ila yana maana kubwa an big up
Much respect kwa journalist Charles wiliam kwenye interview hii, ujapepesa mdomo. pongezi saaaana kwako
Uko vizuri sana mwandishi unauliza maswali mazuri then unanpa nafasi ya kujibu na kufafanua bila kumuingilia ....wengi inawashinda
Tundu lissu ni Mtu makini sana🎉
Kiukweli namukubali
Viva Mh. Lisuu from the USA 🇺🇸 💪🏾
Eeh mwenyezimungu ikikupendezaa mpe uenyekiti tundu lissu ukimaliz apo mpe nchi kijan wako tundu lissu amina🎉🎉
Best interview kuliko hata ya bbc..Big up Charles
Lisu ni kichwa aisee uwiiiii huyu mtu ni hazina kwa nchi👏👏👏👏👏
NOMA SANA THE BEST INTERVIEW EVE PALEPALEEEEEE😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 TUNSU OYEEEEEEE
Mimi napenda saana mahojiano ya Tundu Lisu, aisee huyu mtu ni very smart
Pumbavu wewe
Super smart.
Rama mzenzi@@ramahkesh9360
Rama mbona umemtukana Mwenzio Msenge wewe. Kama hupendi mahojiano haya kaa pembeni Pimbi wewe😂😂@@ramahkesh9360
Very very smart🙌🙌🙌
Lissu for life
Mahojiano mazuri sana hongera sana ndugu Charles kwa uandaaji mzuri wa maswali na kipindi
Hakuna kitu ad tuone na CCM wanahojiwaje
Jamaa huyu ni mzalendo sana na mkweli! Kweli huyu ni domo pana..tutamkumbuka akishaondoka ndo tulivyo..! Ila Lisuu ni mpinzani wa kweli
Safiii Sana, uchaguzi mungu awabariki ktk uchaguzi huu . sauti kuu!😮. Hongera Sana Mwandishi makini na umetumia hekima ktk kuuliza maswali kosomi kweli kweli ninakushukuru mno 😂❤❤❤
Charles William is such an underrated political analyst/journalist. Well informed and straight to the point. More of this please
Lissu you deserve now to be a CD4 chairman
One of the best interview, safi sana. Nimeenjoy. Labda kuongezea tu, tumieni Pin Mics badala ya hizo handheld mnajichosha kushikilia mics kwa saa nzima!
Charles ni muandishi wa habari mzuri sana, Masha'allah ametulia kiakili. Nampenda sana. Big up.
Charles you're the best interviewer ever
Charles William you made it! Keep it up.
Huyo anayesema tundulisu hana busara anaitaji kuangalia hii interview jinsi maswali yanavyo panguliwa smart men talks❤❤❤
Ana dharau watu wa chini
@@cossanwambura1614kivipi? Lete hoja zenye mashiko
@@cossanwambura1614acha wongo jamani
@@cossanwambura1614anataka pesa zishuke mikoani,zisikae makao makuu tu.Halafu na wewe unasema kinyume chake.
Host 🎉🙌 Safi sana
Charles you’re the best political expert ever
Jamani chadema tuleteeni tundundulisu tumpe kula hakika nikiongozi🎉🎉🎉🎉❤
"Anaeng'ang'ania usukani anajulikana, mimi nataka usukani" 😂
😂
Lissu Hadi Sisi vijana wa Ccm Tunakukubali maana unayoyatetea Yanatugusa hadi sisi mitaani
ww huwezi kuwa CCM na wala hatukutambui
@@BHALEEALIsio ccm wote hawana akili,tupo wenye akili ambao tunamkubali lissu😊
Hata mm n ccm ila lisu namkubali..Kuna dhambi Gani hapo
Ukiwa ccm na mzalendo lazima umkubali jamaa
@@GenesisWater😂😂😂😂😂 Daah.
Viva lisu from lusaka zambia
Zambia na kiswahili wapi na wapi....,
@@ericklaura7511😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaaah wewe kuma la mama ako limeoza
lissu geneous sanaa ani 🙏🙏🙏
Tundu Lisu anajua sana pia bigup kwa host
charles william ur Talent is the best 🎉
Trust me I believe the Next president of United States of Tanzania tundu lissu 🫡
Nakubali Sana lisu
Charles kijana mdogo uwezo mkubwa big up kaka
Charles William Mwamba Sanaaa
Salute shahidi wa jamuhuri 🥂
-Hahami mtu hapa
-Siasa ni maisha
Much respect Mr Lissu
Ameshahama vyama Viwili tulia tu
Unafaham kwanin alihama? @@cossanwambura1614
Well done Charles William Genius
Great Interview Mwandishi..kwa maslahi ya CDM na Watanzania! TAL smart as always! IQ, critical thinking 👌🏿
ahami mtu apa😊,,inna lillah wa inna ilaihi rajjiun alivyoitamka😊
The best interview never heard 🙌
Tundu lisu❤
Bonge moja la interview muandishi anauliza vizuri Lisu anajibu kwa utulivu
Wasafi Mko vizuri sana kwa maswali.
Mwandishi Chaz upo makini sana
Lissu is more than Genius, amejibu hoja vyema balaa, from 1:0 kapindua matokeo to 3:1
😊😊😅😅😅😅
Mungu akusaidie lisu wajumbe tarehe 21 ebu msitumize wanachama wachini
Lissu💪🏾💪🏾
daaah! mheshimiwa LISSU noma aisee! super very smart yaani ananukuu matukio yote kwa kotohoa tare/mwaka na mwezi na kipangilia anachoongea
Interview nzuri sanaa big up Tundu Lissu
Sema tuu hamjui tundu lisu ni mwamba hatari sana!!!!!
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mnoooo Tanzania inahitaji Rais kama huyu mwenye msimamo juu ya sheria hatua kwa hatua 😊
Best interview ever!
Lisu Tunakukubali💪💪🙏
hadi raha kusikiliza maswali ya huyu jamaaa big up sana bro
Nakuelewa sana CHARLES unajua sana Mahojiano., nakuelewa SANA LISU una kitu ndani yako umenyooka...Sababu hiyo siioni sababu ya kuvutana na Mbowe. But Freeman angekuacha ugombee kisha yeye akashika nyazifa zingine..Uongozi ni kupokezana.
Huyu Mwandishi wa habari ni wa Wasafi kweli au wa media nyingine. Sikutegemea kuona Mwandishi makini kama huyu kutoka Wasafi Media. Waandishi kama huyu wanatupa hamasa wa kufatilia media kuliko waandishi wanao onekana kama machawa. Nampongeza kwa kweli.
Umeona kama mimi... Kuna kile kikosi cha magazeti, kinatia shaka sana.. kaz kubwa ni kusifia wale wanaouwaunga mkono, kukosoa wasiowaunga mkono. Kwa kifupi wako na dalili zote ulizosemea.
Kanikosha sana huyu mwandishi
Bado hawezi kuhoji hivi viongozi wa Serikari au CCM..uchawa ni wa kwenye madaraka na Matajiri tu,uwe mwandishi ukawa chawa wa CHADEMA utapata nini?!...Tundu Lissu angekuwa Waziri Mkuu asingehojiwa hivi..kwa mfano tu!!Wewe ushawahi kuona viongozi wa serikari wanahojiwa vizuri..ya Bandari kwa mfano, au kuuza misitu kwa wa UAE( Dubai) - Carbon off setting & Carbon Sequestration , washawahi wahoji,hapana..ni Viongozi wa CHADEMA ndio wanahojiwa vizuri ???
@@sewandomkuchu9267nawashangaa maboya wenye akili finyu
Exactly 💯@@sewandomkuchu9267
Very good mh lissu kwa majibu mazuri Mungu akubarki sana ❤❤❤
Wasafi wajiandae wakati wowote huyu jamaa Kuna siku tutamkuta kwenye mkeka wa mama huyu ana kitu anapaswa isaidia nchi ✅✅ila Leo amekutana na kichwa kiukwel nimeelewa Kwa Nini lisu anapaswa kuwa MWENYEKITI WA hicho chama Chao🤝
Asante kaka kwa kuelewa.👏🏾
Sauti ya Nyerere Akili kubwa kumshinda magufuli ..
Lissu for PRESIDENT !!! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Usimuingize Magufuli hapa, aliyoyafanya Magufuli kwenye nchi hii Lissu angekuwa Rais asingefanya.. Ongelea wengine wote achana na Magufuli
@@T_DariusLakini Magufuli hakuwa Malaika. Atasemwa tu kwamba na alikuwa Dikteta tu.😂
Madikteta ndio wasimamiz wamaendeleo dunian China inaongezwa kidikteta ndii inaongooza uchumi dunian pole sana nyerere mwenyewe amuwezi magufur
Hujui unachosema, tutakaa sana kuja kupata mtu kama Magufuli East Africa sio Tanzania tu. Yes alikuwa na madhaifu yake lakini kwenye maeneo ya ubora wake huwezi kumfananisha na mtu ambaye hata dola hajawahi kushika, unatushawishi vipi? Kwa maneno au Matendo.? Weigh your statement before you spit
@@elianoel8398Lissu leo hii yupo hivyo alivyo(ulemavu) kwa sababu ya magufuli,na alitakiwa kuuawa ila Mungu hakuwa ameruhusu hilo,damu ya mtu ni thamani kubwa kuliko mazuri yote ambayo ungeweza kufanya hapa duniani
Genius is in the house. Mh. Lisuu all the 💪🏾💪🏾
Mzee Lissu, akili kubwa😅😅
like za shaidi wa jamhuri Charles William hapa
Kweli kabisa kaka ukirudisha familia bongo basi na bebefit itakatika bora wakae huko huko
Toka mwaka huu wa 2025 uanze ni interview mbili pekee zilizo jaa professional ya journalism ni hii na ya BBC Swahili ya (Sammy), wengne msiogope kujifunza kwa hawa jamaa. Ila hatujasahau bado mbowe must go.
Charles kwa hapa ndani hana Mpinzani.
So true
Huyu jamaaaa yupo vizul hoja ya family kaijibu vizuli hata asie mwelewa lazma aelewe tundu saluti kwako
sahihi kabisa👍
Lissu ni genius sana. Anajibu maswali yote perfectly. Tena kiulaini na kiurahisi. Anajibu maswali kama vile alijiandaa kabla. Bado sijaona mwandishi wa habari hapa Tz anayeweza kumpiga maswali ashindwe kujibu.
Kikeke au Kitenge.
Nyanda kabudi wa star tv ndio kiboko Yao hapo wanasiasa
Nyanda kabudi wa star tv ndio kiboko Yao hao wanasiasa
Kuma la mama ako limeoza @@ImmanuelSeuta-zi2gh
Huyu jamaa anaongea kweli
Lisu saaafi sana,mwanahabari nayee saaafi sana.
Tundu Lissu,my best leader of all the times! Hotuba zake ni shule tosha kwa wanaotaka kujifunza.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Lissu
Kaka Mungu akujalie katka kazi yako ya uandishi safi sana yna kma salim kikeke
Asante kwamajibu mazuri lisu
Viva Lisu big brain
Keep up the good work Charles...tunawahitaji watu kama wewe kwenye social media sio machawa...
Charles William is so good
Charles hustahili kufanya kazi media za bongo BBC,DW na VOA ndo level zako.
Naomba uendelee kuwepo
Host yuko very strong anauliza maswali bilaa woga your the best bro.
Ongera mwanashelia👏
Kabla hujapiga kura angalia hii interview
Safi sana lisu
Unajua sana lisu❤❤❤
Tunakuitaji sana lissu
Mno
Tundu lissu kiboko,leta siasa mpya ndani ya chama.
Charles William upo vizur safi sana swali zuri ambalo Tundu amekiri hajawahi kuulizwa popote wewe ndio wa kwanza kumuuliza kwa nn alitoka Nccr mageuzi.👍👍👍
Charles unajua kuuliza maswal vizur sana ❤❤❤