Allah akupe maisha marefu yenye manufaa tele hakika nafaida Sana nikitatazika na Jambo nikija kwako nalikuwa nakupenda Sana kwa ajili ya Allah stay safe in shaa Allah🥰🥰🥰😘
Aroma of Zanzibar amin yarabi sauti yako tuu tunajua una asili ya kiarabu mashallah sio mchoyo alhamdulilah niliwahi kumuliza mtu ramadhani hii vipi unapika shurba na alikataa kuniambia ila kupitia wewe alhamdulilah tunajua vingi tusovijua Allah atakupa kwa kutuelimisha kwa mapisho😘😘😘
Shukran habibty mie najua watu wengi kama hivyo hawataki kutoa recipe sifaham kwa nini yaani si kama mashindano kila mtu anapika kwake na familia yake sioni sababu . Sasa unajua pakutafuta, inshallah zitakuja zaidi kidogo kidog
Asanta sana kwa mapishi taking ya asli. Lakani dada gungu manga heyday kutumiya kwa kula imakatazwa learn shriya ya kiislamu kwajili ikitumewa kwa winigi inalewesha. Nakushukuru kwa ktufundisha mapishi mazuri . Jazaki lahu khairan
Nafaham kuhusu kungu manga na kila mashekhe wansaema vyao na ni kweli kwa wingi inalewesha. Na ninavyofahamu mie ni nia yako muhimu, nia yangu ni kwa ladha na harufu kidogo sio kulewa na kipimo nilichoweka mimi ni kidogo sana haitomlewesha mtu , kila mtu anauwamuzi wake x shukran
Aroma of Zanzibar a.aleykum...huku nilipo India naona hamna siagi he naeweza kutumia samli yaan hii unsalted butter ya kupikia ambayo ile ya blocks...please nijibu..asante
Jeni samahani hii comment ndio kwanza naiona , mie hua najibu kwa haraka , unsalted butter ni butter ya kupikia vitu kama cake sio samli. Samli ni clarified butter. Unaweza kutumia
wallahi ntakuwa mkosefu wa fadhila nikipita bila kuachia comments. .. tnx so much darling kwa kutosogezea karibu vitamtam leo nimezipika donasi mashaAllah so yummy 😋😋😋 mzee wangu kazipenda hivi kesho nimeambiwa nipike tena 😅😅😅😅 tnx love u😍😍😍😍
I got your email.Am trying these donuts today.Sijawahi kula donuts za baking powder, so hopefully I will like them.They look easy which is great!.First time making donuts za aina yoyote.Thanks
Kwanini unatumia kungu manga? However I truly love your cooking and simplicity in it MashaAllah. I tried going by your steps za mkate wa mayai ukawa ajab na In Shaa Allah ntazijaribu na donasi. JazakaAllahu kheir
Aroma of Zanzibar asallam alaikum thanks for your receipe people this days dont share the receipe this reminds us when we left tanzania u have done a great job husna from uk
Alhamdhullilah nilizijaribu Ma Shaa Allah kutumia vipimo vyako...Ila shida sasa nilipoongeza vipimo zawa ngumu sjui nimekosea wapi, maana km mayai 8,siagi vijiko 8,maziwa 8, unga hivyo hvyo...nafaa kuongeza nn?
Assalam alaykum warhmatullah wabarakatu Shukran kwa kutufunza mengi Ila naomba ya kiswahili maswali. Yawe kwa kiswahili ili tufaidike sote naomba shawarma na souce yake Shukran
Samahani mapishi ya kiswahili basi waulizaji maswali lazima wanajuwa kiswahili kwahiyo wajitahidi kuuliza maswali Yao yawe kiswahili ili tufaidike sote wengine hatujui kizungu tusameheni wapenzi
Ma shaa Allah..nimejaribu ur recipe...isipokuwa nimepunguza unga kidogo...Ma shaa Allah ziko poa sana..mpka naulizwa km nimebake instead of frying..kachori ndio zilinibwaga
Aroma of Zanzibar nikizichoma wakati wakugeuza zaachana mafuta yaingia ndani...na zitakazo geuka vizury ndani haziridhishi..ziko maji maji na sikuziacha na maji
Aroma of Zanzibar samahani ila umenichanganya kidogo naona haiwezi kuwa nitatumia any receipe kwa sababu kama hizo donuts hapo utafanya donge na hizo nnazo ulizia wakoroga km ji uji den ndio wauchota ukiweka kwa mashine bt pa kuanzia ndio sipafahamu
Mashallah...beautiful and yummy 🤤 🤤..I love your cooking you can make someone who doesn’t like cooking start cooking...And wherever you follow the procedure once you become perfect 💯
leo nimejarb kupika na mmi ssa nasubir muda wa adhan asante saan kwa mapish yako Allah akupe afya
Hongera, amin kwetu sote
Nashkuru sana Daa.Mungu akupe umri mrefu upte kutfunza zaidi
Allah akupe maisha marefu yenye manufaa tele hakika nafaida Sana nikitatazika na Jambo nikija kwako nalikuwa nakupenda Sana kwa ajili ya Allah stay safe in shaa Allah🥰🥰🥰😘
Amin, kwetu sote dear. Thanks
mashallah nimejifuza vyakula vingi kupitia wewe mama shukran mola akujaloe uwe katika kiumbe utaenda peponi i read love how you cook your food
Shukran habibty , amin kwetu sote tukutane huko peponi ya rabb laalamin
Aroma of Zanzibar amin yarabi sauti yako tuu tunajua una asili ya kiarabu mashallah sio mchoyo alhamdulilah niliwahi kumuliza mtu ramadhani hii vipi unapika shurba na alikataa kuniambia ila kupitia wewe alhamdulilah tunajua vingi tusovijua Allah atakupa kwa kutuelimisha kwa mapisho😘😘😘
Shukran habibty mie najua watu wengi kama hivyo hawataki kutoa recipe sifaham kwa nini yaani si kama mashindano kila mtu anapika kwake na familia yake sioni sababu . Sasa unajua pakutafuta, inshallah zitakuja zaidi kidogo kidog
Alhamdulilah siku zote nikifanya donuts zanisumbuwa lakini nimejaribu kama hivi Allah amejaalia zimekuwa Allah akulipe kheri nyingi sanaaa
Shukran, Amin
@@aromaofzanzibar mpnz je kama hutumii mafuta unaweza kuoka ama haiwezekan😔
MashaAllah my love Allah akupe more mapishi mimi nakupend sana
Shukran Amin
Ahsante sana sana kwa kukubali ombi.. mashallah umerahisisha wallah... kusema ukweli mapishi yako ni rahisi kuyafuata.. My friends wanaume wanakusifia
Shukran, ni wajib
If 1kg unga vipimo niaje. Masha Allah thanks for sharing 😊
1 kg Unga ni 8 cups
nilikuwa sijuwi kama donas zinatiwa mayai ndio leo nimeona shukurani sana habity 🌹🌹🌹
Kuna recipe za aina nyingi inategemea
Asanta sana kwa mapishi taking ya asli.
Lakani dada gungu manga heyday kutumiya kwa kula imakatazwa learn shriya ya kiislamu kwajili ikitumewa kwa winigi inalewesha.
Nakushukuru kwa ktufundisha mapishi mazuri .
Jazaki lahu khairan
Nafaham kuhusu kungu manga na kila mashekhe wansaema vyao na ni kweli kwa wingi inalewesha. Na ninavyofahamu mie ni nia yako muhimu, nia yangu ni kwa ladha na harufu kidogo sio kulewa na kipimo nilichoweka mimi ni kidogo sana haitomlewesha mtu , kila mtu anauwamuzi wake x shukran
Mwenyezmungu akuhifadhi ww na Familia yako kwa elmu unayotoa tunafaidika sana sana
Ni lazima kuweka maziwa nataka kujua
Dah asante nilisubiri kwa hamu mungu akulinde mamy kwani tunakupenda sana
Shukran , Amin
Aroma of Zanzibar asante dads tu oneshe kuku pak
Aroma of Zanzibar a.aleykum...huku nilipo India naona hamna siagi he naeweza kutumia samli yaan hii unsalted butter ya kupikia ambayo ile ya blocks...please nijibu..asante
Jeni samahani hii comment ndio kwanza naiona , mie hua najibu kwa haraka , unsalted butter ni butter ya kupikia vitu kama cake sio samli. Samli ni clarified butter. Unaweza kutumia
MaaShaa Allah Shukran kwa recipe ya Donuts. JazakaLlah Kheir. MaaShaa Allah zilikua nzuriiiiii. Hataa nafikiria kufanya tena. Shukran Dear
Aroma of zanzibar Asante nimejaribu juz km vipimo vyako bs alkhamdulilakh but zilikua nene kidogo km za timhotons lkn tamu izo zako zimezid
Shukran, nimefurahi kujua kama umezienda x much love
mashallah nice..anty siagi tuyayushe ndo tupime au tupime mwanzo kisha ndo tuyayushe.thanks alot kutuletea mapishi ya donasi😍
Yayusha halafu pima
Aroma of Zanzibar mashallah nimefanya donasi tamu nzuri sanaa zina ladha shukran sana😊
+um_ imaad Mashallah nimefurahi kusikia umrxipenda shukran kwa kunijulisha
Awwwww.....nimejaribu wallaiy imekua shukra anty God bless u
Masha allah jazayako iko kwa allah .Umenifanya nimekua mama wakueshimika kwa mapishi yako .Unafahamika vizuri huna hiyana mola azidi kukupa afya .
😙
shukran saana just discovered aroma of Zanzibar. i love the cooking and your instructions. easy to follow. Allah bless you.
Shukran, karibu
mashallah napenda mapishi yako mungu akupe siha na afya
Amin
Aroma of zanzibar Asante anty navipenda sn jaman mashallakh
Nimependa sana tu....Allah akuzidishie.
asante sana,mola akuongezee miaka ya kuishi duniani.
Shukran, Amin
+Aroma of Zanzibar vikombe vitatu mda mwengeni nakua sielew inamaana in nusu na robo sorry
assalamu aleykum antie recipe nzuri sana nimejaribu leo kuzipika mashallah zimetokea vizuri saaana asante sana kwa recipe
Shukran, ahsante wa kwa kunijulisha nimefurahi sana kujua umezipenda x
Maashaaa Allah shukran kwa kunifunza ujuzi mzurii daa
Mashallah. Umenikumbusha tulivokuwa tukifanya vyakula vikavu kuchukua skuli ya boarding😊
wowwwww asante sana aroma of zanzibar nitajaribu hayo mapishi . lkn nauliza sukari unapima vp sijaona kipimo chake
Sukari ya unga ya mwisho kisia tu kiasi kikombe na robo
wooow asante sana👏👏👏👏nitaipika.
Ma shaAllah kila ninapopika donat ,nimependa recepe yako Allah bless u
Aslam aleikum warahmatullah wabarakatuhu kijiko ni cha kula ama mchuzi
Kijiko Cha chakula
ماشاءالله تبارك الله 😍
تسلم يدك 👍🌷
shukraan ukhty.. na sie tunakupenda sanaaaaaaaa
Asante kipenzi kwa kutufundisha mapishi
Mashaallah nice.nauliza kungumanga inasaidia nini kwa chakula
Kwa pishi hili ni harufu na ladha
Mashaallah sister vyakula vyako vyote pafect👌
Shukran dear
MashaAllah swry..May God keep uu. am learning alots😍😍😍😍
asalamu alkm mngu akuhifadhi ningeomba no zako mashallah mashallah
Shukran, samahani sitoi number zangu humu niletee email aromaofzanzibar@gmail.com au utanipata FB kwa jina la Fathiya Ismail Karriem
Asalam aleykum Hali yako Yani mie napenda jinsi unavyofundisha taratibu napenda sana nakufatilia pia
Mashallahh uko kinyumbani zaid kwa ungo
wallahi ntakuwa mkosefu wa fadhila nikipita bila kuachia comments. .. tnx so much darling kwa kutosogezea karibu vitamtam leo nimezipika donasi mashaAllah so yummy 😋😋😋 mzee wangu kazipenda hivi kesho nimeambiwa nipike tena 😅😅😅😅 tnx love u😍😍😍😍
You are welcome dear , nimefurahi umezipenda donuts and going for a second round x thanks for your support dear
Pizza yako yummy shukraan. Allah akupe Afya.
shukran habibty Kwa kutupenda na kutujali asante sana Allah akuweke miyaka 1000😚😚😚
Shukran mami kwa dua njema lakini hiyo miaka 1000 itabidi uje kunipikia tena ;) ;)
Aroma of Zanzibar Mungu akueke ,daa tuzdi kuelimishana
@@aromaofzanzibar Ha ha ha maskin Allah atupe umr wa sah na fia bas miaka mia simchezo rabi atupe mwisho mwema
Donasi nzuri mashaallah. Waeza Tia blueband kama huna siagi
Unaweza kutumia
Aslm Alykm Mzima mrembo Sasa minimized Nataka vipimo vya Dona national 110 Naomba nijibu
Aleikum musalaam sijafaham swali lako
Aroma of zanzibar mm nasubir kwa hamu Wali was asumini
Asante sana Dada kwa kutufundisha aina ya mapishi mbalimbali
Mashallah habibty nimependa donasi zako
asante mapishi ysko yote mazuri mungu akuhifadhi
Shukran, Amin
Ammin
I got your email.Am trying these donuts today.Sijawahi kula donuts za baking powder, so hopefully I will like them.They look easy which is great!.First time making donuts za aina yoyote.Thanks
I hope you like them, kuna donuts za aina nyingi so give it a try and let me know what you think of them . Thanks for stopping by
nakupenda sana Dada kwani nilikuwa sijuwi kupika keki lakini sasa hivi napika nakupenda sana ila naomba no. yako
Ahsante dear tafadhali niletee email aromaofzanzibar@gmail.com mimi siwezi kuandika nbr yangu hapa
Axante nimekuelewa
Nimependa mno hongera napika sasa hivi dada naomba uniandikie recipe love you
Nimeandika viungo vyote hapo chini kwenye description box
MaShallah upo vzr
Maa shaa Allaah shukraan... Je kikombe ulichopimia nk kipi?
Kikombe cha kupimia keki
Mie saut na lafudh yako tu Dada....nakupendaje
aliyepata mke ww amefaidi kwa makulati matamu
shukran aunty Allah akubarik. ni lazima kutia kungu manga au silazima
Kukumanga inatia hiyo ladha ya donas
Asalamu aleikum natumai hujambo, Mimi swali langu ni hiyo vijiko ni ya mchuzi au tablespoon
Mie natumia measuring spoons kwa hiyo inatkua ni tea spoon kwa vijiko vidogo na table spoon kwa vijiko vikubwa
Shukran
Kwanini unatumia kungu manga? However I truly love your cooking and simplicity in it MashaAllah. I tried going by your steps za mkate wa mayai ukawa ajab na In Shaa Allah ntazijaribu na donasi. JazakaAllahu kheir
Kungumanga its mostly for harufu ni kitu tunatumia tangu when I was young, you can always omit it
Aroma of zanzibar aaaàah jaman mm napenda sn vikoleee nitaenda japo kwa jirani hahaha Sante anty
Haha....
Aroma of Zanzibar Shukran habibti kwa vitebwe sasa tufundishe mofa na vitumbuwa🙏
Aroma of Zanzibar asallam alaikum thanks for your receipe people this days dont share the receipe this reminds us when we left tanzania u have done a great job husna from uk
Husna Shariff Thank you dear for your support, nafaham sana hayo mambo ya kushare , I love sharing hizi recipe zi sife kufichwa kwenye vumbi lol
Twakupenda zaidi...kwa kutujali
Mama vikombe viwili no sawa na kg ngapi
Ni grams 250 tu , yaani robo kilo
Asante
Asalaam aleykum
I like your videos Mashaallah mungu akuzidishie vikombe vitatu ni ya measuring cup ama ni vikombe via kawaida
Mimi daima natumia measuring cups tu
Shukran
Thank you mama now i can cook for my biriyan and mandazi blessed day.
Rosemary Munyi
Alhamdhullilah nilizijaribu Ma Shaa Allah kutumia vipimo vyako...Ila shida sasa nilipoongeza vipimo zawa ngumu sjui nimekosea wapi, maana km mayai 8,siagi vijiko 8,maziwa 8, unga hivyo hvyo...nafaa kuongeza nn?
Pole sana Unaweza kuoongeza sizagi zaidi vitakua vilaini kidogo lakini usikande sana
@@aromaofzanzibar shukran
I really love your voice my dear, shukran kwa kututoa ujingani :*
Shukran, si ujinga dear..elimu haina mwisho
Assalam alaykum warhmatullah wabarakatu Shukran kwa kutufunza mengi Ila naomba ya kiswahili maswali. Yawe kwa kiswahili ili tufaidike sote naomba shawarma na souce yake Shukran
Alkm salaam , sijafaham comment yako umekusudia nini maswali ya kiswahili
Samahani mapishi ya kiswahili basi waulizaji maswali lazima wanajuwa kiswahili kwahiyo wajitahidi kuuliza maswali Yao yawe kiswahili ili tufaidike sote wengine hatujui kizungu tusameheni wapenzi
I'm happy of this ☺ 😊 so I can come back
Most welcome
masha allah sister me nataka haf cake ufundishe
Ma shaa Allah..nimejaribu ur recipe...isipokuwa nimepunguza unga kidogo...Ma shaa Allah ziko poa sana..mpka naulizwa km nimebake instead of frying..kachori ndio zilinibwaga
Hongera kwa jitihada zako kwa donas, pole kwa kachori jee tatizo ni wapi
Aroma of Zanzibar nikizichoma wakati wakugeuza zaachana mafuta yaingia ndani...na zitakazo geuka vizury ndani haziridhishi..ziko maji maji na sikuziacha na maji
Kama zinaachana hivyo itakua ni viazi vina maji bado, kuna baina ya viazi sio vizuri kwa mapishi ya kachori viazi vyenyewe vinakua na maji sana
Aroma of Zanzibar ishakua tabu...sasa ntaweza kuvitafautisha vipi
Aisha Kassim kweli nitabu lakini ukichemsha vinakua kidogo transparent unavihisi jasa vina maji
Naomba kuuliza tena dadaa kama huna siag waeza tumia samli
Unaweza kutumia lakini Samli ina ladha tofauti na siagi
Aroma of Zanzibar ooooh shukran sanaa.dadaa mungu akulipe kila lakher aibarki kaz yako
Aslm alykm Aroma of zanzibar naomba pishi la donuts kwa kutumia mashine yake
Mariam Salim Alkm salaam , unaweza ktumia receipe yoyote ile lakini kuna baadhi ya machine Zina receipe maalum, mimi sijui una machine gani
Aroma of Zanzibar samahani ila umenichanganya kidogo naona haiwezi kuwa nitatumia any receipe kwa sababu kama hizo donuts hapo utafanya donge na hizo nnazo ulizia wakoroga km ji uji den ndio wauchota ukiweka kwa mashine bt pa kuanzia ndio sipafahamu
Mariam Salim nafaham lakini kila machine Zina receipe zake mie situmii mchanganyiko was aina hiyo kwasababu situmii machine
Asante sana kwa mda wako
Can I use tui instead of milk..love your recepies...I used it basic cake recipe,it was 😋😋
Tui might not give you cake texture but its not a bad idea
Au hujui
Mimi sijazowea kula vitu hivyo kwa hivyo sijui kupika
woow i love aroma wa zanzibar
Made me buy skit hen aid artisan but ts worth t love u xooo
Allah akuweke wallah tunaenjoy recipe zako love u sanaa
shukran, amin
@@aromaofzanzibar nikitaka ziwe kama cake nafanyaje!?
@@halimazubeir1114 donut za cake ni recipe tofauti huwezi kutumia hii
Mashallah...beautiful and yummy 🤤 🤤..I love your cooking you can make someone who doesn’t like cooking start cooking...And wherever you follow the procedure once you become perfect 💯
Thank you so much
Hello! love ur receipes☺ it would help if you could also give measurements in grams so that v get precise measurements. thank u
aroma ya zanzibar I am so happy to ear kisuali receipy pls can u make one time rice of coconut thanks my name is Mona I love you
Thank you for stopping by Mona, Inshallah I will make coconut rice specially for you dear
shukran sana hiyo ndio enyewe
Ahsante mpenzi😘😘😘😘
Lulu na wema wajifunze jinsi gan ww unatufundsha kwa ufasaha
Ahsante sana, wale ni wasanii sura xao ni muhimu kuliko mapishi
@@aromaofzanzibar umeonaeee wanaleta uzur kwenye kazi
Salam umetumia kijiko kipi shukran
Cha chai
@@aromaofzanzibar but kwa video maziwa na siagi inaonekana nyingi ama nimejaribu kupima 3 tbsp inaonekana kidogo
Asante sana..kungu manga inasaidia nini
ladha na harufu
shukran aroma mungu akupe nguvu uzidi kutufundisha (hivi hizi donat mfano ukazipika leo ukakusudia uzile kesho skari itakua haijarishai?
Kama unatakaa kula kwa siku ya pili vipike vikisha poa vunika vizuri , tia sukari sku ya pili kwa sabau ita rishai
hii imeipenda itaifanye leo nazijuwa napika ila nitajaribu na hii ili nione inatokeaje mapishi yako mazuri sana
Asante kwa mapishj dear, me nauliza ni aina gani ya baking powrder na amila unayotumia ili kufanya maandazi yakachambuka vizuri?
Baking powder Kila nchi Kuna chapa zao naamini hazina tofauti kubwa , kwa maandazi mimi situmii baking powder natumia hamira
Maziwa lazma
Kwa recipe hii ukiwa ziwelaini lazima uweke maziwa , ulikuwa unata kueka nini
Mm mbna hazijaja
vipi hazijaja sijafahan
I love you Fathiya.ahsante kwa ku share nasi ur recipe
Love you back Flora, thanks for your support dear
A.aleikum.habibty..je naweza kutumia blender instead ya hio machine
Mimi sijawahi kwa blender, jaribu utaona vipi itakua
Asalaam Alaykum. Samahan habibty hiyo siagi unaiyayusha kwanza ndio unapima hivyo vijiko 3. Na pia unga ukipima unachota tu au unachota kwa kunyunyiza
Siagi napima kabla , lakini haina tofauti . Unga nachota
@@aromaofzanzibar Shukran habibty
shukran sister najifunza mengi kwako
yaani na maanisha you write down the receipe fr the donats hope umeelewa
Ingredients and measurement zipo description box hapo chini
Hauwek hamiraa
Sijawaka kama nilivyo eleza hapo
Hongera mashallaa
samahani Dada je huwezi weka hamira
Hamna haja ya samahani , kama unataka kueka hamira weka sijui vitatokea vipi jaribu uone
MashaAllah zafutiaaa sana... nahitaji kupika Unga wa kilo moja nisaidie na vipimo please... shukran.
Unga kilo 1 ni sawa na vikombe 8 kwa hivyo utaweka mayai 8 na vipomo vyote nilivyoandika hapo chini vitakua vinane
MashaAllah
NZURI MASHAAALAH
Thanku sis,like the way unatufunza mapishi
Ahsante sana
Asante kwa mapishi
Karibu