Asante saaana dada kwa darasa lako zuriiii Leo nmejaribu kupika Mandazi aiseeee yalikuwa Matamu balaaa. Asante kwa kunipa ujuzi mzuriii, Inshaallah Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu
Wallah I cat thank you enough for this recip Maana nmejaribu some recipes nmefeli ila this is the best adi is siamini. Allah akijalie afya tele uzidi kutujuza ❤️❤️
It is amazing that Swahili recipes can be done in many ways a good example is mahamri,, MashaAllah and Swahili food is so yummy and very fun to make❤️❤️Asante from Lamu/Philly. In Kenya we say both Mahamri/Mahandra/Mahamira/Handra/hamira like yeast,, mostly is said in the coast of Kenya Mandazi in the coast and everywhere else
mashallah I try the maandaaz and turn out really prefect alhamdulillah shukran my sister Allah reward you fill jannah I like your videos keep it up and post some more inshallah even thought I don't speak sawahil I like the way you do step bye step thank you so much asc
Shikamoo mama nimefurahi sana kutapatikna videos zako, ninajifunza kiswahili sasa hivi na nafikiri kwamba videos zako zitanisaidia bora kuliko kablae hata kwa sababu napenda vyakula toka Africa mashariki, asante sana kwa kazi yako 💙
Asaalam calaykuum waarahmatuulahi waabarakatuh Jazakallah khair nilinunua hamira ma sha ALLAH zimetokea nzuri sanaaa ma ALLAH grand u jannatul fardous and Ramadan Kareem
Napenda sauti yako habibty cjui kwanini then I like your recept najifunza mengi kwako ilike you mamy may Allah give u happy nowadays I love you for the sake of Allah
Masha Allah My sister I love your cooking nime jifunza kupika biriyani your cooking is simply and one con understand quickly walai Allah akuzidishe ❤❤❤
Oooyoo Allhamdulillah nimeweza yan jana nimefatisha kilakitu kama ulivyoelekeza kumbe nilikuw nakosea kuweka hamira ww unaweka vijiko vikubwa mimi nilikuw naweka vidog yanii ibarkiwe na Allah sanaa
You have made me overcome my fear of baking and anything to do with yeast or baking powder ,lol. Your recipes have never failed me. I made these today and they were soft and delicious. JazakaAllahu kheiran
Ahsante saana love the turn out. I had to leave it abt 45 min to raise I added 2tbsp of maziwa ya unga and was soft as pamba!!! Thanks a lot looking forward to try ur other dishes mhmmm. Allah yebaaarik feeeki !
Now I feel like having some mandazi and bharazi! We buy the mandazi from a woman who makes it at home. They are so expensive here in Toronto! Some go for like $1 per! Same with tumbua. Expensive and not everyone can make them well. Thanks for sharing! It looks easy enough.
The best cooking channel on TH-cam Very clean and clear thanks queen of Zanzibar!!!! One ☝️ love❤️❤️ from Somalia 🇸🇴
mama mzuri wewe kweli ,,,wajua kufunza kweli
Haya maandzi yalitokea vizuri kabisa! Wanifunza kupika vyakula sikutarajia ningeweza kupika kamwe. Asante tele kwako mpishi bora.
Ahsante wewe mwanafunzi bora, nimefurahi kusikia maneno mazuri kama haya x shukran
Nime jifunza kupika through your videos my sister Alhamdulillahi 🙏
Shukran
kwa kweli finally nimepata ninachokitaka natumaini utaendelea kutupa video za mapishi mengi zaidi kazi yako ni njema sana.....
Shukran
Pole mumy kwa mafua n.a. kifua naona yanakusumbua kidogo. .pia asante kwa mapishi mazuri nimependa sana unafundisha vyema.ubarikiwe kwakutufunza
Ahsante sana,
MashaaAllah ahsante na video zako zinamwelekezoo mzuriii rabby akuhifadhiii na akulipe kwa hili somo la mapishii♡♥♡
OMG! Yum yum I wish ningelijua kutengeneza mandazi kama wewe dada😍😍😍
Follow the recipe dear , its easy
mashaallh dada nipishi yako mazuri mashaallh mungu uzidishee afiya
Upo vizuri nakupenda bure. Halafu unathamin asili 😘
Asante saaana dada kwa darasa lako zuriiii Leo nmejaribu kupika Mandazi aiseeee yalikuwa Matamu balaaa. Asante kwa kunipa ujuzi mzuriii, Inshaallah Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu
Hongera sana kwa jitihada yako, ahsante sana kwa kunijulisha kuwa umependa sana
Yaani nimekuwa mpishi mzurii sanaaaa...... asante sanaaaa aroma of Zanzibar
Hongera kwa jitihada yako
Asante sana tumejifunza mengi kupitia kwako Allah akufanyie wepes katika maisha yako yote
Hongera uko vizuri sana.nakuelewa
Wallah I cat thank you enough for this recip Maana nmejaribu some recipes nmefeli ila this is the best adi is siamini. Allah akijalie afya tele uzidi kutujuza ❤️❤️
It is amazing that Swahili recipes can be done in many ways a good example is mahamri,, MashaAllah and Swahili food is so yummy and very fun to make❤️❤️Asante from Lamu/Philly. In Kenya we say both Mahamri/Mahandra/Mahamira/Handra/hamira like yeast,, mostly is said in the coast of Kenya Mandazi in the coast and everywhere else
Asante Mama Aroma zanzibar....Niko moroco nimeyapika Mahamri Masha Allah.
Hongera, ahsante sana kwa kunijulisha nimefurahi sana
Napenda mapishi yako unavyooyaandaa hongera dada
mashallah I try the maandaaz and turn out really prefect alhamdulillah shukran my sister Allah reward you fill jannah I like your videos keep it up and post some more inshallah even thought I don't speak sawahil I like the way you do step bye step thank you so much asc
Arafat Abdi Am so happy and proud of you . Glad to know that your Maandazi turned out perfect. I do have the same video in English as well .
Aroma of Zanbb c jukn.
mmmmmmmmkkkiioozibar yhggy
Napenda sana mapishi yenu Aroma of Zanzibar,maelekezo mazuri yenye kueleweka.Kazi kuntu.
Ahsante najitahidi
mashaallah mapishi yako mazuri sana mungu akuzidishie kheri
Shukran, Amin kwetu sote
Masha allah ..Allah akuzidishir kheri ..nafatilia sana mapishi yako
Shukran, Amin kwetu sote
nimependa upikaji wako wa maandazi hongera sana
Asante sn my kwa mapishi mazuli sema nakuombe kwa mungu upone naona sauti aipo sw pole
Ahsante nishapoa
mashallah dada napenda video zako unaelezea vizuri na mazungumzo ya ziada pia unaelezea jazakallah
Ahsante
Mashaallah sister.. always nafurahia sana upishi wako..Allah bless you Amiin..
Shikamoo mama nimefurahi sana kutapatikna videos zako, ninajifunza kiswahili sasa hivi na nafikiri kwamba videos zako zitanisaidia bora kuliko kablae hata kwa sababu napenda vyakula toka Africa mashariki, asante sana kwa kazi yako 💙
Ahsante sana nimefurahi sana kusikia
mashaallh nikuelewa jazakalah her
JAZAKALLAH KHAIRAN MAMY KWAKUTUFUNZA MAANDALIZI MAZURI YA MAANDAZI HUKU OMAN NDIE CAKULA CA WARABU
Pretty Shemsa Nelly
you make vr nice dish.And you show step by step.
+Asha Ahmed Shukran, am trying my best, glad you like it. Thank you for your support
Masha Allah Masha Allah Masha Allah 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤ May the almighty Allah bless the good work of your hands always 🙏🙏🙏
Alhamdulilah, amin ya rabb
Allah Akulipe khayir ntajaribu in sha Allah naogopa kupika maandazi kila mara nakwepa😊 Lkn in sha Allah ntajaribu nimeipenda
Amin, usiogope hayana tabu na kama unaswakil lolote tafadhali uliza tu , mambo ni kusaidiana
Asaalam calaykuum waarahmatuulahi waabarakatuh Jazakallah khair nilinunua hamira ma sha ALLAH zimetokea nzuri sanaaa ma ALLAH grand u jannatul fardous and Ramadan Kareem
Wa Aleikum Musalaam Warahmatullahi Wabarakatuh, thank you your your wonderful feed back am so happy you enjoyed the maandazi. Amin kwetu sote sister
Napenda sauti yako habibty cjui kwanini then I like your recept najifunza mengi kwako ilike you mamy may Allah give u happy nowadays I love you for the sake of Allah
I'm a teacher(madam) I live at Pemba(Zanzibar) I enjoy the food of home
Ahsante sana , nashkuru. Thank you for your support and love
Nimeyapenda manshallah
Asante sana Aroma Zanzibar maandazi mazuri sana. Mimi niko nchi ya baridi sasa nimejua kuweka kwa oven ili kuumuka. Pole na mafua.
shukran napenda sanaa ninanvyo jihusisha na mambo ya upishi
Mandazi pia watu wa tanga sana mashallah
Thank you very much for the recipe,Mandazi tamu sana MashaAllah
Rasmiya Ali
You are welcome dear, glad to know umeyapenda
Si mandazi ni mahamri.... Mandazi ni tofauti sana ni hayo mpenzy..
Nice though good work.
Sisi watu wa zanzibar tunaita maandazi, hatuna neno au jina la mahamri kkwetu hilo ni jina la watu wa Kenya
@@aromaofzanzibar Alah....sawa wacha niyaite mahamri mpenzy....hill ndilo jina letu....shukran
Ma shaa Allah your recipes are scrumptious Allahu Bareek I'm trying this today In shaa Allah
Uko vzr kwa kufundxa nimkuelewa asante
asante kwa elimu nzuri Aunt
A.alaykoum wa jina hbr za masiku tele hongera sana sana Kwa mapishi mazuri mnooo
Wa aleikum Musalaam, shukran
Masha Allah My sister I love your cooking nime jifunza kupika biriyani your cooking is simply and one con understand quickly walai Allah akuzidishe ❤❤❤
Thank you so much. Amin kwetu sote. Shukran
mashallaha,hongera Mama
Thnx mamie be blessed kwa kutupa maarifa
nampenda manake anaeleza vizuri hata kwa mtu asiyejua kabisa
maashaallah tabarakallah,,allah ibariq fiki,,
shukrani, very easy to follow. :-) and your kiswahili is brilliant.
Thank for stopping by, glad to know you like the recipes
thanx sanaa watusaidia sana ALLAH THAUL UMBRI
Oooyoo Allhamdulillah nimeweza yan jana nimefatisha kilakitu kama ulivyoelekeza kumbe nilikuw nakosea kuweka hamira ww unaweka vijiko vikubwa mimi nilikuw naweka vidog yanii ibarkiwe na Allah sanaa
Alhamdulilah, mimi nimetumia vijiko vidog basi inaonyesha hamira yako haina nguvu sana karibu kwisha mda lakini si haba yametokea
Yametoka tena yamebak mpak leo wallah Bad malainiii
Vraiment je ne comprends pas mais vs Avez un beau timbre vocal bne santé et fête de travail
Manshaalah maandaz yako vzur
+Asma Azaly Thanks, na wewe unaweza kufanya, give it a try
You have made me overcome my fear of baking and anything to do with yeast or baking powder ,lol. Your recipes have never failed me. I made these today and they were soft and delicious. JazakaAllahu kheiran
You are so welcome!
mashaAllah Allah akuzidishie ujuzi inshaAllah
Masha Allah shukran kwa mapishi yenu
Nice. Natamani kuyala jmnn😛😜😝😋😏
Mamy habari za leo,naangalia hapa ili kesho nipike😀sijawahi kupika ila maelezo yako nimeyaelewa sana🙏🏾stay blessed
Shukran, happy cooking usisahau kunijulisha matokeo
I love this chanel more than you think 🤔 🥰💖💖be blessed mungu akunipeye maisha marefu Mum
Thank you dear for so much love. Amin kwetu sote ya Rabb 😘😘💕
mashaallh mandazi nimyapika yamekuwa mazuri mashaallh
Fj fj shukran, hongera
Naona tuko pamoja madam very nice I like it
Shukran
Mashaallah leo nimepika maandazi yamekuwa mazuri
Hongera
Wow mashaallah ajab yammy
Wooow maashaallah so nice😘😘😘😋😋😋😋😋
shukran nimejifunza nanimeyapika Matam sana 👌👌👌👌
+Johari Natali Ahsante sana, nimefurahi kwa kuyapenda
maandazi mazuri hongera Kwa kutufundisha
ma sha ALLAH nimejaribu kupika lakini zangu hazii umuki kama zako naomba uniambie nitafanya nini na ramadhani ni karibuni jazakallah khyr
+Zamzam Sharif Pole sana, anagalia hamira labda ni yazamani sana
+Aroma of Zanzibar Jazakallah khair xbbty ma ALLAH grand u jannatul fardous Amiin
Amin kwetu sote sister
Mungu akubarik dada
Shukran, Amin
Very nice this recipe I followed few times every time turned out 5+ 👍 you
Thank you so much 👍
Walahi mgu akupe maisha malefu
Amin x shukran
shimo lanini ndani ? Mimi naona wateja hawatafurahi wakiona hizo shimo, explain me pls or it' s new model
Mafundisho yako na vidio na kila kitu kwa kweli tunafaidika
Shukrani Mungu akupe kila kheri...
asante kwa ufundishaji wako mzur nimekupenda sn
Shukran
I tried your recipe for mandazi and kachori came out great.Mashallah thank you
Next time for mandazi I should add abit of coconut kukandia,coz was abit heavy ikawa hard to rise fully
Sometimes the flour is different, its more dense so if you feel its hard go ahead and add more coconut. Thank you for the feedback
Thank you for the wonderful feedback, good to know you liked them
Maashaalaah nice
mashallah unafahamisha vizuri saana. andika kitabu
Angalia description box utaona vipimo vyote
Ahsante Inshallah, am looking into that
Ahsante saana love the turn out. I had to leave it abt 45 min to raise I added 2tbsp of maziwa ya unga and was soft as pamba!!! Thanks a lot looking forward to try ur other dishes mhmmm. Allah yebaaarik feeeki !
Imaan Hassan Mabrook, am happy that they turned out great for you. Thanks for your support
Thank you always the best god bless you
Macha-alllah marahaba mendji pour la recette
thank you 4 shared..will try it
NAKUPENDA KWELI😍😘😘😘😘😘
Ahsante sana Leah
I don't understand what you say but I love to watch your video I am your new sub love from India may Allah bless you with all the happiness in life
Thanks for your support dear, I have the same video in English as well , click the link th-cam.com/video/jTxUoxTYbTY/w-d-xo.html
Mandazi atutumii maji
@@ritamwendwa8717 ni kweli
Mashallah dadaetu Allah akupe umri uzidi kitufundisha mapishi zaidi.Kwa kua siku zote mke mzuri ni yule anae jua upishi . Big up sana sister
Khadija Soppa Shukran, Amin kwetu sote
1:34 tuna shukuru sana kubtu fundisha kupiga.... Ina kuwa ina tu motivate ku tomika na ku piga chakula tamu 2:30 🎉❤😊❤
Ahsante kwa support
Mahamri I like these walahi shukran mama
Mashaallah shukraan habibty
Ma shaa Allah I tried this recipe for breakfast today was delish Jazakh Allah kheir sis for all your awesome recipes
Great, good to hear that you are enjoying the recipes
Andazi nzuri hasante
Will make it today In shaa Allah. Thnx for the recipe xx
Now I feel like having some mandazi and bharazi!
We buy the mandazi from a woman who makes it at home.
They are so expensive here in Toronto! Some go for like $1 per!
Same with tumbua. Expensive and not everyone can make them well.
Thanks for sharing! It looks easy enough.
+Cheznazi Samji Thanks, now you can make your own, they are easy. Thanks for stopping by
mashaallah nimeyapenda maandazi.
Shukran
mashaaallah ...dada afueni ya haraka kwa mafua
Ahsante nimeshapoa
Macleens Undisa biriani
Mungu akyjazi kheri ربي يحفظك
Shukran, amin kwetu sote
Asante sana tunakupenda sana dada etu allah akulipe coz huna nyingi
Easy to follow recipes. Shukran☺
Thank you dear
Aroma of Zanzibar hamiri ni nini. .?
Monica Wangeshi Hamira kwa English inaitwa yeast
MashaAllah. Nice. Shukran 🙌🏼👏🏼👍🏽🤗
I love your cooking 👍👌😋😋😋
Recipe in English please.
All recipes are in both languages heres the link th-cam.com/video/jTxUoxTYbTY/w-d-xo.htmlsi=8K_qog8F9vqw4hPn
Ahsante Sana dada Mimi ni Somalia, hata Somali anapiga alfu madazi hakuna jina ningine unaitua Mandazi
Merci beaucoup qu'Allah vous bénnisse Inchallah
Mungu akubariki kwa
Amin kwetu sote
asante sana kwa maandazi my favourite.
lakini nataka kujua maandazi ya oven pia.
jee nitumie vipimo hivo hivo
na uzito pia.
+Shaikha Al Adawi Unaweza kutumia the same recipe kwa oven pia, thanks for the feedback
Aroma of Zanzibar mpenzi naomba maelekezo ya upishi wa chapati nyororo dear..na nijuze mda gani kwa kukanda??
Kwa upishi wa chapati mie napika kama hivi , angalia hiyo link na measurements zitakua description box th-cam.com/video/ke92xZiScjQ/w-d-xo.html