MKATE WA TAMBI ZA MCHELE - KISWAHILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Mahitaji:
    Tui la nazi zito vikombe 2 /500ml
    Tambi 250gms
    Sukari robo kikombe - 1/4 cup/50gms
    Hiliki ya kusaga - nusu kijiko cha chai
    Vanilla au arki yoyote - nusu kijiko cha chai
    Mayai 2
    Hiliki ya kusaga nusu kijiko cha chai
    Vanilla kijiko kidogo cha chai
    Sukari vijiko 2 vikubwa

ความคิดเห็น • 168

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah yani uu mkate ninavyo upenda kila nikipika hauji mzuri lkn apa nimefika xxa jazzak Allah Kerry

  • @mohamedshariff9699
    @mohamedshariff9699 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah nice Allah akuwezeshe kwa kila jambo

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukran ya Habibty Allah akuzidishiye urajiri wa Afya In Sha Allah

  • @shamzone388
    @shamzone388 7 ปีที่แล้ว +7

    WALLAH MKATE MZURI SANA..SHUKRAN

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 ปีที่แล้ว +3

    Masha allah jazzakallahu lkheri nilikuwa natamani nijuwe pishi hili shukran mpenzi allah akulipe kheri

  • @balqisnjuki
    @balqisnjuki 7 ปีที่แล้ว +4

    nakupenda sana mamy...napenda videoz zako....najifunza vitu ving sana...Allh akuzidishie kheri...From Morogoro tz

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Balqais kwa kua nami x Amin kwetu sote

  • @wahidaomar2639
    @wahidaomar2639 7 ปีที่แล้ว +1

    mashallah..aroma Allah akuzidishie dadangu twapata mafunzo mazur from you..shukran sana habibty

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Shukran Wahida kwa dua njema na kwa kua namie

  • @salmahassan6809
    @salmahassan6809 7 ปีที่แล้ว +6

    MKATE HUU RAMADHAN HII NAUJARIBU INSHAA ALLAH. SHUKRAN SANA KWA UPISHI

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      SHUKRAN, AMIN

    • @metalcombat4470
      @metalcombat4470 7 ปีที่แล้ว

      Never try, you gonna fail, salma hassan. Just do! Trusting yourself results winning and success!

  • @ashamohamed3713
    @ashamohamed3713 7 ปีที่แล้ว +1

    shukrani kipenzi kwa kutufunza pishi hili adimu, Nafadika sn kupitia chanel yako Allah atakulipa kila la kheri

  • @ahlamverynice.3605
    @ahlamverynice.3605 7 ปีที่แล้ว +2

    wow mashallah Allah akubariki habibty nautamani huwo mkate wa tambi😋😋😋👌

  • @muhmahahmshaibrahim3109
    @muhmahahmshaibrahim3109 7 ปีที่แล้ว

    fathiya you outshine yourself always...asante kwa kutufahamisha kuhusu the egg binder..nimependa sana sana.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Thank you darling, I try my best to give you all recipes that will give you good results. Alhamdululiah

  • @minaaluwilo78
    @minaaluwilo78 2 ปีที่แล้ว

    mwenyezi mungu akupe umri wenye faida mapishi yako mazuri

  • @hazeljune2023
    @hazeljune2023 6 ปีที่แล้ว +1

    Great great recipe and I also love your kitchen ware especially the plates!!!😍😍😍

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mungu akupe afya' ahsante kwa mapishi murua..

  • @nasimmakukwi9823
    @nasimmakukwi9823 7 ปีที่แล้ว

    Mash Allah mapishi yako yanavutia naomba tueleze na vipimo kamili kwasababu ninapokosea kimoja mkate wangu wavurugika

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Nasim Makukwi ahsante vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

    • @nasimmakukwi9823
      @nasimmakukwi9823 7 ปีที่แล้ว +1

      Aroma of Zanzibar ok InshAallah

  • @rugeyyemuhammad1549
    @rugeyyemuhammad1549 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @floshkitchen3061
    @floshkitchen3061 7 ปีที่แล้ว +1

    Waoooooooooh unaonekana mtamu na mlainiiii👌👅👅👅

  • @halimamshami3279
    @halimamshami3279 5 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah ahsante ntajaribu , Allah akuhifadhiii

  • @trendingvideos6651
    @trendingvideos6651 7 ปีที่แล้ว

    Yaani Ndio napika nilikuwa sijui km ni tambi hizi nilidhani mpaka tambi za bongo Ila thank u so much nimeenda nunua Huku nilipo wanaziita rice noodles

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      I hope umezipenda , ndio hizo mie na nunua kwa wa china x take care

  • @fathmastambuli3814
    @fathmastambuli3814 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah my favourite meal. Thanks habibty. I loved it 😘

  • @zainabrishad4650
    @zainabrishad4650 7 ปีที่แล้ว

    Mashaallah hizi ndio vyakula tunazo taka shukran 🙏🙏🙏 love from Nairobi👌

  • @nasekilemwaisaka7813
    @nasekilemwaisaka7813 6 ปีที่แล้ว +1

    Napenda page yako najifunza mapishi mengi manshalla

  • @mariamshariff6436
    @mariamshariff6436 7 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh naona RAMADHAN yanukia Masha Allah. Allah akupe afya uzidi kutupa mpishi 👌

  • @romysapio6058
    @romysapio6058 7 ปีที่แล้ว +1

    shukran habibty kwakutufundisha vitam tam parket ngapi umetumia

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Karibu, tafadhali angalia uzito wa packet zako kwani kila nchi wana aina tofauti, mie pakti yangu ilikua kubwa ya 900 gms, nimetumia 250gms tu

  • @nihadahmed4812
    @nihadahmed4812 6 ปีที่แล้ว +1

    Niece mashaAllah

  • @fatmaal-ismaili5514
    @fatmaal-ismaili5514 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabarak rrahman

  • @keiramayars7544
    @keiramayars7544 7 ปีที่แล้ว

    Sis jazakallah kheir.
    I really appropriate your talent and effort 110%. Manshallah!!
    Nina ombi moja tuu mie. Naomba recipes za vegetables tafadhali. Thank you. Ramadhan kareem inshallah

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Keira thanks alot for your support, I do love vegetables myself but the response of soups, salad and veggies is very poor thats why I stopped coz it takes alot of my time and its not very encouraging but I will keep you in mind next time I make something with veggies I will share x take care

  • @fadnanoor5121
    @fadnanoor5121 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashacala

  • @faasalum474
    @faasalum474 4 ปีที่แล้ว

    Mashallaah habibty

  • @intyswaridrissah1409
    @intyswaridrissah1409 5 ปีที่แล้ว

    Hongera......Naomba kuuliza je unaweza kupikia zile tambi za Zanzibar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli mie nimeondoka Zanzibar miaka mingi sana sijui kuna tambi za aina gani sasa. Jaribu kidogo uone vipi itakua

    • @intyswaridrissah1409
      @intyswaridrissah1409 5 ปีที่แล้ว

      zipo zile za unga wa ngano...........

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Sana my sister

  • @josephinekinyaga4941
    @josephinekinyaga4941 6 ปีที่แล้ว

    asante nimeelimika vya kutosha ubarikiwe sana.

  • @noreenalriyam2892
    @noreenalriyam2892 5 ปีที่แล้ว

    Bismillah Masha Allah Tabarrak Allah 😘😘shukraan

  • @nashwabrown2385
    @nashwabrown2385 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mapishi mazuri sana Aunty... please post video ya Basbousa please.

  • @munirarama83
    @munirarama83 7 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH MKATE WA TAMBI MZURI WAITIKA

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Munira Rama NAAM

    • @rubeenakarim
      @rubeenakarim 6 ปีที่แล้ว

      Salaam dear what is the thing u r brushing on the tambi

  • @dianaleonard244
    @dianaleonard244 7 ปีที่แล้ว +1

    Amazing, am going to try this

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukran habbty

  • @rosemaryjennifer7165
    @rosemaryjennifer7165 7 ปีที่แล้ว

    I love your channel honestly. I only wish I could understand Swahili. could you please maybe write the recipe in English for some of us who don't understand Swahili?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Rosemary Jennifer Dear you don't have to worry all my videos are in both languages, here's the link to the English version th-cam.com/video/-BVP6_qVYVc/w-d-xo.html

    • @rosemaryjennifer7165
      @rosemaryjennifer7165 7 ปีที่แล้ว

      Thank you so much Aroma of Zanzibar​

  • @agnesndetaramo7209
    @agnesndetaramo7209 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @fathiafathiah1866
    @fathiafathiah1866 7 ปีที่แล้ว +1

    nice recipes

  • @aeshaha8770
    @aeshaha8770 7 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah

  • @OmanOman-fu8xy
    @OmanOman-fu8xy 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @marynjeri562
    @marynjeri562 5 ปีที่แล้ว

    Ramadhan yaanza sasa lazima kujifunza mapishi

  • @sallynznas6461
    @sallynznas6461 7 ปีที่แล้ว +1

    thaanks habbity

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 7 ปีที่แล้ว +3

    👌🏻

  • @mwanamwana903
    @mwanamwana903 6 ปีที่แล้ว

    Machaallah. Its good. Bit is it possible To replace the coconut with a milk?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      I have not tried that, it may come out well but the taste will be different

  • @aaliyia9721
    @aaliyia9721 4 ปีที่แล้ว

    Looks yummy

  • @abdallahhassana8649
    @abdallahhassana8649 5 ปีที่แล้ว +1

    😍😍

  • @binatasnim8831
    @binatasnim8831 5 ปีที่แล้ว

    Assalam Aleikum .Maa shaa Allah nice recipe .can i use charcoal stove ??

  • @burhanaweiss8789
    @burhanaweiss8789 2 ปีที่แล้ว

    If Allah will give a Daughter i will name her after you fathiyah

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  2 ปีที่แล้ว +1

      Shukran mashallah, May Allah give you a healthy baby

  • @intyswaridrissah1409
    @intyswaridrissah1409 6 ปีที่แล้ว

    Nzuri.....Lakini nauliza tambi zile zinazotumiwa Zanzibar sana ....ndo za Michele au ngano

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Shukran, dear mie nimeondoka Zanzibar miaka mingi sana sikumbuki ni zipi ndio maana nimeonyesha tambi za aina mbali mbali

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbna kijisauti kma zughura yunus

  • @tabuhassan3933
    @tabuhassan3933 7 ปีที่แล้ว +1

    shukran

  • @bustit088
    @bustit088 6 ปีที่แล้ว

    Where are these dishes you make from . Your language sound familiar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      These are East African dishes, I speak Kiswahili , if you wish to watch this in English please follow this link th-cam.com/video/-BVP6_qVYVc/w-d-xo.html

  • @nasreendar3781
    @nasreendar3781 7 ปีที่แล้ว +2

    Can you please make a bokoboko recipe please ?? ❤. I made Shorba for my family and they really loved it

  • @AminaAmina-rg4oc
    @AminaAmina-rg4oc 5 ปีที่แล้ว

    ama shaa Allah😃🇰🇪

  • @sharifanassor9250
    @sharifanassor9250 5 ปีที่แล้ว

    nakupend sna dada

  • @railamypresidentrailamypre629
    @railamypresidentrailamypre629 7 ปีที่แล้ว +1

    nyamnyam

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 5 ปีที่แล้ว

    Kwani nilazima ueke yai. Na pia tambi si hua zina kaangwa na mafuta ndio uzipike

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Huo ni mkate wa tambi na kuna mapishi mengi ya tambikwa tambi nilotumia mie zimehitaji mayai kupata mkate ushikane vizuri kama nilivyoeleza hapo kwenye video na nimeonyesha nilizo pika bila mayai pia

  • @mimimbeya
    @mimimbeya 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mapishi ya tambi

  • @azizamohammed6552
    @azizamohammed6552 5 ปีที่แล้ว

    Shukran jazillah

  • @tatu1530
    @tatu1530 7 ปีที่แล้ว +1

    asante

    • @Raya-zm9wv
      @Raya-zm9wv 7 ปีที่แล้ว

      shukran yamyam rusha n vengine Ramadan karibu shukran dada fathiya KW mapishi yao Allah akjaze kheri

  • @zenaahmed4732
    @zenaahmed4732 5 ปีที่แล้ว

    Dear mimi nina pakti ya gram 200 sasa vipima vitakuaje?Pleas ni juze.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Punguza tui ufanye kiasi kikombe na 1/2 , punguza na sukari kidogo

  • @shamzone388
    @shamzone388 7 ปีที่แล้ว

    ANT UPO WAPI ..NATAMANI UWE JIRAN YANGU...NIJIFUNZE ZAID ...

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว

    asante nawe pia dd

  • @mariamrajabu8768
    @mariamrajabu8768 6 ปีที่แล้ว

    Shukran Najifunza

  • @fatmatarimo7528
    @fatmatarimo7528 7 ปีที่แล้ว

    assalam aleykum, naomba uliza naweza pia kuoka kwa jiko la mkaa??? ahsante

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Unaweza kutumia jiko la mkaa pia sio tabu

  • @adiamtalemwa2155
    @adiamtalemwa2155 2 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum nilazma unitumie tambi zamchele?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  2 ปีที่แล้ว

      Nimeonyesha tambi tofauti hapo tumia ulokua nazo

  • @sidikazungu2374
    @sidikazungu2374 5 ปีที่แล้ว

    Mapishi yako huwa watumia samli gani?

  • @sidikazungu2374
    @sidikazungu2374 5 ปีที่แล้ว

    Why do you soak rice before cooking and for how long?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      I did not soak them I pre-cooked. the duration it depends on the instructions written in the box . If the boz says cook for 5 mins then cut that time to half coz you will be cooking them again and we dont want them to be over cooked

  • @ummunifaljabry2266
    @ummunifaljabry2266 6 ปีที่แล้ว

    Thank you so much for your help

  • @sitihassan9439
    @sitihassan9439 4 ปีที่แล้ว

    Mummy naweza tumia za unga wa ngano

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Wallh mie sijawahi kutumia za unga wa ngano always za mchele kwa hivyo naomba ujaribu kidogo

  • @habibamsoloni5582
    @habibamsoloni5582 4 ปีที่แล้ว

    Hizo tambi za mchele ntazipata wapi kwa dar

  • @abdallahhassan6796
    @abdallahhassan6796 6 ปีที่แล้ว

    Mbona chumvi siioni kama kiuongo au macho yangu?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Macho yako sawa , hamna chumvi humo hichi ni chakula kitamu

  • @jenithakennedy1985
    @jenithakennedy1985 6 ปีที่แล้ว +1

    Samahani badala ya tui la Nazi huwezi tumia maziwa ??

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Sijawahi kutumia maziwa unaweza kujaribu lakini ladha itakua tofauti sio kama ya tui la nazi

    • @jenithakennedy1985
      @jenithakennedy1985 6 ปีที่แล้ว +1

      Aroma of Zanzibar ok naweza tumia Nazi ya kukuna mwenyewe au mpaka ninunue dukani ??

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Haya ni mapishi ya kinyumbani unaweza kutumia nazi ya kukuna upate tui zuri mimi natumia za dukani huku ninapoishi hakuna nazi za kukuna

    • @jenithakennedy1985
      @jenithakennedy1985 6 ปีที่แล้ว +1

      Aroma of Zanzibar asante sana , kwakweli mapishi yako ni mazuri sana nayapenda mno , nitajaribu na Mimi kupika familia yangu ifurahi , Mungu akubariki sana ....

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sana, hasa familia watapenda sana. Ahsante kwa dua njema . Amin kwetu sote

  • @nuruyusuf650
    @nuruyusuf650 4 ปีที่แล้ว

    Naeza kuzichemsha kwa maji ya Nazi sio alfu baadae ndio tui zito

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Sijawahi kupika hivyo lakini sio vibaya kujaribu

    • @nuruyusuf650
      @nuruyusuf650 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar insha Allah ntakujulisha

  • @fatumakadute7959
    @fatumakadute7959 4 ปีที่แล้ว

    Naweza kutumia yai lakini nikatoa kiini chake?

  • @saumuchonya5907
    @saumuchonya5907 6 ปีที่แล้ว

    Vipi kama hauna oven utaipikaje

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Hivi ni vyakula vyakinyumbani unawesa kutumia jiko la mkaa au kawaida halafu ukapambia moto juu, mimi sina hilo jiko ndio natumia oven

  • @thaniaally382
    @thaniaally382 6 ปีที่แล้ว

    unaweza kukaa kwa muda gani?!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Wallahi ni kitu chakula mara moja tu mie hubakia labda kwa siku 1 au mbili sijawahi zaidi ya hapo

  • @najmakimosa8306
    @najmakimosa8306 6 ปีที่แล้ว

    Mamy nauliza naeza tumia tsmbi za santalusia

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Dada mimi sijui tambi gani hizo kila nchi kuna tambi tofauti

    • @najmakimosa8306
      @najmakimosa8306 6 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar tz zipo in ndefu zauzwa madukan

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Ndio lakini ni za unga au za mchele,

    • @najmakimosa8306
      @najmakimosa8306 6 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar za mchele Nene kiasi halafu ndefu mamy

  • @thaniaally382
    @thaniaally382 6 ปีที่แล้ว

    tuletee mapishi ya mtabaka

  • @fatinabadi5975
    @fatinabadi5975 7 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum habibty...naweza kutumia zile tambi ndefu za paketi za ngano ambazo ni common huku Tz?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Fatina Badi Aleikum Musalaam, yes unaweza kutumia Mimi sina hizo tambi ndio maana nimeonyesha hizi

    • @fatinabadi5975
      @fatinabadi5975 7 ปีที่แล้ว +1

      Aroma of Zanzibar shukran

  • @mariamshariff6436
    @mariamshariff6436 7 ปีที่แล้ว +1

    yaani utupe mapishi

  • @zenarajabu9241
    @zenarajabu9241 6 ปีที่แล้ว

    Nikikosa izo tambi za mchele za kawaida hazifai

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Nimeonyesha na kueleza tambi aina mbali mbali kwenye hiyo video tumia utakazokuanazo

    • @zenarajabu9241
      @zenarajabu9241 6 ปีที่แล้ว

      Shukrani mungu akujaze kheri kwakweli najifunza mengi kupitia wewe may Allah give u a long life

  • @rahemahassan3015
    @rahemahassan3015 2 ปีที่แล้ว

    Kama nazi sina je

  • @elishamyovela8060
    @elishamyovela8060 4 ปีที่แล้ว

    Unaongea sana

  • @aminajumabedzenga2897
    @aminajumabedzenga2897 6 ปีที่แล้ว

    Kama huna nazi waeza tumia nn

  • @zeddysale217
    @zeddysale217 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @machubaby2328
    @machubaby2328 6 ปีที่แล้ว +1

    😍😍

  • @akidasalim9798
    @akidasalim9798 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @nurumwinyikambi5690
    @nurumwinyikambi5690 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah