asante sana kwa mapishi yako mazuri nimeyapenda umenifurahisha sana mapishi ya donat nilikuwa naumiza kichwa ss kazi kwangu kupika shukran mungu akupe afya njema
Masha Allah sis Allah bless you always 🙏🙏🌹🌹🌹 I have learnt alot Nani mejifunza kupika from you I will always be greatful to you, especially the biriani 😋😋😋👌👌👌it's simple and one can learn haraka Sana
Nimejaribu kufanya, lakini zote zimeganda katika frying pan, ckifanikiwa, suali ninaweza kutumia unga wa mchele uliosagwa, au lazim mchele urowekwe? Shukran..
Pole sana , tatiz itakuwa ni hiyo frying pan sio recipe angalia comments wengi wamepika na kufanikiwa . Yes lazima mchele urowekwe upate kulainika au hutoweza kusaga utaunguza blender. Unga ulosagwa jaribu uone kama utapenda binafsi yamgu sipendi kwani ni mlaini sana
Maneno yako ni kweli sana c recipe, frying pan ilikuwa imechunika sana, vile vile mchele haukusagika vizuri katika blender, sababu baadae niliona chenga nyingi.. Inshallah nitajaribu tena, na inshallah nitafanikiwa, ndio mapishi ya ki bachelor...Shukran..
This is a very old video I did not cook in my home hence I used the.mug. if I get a chance to make another video I will but not in the near future. Pls tell me where do you need help
Sity Mohd Hasa kwa kinyumbani tulikua tunatumia mchele mkukuu ule mfupi lakini Mimi sina natumia mchele wa basmati ninao pikia wali wa kawaida Na sijapata shida yoyote
Rugeya Hanif pole sana namie pia jana nilifanya nikapata kama wewe unga ulikua umaji sana sikujua kwa nini lakini ninekumbuka kama nimetumia mchele wa tofauti sio ule ninao tumia wa kawaida kwa hivyo nomejua kumbe sio mchele wowote tu niliendelea tu na viliganda kwa kutumia chuma cha steel ziliganda nikabadili kwa chuma cheusi kusichoganda ikawa sawa.
Ndio, lakini nazi inategemea uzito unavyotaka ukihisi nzito sana unaweza kufanya hata vijiko 10-12 na pia soma instructions kwenye hilo box litakwambia unahitaji vijiko vingapi kwa kikombe au mug
Mashallah nipenda ufahamishaji wako mana wengine mapozi kibao mpaka kichefu chefu ila wewe mashallah nimependa
Shukran
My favourite na maziwa-kahawa! Be more blessed, Aroma of Zanzibar..
Thank you for your support
MashaAllah ☺️ unaelezea mtu anaelewa uzuri Allah abarik mikono yako
Shukran 🙏🏽
wallah ninafarijika sana napia nimepata kujua mengi kupitia kwako Allah akubariki sana
Shukran, Amin kwetu sote
MashaAllah yni na jifunze mengi kutoka kwako. ..shukran sanaa .
Shukran
I love your voice and how composed you are.I love your cooking
Thank you so much 🙂
Allah Akulipe khayir nzuri Ma sha Allah
Shukran, amin kwetu sote
mm nazipenda sana chila asante kwa kutujuza upishi huu wiki ijaayo inshaallah nitajitahid nipike chila
iNSHALLAH
Mashaallah habibty chila zako nzuri
Shukran
Aslm nimejaribu leo kupika chila mashallah zimetoka vizuri my husband amezipenda sana thank alot dear
ALKM SALAAM, MASHALLAH NAMIE PIA NIMFURAHI unaweza kunieltea kwenye instigram aroma of zanzibar au aromaofzanzibar@gmail.com
Ma Shaa Allah habbty
Shukran kwa mapishi
Nimejifunza mapishi mengi kupitia wapishi wetu nyie wazuri
Ahsante sana
Mashallah na je kama huna naz
Nazi muhimu kwa ladha
asante sana kwa mapishi yako mazuri nimeyapenda umenifurahisha sana mapishi ya donat nilikuwa naumiza kichwa ss kazi kwangu kupika shukran mungu akupe afya njema
Shukran wewe kwa kua na mie, nimefurahi kujua kwamba mapishi umeyapenda x ahsante kwa dua njema
Mashallah wanikumbusha bibi angu wa tanga na Mimi saiv najivunia kuujua upishi huu
Alhamdulilah
Mkate naupenda huu😘😘
Mashaallah, Asante mpnz nimetengeza leo chila zimetokea nzuri tamu Yani nimejiramba na iyo sauce ya jui ubarikiwe Sana,maana sikuamini
Shukran, umenitamanisha na mimi. Hongera
Masha Allah sis Allah bless you always 🙏🙏🌹🌹🌹 I have learnt alot Nani mejifunza kupika from you I will always be greatful to you, especially the biriani 😋😋😋👌👌👌it's simple and one can learn haraka Sana
Thank you so much
wooow naenda Sana'a mapishi yako
Wwwaawww👌bless you
Thank you, Alhamdulilah
Ahsant bibie kwa mapishi ya Ramadani :)
Baarak Allahu Feekum
you promised to post Tambi ya oven after August. Eagerly waiting
Inshallah I will post please bear with me I have a lot to do right now
Manshallah
Hauweki engg
Sio lazima
Asant sna nazipika leo insha'Allah.
Thank you sister May Allah bless you for sharing your knowledge
Thank you, Amin. Thank you for your support
Ma sha Allah!Asante sana..Jazakallahu khayr
Amin ya ukhty
Mashallah umenisaidia mapishi mengi thnks
Mapishi yako mazuri mashallah
Hellocan I keep in refrigerator and do next day
Are you asking or are telling me
Asalam alaykum ss dada angu ni frayimpen gan nzr kwakuchomea
Chagua la kiasi tu sio zito wala jepesi
Hv mchele unapma b4 kuroeka oukwisha roeka ndiowapima natakakuroeka ucku nijarb kesho inshallah
Moza Salim Mchele unapima kabla hujaroweka
Asante my mom allah atakabal dua zko zote ameen
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh JazakiLLAH khayran nmejaribu kuupika alhamdulillah umetoka vizur lakn haujatuna kama wako ukawa una layers sijui tatizo hapo utakuwa ninii
Alkm Musaalaam , fanya mchanganyiko wako uwe mwepesi kidogo una jua michele na tui tofafauti kila mahali
hayaa khayr shukran
Shukrani mama ila nimesikia unataja magii ipii hiyo mama naomba unieleweshe
Magi yaani hicho kikombe cha manjano kikubwa nilotumia
naomba kuulza ikiwa utatumia ule unga wa mchele hamna shida katik kupika
Ni kitu kujaribu uone kama utapenda mie bi nafsi sipendi naona inagandana kama ugali lakini wenhine wanapenda hivyo
upishi mzuri aana
Je kwa hand blander nikisagia itatoa mbaya mchanganyiko wangu?
Kama una hand blender linaloweza kusaga mchele sio vibaya
@@aromaofzanzibar shukran
Shukran auntie. ...naomba recipe ya anjera
Mimi sijafanya video ya anjera bado
In shaa Allah. ....naomba ufanye ukipat wasaa
mashaa Allah kila la kher
Amin
MashaAllah I like it yummy yummy
Hey , Thanks for the great work you are doing . Please put up a video on how to cook vermicelli .Thanks
Thank you for your support dear , will try my best for that
Thank you .I am in love with your channel .Baraka.
I'm going to make this for dinner today
Enjoy your dinner
Assalam Alaykum aunty naomba maelekezo ya meat cake shukran
Alkm Salaam, meat cake ntafanya wiki inayokuuja tukijaaliwa Inshallah
Asalam aleikum nauliza je ukiroweka kwa jisaa moja na nusu Michele huwezi pika chila
Kiasi masaa 3 mchele ulainike vizuri
napenda sana chakula chako najifunza mengi
Shukran
Yaani nimejifunza mengi ktk mapishi yako 😘Mungu wetu akubariki kwa video zako
Bila wewe watoto wangu na mume wangu wasingeweza kula vizuri uwiiii! Asante sana bless u
Allah akubariki utufunze mengi
Amin kwetu sote
aroma chila kupika kwa jiko la Gesi inanishinda naon moto mkali najitaidi kupunguza moto bado moto kati mkali?ni lazima kuweka mafuta katika flampen
Moto kama unahisi mkali pia unaweza kutafuta chuma kizito ili zi si ungue, mafuta yanasaidia zi sigande chini kwenye frying pan
OK shukran habt Umeme better ?
Amena
Nimejaribu kufanya, lakini zote zimeganda katika frying pan, ckifanikiwa, suali ninaweza kutumia unga wa mchele uliosagwa, au lazim mchele urowekwe? Shukran..
Pole sana , tatiz itakuwa ni hiyo frying pan sio recipe angalia comments wengi wamepika na kufanikiwa . Yes lazima mchele urowekwe upate kulainika au hutoweza kusaga utaunguza blender. Unga ulosagwa jaribu uone kama utapenda binafsi yamgu sipendi kwani ni mlaini sana
Maneno yako ni kweli sana c recipe, frying pan ilikuwa imechunika sana, vile vile mchele haukusagika vizuri katika blender, sababu baadae niliona chenga nyingi.. Inshallah nitajaribu tena, na inshallah nitafanikiwa, ndio mapishi ya ki bachelor...Shukran..
Umetumia mchele wa pishori??
Basmati, lakini unaweza kutumia pishori
Shukran dear
Thanks for your recipe🌷🌷
Nice recipe mashaAllah..my question is why don't you flip it on the other side pia iwe brown?will there be a difference if i brown the other side too?
Thanks , thers no difference but the beauty of chila is those holes on the top , if you flip it I think thats what they call vibibi
This is vibibi th-cam.com/video/9ThM49xhtKU/w-d-xo.html
Aa.je nikitumia unga wa mchele badala ya mchele mzima?
Unaweza kutumia lakini mimi sijawahi kujaribu kwani kuna michele tofauti
SALAMZ i wish to ask if i can add egg ? shukran for the recipe, mungu akuzidishie
Alkm salaam, you can add an egg if you wish but only white though. Shukran amin
Aroma of Zanzibar can i have in english
Mashaa Allah
Assalam alykum naomba tufundishe kupika vibibi
Inshallah nikipata nafasi dear, lakini vibibi vinatofauti kidogo sana na chila , anagalia video hii th-cam.com/video/9ThM49xhtKU/w-d-xo.html
I really like Zanzibar chila
Pls can u repeat the recipe using proper measuring cups
This is a very old video I did not cook in my home hence I used the.mug. if I get a chance to make another video I will but not in the near future. Pls tell me where do you need help
A salam alaykum naomba kuuliza mbona mimi nikifanya huo mkate wamchele hautoki vizuri?
Hautoki vizuri sijui nikujibu vipi tatizo no nini unaganda, hauivi , mkavu
Umetumia mchele Aina gani
Mchele wa basmati
Can you show how to make vibibi please
This is vibibi Zanzibar wanaita chila alafu vibibi Msa tunageuza upande wapili tukichoma MashaAllah shukran kwa mapishi @aroma of zanzibar
Shukran habbty leo in shaa a Allah ntajaribu
Dada kamasina maziwa ya unga na nazi ya unga m'badala wake unawezakua maziwa ya maji na tui la nazi?
Ndio unaweza Mimi nilikuwa sina ndio maana nimetumia maxiwa na Nazi ya unga
Asante saaana.
is it the same oats cereal people have for breakfast with milk??
Kind of, you can use that as well but better if you get old fashion oats or whole oats
shukran dada.nimejifunza mengi
💗💗💗shukran Sana wallahi
Mbona mimi sija wai ona nazi ya uga? I use milk coconut only please help me to find I live 🇺🇸
Nazi ya unga inauzwa sana maduka ya wahindi kwenye vibox au pakti ndogo ndogo hivi
@@aromaofzanzibar siku yumbani ni America
@@rhinakiza mimi pia nipo US nipo Texas napata vitu vyote maduka ya wahindi
@@aromaofzanzibar oh I see I will try to look in Africa store
Je itawezekana kutuma maziwa badala ya nazi?
Unaweza lakininkadha itakua tofauti sio ya kiasili
nmejalubu nmeweza
Asee yan nko kama shule na daftar uwii
Sio vibaya
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh , , shukran sana , me nimejaribu masha Allah tam sanaa nyam nyam , Allah akuzidishie
shukran mama penda xana
Shukran
Mummy mchele mzuri hasa kwa kupikia chilla ni aina gani?au unaweza tumia wowote?
Sity Mohd Hasa kwa kinyumbani tulikua tunatumia mchele mkukuu ule mfupi lakini Mimi sina natumia mchele wa basmati ninao pikia wali wa kawaida Na sijapata shida yoyote
na chila sisi watu wa Mombasa tunaita vibibi
👍
That true
Kachanganyo hii huyu hiyo.ni vibibi chila huweki tui ikishaiva
@@dazuuhmd819 nikweli kabisa
Na kama mtu huna mug unafanyaje mamy?
Pima kwa kikombe dear its very simple
shukraan mayai naweza kutia au nisiweke
Sabrina Sadiq haina haja ya yai kama unataka basi tia ute tu sio yai kamili
naomba upike egg chop PLC mama
Inshallah dera nikipata fursa nitaleta
Aslm alkm. Nimejaribu na mm jana sijui nikakosea wapi maana vilikatalia kutoka kwenye pan. Vilikua maji maji sanaaaaa au sijui tui lilizidi
Rugeya Hanif pole sana namie pia jana nilifanya nikapata kama wewe unga ulikua umaji sana sikujua kwa nini lakini ninekumbuka kama nimetumia mchele wa tofauti sio ule ninao tumia wa kawaida kwa hivyo nomejua kumbe sio mchele wowote tu niliendelea tu na viliganda kwa kutumia chuma cha steel ziliganda nikabadili kwa chuma cheusi kusichoganda ikawa sawa.
Moto unaweka mkali au mdogo kabisa please
Moto kiasi zipate kuiva
asalamualykum naomba kujua mchele gani unaotumia kupikia chila
Sabrina Sadiq Kwa kinyumbani hasa ni uzuri kutumia mchele mkukuu ule mfupi lakini Mimi sina natumia mchele wa basmati ninao pikia wali
Mbona zangu zakatika Katika
Pole sana, labda unga mwepesi sana
ahsante
Na pia waweza tia yai?
Thankx nimizitafuta sijaziona haswa
Yani Kama mug 2 mchele na Nazi ya unga nitie vijiko 14 mana mug 1 ya mchele ni Nazi ya unga vijiko saba au?
Ndio, lakini nazi inategemea uzito unavyotaka ukihisi nzito sana unaweza kufanya hata vijiko 10-12 na pia soma instructions kwenye hilo box litakwambia unahitaji vijiko vingapi kwa kikombe au mug
shukraan.kwa hiyo inakazi sawa na tui la nazi or kuna difference.
kazi ni sawa sawa hamna difference na tui la nazi ya kopo au ya kawaida
Tunaweza kutumia unga wa mchele
Mie sijawahi kutumia unga wa mchele kwa hivyo itabidi ujaribu uone vipi itakua
Nataka kujua mkate wa mchele lain
Mkate wa mchele nimeshaweka , tafadhali angalia kama ndio mlaini au vipi
Asante kwakutujuza lakini mchele waezatumia wowote ama uko mchele maalum wa chela
mamuu omar Mie natumia mchele wa kawaida tu lakini kinyumbani tulikua tunatumia mchele mkukuu ulokatikakatika hivi
MashaAllah, naweza tumia unga Wa mchele instead of mchele Wa kurowekwa? Can I use rice powder?
munah ahmed kwa unga wa mchele hutopata sawa kama hivyo zinakua nzito kama ugali ni vizuri kuroweka mchele ukasaga
Aroma of Zanzibar , shukraan. Just wanted to confirm than.
Naomba kujua kwa sasa hii mikate mchele gan ni mzur kutumia maana kila mchele naona unatoa mikate inayonata kwenye meno
Ni vivigumu sana kuna michele ya aina nyingi lakini kizamani hasa walikuwa wanasema utumi mchele mkukuu lakini mie natumia mchele wa kawaida tu
ok nshasoma comment nmepata jibu shukran saana
Naomba utufundishe kupika mikate flani ivi katikati kunakua na kama siagi alaafu inasukari
Mkate wa kabisa gani huo kiarabu au, siagi au cheese maana siagi si itayayuka
Ktk pan unapaka mafuta au?
Sio lazima kama utatumia chuma kilokua hakigandishi
baada ya kumaliza kubleend naiwacha muda gan ili iweje kuumuka vizuri??
Hman mda maalum inategemea na ujot au baridi hapo ulipo, inaweza ikawa saa ua kasoro , wahcha mpaka uumuke upande juu na kufanya mapovu
a aleikom.dada kama sina mug naeza tumia nn itakua sawa na kiasi gani.shukran
Yusra mug nilotumia ni sawa na kikombe 1 and nusu x I mean standard measuring cup
+Aroma of Zanzibar tx mapishi mazuri nafurahia
ni mchele gani uliotumia?
Nimetumia mchele wa basmati
Maashaallah, shukran
C'est possible d'avoir une version en français français s'il vous plaît 😁
I dont speak french dear but I am working on subtitles
asante kwa elimu mama..ila naomba kujua mug moja ni sawa na kiasi gani kwenye mzani...ni nusu ama robo?
Shukran, itakua chini ya robo ,
Chila nzuri sana sana, lakini usiku huu nitazipata wapi? Umetutia njaa..
Pole sana
Asalam aleikum...hujasema mchele ni kiasi gani na hamira ni kiasi gani ...tupe vpimo kamili
Vipimo nimeweka mwish na pia bojeza hiyo heading ya video utaona vipimo nimeandika
+Aroma of Zanzibar ok nimeona shukran habibty
Anty sorry nakusumbua ila nlikua nakuliza Kama nafanya mchele mug 2 na vipimo vya Nazi na sukari naongeza nakua au?
Yes utaongeza kila kitu