Ahmed Jongo Ahitaji Msaada Wa Matibabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Mtangazaji mstaafu mashuhuri wa mpira toka Radio Tanzania Ahmed Jongo ahitaji msaada wa matibabu ya maradhi ya miguu na macho.

ความคิดเห็น • 5

  • @hamisisdale4223
    @hamisisdale4223 8 ปีที่แล้ว +3

    ahmed jongo pole na maradhi yanayokukabili msaada utakufikiaje?nipigie +1 781 4888652 Hamisi Dale Boston marekani

  • @jumasukari8257
    @jumasukari8257 8 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana uncle father Ahmed Jongo. Nakumbuka vyema utangazaji wako
    "... Ahmed Jongo, Redio Tanzania - Arusha, kanda ya kasikazini... "

  • @rehemadongo1570
    @rehemadongo1570 5 ปีที่แล้ว +1

    Burian baba mkwe wangu

  • @tidehassanlali4755
    @tidehassanlali4755 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka kuna cku nilikua mdogo lkn nakumbuka akitabgaza Mpira wa Yanga na Simba alisema sisi mbili Simba bila Jongo njanoo bwanaa

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 4 ปีที่แล้ว

    Allah amrehemu na amueke pema peponi