Manjuuuh,! Masoud masoud ❤❤❤ 👍👍👍🖐️ unanipa rahaa na kunikumbusha mbaliiiih, Aisee masoud umenifanya ni jue ile nyimbo maarufu dunia uliopigwa tena na tena katika kila bara na kila lugha ya MALAIKA , kumbe ya tanzania na mtunzi Adamu Salim; hakika nyimbo hii namba moja duniani: Ahsante sana.
Mzee Masoud Masoud ni mjuzi wa muziki kiasi kama ni kuenzi elimu yake itafutwe ni jisi gani kuendelea kufanya kazi . Kipaji alichonacho mwenyezi mungu amenjalia. Anastahili kufundisha chuo kikuu cha dar es Salaam
Tatizo tunazeeka, tunakufa, watu wenye vipaji na sauti kali kama hii wanapotea, namkubari sana masoud masoud, namkumbuka pia mtangazaji marehemu julius nyaisanga, nae alikuwa na sauti nzuri sana
Adamu Salim, amesitaili kupewa tunzo ya kimataifa atakama ameshakufa,,;. Ndio Masoud masoud mimi ni mtoto wa mke wa marehemu anae lalamika kwenye wimbo wa kosimasi chidumule 🎵🎶 unaosema- Unanionyesha Njia ya Kwetu 🎤🎸🎷🎺
Nampenda sana Hercule Poirot, belgian detective. Hii orodha ya vitabu ulivyo vitaja akina Agatha Christ nk ❤❤❤ Usirudi kumuhoji kama hujasoma vitabu alivyo kutajia, utapotezea wakati wake
Mwalimu wangu huyo masoud masoud alinifundisha soma la bendera na aina ya majina kila bendela ya nchi husika ina jina lake mfano ya hapa kwetu Tanzania inaitwa uhuru na umoja nitoe na mimi kafaida hako asante mwalim❤
Kipindi ni kizuri. Naomba vipindi vya manju wa muziki viwepo TH-cam. Nimeanza kumfuatilia tangu kifo cha maiko Jackson na kile kipindi Cha mama wasimlizi akiwa na edina rajbu. Naomba sana vipindi vya manju viwepo social network.
😂😂😂😂 Watangazaji siku hizi tunatambulisha jina la wimbo, mwimbaji na Producer. Utasikia Ngoma imesukwa na S2kizzy, inaitwa Sensema, Rayvan akiwa na harmonize. 😂😂 Hakuna cha kutaja mpuliza saxophone wala mpiga tumba. Na kuhusu ujumbe ndani ya wimbo, msikilizaji atajipambanulia mwenyewe 😂😂😂 kizazi chetu bwana!!! #Gangana
Huyu alitakiwa awe mkufunzi mkuu wa idara ya ethnomusicology UD au mkuu wa idara kubwa TBC. Lakini figisu za 1990s-2000s zilimtoa kwenye uzio. Hata hivyo bado ni Mzalendo hua namsikiliza alfajiri weekends TBC1
Huyu Jamaa namjua sana sio mtu wa kawaida akili yake ni kubwa sana hakuna kichwa cha kizazi cha sasa kinaweza kubeba akili hiyo na itachukua kama miaka 1000 hivi bongo uganda kenya kutokea mtu anajua muziki kama huyu jamaa
@@ganganainfochannel, mshauri Masoud Masoud aanzishe tu you tube channel yake. He's one of the best radio presenters I have ever heard. Incredibly knowledgeable.
@@ganganainfochannel Mzee, huyu ni hadhina kubwa kwa taifa, kiukweli namuelewaa sana, tangu kwenye vipindi vyake vya country music, wakina Kenny Roger's kwa kifupi mzee noma, pambania hilo, ufanye nae interview hata ya masaa kadha, mwingine ni mama Edna Rajabu wa hapo TBC nae alkuwaa kwenye kupindi cha County Music enzi hizo, wako wengine napendaa kujua wako wapi kwasasa wafanya kazi wa TBC ENZI HIZO MZEE. PLEASE BACK US THOSE DAYS
Manjuuuh,! Masoud masoud ❤❤❤ 👍👍👍🖐️ unanipa rahaa na kunikumbusha mbaliiiih, Aisee masoud umenifanya ni jue ile nyimbo maarufu dunia uliopigwa tena na tena katika kila bara na kila lugha ya MALAIKA , kumbe ya tanzania na mtunzi Adamu Salim; hakika nyimbo hii namba moja duniani: Ahsante sana.
Watangazaji wengi siku hizi ni vilaza, hilo halina ubishi. General knowledge hawana, shukran sana Masoud Masoud.🤗
Watangazaji wengi wa sasa hivi hâta Lugha ya Kiswahili Fasaha hawaijui.
Kiwango cha elimu kimeshuka sana.
Mzee Masoud Masoud ni mjuzi wa muziki kiasi kama ni kuenzi elimu yake itafutwe ni jisi gani kuendelea kufanya kazi . Kipaji alichonacho mwenyezi mungu amenjalia.
Anastahili kufundisha chuo kikuu cha dar es Salaam
Hongera sana Mzee Masoud Masoud kwa kutuletea miziki ya zamani. Inaelimisha sana
Masoud Masoud habahatishi ni mtangazaji nguli hasa muziki wa zamani anatoa elimu sahihi,hongera Masoud Masoud
Asalam ghalykum masud nipatie namba yako
Masoud masoud na halid gangana nawaelewa Sanaa♥️♥️♥️
Mzee anaujua muziki mpaka sio vizuri! Watangazaji wa vipindi vya burudani wangekuwa this deep, vipindi vingekuwa vitamu zaidi!
Mshauri mzee masudi anzishe vlog yake ya mziki wa zamani.Yuko vema Sana kwenye tasnia ya music
Huyu MOSOUD MOSOUD ni very bright sana ni mjuzi sana isitoshe ana sauti nzuri sana.
Tatizo tunazeeka, tunakufa, watu wenye vipaji na sauti kali kama hii wanapotea, namkubari sana masoud masoud, namkumbuka pia mtangazaji marehemu julius nyaisanga, nae alikuwa na sauti nzuri sana
Masoud masoud ni manju wa muzik hatari Sana huyu mzee anajua Hadi muzik wa country jazz salsa halafu Ana swag hasa ya utangazaji
Huyu jamaa hatari sana ....bravo
Masoud masoud uko vizuri mzee huwa nakusikiliza tu zilipendwa tbc taifa,nashukuru nimekuona live kwa gangana.
kinakuaga lini icho kipindi na saa ngapi?
Adamu Salim, amesitaili kupewa tunzo ya kimataifa atakama ameshakufa,,;. Ndio Masoud masoud mimi ni mtoto wa mke wa marehemu anae lalamika kwenye wimbo wa kosimasi chidumule 🎵🎶 unaosema- Unanionyesha Njia ya Kwetu 🎤🎸🎷🎺
Nakukubali sana kaka masoud sijuhi kama kuna aina ya muziki usioujua huwa napenda sana unapochambua muziki wa maazi yote kuanzia reggae na kuendellea
Eveline unitafute please!!!
Hatari sana masoud masoud
Duuh.. nilikuwa namfikiria sana Masooouudd Masooouud.. ! Nimefurahi kumuona yuko TBC.. ! I will pay a visit.. I need to talk to Masoud! THE GREAT!
Juma lamata dsm. Hongela manjuu wa mziki
Anaujua mziki kwelikweli
Massood Massood Manju wa Muziki....Mwambaa anajua kwelikweli kuhusu muziki
Salute sana kwako MasoudMasoud
Masoud Masoud ni mtu na nusu, Mungu amjaaliye umri mrefu inshaAllah
Good
Masoud masoud
Vijana chukueni madini
Hayo ya Mzee wetu..
jaman masoud, napenda walau nikuone kwa macho!!!!
kama kuna mtu nampenda ktk kuuelezea muziki basi ni Manju Masoud Masoud, big sana manju.
Asante Mzee Masoud Masoud kwa kutupa madini.
Mzeee leo ndyo nakuona sura yako ahsante ganganatv
Masoud Masoud.......Manju.
Nakukubali sana kaka masoud masoud....
uyo mzee mkongwe sana na anajua aisee
Nampenda sana Hercule Poirot, belgian detective.
Hii orodha ya vitabu ulivyo vitaja akina Agatha Christ nk ❤❤❤
Usirudi kumuhoji kama hujasoma vitabu alivyo kutajia, utapotezea wakati wake
Great ......our true roots
mkuu i am fan wa hizi content za old school kama unaweza kumkaribisha tena kuchambua mawili matatu
Tupe history yake, masud masud, tumjue zaidi
Sawa nguli munguakupe maisha mareeefu
Asante mzee Masoud, Mungu akulinde
Okay
Gwiji Masoud!, tunaomba kipindi kirefu zaidi, tupate madini ya kutosha ya mzee wetu huyu
Mwalimu wangu huyo masoud masoud alinifundisha soma la bendera na aina ya majina kila bendela ya nchi husika ina jina lake mfano ya hapa kwetu Tanzania inaitwa uhuru na umoja nitoe na mimi kafaida hako asante mwalim❤
Hongera kwa kuvuna busara za mzee
Haridi Kuna kusubiri Jkt, Pamoja na JenJohn na Ana mwasoke,Vumilia Mwasha na Wenye viti wa Jambo Tanzania.Nawapenda sana👍👍❤❤
😁
Kipindi ni kizuri. Naomba vipindi vya manju wa muziki viwepo TH-cam. Nimeanza kumfuatilia tangu kifo cha maiko Jackson na kile kipindi Cha mama wasimlizi akiwa na edina rajbu. Naomba sana vipindi vya manju viwepo social network.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Manjuuu
Naaaaaaaammmm Mzee Masoud
Ni kweli mzee Massoud
Masoud ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Voice of voice
Kakaa,,Bingwaa
Jamani hebu jifundisheni Kiswahili kabla hamjarukia mitandaoni. Wenye lugha wapo. Waulizeni.
Namkubali sana huyu mzee.
Big up Mzee Masoud Masoud
Masoud Masoud namkubali mpaka basii.
Safi sana
Bicco PROTAS,ilula iringa Mzee masoud ikiwezekana fanyanao semina bongo freiva
😂😂😂😂 Watangazaji siku hizi tunatambulisha jina la wimbo, mwimbaji na Producer.
Utasikia Ngoma imesukwa na S2kizzy, inaitwa Sensema, Rayvan akiwa na harmonize.
😂😂 Hakuna cha kutaja mpuliza saxophone wala mpiga tumba.
Na kuhusu ujumbe ndani ya wimbo, msikilizaji atajipambanulia mwenyewe 😂😂😂 kizazi chetu bwana!!! #Gangana
Manjuu...
Maneno ya huyu kaka ni kweli zamani hata jirani analea mtt wa mwenzie
Sababu Moja wapo ya Muziki kuwa na ujumbe mzuri ni kwamba Bend ilikua haitoi Muziki au wimbo bila kukaguliwa na Baraza la Muziki la Taifa
Mzee yupo sawa sana
Masoud masoud manju wa muziki hatari sana mtu huyu
Huyu mzee ni kiboko anajua sio tu muziki wa Tanzania hata wa duniani huko
Namuelewa sana huyu mzee
Sahizi hakuna watangazaji ila wapo ma Dj bwn
Music ni zamani na this dayz nao wanaimba kwa jinsi yao ila si taaaamu
Mzee yupo Deep mpk baas
Masoud Masoud🔥🔥🔥
Hatari na nusu
Huyo masoud ni kiboko
Living legend
Mzee unajua had basi yani
Majirani ilikuwa zaidi ya ndugu lkn sasa hivi wapiii dunia inaelekea mwisho
Jamaa anajua sana
On the other side of the coi n mnamjua ? Chotara wa Kimanga huyu alumni bin maluuni
Acha kabisa' nguli huyu namkubali sana' huezi choka kumsikiliza
Mzee yupo vema sana, huyu ni hazina sana asee
Masoud 💯
zilikuwepo bendi za binafsi kama
Dar jazz western jazz kilwa jazz Tabora safari trippers Afro 70 orchestra njirima orchestra kids
Zilikuwepo na zingine kama vile moro jazz ,cuban marimba,kilosa jazz,tabora jazz
Huyu alitakiwa awe mkufunzi mkuu wa idara ya ethnomusicology UD au mkuu wa idara kubwa TBC. Lakini figisu za 1990s-2000s zilimtoa kwenye uzio. Hata hivyo bado ni Mzalendo hua namsikiliza alfajiri weekends TBC1
Mwana acha wizi
Madini hayooo
Ktk watangazi ninao wakubali ni huyu jamaa masoud masoud huyu jamaa anujua muziki na anajua kutangaza sijaona mtangazaji anaeweza kumfikia
Masuudi Masuudi, Je Sauti yake Na Utangazaji Wake Hautotokea TZ, Itunzwe Sauti Yake Kama Historia.
Gangana usiseme wasanii hao wa zamani ni wanamziki baba
Yaan kwa saut yake nildhan mz masoud ni jitu bong kwel kwel kumbe mi wakawaida tu hongra mz masoud kwa kaz nzur
Mzee nimepata kitu time signature hatari Sana sitachoka kukusikiliza jioni njema
Siku hizi ujumbe ni WA ngono tu hakuna hakuna jingine
Huyu mzee Masoud ni hatari bonge la sauti dhahabu
Watangazaj wangu Bora ni Kam huyu Mzee na Charles Hillary hawa watu wanajua mpk sio vzri
Huyu mzee huwa namkubali sana.
Hii interview naiona mara kwa mara
Mzee masudi kwa SASA unawatoto wangapi
Masouuud Masoud
Kweli masoud sheitan ametawala dunia tumlaani sana
Manju wa mziki vipindi vyako.tafadhari vi wepo TH-cam tunaomba
Gaspar Kigala Wewe huna mfano wake
Napenda ufanye interview juu ya mwanamuziki Mbaraka na Marijani
Lakini pia atupe uchambuzi wa wawapiga rythm, solo na base gitaa
Huyu Jamaa namjua sana sio mtu wa kawaida akili yake ni kubwa sana hakuna kichwa cha kizazi cha sasa kinaweza kubeba akili hiyo na itachukua kama miaka 1000 hivi bongo uganda kenya kutokea mtu anajua muziki kama huyu jamaa
Namkubali ananifanya niendelee kumsikilizaa sauti poa
Said mabel au
Nakumbuka enzi zle akiwa na eddy rajab kwenye kipindi cha Country Music
Huyu jamaa hata kazi ya MC anaiweza Sana
Gangana mtafute huyo bwana tena. Dah yaani mi sichoki kumsikiliza masoud
Sawa kamandaa
@@ganganainfochannel, mshauri Masoud Masoud aanzishe tu you tube channel yake. He's one of the best radio presenters I have ever heard. Incredibly knowledgeable.
Saws
Fanya, umuitee tena, redioni ufanye nae kipindi tena, kama ulivyo ahidi mzee, unanikoseaa.
Huyu mzee ngumu kumpata huwezi amini, ila bado napambania kombe
@@ganganainfochannel Mzee, huyu ni hadhina kubwa kwa taifa, kiukweli namuelewaa sana, tangu kwenye vipindi vyake vya country music, wakina Kenny Roger's kwa kifupi mzee noma, pambania hilo, ufanye nae interview hata ya masaa kadha, mwingine ni mama Edna Rajabu wa hapo TBC nae alkuwaa kwenye kupindi cha County Music enzi hizo, wako wengine napendaa kujua wako wapi kwasasa wafanya kazi wa TBC ENZI HIZO MZEE. PLEASE BACK US THOSE DAYS
Tupo history yake huyu nguli manju