Ukraine: URUSI yadai kuidungua Drone ya MAREKANI, RQ-4 Global Hawk yenye thamani ya Bilioni 353!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 87

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 3 หลายเดือนก่อน +24

    Israel ukiipiga Lebanon nitakupa zawadi. Haiwezi kutokea kamwe bali Israel ndio mwisho wake unakuja sasa itachomwa moto haijawahi kutokea toka dunia ianze . Sibishani na yeyote mwenye maono tofauti bali nakupa muda tu ushuhudie makubwa

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 3 หลายเดือนก่อน +1

      Maisha yako yenyewe yaku mlilia samia iyo zawadi ya kumpa tajiri wapi rabda kuku wakienyeji yaani jogoo la Africa

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 3 หลายเดือนก่อน

      Nakubaliana nawe, wale Hizbullah siyo hamas, wamejiandaa kwa muda mrefu na viwango bya juu sana labda Israel itumie bomu la nuclear ambapo ndiyo itakuwa mwisho wake pia maana haitavumiliwa kabisa hapo.

    • @hunstonjuliusmkonyionlinetv
      @hunstonjuliusmkonyionlinetv 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa hizbullah hawana mabomu ya nyuklia hawana air system diffence ya kutungua makombora hawana makombora mazito kama ya ATCMS ya kutungua na kushamburia ambayo mabomu haya ndiyo ya marekani yamefumua crimea kwa mifumo ya system ya airststem ya urusi na kuna tofaut kubwa sana ya uwelewa nenda kaangalie rank ya majeshi bora duniani israel yupo kwenye saba bora ya dunia au sita hizbullah sijui hayupo hata kwenye 100 bora hayupo hao ni kama jeshi la afaganistani tu. maana wanaishi kwa nguvu za kigaidi hawajawai fanya maajabu yoyote. israel kapiga nchi 5 kwa wakati mmoja sembuse hicho kichaka cha hizbullah hakuna kitu msidanganyike nyie vita sikia tu wenzako kombora moja sawa la israel sawa na milion 400 long range sasa ndugu yangu hizbullah anatumia rocket ambazo hata tanzania tunazo nyingi na tulitumia hadi vita vya iddy amini tena sirahi hizo toka enzi za soviet mpaka leo

    • @ManyaSumaili
      @ManyaSumaili 3 หลายเดือนก่อน

      @@hamisisalum6116 wewe Israel ina uwezo uwezo mukubwa Sana kivita

    • @BernadPeter-q2o
      @BernadPeter-q2o 3 หลายเดือนก่อน

      Nenda shule ukasome ujifunze kuandika

  • @AdamHamis-s2o
    @AdamHamis-s2o 3 หลายเดือนก่อน +4

    Vitu kama hivyo vinafichwa kwa sababu ni aibu kwa taifa teule la mashoga duniani lazima waangalie namna ya kuchuja habari

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 3 หลายเดือนก่อน +11

    Hiyo drone lran imewahi kuitwanga kiulaini sana

    • @hunstonjuliusmkonyionlinetv
      @hunstonjuliusmkonyionlinetv 3 หลายเดือนก่อน

      Wangeweza kutungua hata rais wao asinge kufa. unazani rais wao kapata ajari kwa taarifa yako watu wametungua ndege na wakaficha ushaidi.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 3 หลายเดือนก่อน

      @@hunstonjuliusmkonyionlinetv toa uwo ushahid choko ww acha mawazo ya kishoga

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba habari ya kuthibitisha taaarifa ya NASA kwenye ukweli kuhusu dunia.
    Maswali yanakua raised now days
    1. Ni kweli dunia ni Duara au tulipumbazwa na taarifa za NASA? Kwa maana kwamba NASA walifoji?
    2. Pia mtuchambulie ukweli kuhusu uwepo wa Firmanent ukingo wa dunia ambao hautuhusu mtu yeyote kwenda nje ya dunia.
    3. Uongo kuhusu uwepo wa space na baadhi ya mambo ambayo wanadai kua wanasayansi wameyafanya kama kwenye kwenye space na kwenye mwezi pamoja na baadhi ya sayari

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 3 หลายเดือนก่อน +9

    umoja wa mashoga wamekutana na kidume

  • @jumaseif7514
    @jumaseif7514 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sikuhizi mmekuwa wavivu sana kutupa habar za vita mpaka naanza kuwachukia.. Juzi bolvia kumetokea mapinduz nyiye hamjatuchambulia ilikuwaje.. Lebanon na israel hamtujuzi kunaendeleaje mnachelewa kutupa update ya vita ya urus na ukren .. Kazi yenu kutuwekea dimond wenzake sisi hatufatilii mambo ya dimond .. Fanyen kama mwanzo hakuna kupoa kweny vita

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 3 หลายเดือนก่อน

      Usimlaumu wakati mwingine wanachoka wanahitaj kupumzika

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 3 หลายเดือนก่อน

      Hii Kazi sio ndogo

  • @jumaseif7514
    @jumaseif7514 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nikisikia kuna jambo lavita limetokea huwa sina wasiwasi kwani naamin chanel hii itachambuwa lakni ukifunguwa hakuna jambo.. Kazi kurusha mambo yakiumbea sie wengine tumeioenda hii kwa mambo ya vita

  • @FeruziIsa-nc5vo
    @FeruziIsa-nc5vo 3 หลายเดือนก่อน +4

    ALLY unawasifia sana wamarekani kwenye makala zako nyingi. Lakini jua ya kwamba, huu ndio mwisho wa MAREKANI ndugu.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo unajidanganya

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni riport .zinakuja.

    • @ManyaSumaili
      @ManyaSumaili 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe Utawala wa marekani ni mungu ndiyo ata Kaye iangusha

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ikiwa houthi wanawexa, basi sina shaka na uwezo wa urusi

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 หลายเดือนก่อน

      Hizo zinadunguliwa na kila nchi zenye mfumo wa radar

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 3 หลายเดือนก่อน +8

    From dodoma ❤

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ebu mtupatie hint kuhusu Lebanon na Israel kunaendaje

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli pigo hawa jamaa wanapiga sehemu mhimu mikakati mikali

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 หลายเดือนก่อน

    Kiama cha Marekani na mtoto wake Israel kimefika, Viva Putin, viva Russia.

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 3 หลายเดือนก่อน

    Hio drone ni nzuri sanaa ila tu wamarekani wamefeli kuto kuipa uwezo wa kujilinda na makombora

  • @abdullahnassor9433
    @abdullahnassor9433 2 หลายเดือนก่อน

    Tangu zimitunguliwa mpaka leo hamna global hawk imirushwa tena 😂

  • @jefjigaz7684
    @jefjigaz7684 3 หลายเดือนก่อน +6

    We classmate mwanangu

  • @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
    @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq 3 หลายเดือนก่อน

    wewe muongo roporopo nyingi maneno mengi siwenzio tunazama tunakugea afu unajikanyaga

  • @MahmudHakizimana
    @MahmudHakizimana 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thx young bro
    Unajuwa kuchambuwa sijui kama ni ufanisi was lugha ya kiswahili
    Mrci beaucoup

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sinza madukani #ndovudentalclinic

  • @HusseinMohamad-pl2cf
    @HusseinMohamad-pl2cf 3 หลายเดือนก่อน +7

    Leo sihitaji likes

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 2 หลายเดือนก่อน

    Urusi hii ni ya pili kutunguliwa na warusi

  • @Shehasweet-hy6xn
    @Shehasweet-hy6xn 3 หลายเดือนก่อน

    Murusi kibokoooooo,,,awatwange tu Hao mashoga....naamin kuwa urus inauwezo wa kuiteketeza Ukraine kwa siku 3...anachokifanya ni kudhoofisha uwezo wa marekani na ubabe wake..ndo maana anawachapa taratiiiiiiibuuu..mungu msaidie putin...ikiwa wataweza kumuua dunia imekwishaaa

  • @reginaldmasato9932
    @reginaldmasato9932 3 หลายเดือนก่อน

    Ally Masubi bhana, Eti wewe huogopi? 😂😂 Mrusi ndo kashaitungua bila kuogopa

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 3 หลายเดือนก่อน +1

    Drone bora kwa matango sio kivita.

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 3 หลายเดือนก่อน

    Hizo drone hamna kitu wahouthi wanazidungua zile nyingine ni mbwembwe tu

  • @maroahkissiry4863
    @maroahkissiry4863 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni ndoto. Mpaka leo Russia hawana uwezo wa kudeal na RQ-4

  • @Jonathankwizera-sl9pi
    @Jonathankwizera-sl9pi 3 หลายเดือนก่อน

    Iran walishaga itungua

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa anajuwa kuchambuwa vzr sn uyu inatakiwa asiishi apa Aishi marekani au uingereza namkubali sn

  • @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
    @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq 3 หลายเดือนก่อน

    kudungua

  • @JoelFortunatus-du8ww
    @JoelFortunatus-du8ww 3 หลายเดือนก่อน +2

    Drone za marekan waga anazisifia sana lkn zinakuwa zinadunguliwa mpaka na makundi ya wapiganaji wayemen🇾🇪 mfano MQ-9 mbili zilisha pigwa chini

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 หลายเดือนก่อน

      Zinasifiwa kwenye ukusanyaji data. Kwenye kuidungua ni kawaida maana hizo sio stealth aircrafts

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sio poa hio dron

  • @BernadPeter-q2o
    @BernadPeter-q2o 3 หลายเดือนก่อน

    Uongo

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 หลายเดือนก่อน +1

    🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿❣️

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Ally

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 หลายเดือนก่อน +2

    From Arusha ❤

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 2 หลายเดือนก่อน

    Good urus

  • @Gody360
    @Gody360 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari sana

  • @jefjigaz7684
    @jefjigaz7684 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ww allly masoud we username yak ya ig mwanangu

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 3 หลายเดือนก่อน +1

      Soon utaipata.

    • @Gody360
      @Gody360 3 หลายเดือนก่อน +1

      Chaghaboy

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 3 หลายเดือนก่อน

    Et we uwogopi HApo 😅😅😅

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 หลายเดือนก่อน

    Mjomba mbona unazunguka sana kueleza kitu kimoja!!

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 3 หลายเดือนก่อน

    Anasubiri nini urusi

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa ndugu yang kumbe haijathibitishwa usingetuletea

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 3 หลายเดือนก่อน

      Vyombo vikubwa vyote vimeripoti na ww unahaki ya kujua.habari hii haijaokotwa.au kutungwa.

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@thefactbook...1607 saw rafik yang ahsant kunifahamisha

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 หลายเดือนก่อน

      Ulitaka nani ndio athibitishe?

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน

      @@rumdeesonsoa1811 ukijibu tizama kwanz jibu la mwisho lina mantiki gan au msimamo gan; ule ule au umebadilika then jibu sasa

  • @mudybaaroo4540
    @mudybaaroo4540 3 หลายเดือนก่อน

    good

  • @Gamba177
    @Gamba177 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ikiwa wenyewe na vyombo vya dunia hawajatangaza sasa wewe umezipata wapi ?

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 หลายเดือนก่อน +1

      Uwe unasikiliza vizuri kabla ya kuuliza taarifa zilipotolewa kaeleza rudia kusikiliza

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 3 หลายเดือนก่อน

      Hao niwale majirani zenu wanaosumbuliwa na kiswähili kinawapa shida kuelewa 😂😂

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza upya

  • @BillyJames-l6x
    @BillyJames-l6x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kutungua ndio nini tena??

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 หลายเดือนก่อน +1

      Shoot down!

    • @BillyJames-l6x
      @BillyJames-l6x 3 หลายเดือนก่อน

      @@SimuliziNaSauti 👍

    • @pesaspy_tv
      @pesaspy_tv 3 หลายเดือนก่อน +2

      Tungua -Tundika .
      Mama katungua nguo juu ya msumari
      Huelewi nini mtoto wa kishua 😂😂😂

    • @hassanmlawa-o6s
      @hassanmlawa-o6s 3 หลายเดือนก่อน

      Kiswahili kinakupiga cheng's nn? Mbona kaeleweka

    • @paschalfausitine7108
      @paschalfausitine7108 3 หลายเดือนก่อน

      Hahah😂😂