Uchaguzi wa Rais wa Iran kwenda raundi ya 2, wagombea hawa wawili waliopata kura zaidi kuchuana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 19

  • @سعدههوام
    @سعدههوام 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mboga ni wazee sanaaaa jamaniii kwanini wasiwek vijana ama vijana wata sumbuwa kama ruto

    • @Bittertruth-u4n
      @Bittertruth-u4n 3 หลายเดือนก่อน

      Unamjua Bideni umri wake?

    • @ce-08
      @ce-08 3 หลายเดือนก่อน +1

      Vijana ni rahis kununuliwa na magharibi

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 3 หลายเดือนก่อน

    Vijana wa Iran jiandaeni kupata adhabu za vifo kwa kunyongwa hadharani na hawa Wazee wenye siasa kali😂😂😂

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo anaependelea kurudisha sera ya nyumilia na kushiliki na mataifa makubwa hafai kuiongoza Irani Kwa sasa wasimchague kbsa

    • @DeusRobart
      @DeusRobart 3 หลายเดือนก่อน

      uyo ndoanafa ss

    • @Africaamkenitznawenuso
      @Africaamkenitznawenuso 3 หลายเดือนก่อน

      @@DeusRobart kivp wwe

    • @DeusRobart
      @DeusRobart 3 หลายเดือนก่อน

      @@Africaamkenitznawenuso amesema anaunga mkono msimamo mkali zidi ya nch za magharibi

    • @DeusRobart
      @DeusRobart 3 หลายเดือนก่อน

      @@Africaamkenitznawenuso anamsimamo mkali zidi ya nch za magharibi

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sns ni moto 🏳️‍🌈

  • @maulidipingika4452
    @maulidipingika4452 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana Iran

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 3 หลายเดือนก่อน

    hapo mwanzo hatujaelewa kidogo kwa mingi🤔🤔...

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 3 หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi nao una raundi 🤔

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sns iko moto🔥🔥🔥🔥🔥

    • @pkmumo5538
      @pkmumo5538 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini?

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 3 หลายเดือนก่อน

    Iran miamba

  • @JJ_Media2024
    @JJ_Media2024 3 หลายเดือนก่อน

    Billion 61

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 3 หลายเดือนก่อน

    #ndovudentalclinic

  • @Njiwamichael-km1dm8et9x
    @Njiwamichael-km1dm8et9x 3 หลายเดือนก่อน

    Nazani mmejifunza watu awapendi kwenda kupiga kula nchi ya ovyo