Habari ndugu , Karibu pia kutazama Muziki Mtakatifu Kupitia th-cam.com/video/CtlTYCfrVy4/w-d-xo.html. Share na ndugu wengine pia usisahau kuSUBSCRIBE🙏🏽
Neema hizo anazoshusha Mungu zinatosha kabisa! Hakuna haja ya kuendelea kuhangaika.Ujumbe kamili,karibu kutazama hapa!👇 th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
TUMWOMBE MUNGU AZIDI KUZISHUSHA NEEMA NA BARAKA ZAKE KWETU SOTE WANADAMU......!!!! BASI TUNAKUOMBA SHARE WIMBO HUU KWA WOTE ILI JINA LAKE TUKUFU LIPATE KUTUKUZWA DUNIANI KOTE .........@ LIKE ,COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE CHANNEL ......!!!!!!!!!!!!!!
Kazi nzuri sana Mashibe heshima kwako bro, Antony wa padua (aka APADUA) big up sana, nafurahi kuwaona rafiki zangu, mama zangu, baba zangu, na dada angu, safi mnooooo💞😘😘💟👍
Such a blessing
Wanakwaya hata mbinguni tutaimba mmenibariki kwa kweli mungu azidi kuwatunza ili mumtumikie yeye
Aseee hii Studio iris ni hatari sana. Ubunifu mkubwa sana kweli mmefanya mapinduzi makubwa sana
Shukran sana Ndugu yetu🙏🏾🙏🏾
@@StudioiRisPro safi kiongoz kaz njema Stanny na jopo.lako
Kwa mara ya kwanza niliuona Wimbo kwenye gari ,Wimbo ni viwango na umejanza Kila aina ya shukrani tupaswa kumpa Mungu
Baraka wee nooooma kabisa
Wimbo mzurii una roho mtakatifu ndani yake!!
Amen🙏🏾
Wimbo mzur kinoma
Shukran sana
Hongereni sana na Mungu awabariki sana kwa utume huu mzuri sana.
Huu moto mwingine
Haha Asante sana
Safi Sana ama hakika Mungu anazishusha tu
Amen Amen🙏🏾
Tumetisha
👏🏻👏🏻👏🏻
Gud work
Asante sana🙏🏾
Sanaaa I like it
Mashibe & Gerald...asante sana brothers!hongereni sana kwaya. Mambo mazuri sana haya.
Habari ndugu , Karibu pia kutazama Muziki Mtakatifu Kupitia th-cam.com/video/CtlTYCfrVy4/w-d-xo.html. Share na ndugu wengine pia usisahau kuSUBSCRIBE🙏🏽
It looks so nice jaman....wishing all the best ktk kutangazaa injili ya bwana.......
HUYO DADA BONGE AMEIPAMBA NYIMBO KWA KWELI, SAFI SAANA GERALD
Be blessed all who hear this song
MUNGU AZIDI KUWABIRIKI KWA UTUNZI WEMU WA NYIMBO TAMU TAMU
Amen🙏🏾
🔥🙏🏿
Motoo hongereni kazi nzr
#Mashibe MUNGU akukirimie
Asante sana
Nimebarikiwa sanaaa Mungu abariki kazi ya vinywa vyenu
Amen. Amen
Mashibe 🙌🙌🙌
Iris 🔥🔥🔥👍👍
Hatari
@@StudioiRisPro more blessing nyimbo Tamu alot of vibe gud work 👏👏👏👏👏
Ila iyo sebene ya hapo mwisho mgeiendeleza kidogo 😂😂😂 hatar sana
Hahah noma sana Mkuu
Neema hizo anazoshusha Mungu zinatosha kabisa! Hakuna haja ya kuendelea kuhangaika.Ujumbe kamili,karibu kutazama hapa!👇
th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Nabarikiwa u guys are creative Sana mbarikiwe saaana
Safi sana.....
Asante sana 🙏🏾mkuu
@@StudioiRisPro pamoja saaan wakuu
asate sana
Nice production
Asante mungu na waimbaji kwa kz nzuri
Mnaimba vizur. Sana. Full stop
yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!!i am not good at kiswahili,i appreciate your songs with english subtitles,and you make us feel like in the heaven
TUMWOMBE MUNGU AZIDI KUZISHUSHA NEEMA NA BARAKA ZAKE KWETU SOTE WANADAMU......!!!! BASI TUNAKUOMBA SHARE WIMBO HUU KWA WOTE ILI JINA LAKE TUKUFU LIPATE KUTUKUZWA DUNIANI KOTE .........@ LIKE ,COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE CHANNEL ......!!!!!!!!!!!!!!
Kwaya ya Mt. Anthony wa Padua - Mtwara Amina🙏🏾
Hongereni sana
@@kwayamtbenadetha-mkwawa6612 Amina sana Tumwimbie Bwana katika Roho na kweli...!!!
Hongereni kwa kaz nzuri
Wimbo unabariki sanaa huu
❤❤❤wimbo mzuri
MUNGU ndiye nguzo imara kwetu, basi na tuzid kuneemeka naye kwa wimbo huu ninapona moyo na roho Amina, B. Bonga kak yenu.
Amen🙏🏾
Mmetisha sana
Nice song for strengthening our faith as Catholics' I LOVE the song MY GOD grant you what you desire most in life.
Hakika mungu awa bariki sana
Good job
Thank you
Mzuri sana
Great job indeed. Mungu wetu na atukuzwe kwa matendo yake, amen 🙏 🙌 ❤ 👏 ♥
Amina Sana🙏🏾
Wimbo mzuri sana,nimebarikiwa nao mno
Kazi nzuri sana
Mashibe heshima kwako bro, Antony wa padua (aka APADUA) big up sana, nafurahi kuwaona rafiki zangu, mama zangu, baba zangu, na dada angu, safi mnooooo💞😘😘💟👍
Safi sana mmetisha
Asante sana 🙏🏾
Hongereni saana kwaya ya mt Antony was Padua majengo mtwara nawapenda saana saana saaaaanaa by faraja dionis haule mtt wa apadua
@@senapatanapa7070 asante sana wewe bado ni mwana familia mwenzetu, kila la heri uko ulipo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥
Hongereni sana kwa kazi nzuri, Mtakatifu Anthony wa Padua utuombee na utusaidie.
🙏🏾
A tip: you can watch series at Flixzone. Me and my gf have been using it for watching all kinds of movies lately.
@Huxley Jaxtyn Yup, I've been watching on Flixzone} for months myself :)
@Huxley Jaxtyn Yup, have been using flixzone} for since december myself =)
@Huxley Jaxtyn Yea, have been watching on flixzone} for since november myself =)
Mbarikiwe wapendwaaaa mungu wetu hakika n mwemaaa xanaaaa,
nyc song m blessed
wow
🤝🏻
Hongereni sana nimefurahia hii nyimbo ni mzuri sana kazi mzuri.
Asante I Sana Wana wa mt, Antoni wa Padua mtwara kwa nyimbo zenu mzuri ,mungu awaongezee hekima.
Much love this choir❤❤
💟💟
💓💓🤗🙄🔥
OGod strengthen faith your people.
Hongereni sana kwa uwimbaji mzuri, albam mmeitendea haki
nice 🔥
It's wow 👊
I can't get enough of the video and the song😊
Mungu awape nguvu na saut nzur , wimbo had nimeupenda , kwaya teule kanisan kwetu
Kazi ni njema sana Mungu azidi kutukuzwa na mwanadamu kutakatifuzwa
Great work, as always🔥🔥🔥🔥
Great 👍 work
Thank You so Much
Setting ya instruments imefanywa na Ray, sivyo?
Hapana ni Baraka Mashibe
Hapana Mkuu! Ni Mr Mashibe
🔥🔥🔥🔥👏👏👏
Thanks much 🔥🔥🥰
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera saaana,Mungu awabariki
A beautiful song, may God pour his blessings upon you all be it afternoon or night endlessly
🙏
🔥🔥song 🔥🔥🔥video
Mungu awabariki wimbo mzuri Sana👏👏👏
God bless u
Well done, to God be the Glory..!!!
Thank you so Much Brother Mkuu
Safi sana.
Mwl.wa kwaya naomba sana nota tafadhali 0621 689 934
Hernandez Ruth Jones Lisa Taylor Jason
Pop ppl pop out to op 😅😅😅 pp0
🔥🔥🔥
🙏🏾Thank you Brother
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥