Iris Empire
Iris Empire
  • 22
  • 1 994 521
MATENDO MAKUU | F. SHIMANYI | ST MARY GORETI STUDENTS’ CHOIR | MOSHI
Beautifully composed by Fortune Shimanyi and well performed by these passionate young generation from St Mary Goreti secondary school.
Audio and Video by IRIS EMPIRE and the sound well extracted by Maximilian Mashamba.
Enjoy the good Music and visuals.
มุมมอง: 1 702

วีดีโอ

KARIBUNI MEZANI-AUGUSTINO CHIBASE |ST MARY GORETI STUDENTS’ CHOIR |MOSHI
มุมมอง 11Kปีที่แล้ว
…..St.Mary Goreti Students’ choir inawaalika watu wote kutazama wimbo huu maalumu kwaajili ya sikukuu ya Ekaristi takatifu karibu tutafakari sote kwa pamoja. WIMBO: KARIBUNI MEZANI. WAIMBAJI: ST MARY GORETI STUDENTS’ CHOIR MOSHI TANZANIA. MTUNZI: AUGUSTINO CHIBASE. AUDIO & VIDEO: iRIS EMPIRE. SOUND ENGINEER: MAXIMILIAN MASHAMBA MCHEZA KINANDA: AJ MYONGA. Usisahau ku Subscribe, Like,Comment. #KA...
Naam Njooni Coming soon
มุมมอง 677ปีที่แล้ว
Kwaya Ya Mt Martin De Porres Bugando audio and Video By Iris Empire! Katika youtube Channel yao. Stay close
SAA YA MABADILIKO by Henry Kimario - Kwaya Ya Mt Mikaeli Malaika Mkuu -Kikatiti - FT Lawrence Kameja
มุมมอง 131K2 ปีที่แล้ว
#iRisEmpire2022#AudioVisuals KWAYA: MT;MIKAELI MALAIKA MKUU (kigango cha Malula) PAROKIA: PAROKIA YA WATAKATIFU PETRO NA PAULO KIKATITI WIMBO: SAA YA MABADILIKO MTUNZI: HENRY KIMARIO SOLOIST : LAWRENCE KAMEJA MCHEZA KINANDA: A J MYONGA SOUND ENGINEER: MAXMILLIAN MASHAMBA AUDIO & VIDEO: iRIS EMPIRE Please🙏 Subscribe, Like, Share & Comment
NIMETULIZANA - M. C. Mabogo / Kwaya ya Mt Yohane Paulo ii - Olasiti Arusha
มุมมอง 36K2 ปีที่แล้ว
#IrisEmpire#RajoProductions#Nimetulizana Kwaya Ya Mt Yohane Paulo wa pili Kigango cha Mt Arnold Janssen Parokia ya Mt Joseph Mfanyakazi - Olasiti Wimbo: Nimetulizana Mtunzi: Mc Mabogo Audio: Rajo Productions Video: Iris Empire Solo: Lawrence Kameia Kinanda: Ray Ufunguo Kindly like, Share, Subscribe
BM coach and Yutong Tanzania commercial advert
มุมมอง 4492 ปีที่แล้ว
BM coach and Yutong Tanzania commercial advert
Asante Rabi express Commercial Ad
มุมมอง 9712 ปีที่แล้ว
Shot by studio iris pro Welcome for inquiries Studioirispro@gmail.com 255658001112
MKAMATE ELIMU - ST MARY GORETI STUDENTS CHOIR (Official Video)
มุมมอง 11K2 ปีที่แล้ว
STUDIO IRIS PRO Karibu Kutazama wimbo huu wenye Ujumbe Maalum juu ya Ujuzi na Maarifa. Ni Utunzi wake ABADO SAMWEL. Waimbaji: St Mary Goreti Students Choir - Moshi Audio & Video : Studio iRis Pro Sound Engineer : Maximillian Mashamba Organist: A J Myonga Supportive Crew : iRis Empire Please Like , share and Subscribe 🔥
TUMAINI LANGU - ST THOMAS CHEPTIRET PARISH CHOIR (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 62K2 ปีที่แล้ว
STUDIO IRIS PRO “Nami nalisema kwa haraka yangu nimekataliwa mbali na macho yako Lakini ulisikia sauti ya dua yangu wakati wa nilipokulilia” St Thomas Cheptiret Parish Choir Jimbo la Eldoret Kenya, wanakuletea wimbo wa Rohoni upate kubarikiwa nao. TUMAINI LANGU Utunzi wake Dokta Kelvin B Bongole Audio By : Tanganyika Productions Video by : STUDIO iRIS PRO Organist: Tumaini Swai Tenore Solo : La...
WEWE NI MUNGU - Kwaya ya Mt. Sesilia, Parokia ya Bugisi - Shinyanga (Official Music Video)
มุมมอง 103K3 ปีที่แล้ว
WIMBO: WEWE NI MUNGU WAIMBAJI: KWAYA YA MTAKATIFU SESILIA - PAROKIA YA BUGISI, SHINYANGA MTUNZI: SIMON SANDY KINANDA: BARAKA THOMAS MASHIBE VIDEO BY: STUDIO iRIS PRO (Creative Minds🎥) AUDIO: HOLY TRINITY STUDIOS LIKE, SHARE & SUBSCRIBE
UCHUNGU KAMA UPANGA - Gerald & Gaspar (Official Video)
มุมมอง 15K3 ปีที่แล้ว
STUDIO iRIS PRO “Kwa Kuwa Zawadi Ya Dhambi Ni Kifo Lakini zawadi Ya Mungu Ni uzima wa Milele Kwa Bwana Wetu Yesu Kristo.” WIMBO: UCHUNGU KAMA UPANGA WAIMBAJI: GERALD & GASPAR MTUNZI: B. SIMFUKWE KINANDA: MAXIMILLIAN MASHAMBA SOUND ENGINEER: MAXIMILLIAN MASHAMBA VIDEO: STUDIO iRIS PRO AUDIO: JUGO MEDIA LIKE, SHARE & SUBSCRIBE
TUYATUNZE MAZINGIRA - Ndanda Mission Choir (Official Music Video)
มุมมอง 10K3 ปีที่แล้ว
“Mazingira Ni Tunu Bora Toka kwa Mungu, TUYATUNZE “ WAIMBAJI: NDANDA MISSION CHOIR - MTWARA WIMBO: TUYATUNZE MAZINGIRA MTUNZI: A. J. MYONGA KINANDA: A. J. MYONGA VIDEO BY: STUDIO iRIS PRO AUDIO BY: GLORY TO THE LORD STUDIOS (GLS) LIKE, SHARE, & SUBSCRIBE Follow our Instagram Account: pCKn0DYon88Y/?igshid=smu9bi8ae07v
SIFA TAMU - (Official Video) KWAYA YA MT. BERNADETHA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (MUCE)
มุมมอง 24K4 ปีที่แล้ว
#Studio iRis Pro “Sifa za Mungu ni uzuri wa Utakatifu wake; NA ZIFIKE KOTE” #Studio iRis Pro WIMBO: SIFA TAMU KWAYA: MT. BERNADETHA - CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (MUCE) MTUNZI: FAUSTINE MICHAEL KINANDA: VEDASTUS C. EUSEBIUS VIDEO BY: STUDIO iRIS PRO AUDIO: BANALLY STUDIOS LIKE, SHARE AND SUBSCRIBE.
TEMBEA NAMI (Official Video) - KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
มุมมอง 1.2M4 ปีที่แล้ว
STUDIO iRIS PRO “Hakika wema na fadhili za Bwana zitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele." WIMBO: TEMBEA NAMI WAIMBAJI: KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE PAROKIA: MAKUBURI - DAR ES SALAAM VIDEO BY: STUDIO iRIS PRO AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS KINANDA: A. J. MYONGA & FRIDOLINUS MUSHOBOZI
ANAZISHUSHA NEEMA (Official Video) - Kwaya Ya Mt.Anthony wa Padua (Majengo-Mtwara)
มุมมอง 132K4 ปีที่แล้ว
#Studio iRis Pro " Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo." WIMBO: ANAZISHUSHA NEEMA WAIMBAJI: KWAYA YA MT. ANTHONY WA PADUA PAROKIA: MAJENGO - MTWARA MTUNZI: BARAKA THOMAS MASHIBE VIDEO BY: STUDIO IRIS PRO AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIO LIKE, SHARE NA SUBSCRIBE.
MOYO WA YESU - Kwaya Ya Bikira Maria Msaada wa Wakristo -Ihefu (Official Video)
มุมมอง 8K4 ปีที่แล้ว
MOYO WA YESU - Kwaya Ya Bikira Maria Msaada wa Wakristo -Ihefu (Official Video)
Gracious Cake Cinematic B ROLL (commercial)
มุมมอง 4544 ปีที่แล้ว
Gracious Cake Cinematic B ROLL (commercial)
ASANTE TWASHUKURU- Kwaya ya Mt.Dominick Savio
มุมมอง 65K4 ปีที่แล้ว
ASANTE TWASHUKURU- Kwaya ya Mt.Dominick Savio
UNANIJUA - Kwaya ya Mtakatifu Francisco wa Asizi(TIA)
มุมมอง 16K4 ปีที่แล้ว
UNANIJUA - Kwaya ya Mtakatifu Francisco wa Asizi(TIA)
UKAMPENDE - DIVINE VOICES
มุมมอง 16K4 ปีที่แล้ว
UKAMPENDE - DIVINE VOICES
UPENDO WA DHATI - Anointed Singers
มุมมอง 56K4 ปีที่แล้ว
UPENDO WA DHATI - Anointed Singers
SIKILIZENI - DONATOS
มุมมอง 49K4 ปีที่แล้ว
SIKILIZENI - DONATOS

ความคิดเห็น

  • @Sarah-w6w6h
    @Sarah-w6w6h 2 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙌🙌

  • @OliverShayo-d5o
    @OliverShayo-d5o 5 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwe sn

  • @jamesmageto2146
    @jamesmageto2146 15 วันที่ผ่านมา

    Next time ukicheza hivi kinanda nakuja na matoleo😂

  • @rosegathuru7487
    @rosegathuru7487 16 วันที่ผ่านมา

    Reminds me how God is faithful that even when is about to give up,He shows up and changes everything to become just the hearts desires 💓🙏

  • @TarimoDominick
    @TarimoDominick 17 วันที่ผ่านมา

    Nawatakia krismas njema mungu awaweke upya Kama kristo alivyo saliwa upya❤❤

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 23 วันที่ผ่านมา

    Aiseee mbarikiwee sana nyimbo yangu pendwaaa 😘

  • @stanleyngasanzwa3725
    @stanleyngasanzwa3725 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana mungu awabariki

  • @PriscaNyerereGisbang
    @PriscaNyerereGisbang หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana watu wa mungu tuko pamoja.

  • @AlodiaAlistides-gi4iz
    @AlodiaAlistides-gi4iz หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu unanitia faraja, Jina la Bwana lihimidiwe🙏

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 2 หลายเดือนก่อน

    Tembea nami katika mapito yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @moramwita890
    @moramwita890 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika wewe ni Mungu usiyeshindwa

  • @AdelaKatwale
    @AdelaKatwale 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulation for your Better song

  • @pascalshekeza9376
    @pascalshekeza9376 2 หลายเดือนก่อน

    na Pata je partition ya nyimbo hii plz, Niko Congo 🇨🇩

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ,ni saa ya mabadili ,tubadilike

  • @frankndi3834
    @frankndi3834 2 หลายเดือนก่อน

    I want this song but it isn't downloading please help me how to get it 🙏

  • @ericksigfridi5469
    @ericksigfridi5469 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kutukuzwa siku zote

  • @IngersollMaria-z9s
    @IngersollMaria-z9s 3 หลายเดือนก่อน

    Hernandez Ruth Jones Lisa Taylor Jason

  • @LucyHamaro-e6u
    @LucyHamaro-e6u 3 หลายเดือนก่อน

    Mmeimba smart I like it may almighty God be with you all muendlee n huo moyo

  • @FanuelKakoa
    @FanuelKakoa 3 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa nawe bwana Niko salama nabalikiwa sana

  • @gemmambilinyi6411
    @gemmambilinyi6411 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana wimbo mzuri sana

  • @olivershirima-j1f
    @olivershirima-j1f 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana tembea NAMI daima . Mmbarikiwe sana kwa wimbo mzuri kwaya. 🙏🙏🙏

  • @SaidiHamadi-t7i
    @SaidiHamadi-t7i 3 หลายเดือนก่อน

    naomba nota yake wimbo mzury sanaaaa

  • @PauloManyika
    @PauloManyika 3 หลายเดือนก่อน

    Mtunzi popote ulipo hongera kwa kazi nzuri, Mungu abariki kazi ya mikono yako. Lakini tu naomba nakala ya wimbo huu tafadhari swahili music

  • @MagobongoMasokola
    @MagobongoMasokola 3 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuri

  • @Adela-r1o
    @Adela-r1o 3 หลายเดือนก่อน

    I like the song

  • @evancepolin1403
    @evancepolin1403 3 หลายเดือนก่อน

    Tembea nami, mapito yangu, uwe nami popote niendako, nakutegemea, nikiwa nawe nipo salama, niende kwa nani bwana ....wale tunabarikiwa na huu wimbo wakati huu September 2024 thumb up

  • @frankmhoja2460
    @frankmhoja2460 4 หลายเดือนก่อน

    Kuimba ni kusali mara mbili hakika nabarikiwa sana na hizi nyimbo ...Hongereni sana wanakwayaaa na mungu atubariki tutembee nae ..

  • @josephinemuthoni8352
    @josephinemuthoni8352 4 หลายเดือนก่อน

    All the it strength my spirits. Also feel emotional when think how God loves humanities

  • @juliusmalunde9636
    @juliusmalunde9636 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kuwabariki

  • @mwesigacredius9852
    @mwesigacredius9852 4 หลายเดือนก่อน

    Wimbo unatafakarisha!!!

  • @GraceCaluman
    @GraceCaluman 4 หลายเดือนก่อน

    Nina imani mungu anatembea nami,,,kazi nzuri❤

  • @Ruth-q2j
    @Ruth-q2j 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki good song

  • @AugenMgovano
    @AugenMgovano 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa mara ya kwanza niliuona Wimbo kwenye gari ,Wimbo ni viwango na umejanza Kila aina ya shukrani tupaswa kumpa Mungu

  • @petrolina1547
    @petrolina1547 4 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana

  • @JoshuaWenge-hx3ml
    @JoshuaWenge-hx3ml 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe kwaujumbe mzuri

  • @JosseLinne-i7u
    @JosseLinne-i7u 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka kwaukwel Ninyimbo nzuli mungu Akubaliki hata kwaya nzima Kwanyimbo zenu nzuli

  • @ConstantineMobuli-sk8xw
    @ConstantineMobuli-sk8xw 5 หลายเดือนก่อน

    God almighty thank you for the inspiration of this song. You are always with me. Strengthen my faith in case of discouragement. With you I am safe from all challenges. Praise be your name.🎉 🎉 4:00 4:01 4:08 .🎉🎉

  • @JulberJulber
    @JulberJulber 5 หลายเดือนก่อน

    Munanijenga roho mungu awariki

  • @GichanamakwabeMakwabe-u1y
    @GichanamakwabeMakwabe-u1y 5 หลายเดือนก่อน

    Ni Mungu 2

  • @Edina_msele
    @Edina_msele 5 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana mungu atakuponya

  • @frankmuthomi4866
    @frankmuthomi4866 5 หลายเดือนก่อน

    naeza pata music sheet

  • @PeterParsimei
    @PeterParsimei 6 หลายเดือนก่อน

    Congrats all 🎉🎉 hakika tunashukuru

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzur sana mungu akubarik sana mwlimu kameja

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 6 หลายเดือนก่อน

    Congratulation laurence kameja ni saa yamabadiliko

  • @PeterParsimei
    @PeterParsimei 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni saa ya kubadili maisha yetu na kuishi kikamilifu kwa mungu....wimbo mzuri hongera ❤

  • @MARIAKINUNDA-bf5dt
    @MARIAKINUNDA-bf5dt 6 หลายเดือนก่อน

    Such a blessing

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera laurence kameja

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 6 หลายเดือนก่อน

    Saa ya mabadilko

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzur sana mbarkiwe warmish wa mungu

  • @didaskahigi5307
    @didaskahigi5307 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana na Mungu awabariki sana kwa utume huu mzuri sana.