Jamni naumwa sana niliumia kiuno nipo kitandn wiki ya pili nimekata ata tamaa ya kurud shule lakin nilipsikia huu wimbo nikapata nguvu mpya kabisa na ujasiri mbarikiwe na bwana jmn
Really also love you as you are a legend in the makuburi family.Great fan from Christ the King parish in kangemi ( Kenya) remember to visit us whenever you come to Kenya
Tembea nami, mapito yangu, uwe nami popote niendako, nakutegemea, nikiwa nawe nipo salama, niende kwa nani bwana ....wale tunabarikiwa na huu wimbo wakati huu September 2024 thumb up
Nafarijika saana popote hata nikiwa kazini, njiani na popote nikiwa nasikiliza hii Nyimbo na mm pia ni mwimbaji Kwaya ya Mt, Bakita Kigango cha Kamuli jimbo Katoliki Kayangu. Barikiwa saaan.
Hakika kila mwenye pumzi na amsifu Mungu -Zaburi 150:6.. Hongereni sana wanakwanya wote, walimu wote bila kuwasahau IRIS kwa production nzuri hakika Mungu awabariki sana. Mwl. Muyonga big up sana.
Wimbo huu Umenibariki sana!!, Napata Amani sana kila niusikilizapo, Barikiweni sana Watunzi na Waimbaji wote. Mungu ni Mwema! Kweli Hatokuacha ukimtumainia🙏
Bonge la nyimboo😄😍😍 mbarikiwe saaana pamoja na hii studio video mmeitendea haki👏🙌. Lakini bado najiuliza🤔🤔 hivi zile dislike ni kwamba wimbo mbaya, video mbaya au mtu bac tu maana wimbo huo umetulia lkn bado nakuta dislike😂😂😂
Wow! Asnte sana bro Barnaba kwa ku share nami , hakika nmebarikiea sana, wimbo mzur, ujumbe maridhawa, mmechangamka Sifa na utukufu kwa Mungu wetu Mbarikiwe watumishi
Wandugu asanteni kwa nyimbo nzuri sana na tumebarikiqa sana, Ila ndugu zangu twendeni na wakati pia angalieni namna ya kuweka nyimbo zetu kwenye platforms za kimataifa mfano iTunes, Tidal or Spotify vyote vyawezekana na ndio njia nyingine ya kuongeza kipato.. natarajia kuwaona huko soon 🙏🙏
Utunzi mzuri unaogusa mioyo ya wasikilizaji,,,Mungu atukuzwe kupitia muziki huu,,,,, changamoto nying sana za kimaisha tunazopitia tunapata faraja kupitia miziki mizuri kama huu, Ubarikiwe sana @Mwl. Myonga kwa utunzi mzuri 👋👋👋
God almighty thank you for the inspiration of this song. You are always with me. Strengthen my faith in case of discouragement. With you I am safe from all challenges. Praise be your name.🎉 🎉 4:004:014:08 .🎉🎉
Wimbo nzuri Sana tena yenye mafunzo bora katika maisha yetu kabisa ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Waooooo!! Wimbo mtamu sana, umetulia, waimbaji wameutendea haki. Binafsi unanibariki sana huu wimbo. Hongereni sana wanakwaya na waalimu wenu wote. Thawabu yenu ni kubwa mbinguni
Jamni naumwa sana niliumia kiuno nipo kitandn wiki ya pili nimekata ata tamaa ya kurud shule lakin nilipsikia huu wimbo nikapata nguvu mpya kabisa na ujasiri mbarikiwe na bwana jmn
Pole sana Mkristu . Mungu na akuponye 🙌🙏🙏
Pole sana Na Mungu awe nawe katika Mapito yako.
Keep faith and trust in the Lord. You will be healed 🙏🙏
Mungu akuponye hakuna kinachoshindikana kwake
Omba kwa Imani. Mungu yupo. Hashindwi jambo na hamtupi mtu
Hakika tumwimbie Bwana katika roho na kweli!!
Hakika nawajivunia M/Heri Anwarite
Kazi nzuri upeo, hongera iRis , pongezi mwl Muyonga..
Mungu atukuzwe
Kak napenda fani yako san en napend san jinc ulivo kwa Neema yamungu akuzidishie kipaji
Zakaria naomba namba yako ya mpesa nifanye jambo
Really also love you as you are a legend in the makuburi family.Great fan from Christ the King parish in kangemi ( Kenya) remember to visit us whenever you come to Kenya
Tembea nami, mapito yangu, uwe nami popote niendako, nakutegemea, nikiwa nawe nipo salama, niende kwa nani bwana ....wale tunabarikiwa na huu wimbo wakati huu September 2024 thumb up
nimeiskiliza tangu saa 4 asubuhi had wakati huu na naitaendelea kuiskiliza tu. Inanibariki sana Hongereni sana kwa kazi nzuri
😂😂😂😂😂
@@anataliangalowoka3906 to
@anataliangalowoka3906 to
P@@anataliangalowoka3906
@@anataliangalowoka3906hiyo Haina mpizani,mnajiamini .mmetia fola .
Aseeeee huu wimbo unaeza enda ombea mkopo mkomboz Benki ni mtamu saaaaaana guys congrats
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Kweli kabisa 💯
😂😂😂😂😂😂😂
Mwenye heri Anuarite choir! Hongera kwa kazi nzuri iliyokwenda shulee!!! Mungu azidi kuonekana zaidi!
Hakika nikiwa na wewe nipo salama . MWENYEZI MUNGU awabariki .Sana.
Kubwa sana hii! Kongole nyingi kwenu MwenyeHeri Anuarite Kwaya😍😍😍😍
Hongera kwako mdogo wangu,naona viwango vyako vya juu hapa.
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
HONGERA SANA NAWE KWA KIBAO KITAMU KAMA KAWAIDA YAKO HUJAWAHI KUACHA KUWATAFAKARISHA WATU KWA NYIMBO ZAKO.
Kazi nzuri
Motooo sana Hii
Nafarijika saana popote hata nikiwa kazini, njiani na popote nikiwa nasikiliza hii Nyimbo na mm pia ni mwimbaji Kwaya ya Mt, Bakita Kigango cha Kamuli jimbo Katoliki Kayangu. Barikiwa saaan.
Endelea kubarikiwa Mtumishi AMEN
Sichoki kuutazama kila nikiwa na mb zangu za jero
Mungu Akuzidishie
Hii kwa ya Mwenye Heri Anuarite huwa napata faraj sana na furaha co kwa sauti hzo jaman duuuu .Mungu awatunze
Amen, Mungu ni mwema
Hongera kwenu wana Anuarite kwakazi nzuri Mungu awaongoze muendelee kumtumikia kwanjia ya kuimba katika roho na kwel nawapenda nani nawakimbuka sana
Hongereni sana
Wimbo konki
Yatoshaaaaaaa,,, nguvu ya mazungumzo duuuuuh
Aiseee mbarikiwee sana nyimbo yangu pendwaaa 😘
I was waiting for this ongeeren San Iris Pro Studio mtabaki kuwa juuuu kichupa kikali ndg zng Zab 150 :6
Kali kuliko kali
Nice1 4 xure mo bless in front of u
Saafi mwl ayubu amasha
Mungu azidi kuwabariki katika huduma hii ya kuhubiri neno lake kupitia nyimbo takatifu mnazohimba. Amina.
Huu wimbo naupenda sana kuanzia nilipousikiliza kwa mara ya kwanza Hadi Leo na nitaendelea kuupenda
Aisee! Wimbo umejaa upako. MUNGU azidi kuwapa mafunuo muendee kutuinjilisha Kwa nyimbo nzuri kama hii. MUNGU awabariki sana
Asante, karibu
Asanten sana Tena sana kwani Mimi nimebalikiwa sana kupitia nyimbo hii
Hakika Mungu atukuzwe.Hizo sauti zimepangiliwa sawasawa,video ipo safi,utunzi mzuri sana.Hongereni nyote.
Nmefarijika sana
Mungu azidi kuwapa nguvu ya kumtumikia yye na kuinjilisha neno lake
Tunashukuru sana
Tembea nami katika mapito yangu
Kazi nzuri mno,hongereni kwa utume. Mungu awabariki washiriki wote🙏
Tumshukuru Mungu.
Hakika kila mwenye pumzi na amsifu Mungu -Zaburi 150:6..
Hongereni sana wanakwanya wote, walimu wote bila kuwasahau IRIS kwa production nzuri hakika Mungu awabariki sana.
Mwl. Muyonga big up sana.
Wimbo huu Umenibariki sana!!, Napata Amani sana kila niusikilizapo, Barikiweni sana Watunzi na Waimbaji wote. Mungu ni Mwema! Kweli Hatokuacha ukimtumainia🙏
Hongeren saana kwaya yangu ya zaman kwa kaz nzur sana hiyo
Hongera kwa mtunzi,waimbaji ila kwa hii Video My Brother Gerald umeua sana kwa Script moja Kali na shots zilizoenda shule
A J Myonga 👏, kwaya ya mwenye heri anuarite 🔥kazi nzury mbalikiwe🙏
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Bonge la nyimboo😄😍😍 mbarikiwe saaana pamoja na hii studio video mmeitendea haki👏🙌. Lakini bado najiuliza🤔🤔 hivi zile dislike ni kwamba wimbo mbaya, video mbaya au mtu bac tu maana wimbo huo umetulia lkn bado nakuta dislike😂😂😂
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Muziki Mtakatifu 🔥🎤
Hongereni Sana kwa wimbo mzuri umenibark kwa kweli mungu awabariki Sana kwa kazi nzuri
Maneno mazuri kabisa hakika mnafaa kumtukuza mungu kwa njia ya uimbaji mmependeza nyimbo zenu hazichoshi kusikiliz mungu awabarki nyote
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
@@sundayssmile2128 nyimbo iko poa mno mungu azid kuwa tililishia baraka na neema yk
@@agnesgervas8070 Amina
@@sundayssmile2128 amina pai
MMEIMBA vzr
Audio studio gani
Video studio gani
OGANIST nanii
Audio Holy Trinity Studios
Video Studio iRis Pro
Organist:AJ Myonga na Fridolinus Mushobozi
Woooow....So amazing!! Kitu konki sana hii. Nimewaelewa Anuarite, nimewaelewa Studio iRis Pro. Big up sana
Tunashukuru sana
Tunashukuru sana
Tukiwq na Mungu hakuna anae weza tuzingua kazi nzur sana
Love the voices ,strong ,Bwana tembea nami
Mbarikiwe hivi ndivyo mlivyokuwa mnatakiwa fanya.kwa kipindi kilefu mmekuwa mkishoot but kazi hazionekani
Hongereni sana Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu
Nyimbo inanifariji Sana ninapoisikiliza
Wimbo mtamu unakufanya usahau kama kuna changamoto ktk Maisha!! Mbarikiwe mnooo wana Anuarite pia pongezi kwa mtunzi Mr Myonga
Jamani mtunzi ninani
Umekuwa faraja
Napenda sana huu wimbo nikiusikiliza naona kama shida zote za hapa duniani zimeisha Mungu awabariki sana
Mbarikkwee sana
Mungu awalinde na awatangulie kwenye utume wenu
Kazi nzuri Sana hii barikiwa Sana kaka Myonga A. J
Safi sana. Wimbo mzuri, waimbaji mmeutendea haki.
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Asante sana Sana Mungu Akubariki
@@sundayssmile2128 very very nice song god bless you
Nawapenda.mnoooo
Waoooooo.... amazing bonge la wimbo hongereeni sana Nimewamc sanaaaaaaaa
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Mungu abariki sana.
Kazi nzuri sana hii🔥🔥🔥
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Kazi nzuri sanaaa
Hongera kwa mrunzi na wanakwaya wa Mwenyeheri Anuarite kwa kututafakarisha vyemaaa
👏👏👏👏👏💕
Mko vizur
Mungu awatunze
Hongeraaaaa sanaaaaaa ,,anuarite wimboo mzuri sanaaaaaaa
Nice bottle
Hakika Mungu ni mwema sanaaa
Karibuni mtuunge mkono
Waooooh...hakika mbarikiwe mnooooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mpendwa karibu kutazama Muziki huu Mtakatifu pia bila kusahau kusubscribe th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html
Congratulation for your Better song
Kuimba ni kusali mara mbili hakika nabarikiwa sana na hizi nyimbo ...Hongereni sana wanakwayaaa na mungu atubariki tutembee nae ..
Safi sana wimbo mzuri sana
Safi sana.Mungu awabariki
Wimbo huu unanitia faraja, Jina la Bwana lihimidiwe🙏
Wimbo mzuri sana unaniongezea imani yangu ktk dunia hii ya dhiki,shida tabu ewee tusaidie
Jmaniiiiiiii kwa utamu huu mpaka na sahau kama kuna kufa hongereni sana jamaniii naludia mara kurudia lakin haikoi
Wow! Asnte sana bro Barnaba kwa ku share nami , hakika nmebarikiea sana, wimbo mzur, ujumbe maridhawa, mmechangamka
Sifa na utukufu kwa Mungu wetu
Mbarikiwe watumishi
Nawakubali sana Anuarite kazi nzuri comrade Myonga
Iris production Hongereni wakuu kazi tamu 🙌🙌l💥💥
Kongole Anuarite choir
Kazi nzuriii iris pro
Wandugu asanteni kwa nyimbo nzuri sana na tumebarikiqa sana, Ila ndugu zangu twendeni na wakati pia angalieni namna ya kuweka nyimbo zetu kwenye platforms za kimataifa mfano iTunes, Tidal or Spotify vyote vyawezekana na ndio njia nyingine ya kuongeza kipato.. natarajia kuwaona huko soon 🙏🙏
Hakika Tunafanya namna
Litakuwa jambo jema sana na la Baraka sana. Pia itasaidia Kwaya zetu na wahusika wote kupata vipato kupitia muziki huu wa Mungu
Mungu ni mwema sana, naomba nikumbushie tuu
Hakika kasongi kametulia
Hakika Mungu nimwema cz viewers wanavyopanda kwa masaa 22. 1.6KVIWERS
Big up san mbarikiwe
Utunzi mzuri unaogusa mioyo ya wasikilizaji,,,Mungu atukuzwe kupitia muziki huu,,,,, changamoto nying sana za kimaisha tunazopitia tunapata faraja kupitia miziki mizuri kama huu,
Ubarikiwe sana @Mwl. Myonga kwa utunzi mzuri 👋👋👋
Nice melodies good product
Hongereni sana
God almighty thank you for the inspiration of this song. You are always with me. Strengthen my faith in case of discouragement. With you I am safe from all challenges. Praise be your name.🎉 🎉 4:00 4:01 4:08 .🎉🎉
Hongereni sana nyimbo nzuri sana inanibariki mnoo nitajiunga nanyi siku moja tuimbe sote.
Asante sana Mungu kwa usalama unaonijalia Kila mapito yangu ninakutumainia Sana Mungu wangu
Good work
Hongereni sana kwaya ya Mwenye Heri Anuarite-Makuburi kwa wimbo mzuri! Asanteni kwa kuinjilisha vema
Superb
Hongereni sana Mwenge Heri Anwarite, kazi nzuri sana. Atukuzwe Mungu
Mungu azidi kuwatumia kufikisha injili yake kwa watu. Mbarikiwe sana nyote (mtunzi, producers, organists, and all who made this work to be seen)
Kweli roman Kuna nyimbo tamu sana na zinabariki nitadumu roman na nitailinda Imani yangu❤❤❤ mungu kwanza mengine baadae
Endeleen kutunza waalimu msiwe Kama wengine
Wimbo nzuri Sana tena yenye mafunzo bora katika maisha yetu kabisa ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Safiii
Big up, Big up! A. J. MYONGA, Composer na Organist usiyevuma Ila Umooo!! Well done Mhadzave!
Hahahaha!! Dada Suzanna!!! Mungu ni mwema!!
Yapendeza sana!! mbarikiwe
Asante
Kazi nzuri Sana mung u awabariki Sana steven kurasini
Kweli mungu naomba tembea nami
Hakika Tembea nami popote niendapo!
Nimebarikiwa mno hongereni sanaaa🙏
Nina imani mungu anatembea nami,,,kazi nzuri❤
Mtunzi popote ulipo hongera kwa kazi nzuri, Mungu abariki kazi ya mikono yako. Lakini tu naomba nakala ya wimbo huu tafadhari swahili music
Waoooh Kazi nzr sana Hongereni mno M/Anuarite Mungu azidi kufukuzwa kwa hii kazi nzr
Waooooo!! Wimbo mtamu sana, umetulia, waimbaji wameutendea haki. Binafsi unanibariki sana huu wimbo. Hongereni sana wanakwaya na waalimu wenu wote. Thawabu yenu ni kubwa mbinguni
Wooh hongereni kwaya ya Mt Anuarite wimbo mzuri
Mtunzi wa nyimbo Mungu akubariki uendelee na kipaji chako, hongera sana.
Asantee kwaniaba ya mtunzi😍
Kazi nzuri Sana . Hongereni Sana tunawapata vizuri tukiwa Sumbawanga.
Hakika Mungu ni mwema tembea nami
Wimbo mzuri sana wenye kutafakarisha mtunz wa wimbo huu abarikiwe sana na kwaneema ya mungu amjarie maisha marefu
Tembea nami katika mapito yangu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mmeimba smart I like it may almighty God be with you all muendlee n huo moyo
hongeraaa kwenuu.. Mungu awabariki