𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐎𝐅 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Mzee Yusuph -Acha Niwakere - Jahazi modern taarab(Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2021
- #MzeeYusuph #SafinaModernTaarab #SlideDigital
(C) Slide Digital
Mzee Yusuph and Jahazi Modern Taarabu / Safina Madern Taarab Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Mzee Yusuph: ffm.to/mzeeyusuph
Jahazi Modern Taarab: ffm.to/jahazimoderntaarab
Safina Modern Taarab: ffm.to/safinamoderntaarab
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
Mzee Yusuph, umeua kubwa na huu wimbo ni mzuri sana. Ninaupenda sana na ninaucheza mara nyingi sana
Allah akusamehe/ atusamehe
Wallah nilipata raha sana baada ya kukuona umerejea ktk dini
Lkn dah Allah akupe/atupe mwisho mwema
AMIIN AMIIN
Na humu umefata nini kama kweli ni mwanadini? Acha ukerwe na ukuda wako
Amyin thumma Amyin atupe mwisho mwema Yarrab
Aameen ya rabi allahmeen
plz kuna kitu sijui naomba mnieleweshe tafadhale
Piga kazi Mzee Yusuph . Mungu anajua watu wake . Dhambi sio kuimba .Kama unaimba na unatenda mema Kuna shida Gani hapo. Kuna watu hawaimbi na wanamkosea Mola kupita kiasi. Asikuhukumu mtu . Mungu pekee ndo anamamlaka ya kuhukumu watu wake.
Wengine kama sio watenda dhambi kila mtu anatafuta riziki,mtuachie our King of Taarabu ❤❤❤🎉
Nimetaka kupita bila comment lakini imebidi ni comment. Safi sana mzee yusuph ❤❤
Ndugu yangu pole sana unajikera humkeri mtu na balaa kubwa unamkera Mwenyezi Mungu siku atakapo kuita ukaulizwa maswali ni mazito sote wapita njia acha starehe ya mbwa kukalia mkia nyimbo hii haina kichwa wala miguu hiyo siri yako unampeda au kutompenda kama ulivyosema miaka inakwenda wahi kabla hujawahiwa.
Wakereee king na wanaoteseka na wewe kurudi kwenye game wakereeeee
Farasi ni wawili Pekee tu East Africa Mzee Yusuf and diamond platinum .
That's the king I Know....we don't give a damn...eeeeeish let them talk😏
Imetooosha😂😂😂😂😂😂😂
Unanikoshaje wewe!wakenya mpo wapi!?♥️♥️♥️
Hizi ndio vitu kali tulikua tumekosa kwa mda mrefu....wapi kule mauji Mzee wa chobo,,,,,,mfalume anabisha daaaaaa!
Allaha amfanyie wepes hii n balaa kwel daha , pesa inatupeleka sana motoni ya Allah rabullaramin ntusaemehe huu n msiba kwel kuchanganya haki na batili
Billaih
Naam acha uwakere kinanani au uwakere waislam na mungu wao haya bc wakere ungevaa na msalaba ukaimba na kanisani ungewakera vizuri ulimhadaa mungu mjinga mkubwa wee mbwa haswaa
Hakuna kama Mzee Yusuph. Alipoachaga kuimba na Rusha Roho ikafa. Karibu tena Nguli.
Duuh kweri pagumu Sana namungu atusamehe mzeee alitubu Zambi zote Leo kamludia shetani mungu tusame wakosefu
Uimbaji ni kipaji kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Kuimba sio dhambi. Usihukumu ukaja kuhukumiwa
9 I
Mmmwee!
Innalillah wainnaaaa ilaihiraajiun msiba huu yussuph
Acha unafiki kama niharamu kwanini uliangalia
@@HusseinRj😃😃😃😃
@@HusseinRj Badilikeni, Allah anawaona.
@@HusseinRj 🤣hpo sasa
Ustadh na kijumba youtube si uzinzi huo...fanya yko
Mfalme kasharudi....dume halishindwi na zizi lake....bonge la song ✍🇴🇲🇹🇿
Si alisema kaachwa kuimba tokea aende makka
@@pamelaemmy8180# Hakunaajuye kesho yake ila fikiri kwa kina kbl ya kufanya maamuzi, umejipanga vipi kimaisha....nk
@@fatimahants1526 1qà q 11
Kunasiku ulilia kwasababu ilikua unajiita mfalme naukakiri hakuna mfalme zaidi ya mungu pekee leo unayarejea yaleyale umepotea mwezetu naunaelew kuwa unachokifanya niharam mrudie mola wako mzee wngu mungu husamehe kwakila mwenyekutubia ilatoba iweyakwel
Mfalme is a title and not a name. Huyu hapa akijiita mfalme he is not impersonating God, Morover, God judges using intention not action!
Authubilahi minasshaitwani rajim. Rudi kwa mungu wako. Nautibiye kabla mauti hayakufika. Allah nimwingi warehma na kusame. Ukumbuke ulienda Haji.
Teynaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🥂🥂🥂
Wapi Kelele Yake Mfalme Yusuph Wewe👌👌👌👌Wacha TUWAKERE KINA MWAFULANI!!!!!!
Weuweeeeee
Teeeeenaaaaaaa! Jumanne papasa kinanda ichooo
Mrudie ALLAH ndugu yangu kifo huja ghafla rudi kwake Allah na Mtake msamaha
Kumbuka ulienda makka unamuasi mungu wako. Mmungu akuhidi nakuonea huruma. Life is too short mzee yussuf.
Yanakuhusu nn weye
Duh binaadamu bana mtu anakupa ushauri mzuri eti yanakuhusu nn ww!! Innalillahi wainna ilaihi rajighuun Allah atujaalie mwisho mwema 🤲
@@nasramohamed3353 mnapenda kuhukumu Sana watu Kama ni Makka hata wewe nenda. Huyo mzee Yusuph atajuana yeye na Mungu wake sisi hayatuhusu maisha yake
@@salomecaroly5534 yeh ni kweli lakini usemayo. Na mm pia ni binaadamu namhukumu mwenzangu siyajui yakwangu yakoje
@@nasramohamed3353 Amiin
Nakukubbali Sana wewe na mkeo loo yangu
Wow mwenye taarab yake karudi 💛💛💛
Humkeri mtu,unajikera mwenyewe!
Hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani vitu hivyo kutoka kwa Alhaji Yussuph vtu htar sana baraka y maka hio inaanza kw kasi tumuombee Mungu azidi kudumu
Subhna allh msiba mzito huuu
Jamani kwanza tulikumisi sana
Hichi ni kipaji. Mzee Yusuf hafosi. Kazi nzuri mno.
Anacho kabisaa mwenyezi Mungu ambariki
Bonge la ngoma ,mzee yusuphu pambania familia yako usiangalie wali mwengu
Huu mziki wa Taarb ni wako Mzee ahaaaaaaa uchuji na hyona Travetline
Video Nzuri,picha na Rang Nzuri Ila Mzee Yusuf umepooza..
Usiwaze Sana Wala kufikiria walimwengu Dunia imeumbiwa Maneno Hakuna aliyewai kubeba tofali akajenga pepo
Wasikupaushe waseme na Familia zao kwanza
Mfalme ni mmoja tu ambae ni mzee yussuf
Pole sana na mungu akusamehe
Welcome back king,bila wewe ngumu kweli
Muogope Allah na urudi kwake atakusameh
🔥🔥🔥taarabu imerudi Mambo hayo🇹🇿♥️♥️♥️♥️
wewe Mzee ni mkorofi! acha ukorofi 👍💕👌🤦♂️
Karud
Karibu mshua ww ndy mweny taarabu yako baba😇😇
Subuhanallah ama kweli pesa nishetani Yusuf karudi kumtumikia shetani Aya Mungu anakuona
Motoni uchi wewe bila hesabu
Kali hii🔥. Watching n listening from 254.
Mfalme Karibu......Sauti tamu kama halua
Nimefurah sana kuona umerud Mfalme ni mmoja tu
🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Hasara kubwa mungu muonyeshe njia mja wako huyu anapotea dunia imeshahururi
Amiin
Unajua kuimba sema ulijiapiza vby
Mwenye taarabu yake karudi . Nasimama dede Mshuwa! Tuburudishe mfalme wa Taarabu.
Welcome back our king
Mwenye mji wake Sasa kesharudi mazima
Hana jipya..uliapa hutopiga taarabu leo hii ndio Kama hivi chefu
Mfalume wa Taarab...on point kila wakati
Yaani umefeli japo ndoriki ila kesho kwa Mungu unalakujibu
Hivi nyie mnamatatizo gani inamaana ww msafi ee itaingia nila hesabu eee basi tusubirie huko ni kwa Mungu sio kwenu nyie ndugu pumbav
Eti mna toktok so much mna wivu of course 😀😀😀😀 mfalme he's back🔥🔥
Kazi wanayoooooooooo uyuuuuuuuuuu karudiiiiiiiiiiiii wenye nyuuuuumba 🎧🎻🎸🎺🎷🎹#💊💊💊💊💊🤪😜😛😋😋💯
Aisee umewakong'oli yajayo yanafurahisha mzee ni komesha
Good job yaani ni 🔥🔥🔥🔥weeee Mzee yusuph mpe salam kipenzi cha moyo wangu malkia Leyla ❤️❤️ mwambie nampenda sana tu 🌹 na nitaendelea kumpenda 💖💖
The king of taraab
Yani Brow daah kumbuka mauti huja gafra
Eeee mungu tustiri.
Xawa Baba liwakeretantarira
msimuhukum mtu kila mtu na madhabi yake sio ya kuimba tuu kwa hiyo hukumu ni kwa allah huyo anae imba huwezi jua siku ya mwesho afutiwa madhabi na yiyi mnae msema ndio mkadubukia matono
Kitu safi
Mmmmh kimeumana bb mbona pambe
Naifahamu hizi ngoma saana , hisia hujitokezea pekee
Mzee yusufu endelea kusimama usiwajali wapambe nuksi
King Wa taarabu uyooooo mpisheni;waambie atuachani
Taarabu hapo ndo kwao,kuchrza mwanzo mwisho.
Wakere kabisa alfu mzee punguza tumbo
Tuache yote huyu jamaa yupo vzr kwenye kuimba taarabu
Ushapigwa laaana na mungu ww
Nmeiangalia zaid ya mara zt ipo good ujivung kwny kuchez hii n ya kimataif pengo lilikuwapo kubw mnoo
Kweli Mfalme amerudi mjini
Imewakita eee
Jamn bongo kumewaka mambo ni 🔥🔥🔥 chezea mzee yusuf wewe 🇴🇲🇹🇿
Mzee amerudia taarab! Tumekumiss!
Taarabu ambazo zitaishi had kizazi chetu cha kuanzia miaka 18 had 50 kitakapokuja kuisha ni hizi hapa
1a maruperupe
1b Hakuna mkamilifu
2 sina mda huo
3 aso kasoro
4 nipe stara
5 mpenzi choclate
6 bado hujanuna
7 fully shangwe
8 mambo bado
9 Jumadede
10 pembe la ng'ombe
kama kuna nilizozisahau ziorodheshe maana miaka kumi nyuma zilikuwaga hit sana hizo
Udugu hazina yetu
Nitadumu nae
Mama nipe radhi
Moto hiiiii❤❤❤❤
Unajua💥💥💥💥💥
Yani ww fimbo ya mungu lzm ikufikee ww
Kwa hapa mzee kweli umerudi mjini🔥🔥🔥🔥🔥
Et aludi kwa Alla 😁😁😁😝
Mpk utakufa hutokuja kuwa star ten
Am Happy to welcome king of taarab mzee Yusuph back and he has never fail. Hii inanikumbusha VIP na Chocholate
Wacha tuwakereeeeeeeeee
Sanaaa tuu
Hongela Baba Mzee Yusuf
Hii moto sana
Hakika duniani tunatumikia adhabu ndiyo maana Kila khairati ni changamoto kwetu.Adamu aliishi fildaus kabla ajashushwa duniani kula kwa jasho,na mama yetu Hawa kuzaa kwa uchungu.Atakaefaulu duniani atarudishwa kwenye makazi yetu fildaus.Kama mziki ni haramu Basi utabaki kuwa haramu ata aimbe Nani?
Wapi Kuku Maziwa... NASIMAMA DEDE MUSHUAA..
Inalilahi wainalilahi rajighun
@Mussa Info we muislam kweli mbona unashabikia upumbavu
Aah hao waislamu ndio kipaumbele wallah kuunga mkono huu upuuzi Allah atuhid
Pumzi tu hizi ndio zinampa jeuri lkn siku ya kukata ni moja tu basi
Kama nilisikia huyu mzee katubu na kusema mwanaume kuimba tarab ni haram.. Mmmmh dunia Ina mambo
Kuomba mwesho mwema mwezangu
Pesa hutafutwa Kila staili
nzuri.hapo sasa
Hapo sasa mfalme Mzee Yusuf
Umetisha mzee
Kweli kbsaa dume lolote halishindwi na zizi lake.
Safi sana mfalme
Kitu kipo quality🔥
Sanaa tuu
Mzee Yussfu. Nyimbo gani mzuri ya kumtuza mdogo wako. Please
Walau ule moto wa mzee umerudi mjini.
Fundi mwenyewe wa taarabu huyo
Simba mwenyewe 🇰🇪🇰🇪