Alamdullilai nishapata wa kudumu naye.naomba mungu atupee maisha Mazuri na wale Wambea na wanataka kutukosanisha wasifaulu. In sha Allah. Huyu me nitadumu naye simuachi asilani
Cjui Mwenyezi Mungu atakuhukumu vp Mzee yusuf maana bado twaskiza nyimbo zako za kitambo sana.anyway Allah ndiye mjuzi wa hili jambo.namuomba akusamehe na azidi kukuongoza kutupa kaswida zitakazotuepusha Na cc Na huu mziki.
Huyu ba mdogo pia yeye alivuma sana.nilizipenda nyimbo zake.swadakta...mie ni mkenya,wa mwambao wa pwani maeneo ya malindi.kipenzi wa nyimbo za taarab🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💪💪💪❤️❤️❤️
Mziki bado mpya 2024 ❤
Nimtam walai ❤❤❤❤
2020 mtagonga hapa
👇
I am from 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@@mariamzukas500 that's good, can we be friends
@@mariamzukas500 pamoja maryam👌😊😊😊
September comment hapa😂😂😂
From 🇧🇬
Nimejikuta tu nipo hapa 😂😂ila nime enjoy dooh kitamboo😍😍
Dedication ya yoyote alieshika moyo wako 2022♥️♥️♥️mapenzi yawe ya daima.. yasiingiliwe na mtu🥰🥰🥰👌👌👌
Kwakwel
Ameen
Nyimbo yenye kuliwaza haijawahi chuja kwangu
@@aishakabogo7477 Na haimbi nyimbo nzuri kama hii Mzee
Alamdullilai nishapata wa kudumu naye.naomba mungu atupee maisha Mazuri na wale Wambea na wanataka kutukosanisha wasifaulu. In sha Allah. Huyu me nitadumu naye simuachi asilani
Ameen
Amin
Ameen inshaAllah
Mziki wa kiutu uzima, miondoko bila kijasho❤
It’s 2023 niko hapa kusikiliza hii nyimbo. Good Music Alive 🎉😊
Kabisa
20yrs back, thjs was played on my wedding day, at home.
My father in law used to love it as well.
More yrs to us Inshallah.
Aamiin
Listening to TAARAB SONGS...made me PASS all my SWAHILI SUBJECTS...they nicknamed me AISHA...I LOVE THE NAME 👍👍👍
Hongera aisha
Congratulations
Still here
@@shamomar629 and man and van ^insurancue& &8&&anyd &man 8^&8^you younnnn have into n
Jjijiijji
Lm0m
Nitadumu nae jamani kuwanzia 1/3/2015 mpaka 09/5/2021 nakupenda Sana enika wangu from muleba up to sumbawanga
Nitadumu naye... ☺️☺️👌👌👌😍. Hii ni nzuri.
I dedicate this song to my lovely husband Emanuel
2023 and this still my favourate Taarab❤
My favorite song mashaallah much love from Mombasa Kenya 😍😍😍😍😍😍
Family really stay together😀🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Blessed Mzee Yusuf oozing wisdom in His Taarab Love songs~ this is my favourite taarab song worths playing forever in Love!
insha llah mungu anijalie nimpate wakudumu nae ameeni.
babby dolly mmmmmh kwaio hauna
babby dolly nipo Mimi Kama upo teali tutadumu kwanguvu za manani
amina ishaalla
Ahahahaaaa
babby dolly nambie
Cjui Mwenyezi Mungu atakuhukumu vp Mzee yusuf maana bado twaskiza nyimbo zako za kitambo sana.anyway Allah ndiye mjuzi wa hili jambo.namuomba akusamehe na azidi kukuongoza kutupa kaswida zitakazotuepusha Na cc Na huu mziki.
Atuokoe sote ameen in shaa allah tutaweza kwa uwezo wake huu ni ujahili ukiweza unauwacha mara moja
nassor mohamed kweli tutaacha inshaAllah
Tuma Juma iko vizur san
wewe unaee muhukumu wewe no mungu au mwachiee mungu wewe haikuhusu mwenyezimungu ndio anajua mjinga mmoja wewe
Amerudi tena Kwa muziki lakini Allah tu ndo mwenye hukumu August 2020
Hakika mungu anijalie wakudumu nae inshaallah......
Much love bin yusuph for this best song nitadumu naee
Amin pia mie,allah anijalie nitakaye dumu naye.inallah kafuru rahim.
Nautambua huu wimbi wa kitaarab Sana... Mzee Yusufu inshallah
I miss kigoma my mother land. I remembre when I was 14 years old. My uncle used to listen this song.
This song is very special
Hmmm mashaallah team kubwa hakuna mtu umbo dogo mazingira humbadisha ......this song was sang when i was 10yrs
I love this song,same case dedicate it to my lovely wife Maggie mwende%❤
Inshallah mungu anipe wa kudumu nae
mzee yusufu tutakukumbuka kwa hizi nyimbo zako bado twakupenda ata kama umewacha muziki inshallah Mola hakuongoze kwa kila jambo amen
Nitadumu naye Inshallah . What a song! Taarab ni mambo yote
Kennedy Rotich iyamunee
Hahahaha Kabisa
❤
Huyu ba mdogo pia yeye alivuma sana.nilizipenda nyimbo zake.swadakta...mie ni mkenya,wa mwambao wa pwani maeneo ya malindi.kipenzi wa nyimbo za taarab🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💪💪💪❤️❤️❤️
I love taarabu 🇰🇲🇹🇿
Dah😋😋😋😋😋ina nogaaaaa jamna 🌹❤️2020 ila mwenyew mji wake karud mjin👌👌
Still listening the melody of the music. Love tarabb
2023 still my favourite song 🎵
My favourite song 💃💃💕
Kiukweri naipenda sana hii nyimbo ...kusema yote siwezi ni siri yangu Mimi .wanaochanga mi nakomaa nae duuh
2019 mko wapi tujuane
This is my best song ever, Miss u Mzee Yusuf wish u would come back from retirement.
Your wish was granted 😂
2018 and still my favo song. Like if you agree!
SIKOMI KUMSIKIZA MZEE YUSUF ASWAA "NITADUMU NAE"
Kasda za mzee yusuf
Noce
Walioko humu 2024 tujuane
Our favourite song nikiwa na mume wangu sai he is no more huwa inanikumbusha, rip bby
pole sana
Pole Sana mungu amlaze pema
Pole sana sister Innalilah wainna illahi Rajioun
Pole my Allah amrahamu
Pole sana mungu ampe kauli thabithit
My favorite taarab music reminds me during wedding in2004
Irudiweee aiseee kitambo Sana lkn bado ipo moto aichoshi🔥🔥🔥
2019 and this is still my favourite Taarab song. wow.
@Said Mohamed 0
@@mariamfunga4343 ]
mashallah one of my favourite song....kudos mzee yusuf
2019 kma unaipata bado bofa like button🤗🤗🤗
Yani tupo pa1 sana
Yani haishi hamu kaa jana
ONE of the best song ever.we would remember Mzee yussuf for this piece
Jama2021 tugonge apa kwanguvu
duuuuuuuuh
dua zenu ndugu nimpate nidumu nae🤔
2023 bado tuna enjoy mziki mnene😍❣️🇰🇪
Jamani bado natizama 2021 taraabu yangu pendwa kabisa sajawahi ichoka kabisa jamani
Heri wee my mi now 2923
I meant 2022
Duuhh mashallaashh hawa mademu ni wazuurii san aaaa❤❤❤❤😂😂❤❤❤❤
Nitadumu naye in sha Allah
like kama 2019 huu wimbo unahit kwako
2020 like kama mpk Leo umeurudia
Mzee amesema anarudi mjing so karibu sana mzee watu
Kama nauri hana tumrushie tuu
Hiyo ni penzi ya kweli kabisa
2020 hii naipenda kweli
2023 ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥nitadumu naye Kwa nguvu za manani
Wallah bora ulivyoamua kuacha hiyo kazi ya muziki maana jahanam ilikua karibu yako kbisaaa.
We mwenyewe jehanamu inakuhusu mkundu kweli wewe
Kama wewe ni wa bara na wapenda taarabu gonga like 😜
😂😂😂😂habari ya mjini
Kwani watu wa bara ndio hamupendi taarab
@@RioIpo utamu wa taarab aujuaye ni mwana taarab...wapi kaka Sema kutoka Kenya
@@vincentmomanyi7992 Nipo Zanzibar
17-4-2020 bado tunaangalia mziki mzuri
Mungu tukinge na corona
Ameeen
Mziki mzuri
🙏
2018 bado twaipata kama kawa..😎.Wangapi tuko pamoja jamanii ?
Tuko pamoya musee
Kwani Nani aliesema kuwa Taarab ni Haramu???
Aswa
2018 Nov. Mimi ni moja wao
J
10 years is gone but Always on geogers thanks home. Tanzania
this song has more than 15 years
Haijirudii tena enzi hii kama kweli gonga like
Mzee Yusuf mungu anakuon nabad twasikiliz nyimbozako niatar
2018 bado inakubalika 😙
Bado iko moto sana, wimbo huu wanikumbusha enzi za ujana wangu,hivi leo niko 35,nikiusikia najiisi kijana
Nitadumu na yye InshaAllah
Kama bado unaangalia na unaikubali mpka leo 2020 gonga like
Miak 10 lkn km imetk Jan hii song inshallah me ninae ayunii wang nampndaa sana
Nyimbo ina miaka 20 iyo tangu 2003
2023 bado nadumu nae kama asemavyo mzee yusuf,pamoja budaa furah yetu milele
Great music feels brand new hit every time you take a listen 🎧
2020 mkuje hapa
Ananipenda kichizi ndio maana nipo naeeeeee pambe sana 13/1/2021
Sawaaaaaaaaaa kaka
2023 kwake nakosa nini
Dedication to friends at kenya school of government matuga 2007 group whenever they are in kenya
2021... Leteni likes za... The best taarab
Yallab tujaalie mema 🙏
9/11/2020 bado inatamba maskioni kwangu
Great and outstanding piece
mashallah wimbo mzuri sana
Wanaume waongo kama ulipewa unachotaka MBNA ulimwacha jokha
Kweli dear
Mzee yusuph nakukubali
Mwaka 21 toa like
Enzi hizo na Bi mkubwa wake joha jmn mapenzi haya
Kwakweli hakana atakaekuja kuuvunja ufalme wa mzee yusuf katika kizazi hiki kwakweli
2019 bado naitizama😘😘😘😘😍😍😍
Mambo mrembo
Kwl najua mpenzi😁😁😁😁
Yusuf,my favourite, love his voice
yeah
2024 still my favorite taarab
Tujuane wajuba 2023
Mungu atusamehe madhambi yetu
2019 wapi waleeee 💃💃💃
Sophia Mose tupoooo mamy
Ningependa kujua ule wimbo huimbwa"kuwa nawe sitamani "sijui title
mashaallah kweli nitadum nae kwanguv za manani
20_2_2019 i still luv this song😙😙😙
i really like this song mashaa Allah
Still dope in 2019.💪mziki taaratibu
2020 still watching....
MFALME AKA KING, HAKUNA KAMA WEWE
Mimi Sasa naipata weekend 2021 June date 6😍😍😍😍😂😂hizi Zama bana
wow
mzee yusuf uko juu sn
2020like zangu kutoka Jordanie taarabu naipenda
Jamen si mwanamke mmoja ajitolee n dumu nae😂😂 I love this taarab to infinity akhy
🤣🤣🤣🤣
Umeshapata wakujitolea? Its been 2 years....
@@noalphabetlorehatersonlyal5718 Bado sijapata Maria,