𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐎𝐅 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Mzee Yusuph Nitadumu Nae Zanzibar stars morde ntaarab(Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ส.ค. 2021
- #MzeeYusuph #JahaziModernTaarab #SlideDigital
(C) Slide Digital
Mzee Yusuph and Jahazi Modern Taarabu / Safina Modern Taarab Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Mzee Yusuph: ffm.to/mzeeyusuph
Jahazi Modern Taarab: ffm.to/jahazimoderntaarab
Safina Modern Taarab: ffm.to/safinamoderntaarab
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - เพลง
Nani ana angalia 2024
J'pili ya leo ya 16-07-2023
Nimwendo wa kusikiliza taarabu za zamani
Nimetoka kumsikiliza bi Mwanahawa Ally, Hafua Suleiman na Mwanaid Shaban
Hakika vyakale dhahabu
Duh mzee Yusuf mdogo ivi!!
Mimi no msomali but I like this song mzuri sana
Simuachi asilan asilan.. wanaochomwa nawatakaaa ooooh wallah naona rahaa mzee yusuph zilipendwa tujuane
Yarabbi iwe salama
Salama usalimini
Wasipate la kusema
Maadui asilani
Mapenzi yawe daima
Yasiingiliwe na mtu
Waloomba tuachane
Wasipate kutucheka katu
Nyoyo zao ziwaume
Kwetu wametoka patupu
Patupuuuu
⁷4ot4 m.k.w²
WOW ❤❤❤
2008 , was at Tanga, tulikua tunaenjoy sana hii miziki.
uwiiiiii my fav taarab toka kwa mfalme mzee Yusuph🥰🥰...huwa napenda iweka nikiwa napika na hubby jamony bhas nikiiskia nammiss hatar🤦♀️
27/6/2024 I’m here ❤❤
2024 gather here
❤❤❤
In Sha Allah nita dumu nae!!!💘💕💘💯
Nimemzimia kichizi ndiyo maana niko nae
Namfagilia mpenzi mpenzi Inshaallah nitadumu nae
Nyimbo nzuri mzee yusuf.
Nice zulipendwa
Hii. Taarabu iko bomba sana
Huu wimbo ni moto
Iyi Zilipendwa na ikapendwa kweli kweliiii ilituaciya rage huku Kigali uko juu forever baba 👌👏👏👏👏
Haswaaaaa
Tanzanian music
Mzee ww ulikua kiboko san
❤❤❤❤
2021
Ijumaa tr 5/2023
Tar 07/10/2023 nasikiliza mashair mazuri
Zuri
❤🔥🔥🔥❤😍💯
😊
💋❤️❤️❤️
2022 love this song 😘😘
Hakika inanigusa mbali 1:08
2023 june 31
2014... ❤❤❤❤
❤🎉
Totoshow zena
💖💕💖💕💖💕💖💕💖💕💖💯😍
L8s
Pmbe Mzee yussuf nimemzimia kichizi ndio mana nko naee
What does Nitadumu Nae mean?
To be with someone for rever
Kuna Ile nyimbo yko, mwanamke nyonga kiuno majaliwa ebu I upload plz, niya kitambo lkn aipatikani apa
Kweli bhana eee
Hi
😂😂😂😂
😂😂😂ila mzee yule kijana umemkataa tu lkn jiangalie hapa na yule kijana ni pacha wako kabisa ya hapa ndio mmefanana kwisha habari yule mwanao kabisa
😂😂😂 kwakweli ni yeye kabisa
@@chudohans2447 😅😅😅
Yani kopi kabisa anakatilia aibu
❤❤❤
❤❤❤❤
😂😂😂😂
❤❤❤