Mashaa'llah unanikosha sana wallah......ningefurahi kuipata ile nafanya kwa raha zangu kwetu sigombwiii' na nikigombwa napewa pesa napewa pipi na mobitel.....👌👌
hatarii kitu kitamu enzi hizo mtaani kwetu ilikuwa apatoshi ngumi mtu huku tukitambiana na nyimbo yangangari nimetamani nanyimbo ya penye ridhiki hapakosi fitina
Mashaallah zamani jamani nakumbuka zamani 2000 shenaz salum Allah kulazeemahalipema hulivyokua mahiri kwanyimbohiii
Safari Ismail lubinga dah shenazi kiboko Yule Dada alijuaga kutingisha
Wanikumbusha miaka 15 iliyopita, nimetamani miaka hirudi nyuma,wallah
Ahsante kwa nyimbo hii nashukuru kwa kunipatia bado ya jokha kasim mtenda akitendewa
Yaaaaan jimbo nilikuwa nalitafuta hilo uko juu..asante kwa kutujal aise
Wallah umenikosha Sana nyimbo sauti ya kasuku 🎶👌😘😘💥
Wallahy wanikumbusha 15 years back thanks 😘😘
Naomba nauguza nyonda ya mzee sultani tafadhali
Haloooooooooooo asanteeeee tyenaaaaaa nakupenda bureeee
Mashaallah naupenda hatariii
Woooooow santhaaaaa enzi zile zetu Wenyewe
Zamani zao
Jokha tunataka nyimbo zako uzrudishe kwa channel yko
Shukran sanaaaa Marjan Kwa Kujali Wateja Wako,
🤗
Shoga upo😂😂
Nakuona usha wahi
@@kalssambaboo9705 😂😂😂😂😂 Nipoooo.
@@kalssambaboo9705 Kitamboooo Nliisubiri kwa hamu yani.
Mashaa'llah unanikosha sana wallah......ningefurahi kuipata ile nafanya kwa raha zangu kwetu sigombwiii' na nikigombwa napewa pesa napewa pipi na mobitel.....👌👌
Ssawa Ushasema
Ahsante jamani ata nawe ngangari...kweli zamaza East African melody
Nyimbo zitadumu milele. Hongera sana watribu.
mashaallah tuleteeni na JINAMIZI
Nasoma hapa jamani enzi na mama zetu
Naomba wimbo wa mwanahawa ally,taxi bubu..shukran
Ssawa
From. Berlin Germany ..enzi zetu R.F.F disco teck magomeni Zanzibar .kipindi icho ngumi lazima kina mama wapi dullah mahewa,ronda,mr.Vegas haha
hhhhhh umenikumbusha zamani kweli R.F.F. sijui imeishia wapi maana magomeni pamepoa nowadays
Hhhhhh mnazi mmja sikukuu na makunduchi mwaka kogwa hhhh RFF mlitisha kjna VUAI
Naitafuta Natanga na njia
Old is gold... Ziko wapi nyimbo kama hizi
Uko juu DJ marjan
Naomba wimbo wa omar kopa na mzee yussuf
Pambeee niliutafuta sanaa
Santa sana umenigusa mtimaa...bado chaunabe sasa itafute plz
Hahahaaaa nakuchora mpuuziii😀😀😀
Naomba nyimbo ya karne ya 21 ya Hadija yussuph
Naomba Chaguo langu ya Ahmed Mgeni utuwekee please
Mashaallah
Mimi naomba ile aloimba binadamu nawajua sijui nani kaimba kaka marijani
Muimbaji MISHI ZELE... jina la wimbo ni NIA SAFI HAIROGWI
Asanteeee🙏
Naomba nyimbo ya karne ya 21 kaimba hadija yussuph
Hey.. so nice song wallahi
Zilipendwa
Hongera kaka tupe wimbo wa hadija yusuf sitaki
Pampeee
Shkran
🔥🔥🔥🔥🔥
Asanteeeeee
Pambe tu
1997
🔥
Vya kale dhahabu
Naomba nyimbo ya Mwanahawa Ally kipendacho moyo dawa
🤩🤩🤩🤩
Tunaomba ya mwanahawa ally kwa raha zangu
Wahenga woteeeee rake zenuuhapa
Jamani kuna nyimbo inaimbwa.. looo wamezowea kunisemasema wenzangu wamezowea ..tulieni kwenye safu nikupeni vidonge vyenu nisaidieni
Marshall jamani zamani rakha
hatarii kitu kitamu enzi hizo mtaani kwetu ilikuwa apatoshi ngumi mtu huku tukitambiana na nyimbo yangangari nimetamani nanyimbo ya penye ridhiki hapakosi fitina
Jamani leo mmenikosha tuleteeni na tax bubu na mm wa karne ya 21
Zaibu Sururu yaani
Wallah ngangari inakumbusha mbali
Queen of Africa 😍
Ngangali feki mwezio natanua nae😆😆😆
Zinanikumbusha zaman yaani unatoa streess zote kwa nyimbo za zamani
Nataka mtenda aki tendewa ujihisi kaonewa ya jokha kasim
Naomba nyimbo ya Nasma kidogo achi ngazi mchuma unaondoka
Ajjab
Plzzz tuweke mama hebu yake khadija yusuf hiyo nyimbo ni ajab
Tuweke karne 21 ya hadija Yusuf
Ushasema
Mti wa riziki mariamu hamisi tunaombaaaaa
Asanti
Ahahahahaa una mpya bwawa la kuogeleaaaa
Thanks. Mama shughuli ya mwanahawa ally unayo?
🔥🔥🎼🎶🎵
❤❤
Wee chiliku kiboko yao
Tuletee kibiriti ngoma
Kibiriti ngoma nna miaka naitafuta pia aki
Pambeeeeeeee
yaani leo nimeamini mm ni mkomgwe nyimbo hizi nilikua age 15 😂😂😂😂
😆😆😆
Santha
Pambe tu.ukipata zoba ya Leyla Khatib tuekee jamani tuone raha
Mm nataka karne ya 21 ya hadija