Kivurande Baba, mdogo wangu unekua sasa, hongera sana nakumbuka mm nipo darasa la 6 wewe upo darasa la nne shule Ya msingi Mwanzange Tanga Tanzania, hakika mungu kakupa kipajii..
Ume pendeza kila kitu.. Sauti.. Mashairi.. Maneno.. Na yote yanayo husu taarab... Lakini tattoo ni... Aibu kwa taarab... ila ikiwa temporary.. Kama vile hina.. Kwa wanawake.. Ina weza labda ku kubaliwa . Waulize wahenga 🌹
Wachawaseme wanyamaze wenyewe raha jipe mwenyewe👌👌👌🥰🥰🥰💃💃🦻
Waaaaau toka Florida jioni hii kibao hiki kimenipa raha kweli kweli yani we acha kbs .km upo hapa 2022 gonga like.eternal songs 🎵
Balaa 👌 tujuayee mambo hayaa tunasikia rahaaa tuuuu nipe rahaaaaaa 👌
Yani dude REO nalisikiza mpka moyon alisikia yani rahaaaaaa sana
Wasanii wengi sana wanakopi vipande vya mashairi ya huyu jamaa aisee,kivurande chukua maua yako kaka,respekt sana
Kivurande Baba, mdogo wangu unekua sasa, hongera sana nakumbuka mm nipo darasa la 6 wewe upo darasa la nne shule Ya msingi Mwanzange Tanga Tanzania, hakika mungu kakupa kipajii..
Wacha waseme watanyamaza wenyewe weweeeeeeeeeee nimemisi sana Vijamvi Tanga
Raha jipe mwenyewe.
Nimeipenda kinoma
Hauna kazi bovu ❤❤❤ asante kwa sauti iliyo nyooka ❤❤
Walay hapa raha tu...Marjan Sempa uko juu
Umei tendeya haki 👍 nyimbo safi kweli
sisemi naye ata mimi pia... kanuna tukiwkwa field
Mashallah mngu a kusaidiya na maaesha yaraha sanaa
Nipo Dah, nimemic Sana ivi Vijamv wapeeeeeeeeeee Rahaaaa,
Kwa wale wa Tanga kwetu kila ijumaa mpk jumapili tushazoea Vijamvi moto yani Niko
hii nyimbo hunimaliza hasa kivurande umenigusa
Kivurande uko juu hunn 😍😍
Weuweeeeee from 🇴🇲 🔥 🔥 ❤
Maashaa Allah napenda Sana much love from Kenya 😍
Tuko ndani...listening from Nairobi.
I know I am kinda randomly asking but does anyone know of a good place to stream new tv shows online?
Hatar hatariiiii🙌🙌🙌🙌🙌💣💣💣
2021 March, naiskiliza ndani ya Mombasa Kenya.. Tupe vitu vitamu bro kivurande...ila hapa nimebambika vinoma tu,acha tu sisemi sana
Mm ndio nimechelewa
Safi Sana aisee kivurande junior na Marjan sempa
Mashalla nyimbo imekaa kiutamu
Haipiti cku bila hii kitu ❤️
Kivurande 🙌🏻
Hatareee❤
Napenda sana hii nyimbo
Hadi raha ❤❤❤❤
Hapa umenimaliza I say😊❤😂😂
Szzzzzxxzszz
Kimemfaa jirani yangu mfukunyuku mamae
Rahaaaa sana
👌👌kivurande umetisha kk una sauti tam tupe raha kk hapo sasa kinanda nimekielewaaa
mashaallah cyo kwa sauti hy
Hatari na nanusu weraaaaaaa
kaliiii
Rahaaaaaa kusikiliza huzu nyimbo
Chukua zote izo Comment 10000000000
Kivurande weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Waaaa
hadi rahaa
Ume pendeza kila kitu.. Sauti.. Mashairi.. Maneno.. Na yote yanayo husu taarab... Lakini tattoo ni... Aibu kwa taarab... ila ikiwa temporary.. Kama vile hina.. Kwa wanawake.. Ina weza labda ku kubaliwa
. Waulize wahenga 🌹
❤👌kinanda tyuuuu me hoiiiiiii#####maanxhaallah
Una kazi mbovu Bro naelewa sana show zako❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤
Imetulia Sana
❤❤❤
2024 July ❤
2024🎉
💯
Hii nyimbo nzuri sana lakini nikiitafuta ili kuidownload siipati anaejua Jina la nyimbo aniambie
Nipepee ya marehemu Omar kopa
Inaitwa nipepee
♥️
😘😘😘😘
🥰🥰🥰🥰
MashaAllah ❤
Loo
Mashaallh
P
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Hadi raha ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤