Uso wa Guzo - Khadija Yusuf Audio . MARJAN SEMPA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 มี.ค. 2020
- #MarjanSempa
Don't Forget to SUBSCRIBE , LIKE & Share
Follow me on my INSTAGRAM ACCOUNT @MarjanSempa
@Cc
The authenic and Genuine TRADITIONAL SWAHILI MUSIC, that its Origin in East AFRICA...
Furthermore TAARAB is One of the SWAHILI people ways of Delivering Massage to Specific individual or individuals with very Special Metaphor or Language codes that Mostly likely and mostly only Swahili people can interpret, so even if you Understand Swahili that doesn't mean you comprehend the massages behind, contents and significance of TAARAB LYRICS. - เพลง
Ngoma ipigwe harusi halafu uko na mke mwenzio jamani😂. Uso wangu Uso yakini ajabu mi sioni, tabu kwake chalega
Uyu mama nymbo zake baraaaaa😍😍😍😍😍😍
Nice jisong pambeeee
Wallah nimejikuta naCheza Khaa Sawa uliee sawa ulieee Japo una Uso Wa Guzo Sawa Ulieeee
Jaman hii nyimbo Ni nzuri Sana huwa sichok kuisikiluza
Ubahatish dada uko vizur jisong nimelielewa
Hio sehemu umetaja huwa damu yasimama kidogo...haha
You probably dont give a shit but if you guys are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all of the new series on instaflixxer. I've been binge watching with my brother for the last couple of days :)
@Cairo Marcellus definitely, been using InstaFlixxer for months myself :D
maneno kuntuuuuuu khadija yusufu nakupenda sanaaaaaa taarab naipenda kufa😘😘😘
Dada maneno hayo asante
wallah napenda taarab sanaaaaa naweza sikiliza asubuhi mpk jioni
Uso wa guzo
Sawa ulie sawa ulie japo una uso wa guzo swa ulie hhh wapi wale wenye uso wa kihindi na miguu ya ngochiro www😂😂
Unapatikana wapi
Nimeipenda hii .. yasisimua kumbukumbu zangu enzi zile nikimsikiliza Khadija KBC 👍💪
Jambo limezua Mambo, Huna lako zur Jambo.👌
UJUMBE MBUKWAA Khadija yusufu Hana kazi mbovu daima uso wa guzo ngoma kali sana ukitulia na kuisikiliza
Aii ww khadija nakupenda kanyimbo kataaam popotee pale wackiliza imetuliaa.
"Cheko usishangilie unaechekwa ni ww "😁👌👌👌
Wow kali sana
Uso waguzo mie ajabu sioni 🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tunao lia tuna comment wapi😀😀😀😀😀😀
Tangu hapo chalega wewe chalega pambe tu 🔥🔥🔥🔥
Hii nyimbo nilikuwa na itafuta sana USO WAGUZO NA BUZI ASANTE MSTAHIKI MARJAN SEMPA
NDANI YA JIJI NAIROBI COUNTY 047
Kupayuka sio dawa👌👌👌
East african melody walikua wanajua kupiga ngoma ulikua haushi hamu sio sasahivi upo upo tu hata kudance hujui unze vipi kudance
Exactly
Huy mam ni balaa kwa kuimba
Mashallah ♥️❤️♥️ Ina sisi Mua hongera mama kdija
Wwe mrogi mrogaji, utajiroga mwenyewe. Atareeee na nusu
Kweli sio dawa mama nice song
Omba Mungu ung'ae Kama ninavyo ng'aa
Mashalaah saut ya chiriku pambee 👌💕❤️
Mashallah ❤❤❤ hii nyimbo haki acha tu
Hatali sana mama❤❤
pambeee sana
Ukuuuuuu 😍😍😍
Walai napenda hizo semi. taharabu uyeee
Nakupenda sanaaa tu nanusu
Aaaah kinachokuuma mambo yangu waaaa yako yanabananga
ata nyambu watembeza eti ni utandawazi..🤣bi khadija bwana
Wasemavyo waimbaji na watunzi.
Achan chuu asante kwa kinanda pambe🔥👌
Ni shidaaa
Hii nyimbo moto 🔥🔥🔥
Venye nimetafuta hii taarab jamani.Good Work Thanks
ataleee na nusu
Maneno kuntu ayo
Asante sana Sampa. Naomba na kina shakira maulid juma na bhalo
Yaaaaaani hili goma ni moto wa kuotea mbli
Kijembe kinakata kata
Umebakisha tu sasa "Katooni ya Saibogi" kazi kako bw. Marjan
Utamu W ngoma uwenuke ucheze mbna nimekatika usiku huu.
Hatariiiii
Htri ngoma tamu na nuxu
Pambee tuu uso wa guzo khatarii
Uso wa gumzo khadija yusubh🇴🇲🇹🇿
Mashaallah
Patamu kama una uso wa guzo sawa ulie😅😅😅
safi
Du yaan uwo mdundo nimejikuta nacheza tu so pw
2022 hiyo hai chaji hiyo 💖
Mambo hayoooo 🔥🔥🔥😍
Sauti tamuuuu mithili ya Asali
Hahhhaha had raha
Asante
Kitambo sana unambiwa ikipigwa hii ngoma ukute mtu na mke mwenzie wee .... sio poa
Hatari kabisaa 😃
Watu wooyooooo
cheko usishangilie unayechekwa ni wewe 👌👌👌👌
Nakuambia
tenaaaaaa mchawi hana dawaaa 👌👌👌
Nakupendaga bureeeee
Much love ❤️ from 🇰🇪 2022
NAOMBA WIMBO WA JICHO LA MUNGU HALILALI JAMANI MARJAN PLEASE MY BRO
Nice😁
Sauti za chiriku
Kiasi wanishangaza kwa macho yako makavu maneno kuntu Hadija tulikumis
Nyimbo nzuri mashaalah
maneno kuntyyu❤❤
Jamanii nakupenda sanaa huu wimbo
Khadijaaaaah
❤❤❤hatariiii pachaa
Naipenda hii balaa mdundo wake sasa
Wewe rogi mrogaji utajiroga mwenyewe
Mmmmmm haya bhana
Nmeijua kwenye lugha yangu hii nyimbo nimefulahi sana
Hii nyimbo naipenda mpk naumw
Omba Mungu ung'ae...
Ww rog mrogaji utajiloga mwenyew😂😂
Pambee tuu natamani khatarii
Nyimbo haiishi utam jamani kila siku lazima niiskilize
weeeewe
Mashalla mpenzi
Mashallah
Hatari tupu
Nimeipenda
Chalega voo
Asanteee
Mashaaallah
Mambo
I have been looking for this song like 4444ever thanks
Uso wa guzo upo🤣🤣🤣
Mdundo murua haswa jamani
👌👌👌👌
Kitu pambee kijembe asubuhi hii pole jirani
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃👌♥️🙏
Ukipata kibao cha sitaki chake khadija Yusuf tafadhali share
Sio dawa 👌
Wow 😘🍓🎉
Kunitusi sio dawa kwa mchawi ana dawa halooo.
Unaambiwa cheko usishangilie unaechekwa ni wewe.labda unachekwa weye hujui.?Tangu hapo ww chalega .hhhhh
🙏🙏🙏🙏
Bonjour vous pouvez rajouter kibiriti upele de moinaidi chamban slvpl
Unajiimbia mwenywe naona maana mwenye uso wa nguzo mmoja apo weye shoga jinga kubwa
Kiasi chako uropoke
Kiasi chako upayukeee
Aaah kinachokuuma mambo yake waaah yako yanabanangaaa
@@RioIpo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣✋✋✋✋✋✋
@@RioIpo Niokotwe mie 😄🤣😂
Sauti tuuuu
Tamuuuuu
Kaka marjani naombaaa ii uso WA guzoo ntumiee what sap namba zangu iizi 0627902711
Khadija yusufu Hana kazi mbovu daima uso wa guzo ngoma pambe
@@benebene2270 download
Wachaweeee wapii nduruuu ya uso wa guzo
Mashallah kijimbo kitam
TEnaaaaaaaaaaa weee uso wa guzo
Nice music 🤣