MUKIMPENDA MTUME MUWAPENDE NA MASWAHABA ZAKE, WAKEZE - SHEIKH MZIWANDA APIGA NYUNDO MBELE YA MASHIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 232

  • @jumashekiyao9753
    @jumashekiyao9753 2 ปีที่แล้ว +7

    Mziwanda Allah akukubali Mzee fikisha haki japo inauma wakuogopewa ni Allah tuu sema kweli sheghe usikumbatie batwili

  • @ramadhanikhalfan848
    @ramadhanikhalfan848 3 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda ALLAH AKUHIFADHI MWANAZUONI

  • @KibwanaSimba
    @KibwanaSimba 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli sheemziwanda mungu akupe umri mrefu wenye mafanikio nakuelewa sana na amekaa hapo jalala ukimtataja abuu bakari anatamani upaliwe

  • @sharifaboubakarmuhammadism9463
    @sharifaboubakarmuhammadism9463 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kigogo fimbo ya
    Yaau sababia mashia

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo Jalala anajifanya amesinzia ila ujumbe unamfikia vilivyo Allahu Akbar

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 ปีที่แล้ว +4

    Shekh nakupnda kwaajiri ya Allah, wallah waislam tunao watu masha Allah

  • @sherallysherally1203
    @sherallysherally1203 2 ปีที่แล้ว +2

    Sema Sheikh. Sema Sana ; Imekuwa vizuri na Hao Mashiia walikuwepo. Wameze, wamung'unye, wateme, Watajua WAO. Ukweli umewaambia.

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah. Masufi sana mmeanza kusema ukwel

  • @suleymanmpinga2794
    @suleymanmpinga2794 2 ปีที่แล้ว +11

    حفظك الله من كل شر الأنس والجن ويصلح أمورك على كل شيء

  • @abuusaidy1506
    @abuusaidy1506 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa allah ama kwa hakika allah aendelee kukupa khery na afyaa

  • @ramadhanjumaa8848
    @ramadhanjumaa8848 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akulipe kheri inshaalla

  • @salmasaady3989
    @salmasaady3989 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kwa Hilo na akujaalie mwisho ulio mwema

  • @abishafiqabishafiq6065
    @abishafiqabishafiq6065 2 ปีที่แล้ว

    Wallahi kazi ulio ifanya umeifanya kutoka moyoni kwako mwalimu wangu mungu akulipe ujira mkubwa mno
    Huo sheykh wenu wa mkoa wa dar hapo asinge weza kusema lolote KWA kuaabudu hao mashiya

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana sheikh Allah akujaalie kila la kheir ujumbe umewafikia mashia

  • @Users2523
    @Users2523 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi saana. BarakaLLahu fika.

  • @hamicjuma1838
    @hamicjuma1838 2 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah mwenyez mung akuhifadh sheikh

  • @mkude
    @mkude 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheikh ALLAH akulinde mawaidha yake mazuri ya kumpenda mtume s a w na wake zake na maswahaba zake, kumbe wengine yamewachoma sanaaa.

    • @saadibraahim8561
      @saadibraahim8561 2 ปีที่แล้ว

      Uyo jalala na mashia wenzake wanafiki tu apo watubu warudi katika uwisilamu wakifa katika ushia motoni shekhe mziwanda amesha fikisha ujumbe

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 2 ปีที่แล้ว

    Kufananisha vitu viwili visivofanana na kutofautisha vinavyofanana ni katika msingi mkubwa ambao unawapelekea watu kuacha uongofu alikujanao Mtume ﷺ.

  • @mjedamjeda4734
    @mjedamjeda4734 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH AKUHIFADHI MWALIM WTU SHEKH

  • @hilalikaumo3470
    @hilalikaumo3470 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah, Allah akuhifadh sheikh mziwanda

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 2 ปีที่แล้ว +2

    Unawadanganya waislam

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo shekhee hapo kwenye kumpenda mtume s,a,w. Maulidi hakuna dhawabu bali mnapata dhambi acheni ujinga huo

  • @kwizerashabani1511
    @kwizerashabani1511 ปีที่แล้ว

    Maansh.Allah

  • @shafiikimaro9469
    @shafiikimaro9469 2 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaa Allah huyu ndo ktk mashekhe wasiogopa maneno ya wenzake bali husema ukweli mbele yao...wallah allah anakuona atakulipa ujira mkubwa.
    Jalala katoa macho nasaha zamuingia uzur kabisa...aacheni kuwatukana maswahaba acheni kuwachukia maswahaba nyie mashiaaa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 ปีที่แล้ว

      Huwezi kumfananisha sheikh Jalala na huyu mziwanda anaeitwa sheikh. Mziwanda hana adabu anazungumza maneno ya matusi mbele ya hadhara.Alafu mziwanda nikama masheikh wengine wakisunni. Ni watu wa mihemko wakupenda sifa tu lkn hawana uwezo wakufanya uchambuzi wowote wakielimu

  • @jumaabahizri9725
    @jumaabahizri9725 2 ปีที่แล้ว +2

    Jiangalie sana

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 2 ปีที่แล้ว

    Waelekum ssalaam warahmatullah wabarakatuh " mashekh zenu wanapewa baasha za kaki njaa

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 2 ปีที่แล้ว

    Swallalah Allayhi Wasalam
    Jazzakumllah Khery

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv 2 ปีที่แล้ว

    sent and delivered 💪

  • @jaz9974
    @jaz9974 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah tabaraka allah

  • @mohamedimuhango4440
    @mohamedimuhango4440 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Sheikh

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi sheikh mziwanda kwa kuwatetea daima maswahaba wa mtume wetu, ingawa watu wa mawlidi wanawakumbatia kwasababu ya kutuchangia katika maulidi zetu,
    بارك الله فيك

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      naama maswahaba wapo poa saana
      naomba kujua..khalid bin walid aliua maswahaba weengi saana katika vita vya jihad kuliko adui mwingine yeyote..ila alisilimu si kuwa kuiona haki bali makka ilivyokombolewa hakua na namna
      huyu huyu khalid bin walid alimuua swahaba mtukufu akiitwa malik bin nuwaira r.a na usiku uleule akalala na mkewe akijidei ni ngawira ameteka baada ya kushinda vita na hata umar bin khatwab alivyosikia habar hizi alitaka amuue ila khalifa aboubakar akamwambia mwachie alikosea alikua akijaribu kutafuta haki akachemka

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      swala ingine ni kuwa swahaba abuuhuraira adusii r,a alikua akitunga hadith nyiingi saana mpaka siku1 swahaba umar bin khatwab aliamua kumtandika viboko hadharani awache hii tabia yake

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      vipi katika vita ya jamal?
      kuna mke wa mtume saww akiitwa aisha bin abibakr aliongoza jeshi akiwa juu ya ngamia na kwenda kupigana na khalifa ali bin abitwalib na kusababisha mauwaji ya watu wasiopungua elf17 waislamu
      na vita iliisha baada ya ngamia wake kukatwa miguu na yeye kudondoka chini puuu na baadae kurejeshwa madina. ukisema hivi unatukana wake za mtume?

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      mama aisha kaburi yake ipo wapi?
      haijulikani..nimesoma kuwa muawiya alimualika chakula nyumbani kwake pale katika ukumbi wa kula akawa amechimba shimo kubwa na chini akaweka vyuma vina ncha kali hivi juu akatandika shuka.
      mama aisha alivyoingia kutaka kuketi meza ya chakula akakanyaka hiyo shuka iliyozugwa hapo juu akadondoka humo shimoni akachomwa na hiyo misumari akafa akafukia hilo shimo
      na ndiyo mpaka leo kaburi lake halijulikani

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      ikiwa maswahaba wooote ni waadilifu..kwa nn siku chache tuu hata wiki haijaisha baada ya kifo cha mtume saww palianza kutokea vifo vya ajabu vya maswahaba wakubwa?mfano swahaba saad bin ubada alikutwa kafa ndani ya madina na utumbo wake umechomolewa?waliofanya hivi ni kina nani?

  • @swalehmkembe7783
    @swalehmkembe7783 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda kwa ajili ya allah

  • @jumaramadhan2689
    @jumaramadhan2689 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum yarabi mashia wanasitaili umauti ya ghafula kabisa

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 2 ปีที่แล้ว

    Kuna vitabu vinaeleza maisha ya mtume Muhammad ila waislam hawavikubali wanasema ni vitabu vya mitaani wakati vinauzwa kwenye maduka ya kiislam

  • @أنا-ر8ذ
    @أنا-ر8ذ 2 ปีที่แล้ว

    NA amiin huyu na shekh walid wangekua. Viongozi tungebadilika. Waislamu

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 2 ปีที่แล้ว

    jalala ana machungu saaana

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mashaallah

  • @anuaryally6204
    @anuaryally6204 4 หลายเดือนก่อน

    Hii inaitwaa kupiga kwenye mshonooooo Shia sio waislamu

  • @mjedamjeda4734
    @mjedamjeda4734 2 ปีที่แล้ว

    Jalala atakala kulia maana dawa yaingia taratib safi shekh letu mziwanda

  • @swahibutv3707
    @swahibutv3707 2 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah hii ndio maana halisi ya doctor anatia dawa sehem iliyo haribika alhamdulillah Allah awaongoze waache kumtukania mtume ﷺ wakeze na maswahaba zake... ¶. Waswahili sisi twasema
    (ukilipenda boga lipende na uwa lake 🤷)
    Allah amuhifadhi huyu sheikh mziwanda maana ni wachache wenye kuongea ukweli kama huu

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      kuna swahaba mmoja akiitwa othman aliwatawala waislamu kwa madhila makubwa saana.
      mpaka ikapelekea watu wakapanda mpango wamkatekate mapanga afilie mbali na alietoa fatwa ni bibi ayesha aliposema muuweni naathala hakika amekufuru
      alipouliwa khalifa uthman watu walisusia maiti yake masiku kadhaa ikaanza kuharibika mpaka wakaja watu wakauzoa mwili wakaenda wakautupa katika jalala au makabur ya wayahudi
      ndiyo maana ukienda madina unakuta kaburi ya mtume saww pembeni yake wamezikwa umar na abuubakr lakini uthman hayupo pale
      sasa ukisema historia ilivyoandika wanasema watukana swahaba tehe tehe

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 2 ปีที่แล้ว

    Wanaosoma maulidi wajitafakari sn

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 5 หลายเดือนก่อน

    Nyote wanafiki tuu unampenda mtume lakini mbona mmekaa na wanaomtukana acheni uzushi mziwanda pesa njaa ndo zinawapelekea kukaa na mashia hawo wanamtukana mtume, arafu hiyo ibada yenu ya maulid ni uzushi na wqlowaletea ni hao hao mlokaaa nao chini

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 2 ปีที่แล้ว +10

    Assalaamu aleikum warahmatullah wabarakatuh, shegh hivi hawa viongozi wetu wa bakwata kuwakumbatia hawa mashia hivi wanapewa nini kama ushahidi upo wanavyo watusi na kuwaombela laaana iwapate halafu kila shughuli ya maulidi wanaarikwa, ukweli wanauchafua sana Uislamu na siku ya kiama watalibwa kwa uwovu

    • @hamicjuma1838
      @hamicjuma1838 2 ปีที่แล้ว +1

      tuwe positive Allah kakadiria hivyo ili watanabaishwe

    • @mohammadsaid8252
      @mohammadsaid8252 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mohammadsaid8252
      @mohammadsaid8252 2 ปีที่แล้ว +2

      Kuna haja ya waislam kua na ikhlas katika vitendo, kauli, na Kila jambo tulifanyalo.
      Sheikh mziwanda amejitahidi lakini Kwa mtizamo wangu na uelewa nikwamba sio Kila swahaba ni wakupendwa ndio maana mtume alimlaani swahaba muawiyya bin abii sufiyyani .
      Na pia Kuna sura katika Quran inaitwa suratul munaafiquun ilishuka Kwa baadhi ya maswahaba sio Kwa makafiri jamani

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว +2

      Lazima wawapende maana hata hayo maulid huku kwetu yamekuja na hayo mashia kwaiyo Mambo mengi wanaendana zikiwemo BIDAA kubwa kubwa tu.sema ktk mashekhe wanaojielewa kidogo ktk wa bakwata ni HUYU mziwanda na wapo wacheche ktk hoa.HATA HIVYO mwezi huu wa mfunguo sita haumo ktk miezi minne mitukufu.

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mohammadsaid8252 WANAFIKI AWAITWI MASWAHABA SHEIKH

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 7 หลายเดือนก่อน

    HUYU KIJANA MZIWANDA SASA HIVI AMESHATULIZWA KUWASEMA MASHIA BAADA YA KUPEWA MUONGOZO NA MASHIA

  • @saidabdus9014
    @saidabdus9014 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka misikitini mapapaa wapo!!

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtiani SANA kwa wanao komenti kupinga kama sio waislaam, ndio maana makafiri wanapata ya kusema kwasababu ya Sisi wenyewe kutokua na adabu na masheikh

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 2 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe Umefika ndipo naona vilemba
    Vimelowa jasho

    • @sherallysherally1203
      @sherallysherally1203 2 ปีที่แล้ว

      Vilemba vitaloa TOPE, wameisha umbuka Mashiia. Mambo ya Aqeeda zao za kikafiri, SASA ZIKA MITAANI.
      ZITABU ZAO mpaka uchochoroni vinapatikana.
      Kama ni wastaarabu, WACHUCHUMAE. LAKINI HILO NI MUHALI. Wachumia Tumbo hao

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 7 หลายเดือนก่อน

    TATIZO MASUNNI SOMO LA TAREKH HALIPO KWENYE SYLABUS ZENU NDIO MAANA MTAONA MASHIA WANAKOSEA, SOMENI KWANZA VITBU NYENU VIZURI MUWAONE HAO BAADHI YA MASWAHABA WALIVYOISHI NA MTUME

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 ปีที่แล้ว +3

    Asalaam alaikum warahma tullahi wabarakatu.
    Kwanini Bakwata hawaoni mtu kama huyu anafaa kua sheikh wa mkoa wa Dar es salaam?
    Hivi watu wanapewa nafasi hizo wanachaguliwaje?
    Siasa ktk dini au elmu ya mtu???
    Tumechoka na kupelekwa kama vipofu.
    Waislam tuamke kupigania biongozi wenye uelewa wa dini na wasio tutia aibu na Fedheha.
    Allah akuhifadhi ulamaa wetu Sheikh Muharam Mziwanda.

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 2 ปีที่แล้ว

      Duh ushampa cheo cha ulamaa

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 2 ปีที่แล้ว +2

      Wa alaykumussalaamu warahmatullaahi wabarakaatuh
      Sababu ya kutowaona watu kama hao kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar-essalaam ni kwa sababu akipatikana mtu aliyenyooka kama huyu ataharibu malengo !!
      Kwani mtu kama huyu hatoingia kanisani na kumsifu Bwana na kuwasifu pamoja na kuwapaka mafuta Manaswara,
      Kwani mtu kama huyu hatojibishana mitandaoni na wasanii watu waovu kama kina mange kimambi na wengineo, Pia atawasema vibaya Mashiya na hatowapaka mafuta Mashiya !!.

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or 2 ปีที่แล้ว

      @@abuuammar4924 kwani maana ya ulamaa umeitafsiri vipi brother Abuu?
      Ulamaa inatokana na neno Elmu.
      Mwenye Elimu.
      Kama unatafsiri nyingine basi tuwlimishe sisi maamuma tunao hitaji elimu!

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or 2 ปีที่แล้ว

      @@ayububakari9942 pamoja na hayo yote pia atatulimisha na kutuambia ukweli ulivyo.
      "In shaa Allah "

    • @abuushaukan6157
      @abuushaukan6157 2 ปีที่แล้ว

      @@ayububakari9942 ulamaa

  • @saidybhokey5744
    @saidybhokey5744 2 ปีที่แล้ว

    masheikh mnawalika makafiri mashia wa nn

  • @mohammadsaid8252
    @mohammadsaid8252 2 ปีที่แล้ว +1

    Alafu dini ya kiisilam inao msingi katika kuyajua mambo ,
    Mtume s.a.w Aya za kwanza kuteremshwa kwake ni Aya za elimu, nadhani tukitaka kuelimika ni vyema kusikiliza masheikh kama sheik mziwanda lakini tusishabikie maneno Bali baada ya kusikiliza tutafute uhalisia wa mazungumzo kwenye vitabu.
    Nadhani ni busara Kwa waislamu kuisoma misingi ya dini zote na machimbuko yake pamoja na madhaahib za kiisilam vizuri alafu Kisha ndo tuanze kulaani.
    Sio wamlaani mshia kumbe hata Madh,hab Yako huijui wakati mwingine hata sala Yako huijui.
    WAISLAM TUSOMENI.

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว

      Ujumbe umekufikia daawa nzr ya shekh.

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 2 ปีที่แล้ว

      Anza wew kusoma kwanza ndo utoe ushauri kwa wengine

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      Dawa imewafikia hao mashia,

    • @saidkondo5112
      @saidkondo5112 2 ปีที่แล้ว

      Mpongeze kwanza mzuwanda wewe

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 2 ปีที่แล้ว +1

    KULIKUWA HAKUNA HAJA YA KUWAKASHIFU KWENYE HADHARA KAMA HII AMBAYO WAMEALIKWA HAPA .. KWANN MLIWAALIKA . INA MANA MLIWAALIKA ILI MUWAKERE NA WEWE MZIWANDA UNATAKIWA UFIKIRIE NINI KITAKACHOKUJA MBELE BAADA YA HADHARA KATI YA MASHIA NA KAMATI YA MSIKITI WA MTORO ...

    • @abdallahsaid9882
      @abdallahsaid9882 2 ปีที่แล้ว

      Acha wakerwe kama wanapasuka wapasuke

    • @abdallahsaid9882
      @abdallahsaid9882 2 ปีที่แล้ว

      Wamezidi na vilemba vya udanganyifu

    • @official_Biiman
      @official_Biiman 2 ปีที่แล้ว

      Shekh ukweli unasemwa popote pale

  • @ibunmurshid3885
    @ibunmurshid3885 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna muislam HAMPENDI swahaba ilimradi Tu kama hakuwa mnafiki kama hao masanam wawili WA kukuraish

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 2 ปีที่แล้ว

      Masufi walkuwa wanawakalia kmya sasa hv wanawapa bakora live. Hakuna kufchana tena. Ushia sio uislam

    • @abuuzakariyalibumba6303
      @abuuzakariyalibumba6303 2 ปีที่แล้ว

      ACHA MATUSI MASANAM WAWILI NI WEW NA DAMPO(JALALA)

    • @abduwahabi7019
      @abduwahabi7019 2 ปีที่แล้ว

      Abuubakri na umaru ndio mawaziri wa mtume ktk maisha yake inamaana hata ilo hulijui????

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe wangu kama kweli unaikusudia haki njoo kwenye sunna lkn kama hujaingua kwenye sunna hakutokufaa kuwazungumzia mashia na kumnukuu ibin taimiyya mfuate huyo ibin taimiyya ulie mnukuu yeye alikuwa nimtu wa sunna nakushauri chukua vitabu vya ibin taimiyya na ibin qayyim kisha utaijua sunna nini.

  • @ahmadifakimjaka1433
    @ahmadifakimjaka1433 2 ปีที่แล้ว

    Shekh mwehu huyu eti kumpenda mtume sio lazima kumfuta dah...! Ilimradi tu awafurahishe mashia kiujanja

    • @farijala1
      @farijala1 2 ปีที่แล้ว

      hujamuelewa na Huenda Wewe ukiwa ni mwehu . pamoja na Mifano aliyoitoa hujaelewa. watu wanampenda Mandonga je watu wanamfuata? wapo waliompenda ntume na Hawakumfuata mfano Babu yake. tosheka na Hilo

    • @farijala1
      @farijala1 2 ปีที่แล้ว

      na maana yake kwa Ujumla anamaanisha Tumpende na Tumfuate. kuna watu wanaammua kufuata Sheria za Nchi si kwamba wanazipenda bali kwakuwa imewalazimu wazifuate

  • @urindaathumani6920
    @urindaathumani6920 2 ปีที่แล้ว

    Asalaam alykum
    Hivi masheikh wa kisunna kwanini mnapenda kuwachokoza mashia aswa wakiwa wametulia... Alfu someni quruan vizuri na utulivu someni aya zote za unafiki nenda katika Bukhary na Muslimu juu ya maswahaba wanafiki mbona mnakuwa masheikh nimesikia... Mashia wakitulia munawachokoza.
    USIMPIGE MAWE ALIE KUWA NJE IKIWA UKO KWENYE NYUMBA YA VIOO UNATEGEMEA NINI NA YEYE AKIANZA KURUDISHA MAWE. Mambo na mada zakuongelea katika Maulidi ni nyingi sana aswa kipindi hiki cha mmomonyoko wa maadili maradhi njaa ajira... MASHEIKH WA KISUNNI FUNGUENI MACHO TETEENI JAMII

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha duuuh umeshindwa kuvumilia kumbe limekuuma sanaaa,kipi kibaya au alichoongea sheikh,yaani sheikh kusema tumpende mtume s a w na wake zake na maswahaba zake limekuuma sanaaa. Siku hizi mnazihirisha itikadi yenu,nashukuru endeeleeni kuizihirisha itikadi yenu ili umma wa kiislanu wajue nani ndugu zao katika imani na nani sio ndugu zao katika imaani,Siku hizi taqiyyah hamna tenaa.

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 2 ปีที่แล้ว

      Ko umeona mada ya maradhi n bora kuliko kutetea heshima za maswahaba na wake za mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว +3

    Namuona jalala hapo ameinamia chini tu ila mashekhe wa BIDAA ndo wanawalea hao mashia duniani kote si unaona hapo mashia wamejaa kwa mabidaa wenzao.ila hapo leo wameingia cha kike.ujumbe imefika directly kwa mkuu jalala kuna msikiti wa bakwata MMOJA nilifungua darsa ya ubaya wa mashia ktk UISLAM nikafukuzwa na wazee wa msikiti huo na nikaambiwa nawachonganisha na rafiki zao.ila kwetu sisi wa SUNNA Shia hakanyagi.

    • @ramadhanikileo4615
      @ramadhanikileo4615 2 ปีที่แล้ว

      Kichwa chako chenga pole

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanikileo4615 ndo nn sasa mtu Anaitwa kileo kweli

    • @One_Ummah-c6k
      @One_Ummah-c6k 2 ปีที่แล้ว

      Ww huna akili,, Hebu kubali Sheikh ALICHO KIFANYA,,

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 ปีที่แล้ว

      Ukimsikiliza huyu mziwanda anayeitwa sheikh utaelewa kiwango cha ujahilia uliomo ndani ya masunni.yani kwa masunni kila ukizungumza kwa mihemko yani ndo dalili ya elimu kwao.alafu kwa bahati mbaya hawana utamaduni wa kijiuliza maswali.kwa mfano kama wake za mitume lazima wawe wema mbona mke wa Nabii Nuhu na Luti wapo Motoni.kuwa mke wa mtume si hoja inategemeana na akhlaq zao. Pia wanadai maswahaba wote wema.je na wale walowauwa maelfu ya maswahaba wenzao baada ya mtume kufariki.vipi na wale walo leta fatua zinazopingana na Quran.pia nao ni wema? Masunni msiwe mambumbu mapelekwa kihamasa tu.waambieni masheikh wenu wawafundishe kielimu zaidi n siyo mihemko yakupenda kiki

    • @One_Ummah-c6k
      @One_Ummah-c6k 2 ปีที่แล้ว

      Ww unaelimu?

  • @yahyamaulana7791
    @yahyamaulana7791 2 ปีที่แล้ว

    Bad deo plyz nakuomba mfikishie salamu sheikh mziwanda. Katika taarekh waliofika kuitwa Sheikhuk islam ni wawili tu.
    1.Zakarial Answaar
    2.Ibnu hajar 'asqalaani
    Ama ibnu taymia amepachikwa tu. Shukran

    • @abuuzakariyalibumba6303
      @abuuzakariyalibumba6303 2 ปีที่แล้ว

      Acha uongo Mbona wanachuon wengi tu wameitwa ShkhL islaam

    • @yahyamaulana7791
      @yahyamaulana7791 2 ปีที่แล้ว

      @@abuuzakariyalibumba6303 ntajie japo 1. Na nnanani alowaita hvyo. Kisha wajua ni sifa gani hupelekewa ukaitwa hvyo

    • @yahyamaulana7791
      @yahyamaulana7791 2 ปีที่แล้ว

      @@abuuzakariyalibumba6303 mtu usomjua wamuitaje muongo. Fanya adabu

    • @abuuzakariyalibumba6303
      @abuuzakariyalibumba6303 2 ปีที่แล้ว

      عربي
      Español
      Deutsch
      Français
      English
      
      
      الفتوى
      
      الرئيسية
      الفضائل والتراجم
      فضائل العلم والعلماء
      سبب تلقيب ابن تيمية بـ (شيخ الإسلام)
      رقم الفتوى: 363937
      تاريخ النشر:الخميس 20 صفر 1439 هـ - 9-11-2017 م
      37788 0 150
      السؤال
      لماذا سمي الشيخ ابن تيمية بشيخ الإسلام؟ مع أنني أعتقد حسب علمى المحدود أن هناك علماء يفوقونه علما خاصة من المتقدمين عليه، ولم يلقبوا بشيوخ الإسلام؟ والسؤال الثانى: هل يوجد شيخان يسمى كل منهما ابن تيمية؟
      الإجابــة
      الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله وصحبه، أما بعد:
      فأما تلقيب شيخ الإسلام ابن تيمية بهذا اللقب فلما له من واسع العلم وعظيم الأثر وحسن الذكر رحمه الله، وليس هذا اللقب مقصورا عليه، وإن اشتهر به عند كثير من طلبة العلم دون غيره، فهناك كثيرون لقبوا بهذا اللقب سوى الشيخ رحمه الله، وتلقيبه بشيخ الإسلام مما هو جدير به ومستحق له، قال الحافظ ابن حجر في تقريظه للرد الوافر ما عبارته: وشهرة إِمَامه الشَّيْخ تَقِيّ الدّين ابْن تَيْمِية أشهر من الشَّمْس، وتلقيبه بشيخ الْإِسْلَام بَاقٍ إِلَى الْآن على الْأَلْسِنَة الزكية وَيسْتَمر غَدا لما كَانَ بالْأَمْس، وَلَا يُنكر ذَلِك إِلَّا من جهل مِقْدَاره، وتجنب الْإِنْصَاف فَمَا أَكثر غلط من تعاطى ذَلِك وَأكْثر غباره... إلى أن قال: وَلَيْسَ فِي تَسْمِيَته بذلك مَا يَقْتَضِي ذَلِك-يعني الإنكار على قائله- فَإِنَّهُ شيخ مَشَايِخ الْإِسْلَام فِي عصره بِلَا ريب. انتهى.
      وإنما ذكرنا كلام ابن حجر رحمه الله خاصة لأنه ليس من المتعصبين للشيخ ولا المنتمين إلى مدرسته، وبكل حال فشيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله من الجلالة وعظيم المكانة عند المنصفين من أهل الإسلام بحيث لا ينكر تلقيبه بهذا اللقب الزكي، كما لا ينكر تلقيب غيره به ممن استحق هذا، وكان له الأثر الحسن في الإسلام، وآل تيمية رهط كرام عرف منهم جماعة كثيرة بالعلم والفضل، وأشهرهم بذلك الشيخ تقي الدين أحمد بن عبد الحليم الملقب بشيخ الإسلام، ثم يليه في الشهرة جده أبو البركات عبد السلام ابن تيمية صاحب المحرر والمنتقى وغيرها، في جماعة آخرين ممن تلقب كل واحد منهم بابن تيمية وكانوا من أهل العلم والفضل، ولتقصي أخبارهم وتراجمهم تنظر كتب التراجم كالسير للذهبي وغيره.
      والله أعلم.
      مواد ذات صلة
      الفتاوى
      المكتبة
      كيف نجعل تعلم العلوم الدنيوية من جملة عبادة الله؟
      أحوال ووسائل تعليم الجاهل
      حالات مشروعية حرق كتب العلم
      المفاضلة بين العابد والعالم
      هل كانت أمّ أويس القرني حية حين قدم المدينة؟
      تخصصات العلم النافعة للمرأة وللأمة
      فضل نشر العلم على مواقع التواصل الاجتماعي
       
      جميع الحقوق محفوظة © 2022 - 1998 لشبكة إسلام ويب وثيقة الخصوصية اتفاقية الخدمة اتصل بنا من نحن

    • @abuuzakariyalibumba6303
      @abuuzakariyalibumba6303 2 ปีที่แล้ว

      عربي
      Español
      Deutsch
      Français
      English
      
      
      الفتوى
      
      الرئيسية
      الفضائل والتراجم
      فضائل العلم والعلماء
      سبب تلقيب ابن تيمية بـ (شيخ الإسلام)
      رقم الفتوى: 363937
      تاريخ النشر:الخميس 20 صفر 1439 هـ - 9-11-2017 م
      37788 0 150
      السؤال
      لماذا سمي الشيخ ابن تيمية بشيخ الإسلام؟ مع أنني أعتقد حسب علمى المحدود أن هناك علماء يفوقونه علما خاصة من المتقدمين عليه، ولم يلقبوا بشيوخ الإسلام؟ والسؤال الثانى: هل يوجد شيخان يسمى كل منهما ابن تيمية؟
      الإجابــة
      الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله وصحبه، أما بعد:
      فأما تلقيب شيخ الإسلام ابن تيمية بهذا اللقب فلما له من واسع العلم وعظيم الأثر وحسن الذكر رحمه الله، وليس هذا اللقب مقصورا عليه، وإن اشتهر به عند كثير من طلبة العلم دون غيره، فهناك كثيرون لقبوا بهذا اللقب سوى الشيخ رحمه الله، وتلقيبه بشيخ الإسلام مما هو جدير به ومستحق له، قال الحافظ ابن حجر في تقريظه للرد الوافر ما عبارته: وشهرة إِمَامه الشَّيْخ تَقِيّ الدّين ابْن تَيْمِية أشهر من الشَّمْس، وتلقيبه بشيخ الْإِسْلَام بَاقٍ إِلَى الْآن على الْأَلْسِنَة الزكية وَيسْتَمر غَدا لما كَانَ بالْأَمْس، وَلَا يُنكر ذَلِك إِلَّا من جهل مِقْدَاره، وتجنب الْإِنْصَاف فَمَا أَكثر غلط من تعاطى ذَلِك وَأكْثر غباره... إلى أن قال: وَلَيْسَ فِي تَسْمِيَته بذلك مَا يَقْتَضِي ذَلِك-يعني الإنكار على قائله- فَإِنَّهُ شيخ مَشَايِخ الْإِسْلَام فِي عصره بِلَا ريب. انتهى.
      وإنما ذكرنا كلام ابن حجر رحمه الله خاصة لأنه ليس من المتعصبين للشيخ ولا المنتمين إلى مدرسته، وبكل حال فشيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله من الجلالة وعظيم المكانة عند المنصفين من أهل الإسلام بحيث لا ينكر تلقيبه بهذا اللقب الزكي، كما لا ينكر تلقيب غيره به ممن استحق هذا، وكان له الأثر الحسن في الإسلام، وآل تيمية رهط كرام عرف منهم جماعة كثيرة بالعلم والفضل، وأشهرهم بذلك الشيخ تقي الدين أحمد بن عبد الحليم الملقب بشيخ الإسلام، ثم يليه في الشهرة جده أبو البركات عبد السلام ابن تيمية صاحب المحرر والمنتقى وغيرها، في جماعة آخرين ممن تلقب كل واحد منهم بابن تيمية وكانوا من أهل العلم والفضل، ولتقصي أخبارهم وتراجمهم تنظر كتب التراجم كالسير للذهبي وغيره.
      والله أعلم.
      مواد ذات صلة
      الفتاوى
      المكتبة
      كيف نجعل تعلم العلوم الدنيوية من جملة عبادة الله؟
      أحوال ووسائل تعليم الجاهل
      حالات مشروعية حرق كتب العلم
      المفاضلة بين العابد والعالم
      هل كانت أمّ أويس القرني حية حين قدم المدينة؟
      تخصصات العلم النافعة للمرأة وللأمة
      فضل نشر العلم على مواقع التواصل الاجتماعي
       
      جميع الحقوق محفوظة © 2022 - 1998 لشبكة إسلام ويب وثيقة الخصوصية اتفاقية الخدمة اتصل بنا من نحن

  • @leonardsamuel332
    @leonardsamuel332 2 ปีที่แล้ว

    ujumbe umefika

  • @khamisptrany9393
    @khamisptrany9393 2 ปีที่แล้ว

    Tumpende mtume na waliomuamini na wakamfuata kwa haqi, wala hakuna lazim ya usahaba, kwani hata bin ubay nae alikuwa sahaba

  • @daudibashemela7095
    @daudibashemela7095 2 ปีที่แล้ว

    Napeda kumshangaa mziwada usihubiri chuki hakuna mtuyeyote anae weza kutukana swahaba wala mke waswahaba kasome vizuri angalia histolia ya maswahaba na wake za mtume lakini pia kutukana ktk wisilamu niharamu

    • @official_Biiman
      @official_Biiman 2 ปีที่แล้ว

      Usiseme hakuna mtu yeyote.. Hakuna asiejua kma mashia wanawatukana maswahaba wa mtu yaan abubakari, swidiiq, omari ibn khatwab ,othman bin affan pamoja na mke wa mtume aisha.. Labda ndo hujui hilo

  • @abuuuyaynah698
    @abuuuyaynah698 2 ปีที่แล้ว

    Vilemba vimetota vya mashia

  • @sijartv9554
    @sijartv9554 ปีที่แล้ว

    Mziwanda simama imara kama Suleiman bin dawdi maana kuna hatari balqisi akawatuma watu kwako

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe na nyinyi mnajua kua mashia wana watusi maswahaba wa mtu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 ปีที่แล้ว

    Huyu jaman haogopi hatar, anaongea ukwelii

  • @thegreenkhidhir3705
    @thegreenkhidhir3705 2 ปีที่แล้ว +1

    Inahuzunisha mno, kw iyo mliwaarika mashia ili muwachambe.!? Hii ni fitna, bora msingewaarika tu !

  • @thegreenkhidhir3705
    @thegreenkhidhir3705 2 ปีที่แล้ว +2

    Mawaidha mazuri ila we babdeo umeweka kichwa cha uchochezi na fitna ili kupaya views haupo kw ajili ya dini haswa,

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo uelewa wako mdogo sanaaa .

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      Wewe uelewa wako mdogo au mawaidha yamekuchoma kama yalivyowachoma hao mashia.

    • @thegreenkhidhir3705
      @thegreenkhidhir3705 2 ปีที่แล้ว

      @@mkude asa uyo mzuwanda ameliona ilo la mashia tu, sasa kwann mmewaarika, mmewaarika ili muwachambe na wao wajibu alafu ndo nn..uu ni ujinga, madhehebu yalishatabiriwa na Mtumi ila kasema usifate dhehebu lolote. Km uyo mzuwanda msema kweli anipe aya au hadithi inayoruhusu mwanamke kua kiongozi!?

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      @@thegreenkhidhir3705 Mimi sijakuelewa lipi alilozungumza mzinwanda baya, yaani shekhe kuzungumzia tumpende mtume s a w pamoja na wake zake na maswahaba zake hilo ndo lakuwachokoza,kwahiyo nyinyi mashia muwakashifu wake za mtume s a w na maswahaba zake halafu unataka masheikh wanyamaze kimyaa.

    • @thegreenkhidhir3705
      @thegreenkhidhir3705 2 ปีที่แล้ว

      @@mkude mi sio shia wala sufi au answar..sina aya wala hadith ya kuunga mkono dhehebu lolote bali nina Aya na hadith kua kuyachukulia maďhehebu kiushabiki ni aina ya shirki na zinaelekeza peponi. Point yangu ya nn kila ktk mikusanyiko ya Maulid kuruamsha fitna iyo km hawawakubali mashia basi wakubaliane kutowaarika kabisa, vinginevo ni unafiki na ria...sawa hajawatukana wala kuwataja jina ila iyo headline iliyowekwa imekaa kiuchochezi pia. Hata sarafi wanawaponda mashia na kuwaita makafiri huku wana waruhusu kwenda Hijjah wkt kn Aya inakataza kw makafiri kuuusogelea msikiti wa Makkah, Mtumi kasema ummah wake utagawanyika makundi 73 na akasema tusifate kundi lolote. Uislamu una chngamoto nyingi sna kw sasa kuliko ilo la madhehebu,

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 ปีที่แล้ว

    Mna mattzo Nyie Hamna Dalili yyte.Ukwel ni kuwa Mfunguo sita ni mwez Aliokufa Mtume.Na hakuna Dalili yeny Nguv Kuwa Alizaliwa mwez huu.
    Pia Mnayakubali vip Maneno ya ibn Taymiyah kisha mnamuita Wahab Pindi akiwasema Masufi???

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 2 ปีที่แล้ว

      Mawahabi adabu mliikosa kwasabb hata mashekhe zenu hawanazo

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 2 ปีที่แล้ว

      @@abuuayoubayoub9260 Uwahab ni nin??Mim siujui Kwa sabab Uwahab Haupo.Ila ni jina tu Mlilotunga ktk Kuwatukana Ahlu sunna Waljamaa.hakuna Madheheb ya Uwahabi.
      Ufffi laka
      أف لك!

  • @daudijuma5914
    @daudijuma5914 2 ปีที่แล้ว

    Kumpenda mtume ni kupi?

    • @mailacamillius
      @mailacamillius 2 ปีที่แล้ว

      Elewa kwanza mada ya sheikh....kisha nenda kwa Sheikh wa karibu yako KAMUULIZE akufundishe maana ya kupenda.

    • @ahmadifakimjaka1433
      @ahmadifakimjaka1433 2 ปีที่แล้ว

      Anawatetea mashia kijanja amna kitu hapo

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 2 ปีที่แล้ว

    #Jalala na huyu #mwanya_pengo mwenzako aibu yenu
    #Jongo kwani na wewe Shia? Mbona kope zimekushuka!?

  • @jumaabahizri9725
    @jumaabahizri9725 2 ปีที่แล้ว +1

    Babdeo wewe nifitina unasababisha mashekh watukanwe pamoja na uisilamu

    • @presenterkabuma1646
      @presenterkabuma1646 2 ปีที่แล้ว

      Kivip

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 2 ปีที่แล้ว

      Fitina ni wew usiyejielewa unazungumza nini hapa

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว +1

      Dawa imekufikia inakuuma,kumbe sheikh kuzungumzia tumpende s a w na wake zake na maswahaba zake imekuuma sanaaa duuuuh,sasa waislamu watajua itikadi yenu IPO wazi tunashukuru sanaa Siku hizi chuki mmeziweka wazi illi umma ujue nani ndugu zao katika imani na nani sio.kama hamuwakubali wake za mtume s a w na maswahaba zake na ndo uhalisia hamuwakubali ndo maana kimekuuma basi nyinyi sio katika waislamu wenzetu.

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 2 ปีที่แล้ว

      Na hao wanaowatukana maswahaba. Kuna mashekh wakubwa kama maswahaba?

  • @hamynas
    @hamynas 2 ปีที่แล้ว

    sheikhu l islam ibm taymiya hakua anakubali mawlid
    mbona huyo sheikh anamshabikia ibn taymiya ktk mawlid ilihali ndiye mwanzilishi wa itikadi za kuukataa mawlid?

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 ปีที่แล้ว

      Jinyonge shia🤣🤣

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaarusha894 bibi aisha mnahangaika kutafuta waume wakuoeni na dini imesisitiza wanaume tuoe wake wanne
      huyu sheikh l islam ibn taymiya mpaka anakufa hakuwahi kuoa
      huoni ajabu?
      na ndiye kafanywa sheikh l islam
      tehe tehe tehe

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 ปีที่แล้ว

      @@hamynas kwa taarifa yako nina mume kama una dada yako yupo nyumbani kadoda usifikiri wote tumedoda alafu sasa kwanini ukumpa dada yako uyo shekher ili akupendeze kwenye macho yako

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaarusha894 Ndiyo nakutahadharisha kuwa una masheikh wanaoishi kwa kujichua mpaka wanakufa na unawashangilia kuwa wanakuongoza ktk njia iliyo nyooka...hujaelewa point yangu dada aisha?

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaarusha894 au wanaishi kwa kupiga mzigo kinyume na sharia hawafuati sunna kuu ya mtume saww ya kuoa,,,,halafu wanakuja mbele yako wakijiita answaru sunna
      sunna zipi sasa ikiwa kuoa ni nusu ya dini na unaishi mpaka wafa hujafanya nusra?
      wewe shekhe la vipi sasa?

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 2 ปีที่แล้ว

    AHSANTE SANA MUFT WA TANZANIA NA BAKWATA YETU INAYOJUWA USHIRIKIANO MZURI NA MADHEHEBU MENGINE ,... WEWE MZIWANDA UKIITWA KWENYE CHANELI ZA KIWAHABI WAPONDA UPANDE HUU UKIRUDI HUKU WAJIFANYA NI MWENZETU.. HATA HAPO PIA NI ULUWA TU NDIO ILIYOKUFANYA USEME .
    واذا خلو إلى شياطينهم قالوا إنا معكم إنما نحن مستهزؤون

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว +1

      Mhhhh mbona unaonekana kama umekasirika au shekhe kuzungumza ukweli tumpende mtume s a w pamoja na wake zake na maswahaba zake inaonekana kama imekuchukiza, kumbe mawaidha ya sheikh yamekuchoma.

    • @kassimkomi503
      @kassimkomi503 2 ปีที่แล้ว

      Mjue mtu vizuri
      Wewe unamjua sheikh mziwanda?

    • @abuuzakariyalibumba6303
      @abuuzakariyalibumba6303 2 ปีที่แล้ว

      mashiiya mtakoma

    • @saidkondo5112
      @saidkondo5112 2 ปีที่แล้ว

      Shia dhehebu la kitu gani

    • @abuuzakariyalibumba6303
      @abuuzakariyalibumba6303 2 ปีที่แล้ว

      @@saidkondo5112 Shiya dhehebu la kiyahud

  • @mohammadsaid8252
    @mohammadsaid8252 2 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh mziwanda amejitahidi na Allah amjazi Kwa juhudi, lakini Kwa mtizamo wangu sio kwamba maswahaba woote ni wema maana Kuna sura katika Quran tukufu inaitwa suratul munaafiquun ambayo haikuwashukia makafiri bali ililetwa kuelezea tabia za baadhi ya maswahaba wa mtume, kwahivyo hai mashia sio wa kwanza kuwachukia baadhi ya maswahaba Bali ni Sunna alioianzisha mungu mwenyewe, pia mtume alimlaani muawiyya bin abii sufiyyani na hayo Yako kwenye vitabu vyeyu jamani .
    Waislam tupunguze hamasa na ushabiki Bali tusome Kwa ikhlas dini yetu jamani
    Tunaweza kuwacheka hao mashia na kuwalaumu bwakwata kua nao karibu kumbe tunawadhulumu mashia Kwa kutowajua vizuri.

    • @iddihamisiharuna8261
      @iddihamisiharuna8261 2 ปีที่แล้ว +1

      SHIA kafika na talbiis. wanafiq sio waumini, lakin maswahaba ni waumini. makundi mawili tofauti hayo. Na wanafiq mtumie swanlallahu alayh wasanlam aliwajua na kuwaorodhesha, ama maswahaba na wake za mtume ambao mijishia inawatukana hawakua wanafiq bali Allah na mtume wake wamewasifu kwenye quraan na hadiith

    • @rashidabuu9406
      @rashidabuu9406 2 ปีที่แล้ว +1

      Swahaba hawezi kuwa mnafik maalim , kwani mnafiki ni yule alojaza kufuru moyoni kisha anadhihirisha uislam , kwa hiyo haiwezekan swahaba kuwa mnafiq teache chuki na maswahaba

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 2 ปีที่แล้ว

      ruditena kajifunze diniyako Allah atakuongoza usichokijuwa utakijuwa biidhini llah

    • @abuuhanifa1037
      @abuuhanifa1037 2 ปีที่แล้ว

      Kuwa na adabu aya iinawataja wanafik sio maswaha

    • @abuuhanifa1037
      @abuuhanifa1037 2 ปีที่แล้ว

      Huenda akawa shia huo

  • @mtorosenga1272
    @mtorosenga1272 2 ปีที่แล้ว

    Fundi

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 2 ปีที่แล้ว +1

    ما رأيت الا الفتنة والجهل

    • @sangatv3469
      @sangatv3469 2 ปีที่แล้ว

      Unateseka ukiwa waapi akhii

    • @abuushaukan6157
      @abuushaukan6157 2 ปีที่แล้ว

      Upatie basi

    • @abubakarnabahani4994
      @abubakarnabahani4994 2 ปีที่แล้ว +1

      فإنها لا تعمى الأبصار ولكن تعمى القلوب التي في الصدور.

  • @hamynas
    @hamynas 2 ปีที่แล้ว

    hili libabudeo sijui deo ni chanel la kihuni tuu..huyo sheikh kaongea general issue na hakutaja mtu wala dhehebu
    lakini kwa uwanaharamu wako wewe deo umejiongeza kwa kuwazoom masheikh wa kishia na caption ukatia kabisa kuwa mashia?
    mbona huyo ziwanda hakusema maneno au kuwataja majina au dhehebu ktk hadhara?nyie mashetani kabisa deo miladu deo miladu kumbe utopolo utumbo kabisa

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      Imekuuma sanaaa kuwa na adabu wewe,shekhe kaweka hiyo kwasababu mashia wengi hawawakubali wake za mtume na maswahaba zake. Naona na wewe dawa imekuingia mawaidha ya sheikh ndo nyinyi hamuwakubali wake na mtime s a w na maswahaba zake.

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      @@mkude mtume saww alikua na wake takriban 15 wanaosemwa vibaya ni wawili tuu hafsa na ayesha...kama ni ishu ni kuwasema wake za mtume saww mbona wengine 13 hawasemwi?
      mbona allah sw aliwasema ktk quran na akawafananisha na wake za nuh na lut?kufuata maandiko ya Allah ni kosa?
      we ndondocha tumia akili kidogo

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 2 ปีที่แล้ว

      Ww hamisi hujielewi unapelekwa na hisia za chuki za kishia. Yaan unataka asiwazoom mashia wakat dunia nzma inajua ndo wanaowatukana maswahaba. Na pili kwahy kutajwa wake za lut ndo hoja ya kumtukana mama ayesha na hafsa. Mpumbavu kabsa ww usiojielewa

    • @hamynas
      @hamynas 2 ปีที่แล้ว

      @@eng.saalim8646 anaemtukana mke au swahaba nani?
      kusema kitu kilichoandikwa ktk vitabu vya wasuni ni kosa?
      masuni hawasomi vitabu vyao ndiyo tatizo wanahamikia washia bila sbb ilihali wao ndiyo wameandika hayo makashfa
      swali la kizushi ....lini mtafuta yaliyoandikwa ktk vitabu vyenu masuni?
      swali la kizushi..kitu ikisemwa ktk quran na ikafananishwa na ayesha na hafsa ulifikiria Allah alitaka kutoa ujumbe gani?kwako wewe ujumbe wa Allah ni hoja rahisi rahisi ya kuipotezea?
      pole sn

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 ปีที่แล้ว +1

    Mna mattzo Nyie Hamna Dalili yyte.Ukwel ni kuwa Mfunguo sita ni mwez Aliokufa Mtume.Na hakuna Dalili yeny Nguv Kuwa Alizaliwa Tarehe 12 mwez huu.
    Pia Mnayakubali vip Maneno ya ibn Taymiyah kisha mnamuita Wahab Pindi akiwasema Masufi???

    • @hassanabdulhussein9212
      @hassanabdulhussein9212 2 ปีที่แล้ว

      Ibn Taimiyya anawasemaje kuhusu masufi mwalimu .

    • @ramadhanikileo4615
      @ramadhanikileo4615 2 ปีที่แล้ว +1

      Duuuuuuuh Allah akusameh kwa kuongea ujinga

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana sana sheh Kama utawapa watu habari za tafaruku za madh-hebu. Ama mtazamo kuhusu maulid, ugefuta Kwanza Aya za Qur'an,. Ambazo NI Dalili wazi ya maulid, Kwanza habari za kuzaliwa Nabi Musa r,a Na Pia Nabi Yusuf na Nabi ISA r,a, piya unamnuku ibn Taamia wazi wewe ni Wahhabi unawadaganya Ahlul-suni Sisi MASHIA tumesoma alhamdulilah, tunajuwa Allah anasema mwenye. Kumtii Mungu na mtume amefaulu siyo Mungu na mtume na maswahaba wake na wake Zeke laa laa sheh NI Aladhina yuuminuna BI maauzila ilaika yeye mtume,

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana sana sheh Kama utawapa watu habari za tafaruku za madh-hebu. Ama mtazamo kuhusu maulid, ugefuta Kwanza Aya za Qur'an,. Ambazo NI Dalili wazi ya maulid, Kwanza habari za kuzaliwa Nabi Musa r,a Na Pia Nabi Yusuf na Nabi ISA r,a, piya unamnuku ibn Taamia wazi wewe ni Wahhabi unawadaganya Ahlul-suni Sisi MASHIA tumesoma alhamdulila, soma

    • @abuushaukan6157
      @abuushaukan6157 2 ปีที่แล้ว

      Alishawahi huyu anayezungumza kumuita mhabi