DAKIKA 40 ZA MAANGAMIZI | SHEIKH MZIWANDA KAAMUA KUJIBU | KUHUSU SAFARI YA YAKE YA IRANI KWA MASHIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 ปีที่แล้ว +2

    HILI JAMAA HUWA GENIUS SANA,HUWA NAPENDA SANA KUMUONA AKITUPIGA DARASA,KAZI NZURI SANA SHEKHE MZIWANDA,ALIMBANA KWA POINT HAMZA ISA HAKUTOBOA HAHAHAH

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 ปีที่แล้ว

      Afanye mdahalo na mashia kama atachukua 15minits hamza yule ambae hajitambui

    • @abdulgadiralahdal901
      @abdulgadiralahdal901 ปีที่แล้ว +1

      @@kijitamfyomi5598
      Una uhakika ?.
      Mashiahawawezi kufika popote ndugu

  • @abasadidal7
    @abasadidal7 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sana sheikh Mziwanda

  • @MB-yq3ty
    @MB-yq3ty 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwa hapakuchi paaapu Mara moja lakini kidogo kidogo hadi jua linachomoza mambo mazuri yanakuja mbele inshaallah.

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 ปีที่แล้ว +5

    Mziwanda wewe ni mzungumzaji mzuri sana punguza maneno mengi zungumza kwa dalili zaidi ili tuweze kufaidika

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c 2 ปีที่แล้ว +2

    mashia laaana

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

      Kwanza Natalia uwelewe katika uislamu hakina Madhehebu kila anadai NI muislamu NI SHIA tumuhammad just hivyo

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

      Hata wewe NI SHIA unamfata Mtume

  • @ramiyawetutv
    @ramiyawetutv 2 ปีที่แล้ว

    Allah

  • @rwechunguraissa1394
    @rwechunguraissa1394 ปีที่แล้ว

    Wewe Mziwanda Ni sawa na Mwanasiasa, Ni porojo tu. Halafu ujue kuwa Ni kweli wajibu wajibu wetu ni kutafuta elimu. Lakini sio kila elimu ni ELIMU. Baadhi ya Elimu Ni za upotoshaji.Upotoshaji nao Ni elimu. Mwenye uwezo wa kupambanua hoja ndiye msomi wa kitaaluma. Acha porojo.

  • @mxy7699
    @mxy7699 2 ปีที่แล้ว

    usiumize kichwa chako
    some mambo muhimu sana katika dini yetu hii

    • @muhiddinmlawa6418
      @muhiddinmlawa6418 ปีที่แล้ว

      Allah akuweke uendelelee kuutetea uislam (Mtume na Maswahaba wake)

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 ปีที่แล้ว +1

    Linafiki moja kubwa tz

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni makafiri mimi na sema mim

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว +1

      Hatari Yakumtia Mtu Katika Ukafiri Akiwa Sio Kafiri Basi Ukafiri Huenda Ukakurudi Wewe. MOLA Wetu Nimjuzi Wayale Tusiyoyajuwa.

    • @samxx411
      @samxx411 2 ปีที่แล้ว

      @@nurdinmfamau3493 inategemea na maneno yako utakayosema, ukimpinga mtume unakuwa nani, ukiwapinga maswahaba, ukimpinga Mungu..

    • @sheriffntaru2337
      @sheriffntaru2337 2 ปีที่แล้ว

      Wacha kuwatukana waislamu wenzako makafiri.kabla ya matusi unganisha family yako uhakikishe wanaswali swala tano Kila siku waamrishe mema na uwakataze mabaya huo ndo uislamu

    • @iddydawood2020
      @iddydawood2020 2 ปีที่แล้ว

      @@samxx411 kwani katika Nguzo za dini maswahaba Ni ya ngapi???
      Hata katika atahiyatu salaatu alaa nnabi mbona maswahaba Hawamo ?????

    • @samxx411
      @samxx411 2 ปีที่แล้ว

      @@iddydawood2020 ukiwa na elimu hiyo utakufuru sana mana katika hiyo nguzo za kiislamu hata mitume hawamo wala malaika wake wala qurani haipo ukiwa na uislamu huo utakosea sana ila M/Mungu kawataja maswahaba wake wakiwa hai kuwa tayari amewapa pepo maana yake kuwa tayari aliwaridhia na Mungu akisha ridhia ikisha wewe mwenzangu ukisema wametajwa wapi sijui unakuwa umejiweka kundi gani..labda uislamu wako una mashaka mana siku hizi hata ndugu zetu wasio waislamu huweka majina ya kiislamu ikisha hutuma meseji za kupinga uislamu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +2

    Shia hawakuelewi

  • @abdalamakajula3883
    @abdalamakajula3883 ปีที่แล้ว

    ...mziwanda mzigo umepewa na Mashia wala hukujiona kuwa una njaa na hukuona ubaya wao... Kweli Wewe juha...

    • @adhinlema6023
      @adhinlema6023 ปีที่แล้ว

      Niatari sana akika wewe juha zaidi Mziwanda

  • @khalifakombo8525
    @khalifakombo8525 ปีที่แล้ว

    Mm naona hapa kilicho fanywa ni ghushi wameandika kawajibu mashia kumbe anazungumza maulidi dah

  • @alternativeislamicmedicine8396
    @alternativeislamicmedicine8396 ปีที่แล้ว

    HII NDIO AGENDA YA KINA MZIWANDA NA GENGE LAKE
    th-cam.com/video/BlYRBBONGRY/w-d-xo.html

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +1

    Tunakukubali

  • @ramadhanikileo4615
    @ramadhanikileo4615 ปีที่แล้ว

    Hivi kinachoendelea huku mtaan mnakijua mnaharib dini kila mtu anasema lake na dalili zake Sasa tunasoma lkn hatuelew

    • @khidmatulquran
      @khidmatulquran ปีที่แล้ว

      Tuendelee kusoma tutafute elimu tusomeni tusiache kusoma tukaeni darasani

  • @abdalamakajula3883
    @abdalamakajula3883 ปีที่แล้ว

    ...mziwanda ulivyoalikwa kwenda Iran mbona umekaa muda mrefu kukiri ulipewa mzigo?
    Hukuona ubaya wa Mashia hapo Kabla!?

  • @ahmedshkeli85
    @ahmedshkeli85 ปีที่แล้ว

    Yataka akili na ufahamu kufahamu alichosema shekh, usipo muelewa utasema anatafuta kiki.
    Waislam tusome huwez kumuelewa huyu sheikh kma hujasoma.

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 ปีที่แล้ว +2

    Mziwanda unatakiwa kuwa na hekima na kuyapima yale unayoyaongea maana huko unakoelekea unakwenda kuharibu
    Hilo tusi unalosema mashia wanamtukana swahaba mtukufu Omari wewe unapolirudia tusi lilelile ni sawa na kumvunjia heshima Omary kwa mara nyingine,tazama sifa na kuongea sana zinampoteza mtu iga mfano kwa masheikh kama kina Kundecha,kina Walidi tazama wanavyoengea,

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 ปีที่แล้ว +3

    Chuki zako na bakwata unazipitishia kwa Mashia

    • @Burange666
      @Burange666 ปีที่แล้ว +2

      Hakuna Shia mweusi, huyo Jalala akienda Iran anaitwa Nyani wa Kimakonde kaja kutoka Africa, maana Mashia hawaamini nyani wa kimakonde kuitwa Shia eti Shehe hakuna kwao Iran.

    • @abubakarisalimu4262
      @abubakarisalimu4262 ปีที่แล้ว

      Ingia tu kwenye suna shekh mziwanda

  • @mxy7699
    @mxy7699 2 ปีที่แล้ว +1

    hakuna kitu mawlid la kwanza kwanza tusome hili
    isipokuwa tunafuta tu kama mazoeya

    • @samxx411
      @samxx411 2 ปีที่แล้ว

      Lakini hapingwi mtume

  • @salmaabdallah1362
    @salmaabdallah1362 2 ปีที่แล้ว +2

    Shekh unatafutaa kiki wee jamani dini siku iz watu wanazipelekaa vibayaa ndio maana sikuiz madhambi yamekuw mengi

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 2 ปีที่แล้ว

      Ndio DINI ILIVYO
      MASHIA LAZIMA WASEMWE

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 2 ปีที่แล้ว

      Wewe salma acha kumdhihaki shekh mziwanda uwe heshima

    • @salmaabdallah1362
      @salmaabdallah1362 2 ปีที่แล้ว +1

      @@isaliisu3408 mimi nikajuaa nadhihakii kitabu cha mungu ivi leo mwanangu anazariwa my 2023 anakutana na kitu kama hichi mara shogaaa mara ving'olaa ataelewaa nini kuna vitu vingi vya kuvifundishaa sasa ajee uku uswahilinii aonee vitukoo vya watoto wa kiislamuu vitu wanavyovifanyaaa yeye anaongeaa na watu ambao wap wanaaminii kama anavyoaminii yeye ataweza kubadilishaa nini sasa acha akahukumu mungu keshoo ww iyo cyo kaz yakooo angaika na hawa vijana wadogoo ambao wameshapoteza awapo kwenye dhehebu lolote lkn wanaitwa hamisi ally, shabani nk

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@salmaabdallah1362 Duh ujinga ni mzigo mzito sana . Huoni kua hawa mashia ndio wa kwanza watu waelimishwe nao tazama walivyokuvuruga akili unasema wao wanaamini kama yeye wewe unaijua imani ya mziwanda na mashia ni moja ? Unaelewa kweli unachokisema wewe ? Hao wa mtaani unowasema hawana imani yoyote myoyoni mwao zaidi ni ujinga tu lkn shia ni imani fulani tena inanasibishwa na dini ndio maana had wewe umeona wasemwe wa mtaani huko hapo ndio inapokuja tofaut ya elim na mawazo matupu kuwasema mashia ni jambo la kwanza kabla ya walevi na wazinzi na wala unga kwavile wewe wajua wanakosea hao walevi na hujui wanakosea shia basi kuna haja ufundishwe ubaya na kuna haja watu wawaseme shia hadi wajulikane Kama wanavojulikana walevi kua wanakosea.

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 ปีที่แล้ว

      Yy anaongelea kiujumla

  • @issambamba9236
    @issambamba9236 ปีที่แล้ว

    Huyu mziwanda ni chizi,kwani ni mlopokajitu.

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

    Mziwanda umewagonga mashia utawaweza vita hiyo mwachie Abu Lfadhwili au unataka wakutafute wakupe pesa kama kweli kwa ajili ya Dini utarudia tena kama kiki hautarudia tena ndio imetoka hiyo ushauza jina watakutafuta wakupe pesa zako hutowataja tena ngoja tusikilizie

    • @Sanjar-y3c
      @Sanjar-y3c 2 ปีที่แล้ว

      kwaio unamkataza asifanye hvo

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

      @@Sanjar-y3c Namuhimiza simkatazi

    • @abalfadhilabdulqahari3018
      @abalfadhilabdulqahari3018 2 ปีที่แล้ว

      @@mahengomwenyewe4204 Mie nimekuelewa sana Akhy

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@abalfadhilabdulqahari3018 Ndio hivyo Akhiy sio kua mashekhe zetu hawajui ubaya na kupinda kwa hawa jamaa lkn wamekaa kimya kama hawajui vile kumbe midomo imeshonwa wapo baadhi ya watu wakitaka pesa kwavile wanajua mashia wanatoa sana pesa ili kununua watu hua anajifanya kuwagusa ili wamfate wampe chochote na wapo wakweli hawabadili msimamo wakianza mwanzo mwisho kila wakipata munasaba wa kuwabainisha wanawabainisha. Pia wengine hushindwa kuwafichua mashia kwasababu ukiwagusa tu kuna vitoto kama kumi vitakushambulia sasa usipojipanga utakuta unashindwa umjibu nani ndio unaingia mitini jiii.

    • @harunashemsa1459
      @harunashemsa1459 ปีที่แล้ว

      Kwahio kasim mafuta pekee ndie alietakasika akiwarad mashia hawezi kukubali pesa ila muharamu umechungulia ndani ya nafsi yake ukaona kua anaweza kurubuniwa kwa pesa.
      Yani pongwe kuna balaa

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 ปีที่แล้ว

    We kaa chini ufundishe watu wacha kuwananga hizo nahau zako na swarfa na balagha hazikuwepo hata wakati wa mtume na maswahaba, Hiyo Allahumma swallii tunavuta ni kwa kua hizo beti ziko kwenye mfumo wa mashairi sasa we ikate uone inakua haina ladha tena,
    Masheikh wakubwa wamesoma hivyo hata Mziwanda hajafikiria kuzaliwa kwani unafikiri walikua wajinga.

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 ปีที่แล้ว

      Km hmn kaleta nani kamyangalie sayyidn Aliy utaelewa

  • @sajjadally9248
    @sajjadally9248 ปีที่แล้ว

    Kutafuta kick kunakuponza