Waliowapa Nguvu Mashia hapa Tanzania, ni hawa hapa. Sh. Muhammad Issa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 243

  • @حسنسعيدفرحان
    @حسنسعيدفرحان ปีที่แล้ว +1

    Shaykh hawa umekosea kuwaita hawa bakwata hawa sio masunni hawa na watu wa Bida'a sio masunni!; Allah awaongoze

  • @sherallysherally1203
    @sherallysherally1203 ปีที่แล้ว +9

    Sheikh Muhammad Issa, Baarakallahufiyk, WEWE NI ASADUSSAHAABAH. Namuomba Allah AKUFUFUE NA ABUUBAKAR, UMAR, UTHMAN, WAKIWA NA MTUME SALLALLAHU ALAYHI WASALLAM.
    NIKO PAMOJA NAWE NA KILA AMPENDAE MTUME NA MASAHABA.

    • @sharifomar8005
      @sharifomar8005 ปีที่แล้ว

      Hunajipya ccm wewe mnafiki

    • @sharifomar8005
      @sharifomar8005 ปีที่แล้ว

      Hunakuratamoja fisafidi wewe

    • @AzjaZakwan
      @AzjaZakwan 7 หลายเดือนก่อน

      Mbna aliy hujamtaja

  • @ramadhanmwinyi8856
    @ramadhanmwinyi8856 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah Allah akulipe

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe her dunia na akhera,mashia sio katika ss

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 ปีที่แล้ว +7

    Ahsante sanaaaaa sheikh Muhammad , Allah akujaze kila la kheri

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah sheikh Allah Akulipe kila la kheri!
    Sina mimi cha kukupa ila naimani dua hii ndio kitu pekee kwangu ninachomiliki nami nimekutolea!👊👊

  • @husseinbutoyi8675
    @husseinbutoyi8675 ปีที่แล้ว +7

    Mungu Akulipe sheikh wetu, ume play part yako, Umemnusuru ALLAH na bila shakka,ALLAH atakunusuru.

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว

      BAKWATA SI TOFAUTI NA MANASWARA NA MASHIA

    • @sizyametals7608
      @sizyametals7608 ปีที่แล้ว

      Mungu akulinde sheikh Muhammad issa

    • @royalhamisi4877
      @royalhamisi4877 ปีที่แล้ว

      Na Wala usijenge tabia ya kumuogopa mwanadamu

    • @allyabdi6165
      @allyabdi6165 ปีที่แล้ว

      Sio sahihi kusema amemnusuru Allah.

  • @MyName-wd8cp
    @MyName-wd8cp ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishie hekma🤲

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว +4

    MASHA ALLAH , SHEIKH ALLAH ATAKULIPA

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Shekhe nimekuelewa sana na hy Bakwata ni kweli ndo kawaida yao

  • @anwaraliakrabi554
    @anwaraliakrabi554 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sheikh mohamed issa umefikisha ujumbe ,

  • @ramadhanimakange9766
    @ramadhanimakange9766 ปีที่แล้ว +1

    Mufti achana na mashia,

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadh sheikh letu kwa kusimama na uislam dhidi ya maadui wa uislam na waislam na vibaraka vyao wakina bakwata Allah atawadhalilisha

  • @mbarouksaadhussein290
    @mbarouksaadhussein290 ปีที่แล้ว +1

    Allah akubarik Shekhe MUHAMMED.

  • @omaryiddi7454
    @omaryiddi7454 ปีที่แล้ว

    INNA LILLAAH WAINA ILAIH RRAJIUUN,

  • @hafidhkhamis731
    @hafidhkhamis731 ปีที่แล้ว

    Safi sana uyu sheikh ,yuko wapi? Sh sema ucjali maneno ya wapotoshaji sote tuko pmoja nawe kuhusu ubabaifu w mashia na washirika wao

  • @ibrahimuhincha1457
    @ibrahimuhincha1457 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh hawa mashia sio katika sisi

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sheikh. Ni kweli wao watukane maswahaba lakn hawavunj aman lakn wanaowatetea maswahaba na ummul muuminiina ndo wawe wanavunja aman

    • @binmasoud6237
      @binmasoud6237 ปีที่แล้ว

      Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kutia propaganda aa kuvunja amani ila sisi alhamdullilah tumeshaujua ushia kwamba sio waisalamu bali ni wavunjani wa uislamu maana mnawatukana maswahaba na wala hamna shida na wakiristo coz ni wenzeni wale

  • @kondesaidi5728
    @kondesaidi5728 ปีที่แล้ว

    Shekh, ww ndo umenifichulia mashia hasaaaa toka nikufuatilie ww ndo umenijuza ushia hasaaaa.🙏🙏🙏🙏

  • @ramadhanimakange9766
    @ramadhanimakange9766 ปีที่แล้ว

    Mashekhe acheni njaaa iteteeni sunna mashia ni washenzi washenzi
    Washenzi.

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujalie tufetukiwa waislam..inshaallah

  • @salimuismaily693
    @salimuismaily693 ปีที่แล้ว +1

    MASHEIKH MNAGOMBANIA VITU VYA AJABU SANA HAYO MNAYO GOMBANIA HAYASAIDII CHOCHOTE SPIRITUAL (KIROHO) NI UJINGA MNAFANYA MASHEKHE MNAFANYA DINI INAONEKANA YA AJABU SANA

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      Hawagombani ila wantoa elimu Kwa Uma wewe kama unaona ugomv shia

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 ปีที่แล้ว

    Allah atupe mwisho mwema allahuma aamiin

  • @mohammedjumaa8038
    @mohammedjumaa8038 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Tabaraka Allah
    Shukuran Jazillah

  • @Bilal70965
    @Bilal70965 ปีที่แล้ว +4

    BID’A. YA, MASHIA.
    Baadh: ya mashia kwa kweli, hawaizingatiy! Hii Qur'an.
    Tuta jiuliza haya; maombolezo ya kujidhuru na visu hadi kujitowa na damu eti kwa sababu ya kifo cha mjukuu wa Mtume (s.a.w) Hussein (r.a) Wame yatowa katika kitabu gani?
    Maana: katika Qur'an tumesha fundishwa namna ya kufanya pindi tunapo patwa na msiba au, kifo na mengineyo.
    Anasema! Allah: (sw) na wapashe habari njema (waislam) wanaosubiri. [kuchukua hatuwa yoyote]
    Ambao: uwapatapo msiba (wowote wawo); husema! Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye tutarejea.
    [Sio kujidhuru na visu na kujitoa damu na kusema maneno yasio mpendeza Mola wetu. acheni hayo nyie, mtakosa barka za Allah: na rehma zake.
    [Uongofu Sahihi ni kusema tu, INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUN.]
    Hao, (ndio) juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao na rehma, na (hao) ndio wenye kuongoka.
    [Qur’an-2:155/157]
    [Walio uwawa wema
    ni wengi tu jaman, kuna...]
    1-Habil. (r.a)
    2-Yahya. (a.s)
    3-Zakaria. (S.w)
    4-Ali. (r.a)
    5-Hassan. (r.a)
    Na kadhalika.
    [Bona hao hatuoni mnavyo jidunga visu na kujitowa damu kwa ajili yawo kwani wawo hawa kufia haki?
    Aaah! bana, achenu uzushi nyie.
    Anasema! Allah: (sw)
    Wala! Msiseme kuwa wale walio uwawa katika njia ya Mwenyezi Mungu ni wafu (laa hasha!) bali hao ni wahai lakini nyinyi hamtambui.
    [Qur’an-2:154]
    [Mnajidunga dunga tu visu vya bure na kujitowa damu za kinafiki.]

  • @abubakarmwasumilwe7070
    @abubakarmwasumilwe7070 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Sheikh MUHAMMAD isa
    Tupo pamoja na nyie

  • @husseinbutoyi8675
    @husseinbutoyi8675 ปีที่แล้ว +3

    فتح الله عليك شيخنا، أسأل الله أن يجعل جزاك في ميزان حسناتك يوم القيامة.

    • @jumaomary8782
      @jumaomary8782 ปีที่แล้ว +2

      Nimemsikia sheikh, anauwezo Mdogo Sana, anasema mashia wanatukana Sasa mbona hasemi hayo matusi.

    • @ayuburashid9083
      @ayuburashid9083 ปีที่แล้ว

      Allah akuwafiqishe sheikh ktk manhaji ya haqi na kalima hii allah akulipe kheri umesema haqi allah akulinde na vitimbwi vya shia

    • @ayuburashid9083
      @ayuburashid9083 ปีที่แล้ว

      Allah akuwafiqishe sheikh ktk manhaji ya haqi na kalima hii allah akulipe kheri umesema haqi allah akulinde na vitimbwi vya shia

    • @sharifomar8005
      @sharifomar8005 ปีที่แล้ว

      Wewe nishe ama mjiga

  • @answaryhussein256
    @answaryhussein256 ปีที่แล้ว +1

    Wew siyo Ahlu sunnat waljamaa wew ni muhabi kwa hiyo wew na mashiya mko sawa tu

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว

    Masheikh wa Bakwata ni munafiqiyna baina dhaalika, laa ila haulai wala ila haulai.

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 ปีที่แล้ว +1

    Mashehe wa zanzibar Allah awabarik wametulia

    • @kondesaidi5728
      @kondesaidi5728 ปีที่แล้ว

      🤣

    • @kondesaidi5728
      @kondesaidi5728 ปีที่แล้ว

      Waache waendelee kula urojo

    • @kichachu6391
      @kichachu6391 ปีที่แล้ว

      Wametulia kuhusu wanaomtukana mke wa mtu na kukufurisha maswahaba zako pole ndugu yangu hiyo sio sifa

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 ปีที่แล้ว

    Jazaaka Allaahu Khyra, Aamiyn.

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว +1

    Nimepima nikaona wengi ktk Waislam hawawajui mashia, na nahisi bi kwa sbb Mashekhe hawajaamua kuwazungumzia mashia khasa walivyo, itikadi zao potofu na ibada zao feki za jisaniisanii tu, na dini yao ya mchongo.
    Hivyo basi Mashekhe kazi ianze ya kubainisha maovu ya na uadui wao kwa Waislam na zaidi Ahlissunnati Wal-athar.

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 ปีที่แล้ว

    Hongera sana 🙏

  • @itangishakasaidsalumu4307
    @itangishakasaidsalumu4307 ปีที่แล้ว

    Sheikh Allah akulipe na namuomba akutizima jico la huruma wewe n'a waislam wote wenye msimamo wa kuteteya dini yake insha'Allah. Nashukuru sana sheikh wangu naridhika moyoni mwangu kutoka Burundi naomba izidishe clips zakutuelimisha ya sheikh

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +1

    ahsante shekh

  • @athumansimba115
    @athumansimba115 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana sheikh, haqi lazma isemwe bila kujali ni nani anaeambiwa, Mashia sio waislam Tena Bora uwe na ukaribu na wakiristo kuliko hao Mashia Laana tu llah

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

      Ukijuwa Ushia utafurahi. Lakini kwaza tafuta kama Mtume Alichagua HALIFA

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 ปีที่แล้ว

      @@athmanidi7388 Wewe ni shiaa??

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +1

    Kila mwenye kutana yupo mbali na Rehema za ALLAH SUBHANAHU WATAALA.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam Amtuachia Uislamu,tujiandae kwenda kujibu maswali:sijui mimi wahabi,mimi twariqa,n.k.Leteni aya au hadithi kuhusu kujiita kinyume na Uislamu.

  • @mahdy011
    @mahdy011 ปีที่แล้ว

    Kabisa umenena sheikh ni kweli

  • @athmanidi7388
    @athmanidi7388 ปีที่แล้ว +1

    Muanzilishi wa Ushia NI Allah SWT anamwabia Mtume Muhammad s,a,w,w hai kwa muumini ambaye Mwenyezi Mungu na MTUME wake wameamuwa Jambo hakuna hiyari

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

      Shenzi ww allah kaanzisha ushia wapi

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

      @@pavillioncry5241 Nini maana ya kumfata Mtume ama Neno kufuata ina maana gani. Bila shaka mana ya fata NI SHIA

    • @athmanidi7388
      @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

      @@pavillioncry5241 NI na umri wa miaka 69 na unanitusi mshezi

    • @ramaspain5024
      @ramaspain5024 ปีที่แล้ว

      @@athmanidi7388 unaweza kuwa na umri lakini hovyo

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Lete ushahidi wa Allah kwa kuanzi ushia wacha ukafiri wako wewe

  • @mzeewa6999
    @mzeewa6999 ปีที่แล้ว +2

    kwanza mashia wabaguzi wahindi wanasali mjini weusi wanasali kigogo dini gani hiyo .arusha wahindi metropole weusi wanasali pangani wabaguzi

  • @khalidshabanisaidi3681
    @khalidshabanisaidi3681 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaaani eweee Mzee wa kiwahabi

    • @kichachu6391
      @kichachu6391 ปีที่แล้ว

      Laana za Allah kwa wanaowatukana Maseahaba na kumkashifu wake za mtume

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      Elewa kua hiyo ni dua

  • @binbaya923
    @binbaya923 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa llah

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 ปีที่แล้ว +1

    Bakwat ndiyo nini mbele ya Allah namtume wak
    Mimi siamin wal kuijuw kuwa kuna Bakwat

  • @khalefally9818
    @khalefally9818 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah Allah akupe nguvu na afya njema na ujasiri huwo huwo ,

  • @Filexwawa
    @Filexwawa ปีที่แล้ว

    Hogera uisilamu haujafundisha uoga ila umefudisha adabu na kusema kweli mahali inapo takikana kusema

  • @jumasalafi9886
    @jumasalafi9886 ปีที่แล้ว +1

    Fikisha ustadh hivyo hivyo

  • @Abuukarmaxme
    @Abuukarmaxme 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi Sina dhehebu lolote zaidi ya lah illah illa allah hayo mengine mtajijuwa wenyewe ! But mimi naona hafadhali hata hao mashia kuliko nyie masuni Saudia huko bar zinajengwa kila siku mbona hamlisemi toeni njaa zenu huko yote kwa yote tutaonana kwenye uwanja wa hukum

  • @abuulukman4394
    @abuulukman4394 ปีที่แล้ว

    Safi Sana shekhe

    • @saadallah6287
      @saadallah6287 ปีที่แล้ว

      Napitia comenti wapo mashia watatu wanatuma sms mala nyingi kutetea ukafiri wakishia ili waonekane wengi sheikh huyu yupo sawa

    • @jaffermukhtar1326
      @jaffermukhtar1326 ปีที่แล้ว

      Kapolei huyu, HATA kutamka Inna lillah shida pole ,

  • @azizbashir
    @azizbashir ปีที่แล้ว

    MUNGU HATAKULIPA SHIA NI MWIZI AMBAYE YUKO NDANI YA NYUMBA NA FU YA NASWRA UKIMFUNDISHA BIBBLE ANAMKUBAL MUNGU MOJA KULIKO MASHIA AMBAYE WANASEMA KWAMBA HUYU IMAMU WA MWISHO IMAMU MAHADI KINYESI CHAKE SIO NAJISI WAKATI MTUME WETU AKIJISAFISHA NAJISI LEO IMAMU MAHADI HATAKUWA BORA KULIKO MTUME MUHAMMAD RDH HAWA NI MASHAI NI MAHADI WA KUBWA WAISLAM NA BAKWATA NI MAHADUI WA WAISLAM WA TANZANIA

  • @salmaabdallah1362
    @salmaabdallah1362 ปีที่แล้ว

    Sasaiv ukitaka kutrend ongeleaaa ushiaaa 🤣🤣🤣mashekh wengine ata walikuwa awajulikanii lkn sasaiv bhn Alhamdulillah bhn mkono unaenda kinywani mungu angemshusha siku moja malaika wakee aje aondoeee hiizi vituu atudhihilishiee ukwel kwa sisi vizazi vya 2004 tusiojuaa kitu

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa maana mashia walikuwa hata hawajulikani Tanzania zilivyoanza kuja hela kutoka Iran ndo balaaa,

    • @ibrahimuhincha1457
      @ibrahimuhincha1457 ปีที่แล้ว

      Kwani Quran si ipo mtume kasema mpaka kiama yatakuwepo makundi 40 nakundi moja tu ndio litakua sahihi

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimuhincha1457 shekh makund 40 ktk hadith gani?

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 8 หลายเดือนก่อน

    MASUNI HAWAN AKILI

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 ปีที่แล้ว +1

    PAMBANENI NA USHOGA HALI NIMBAYA KIZAZI KINAANGAMIA

    • @kichachu6391
      @kichachu6391 ปีที่แล้ว

      Ushoga ni lazima upigwe vita lkn hilo hlizuii kuwatahadharisha waislamu kuhusu mashia ambao wanawakufurisha maswahaba na kumkashifu mkewe

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      Ali. fahamu kua (ushia) ni hatari ktk dini hii kuliko ushoga

  • @KakaKaka-pr4bn
    @KakaKaka-pr4bn ปีที่แล้ว +1

    Masikini anaitwa shehe Mohammad Issa hajui hata kiarabu kinasemwaje eti أشهد أن عليُ ولي الله hajui hata إن inafanya kazi gani kwenye jina pole sana sheikh njoo usome kiarabu kwa Mashia.
    Wewe siyo Ahli Sunna wewe ni wahabi wacha kujipachika majina ambayo siyo yako toka lini wewe ukasoma maulidi wapi ulisoma maulidi wewe wacha kudanganya watu.
    Ni kazi yenu kupora misikiti ya watu jengeni ya kwenu.
    Mwaka huo wa 1990 Arusha nilikuwepo mlikuwa mnateka msikiti wa masunni, sheikh Siraji na sheikh Mahmood ndiyo waliowatoa kamasi msikitini na wala siyo mashia.
    Kumbuka yule mzee wa kisomali aliyekuwa anahifaďhi funguo za msikiti alikuwa anafanya nini, hakuwa anakula mirungi msikitini?
    Utawadanganya watoto waliozaliwa juzi na jana lakini ukweli utabaki ukweli.
    Rudi tena ukasome ili uitwe sheikh wailaa wewe ni mshika viatu tu.

  • @saidishalako
    @saidishalako ปีที่แล้ว

    Hilo jikofia la Al Hadi limemkaje? La Catholic ama?

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 ปีที่แล้ว

    KULIKONI??

  • @YusuphRashidi-b1j
    @YusuphRashidi-b1j 7 หลายเดือนก่อน

    Baba vipi surrat kahf ikowapi ? Mbora wa mwenyezimungu ni mchamungu jipinde na ucha mungu haya yote yataisha mtizame hizl ana kila aina ya ufumbuzi kwa ilimu na mbora wa mwenyezimungu ni mchamungu haswa kwe ilimu usitaje kabisa madhhabu taja dini islamu

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 ปีที่แล้ว

    Bakwata kweli sio

  • @ramadhanimakange9766
    @ramadhanimakange9766 ปีที่แล้ว

    Au mufti naye kawa shia

  • @rwechunguraissa1394
    @rwechunguraissa1394 ปีที่แล้ว +1

    Wasikilizaji muwe Malini na upotoshaji mkubwa wa mitandaoni. Elimu ya Uislamu ni Taaluma na kwa hiyo ujipime ujuzi wako binafsi kabla ya kuunga au kutounga mkono. Kuna mengi wasiyoyajua waislamu wa kawaida.

    • @athumanmeru2153
      @athumanmeru2153 ปีที่แล้ว

      wewe si muislam wakawaida???

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      Tupomakini Sana ndio mana tunamsikiliza kila shekh tunasoma uislam kupitia mashekh wewe kama Una shekh wako Hilo ni tatizo

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 ปีที่แล้ว

    Kwanza mnamtaka mujuwe
    Shiwapo makund 23

  • @salhaisrael8265
    @salhaisrael8265 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe nipo pamoja nawe ktk hakki unayosema nikweli kabisa.

  • @fikiriniadam301
    @fikiriniadam301 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Muhammad Issa umesema Mashia wanamuabudu Hussein hebu eleza ushahidi tupatefaida siokueleza hoja za watunaakilizao

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Wewe husiki wala huoni sasa utaonyeshwa ushahidi gani huo ukatao uamini? Baki na ukiziwi wako

  • @khalidshabanisaidi3681
    @khalidshabanisaidi3681 ปีที่แล้ว

    Hauna elimu yoyote juu ya ushia unaropoka tuu

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 ปีที่แล้ว

    LAKINI HII INALETA FAIDA GANI KULETA MVUTANO KWENYE MITANDAO, KWANINI MSIHEMIANE MKAKUTANA NAKUZUNGUMZA, KWANINI MSIONYESHE KHESHIMA KWA MUFT AMBAE MKIWA NA SHIDA ZENU MNAENDA KUMUOMBA MSAANDA...

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      nduguyangu faida ni kubwa sana kama utaangalia clp Kwa (kujifunza) utaelimika

  • @athmanidi7388
    @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

    Tuna Maimamu. ALI bin Abitwalib Hassan, Hussen zainabidin Muhammad Bakir Jafar swadik etc

  • @athmanidi7388
    @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wanaswali nyuma yako. Mtume Muhammad s,a,w,w Amesema alama za MTU mnafik NI tatu

  • @selemanisalumusalumumarko1274
    @selemanisalumusalumumarko1274 ปีที่แล้ว

    Tatizo viongozi wenyewe hawana elimi kubwa ndio shida inaanzia apo

  • @answaryhussein256
    @answaryhussein256 ปีที่แล้ว

    Tokea lini muhabi mujassima awe ni Ahlu sunnat waljamaa?acha kudanganya wew

  • @athmanidi7388
    @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

    Shehena TUKO NA MISIKITI YETU NDUGU ZANGU . Na walimu wetu

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 ปีที่แล้ว +3

    Huyu wahabi mzigo

  • @ismailnasibu49
    @ismailnasibu49 ปีที่แล้ว +1

    Kila mnapo zidi kuwa raddi mashia ndivo wanavo zidi kuongezeka kila kona ya nchi, wengi wanapata fursa ya kuusoma ushia na kuuelewa vizuri. Mambo ya kupiga kelele mitandaoni hayana maana, ili tuwafanye watu wasiwe mashia ni kudeal na madrasa zetu kuwaandaa vijana wa kizaz cha badae, hawa mashia wanatumia mantiki kubwa katika tabligh zao naamini kamwe hamtawaweza maana tayar washajizatiti katika elim kuanzia madrasa zao, hauza zao miskiti yao na waumini wao wanazid kuongezeka,

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว

      Unaongea upuuzi hawatawaweza vipi

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 ปีที่แล้ว +1

    Hicho kikundi cha bakwata usikute tayari wamesha hongwa nama shiha🤮🤦‍♀️ kikundi hicho cha bakwata mi sikikubali na kwenye uislam hawanitowi na hawana uwezo wakunitowa

  • @mtorosenga1272
    @mtorosenga1272 ปีที่แล้ว

    Jembe

  • @pkjaffarsadiq7052
    @pkjaffarsadiq7052 ปีที่แล้ว

    Wachana na ushia hakuna elimu uko nayo washia Wana elimu ya kweli wacha kuropoka rudi shule

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 ปีที่แล้ว

    Hafai

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 ปีที่แล้ว

    Tanganyika baadhi ya mashehe si mashehe ni watafuta dunia

  • @mkijilukali2010
    @mkijilukali2010 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mjinga uelewi chocho nimchochezi

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      Sisi hua tunaelimika kupitia hawa unaowaita wachochez

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 ปีที่แล้ว

    Hakuna haki ya kuwakumbatia mashia wala mawahabi watu watarika tume kufanini tunaletahaya?

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 ปีที่แล้ว +1

    Toka awepo muft huyu wa ss mtihan sn

  • @abuusaid3297
    @abuusaid3297 ปีที่แล้ว

    Ajabu iliyopo, kwani viongozi wabakwata wanachaguliw nanani na wanawakilisha dinigani?,mbona viongozi wadini zingine wanachaguliwa kupitia dinizao,nasis waislam tuchague viongozi wetu watakao tuongoza kwauadilifu!!

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว

      Abuu saidi Huwezi kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Bakwata bila ridhaa ya serikali

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 ปีที่แล้ว

    sijakuelewa hukutaka wawepo nchini toa hoja ya kielimu na siyo kuweka chuki . wewe unataka tuwe kama Yemen wanavyopigana sababu ya marekani. sijui kama unajua . mashia watapata watu kama mawaidha yenyewe. kama wahabi ndiyo islamic states ni magaid

    • @RamadhanWeko
      @RamadhanWeko 3 หลายเดือนก่อน

      Muislamu hadi uwe gaidi kama c gaidi c muislamu.Alhamdulillah for being a Muslim

  • @hemedali4910
    @hemedali4910 ปีที่แล้ว

    Rudi ukasome tena wewe,ushia upo to enzi za Imam Ali(a.s)Hiyo histori yako ianzie baada ya kifo cha mtume,elezea yaliotokea yooooote,mpk tufike hapa leo.huna ilm wewe,unabwatabwata tu...

    • @aishahassan3214
      @aishahassan3214 ปีที่แล้ว

      Shetani mkubwa ww shetani amekutia upofu huoni wala husikii ndo maana unaona shekhe anabwata

    • @hemedali4910
      @hemedali4910 ปีที่แล้ว

      @@aishahassan3214 muulize sheikh wako akwambie chanzo cha kuzuka haya matha"habi!?hawa wanaotukanwa leo mashia wapo toka enzi hizooo.tena kwa faida yako tu,hata hawa maimam wetu(Hanafi na malik)wamesoma kwa imam wa shia jaafar...ndio naama namwambia huyo anapayuka tu!!hata taarekh haijui huyo.

  • @zainabonlinetv2210
    @zainabonlinetv2210 ปีที่แล้ว

    Alisha pitwa na wakati anadhani kipindi hiki ni cha kubwabwaja kama enzi hizo kipindi hiki ni cha elimu kauze Maji kondoa au kalime mahindi kibaigwa da,wah imekushinda hata kiarabu hujui
    Wewe mufti utamuingia wewe simbeba viatu tu
    Hupati kiki

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Mufti ana elimu gani asimuingie si watu wote tunamjua kama mgaga na elimu zero

    • @waziriabubakari8677
      @waziriabubakari8677 ปีที่แล้ว

      Wew bado uko gizani na kama mjinga ni mjinga kwekweli elimu ya Shekh Muhamadi Issa na mufti mufti hana elimu

    • @waziriabubakari8677
      @waziriabubakari8677 ปีที่แล้ว +1

      Shekh Muhamadi Issa anadigree ya misitu na serikali inajua na ktk Dini amemaliza Jamia jaamia The univasity of Madina - SAUDI ARABIA mufti kasoma chuo kikuu kipi dunian

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      Fuata upepo

    • @mzeewa6999
      @mzeewa6999 ปีที่แล้ว

      ukiwa shia unateseka tu. mashia hamuwezi kuipinga haki mmefeli mashia

  • @shamterashidi726
    @shamterashidi726 7 หลายเดือนก่อน

    Waislamu tuunganishe nguvu zetu dhidi ya maadui zetu.
    Farka ya Shia na Sunni inatudhoofisha.

  • @hamiduathumani985
    @hamiduathumani985 ปีที่แล้ว +1

    Muft Ni mwanachuoni mkubwa Sana kwa namna Mimi nilivyosikia kwa wanachuoni wa kisunni Ila kwa hili Kuna jambo linawatafuta mle ndani. Mimi naona tuungane na wenzetu wahabi dhidi ya Shia tukishamaliza huu mjadalla dhini ya makafir Shia,turudi Sasa mezani tuongee na waislam wenzetu (wahabi)tujadili tofauti zetu ndogo za maulid na hitma.

    • @hamzamaarufu1358
      @hamzamaarufu1358 ปีที่แล้ว

      Kusoma muhim sana kk

    • @hamiduathumani985
      @hamiduathumani985 ปีที่แล้ว

      @@hamzamaarufu1358 ndio Ila Soma uombe mungu akujalie msmamo usiwe Kama muft

    • @pilimohammed3163
      @pilimohammed3163 ปีที่แล้ว

      Duh mashekh mnaaibishana hivi mnaangalia ni jopo gani linawaandama mashiaa sijui mnachokihitaj ninini kwa baadae yaa rabbywasowaislam wanawasomaje viongozi wa kiislam jaman siiko lakum dinu kum jamani

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 ปีที่แล้ว

    Mtaje shia hata mmoja alie mtukana sahaba.

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Rejea kwenye vitabu vya kishia utapata habari zote

    • @yassinhamisi922
      @yassinhamisi922 ปีที่แล้ว

      Usipinge kuwatetea mashia maana huwajui ila pitia vitabu vyao utawajua. Ukiwauliza mashia kuhusu kuwatukana baadhi ya maswahaba na mengineyo mengi hawatokwambia ukweli kwa sabb wanatumia (takiya) wanajificha ila huo ndo uhalisia.

    • @binmasoud6237
      @binmasoud6237 ปีที่แล้ว

      Rejea tafsiri ya shekhe wako mayunga matusi kama jarida la wiki

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      Unafuata upepo

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      Mm nimeishi na waislam wa kutoka sehemu mbali2 Duniani. Yaani tena hawapendwi kutokana na sera zao za kijinga za kutukana na wanawaita makafiri wazi bila ya chenga

  • @sefoadelino6684
    @sefoadelino6684 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 ปีที่แล้ว +1

    Tafuta nchi yako uwanzishe UWAHABI wako. Hata kwenye chimbuko la UWAHABI wenyewe uislamu umewashinda tumeona yanayo fanyika huko saudia itakua wewe hapo Tanzania huna uwezo wakuumaliza ushia utaucha kama ulivyo. Maana hata huko uliko chukulia hiyo itikadi mashia pia niwengi mnoo madina qatwif ahswa. Hata makka wapo we vipi.

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 ปีที่แล้ว

    Nchi nimaliyako?kwani hao mashia sio waTanzania

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Wanao kufuru siyo wenzetu ndivyo anavyomaanisha kama hukumwelewa

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      Elewa mada usikurupule,

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      Kwa utanzania ni wananch lakini ktk (uislam hawamo kumbuka ALLAH ameahid kulinda dini yake mwenyewe

  • @athmanidi7388
    @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

    Nani muanzilishi wa Sunni ? ? ? Imam Shafi , Malik, na Hambari , na Hanafi. Na MAWAHBI NI nani

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Babu nenda kale wajukuu anacha na mitandao utakuja kutukanwa

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      Unafuata upepo

  • @abdul7935
    @abdul7935 ปีที่แล้ว

    😅POROJO NI NYINGI KULIKO ELIMU..
    MZEE ALLAH AKUONGOZEE..
    VITABU VYENU VIMETHIBITISHA KUWA MUAWIYYAH ALIKUWA AKIMTUKANA IMAM ALLY AS MTOENI NA MUAWIYYAH KATIKA DINI..
    IBN TAYMIYYAH PIA KATHIBITISHA KATIKA KITABU CHAKE CHA MINHAJU SUNNAH KUWA WENGI KATIKA SAHABA NA TABIINA WALIKUWA WAKIMTUKANA NA KUMPIGA VITA IMAM ALLY MBONA HAMUWATOI KATIKA UISLAMU ??
    TUMIENI AKILI NYIE ACHENI KUKURUPUKA..

  • @abdalamakajula3883
    @abdalamakajula3883 ปีที่แล้ว +2

    Pumbavu Sana huu jamaa...

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว +1

      Hatushangai kutukana mmeleleka hivyo,mnawatukana maswahaba na wake za mtume s a w.

    • @gessanabuu99
      @gessanabuu99 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu ww na ushia wko.

    • @ibrahimlugaila5606
      @ibrahimlugaila5606 ปีที่แล้ว +1

      Ikiwa mumeweza kuwatusi maswahaba sembuse watu baki!!

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu ni wewe kujibu hoja siyo mnatukana

  • @zainabonlinetv2210
    @zainabonlinetv2210 ปีที่แล้ว

    Huyu hana hojja anapiga kelele tu

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Hoja wanazo kina Jalala na mashia kama nyinyi ambao hampigi kelele kazi yenu kutukana maswahab

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      Wafuasi wa ushia ni wakristo pure kwani hata vitabu vya kishia hamvisomi.

  • @athmanidi7388
    @athmanidi7388 ปีที่แล้ว

    Na kama Pepo NI yalo Basi hatuji

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      Hiyo pepo inamasharti si kwa matashi yako

  • @zubery9379
    @zubery9379 ปีที่แล้ว +2

    Mazungumzo yako yamemlenga mufti moja kwa moja kana kwamba unavita nae tusio ijua,kilichofanya mm nikushangae ni kusema muft kaweka kemeo kwa kutetea mashia ,mm sikuona hiyo clip ,lkn ninayo clip ya samaha mufti akikemea mashia na kuwaambia mashekhe wasiache kuwajibu na kuelemisha watu,tena siku anasema hayo na mm nipo,na clip ninayo,huon nakuona muongo?tunaomba ushahidi wa hizo clip ya mufti akitoa kauli ya kua wapinga mashia wanavunja amani ,kama huna usifitini mashekhe kwa kutumia dini.

    • @mbarakbinzoo
      @mbarakbinzoo ปีที่แล้ว +2

      Clip ipo anayozungumza shekh kweli

    • @Filexwawa
      @Filexwawa ปีที่แล้ว +2

      Inafika wakati waisilamu tuwe wakweli mfuti pya nimbinadamu ana weza akakosea ila mutu mwema niyule ambaye akikosea anakubali kukosolewa kusemakweli nimeona clip ambayo ipo niya shekhe wa mkoa wa dareselamuakiwauliza mashia kama kweli wanatukana maswahaba swali ni ukiletewa mwizi alafu umuulize eti kama ameiba ww unategemea jibu gani kama siyo kukataa ila kwaroho yake anajua anacho kifanya cha musigi tufanye utafiti alafu badae jibu liparikane bila kuwa na uoga

    • @mbarouksaadhussein290
      @mbarouksaadhussein290 ปีที่แล้ว +1

      We ndugu ni shia nn?
      Shekhe Khamis, Shekhe Abu Idd amewatetea tafuta izo clips utavipata.

    • @scotatv2442
      @scotatv2442 ปีที่แล้ว

      Zubery we ni pumbafu mkuu.

    • @kondesaidi5728
      @kondesaidi5728 ปีที่แล้ว +1

      Bado hujamuelewa huyu shekh, Yuko sahihi Sana saaaaana tena Sana?

  • @abdalamakajula3883
    @abdalamakajula3883 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni gsidi kabisa anachochea ubaguzi na fujo nchini...

    • @samxx411
      @samxx411 ปีที่แล้ว +1

      Katika suala la kuwatukana masahaba katu hatutokaa kimya, nyie si lolote si chochote kwa masahaba na kama huo ubaguzi ni nyie mnaobagua masahaba ikisha mnajisema ni waislamu, mnawajua masahaba nyie?? Mtume makafiri walitaka kumuua mnajuwa masahaba walimlinda vipi, wewe unaitwa muislmu unajuwa kuwa wao masahaba ndio walioulinda uislamu, unajuwa masahaba walipoteza maisha yao kwa kuusimamisha uislamu? Nyie vipi bhana ikisha mkiambiwa mnaleta zenu

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Mnao watukana maswahaba nyinyi ndo mnasababisha Fujo, sheikh yupo sawa

    • @khaalidi3503
      @khaalidi3503 ปีที่แล้ว +1

      Acha upumbavu unajua kuchochea fujo na ubaguzi kama hutaki ubaguzi nenda kanisani au nenda kaabudu ng'ombe na kama baniani ili usiwe mbaguzi

    • @khaalidi3503
      @khaalidi3503 ปีที่แล้ว

      Eti ubaguzi kumbe kuna watu vichwa vyao kama box tupu

    • @samxx411
      @samxx411 ปีที่แล้ว

      @@khaalidi3503 naam nakukubali

  • @KakaKaka-pr4bn
    @KakaKaka-pr4bn ปีที่แล้ว +2

    Kama mashia walianza kusikika mwaka 1979 je mawahabi wameanza kusikika lini? Kasome tena historia ya waislamu Tanzania, mashia wapo Tanzania kabla ya baba yako na babu yako kuzaliwa.
    Waislamu wakwanza walioingia Tanzania na kuleta uislamu miaka zaidi ya mia tisa iliyopita ni mashia, wewe Mohammad Issa na wenzako mtabaki ni mawahabi tu ambao mnapingana na uislamu sahihi wa Bwana mtume.
    Serikali ya Tanzania inajua kuwa nyinyi ni magaidi mnajua serikali imepambana na nani kule kibiti na kule Tanga na kule Arusha kwani wale walikuwa ni Mashia?
    Tunajua nini mmefanya kule syria Iraq Lebanon Yameni Afghanistan na kwingineko Duniani ni mawahabi.
    Kelele zote hizo unapiga ni uwahabi unakusumbua.
    Wewe siyo sunni wal jamaa wacha kujipachika jina sio lako wewe na mziwanda na wengine kama nyinyi ni mawahabi tu.
    Nyinyi mnahatarisha amani kama mlivyohatarisha amani za nchi za Syria na Iraq.
    Mashia hawawatukani maswahaba bali kuna vitabu vya waislamu vikiwepo Bukhari na Muslimu vimeandika baadhi ya mambo yaliyofanywa na maswahaba ambayo ni nje ya uislamu sahihi.
    Na huyo ndiyo msimamo wa Mashia.

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Acha dawa ikuingie, eti mashia hawawatukani maswahaba utamfanyia nani taqiyyah sasa hivi waislamu karibu wengi wameshaujua ubaya wa mashia na wanazidi kuujua,jalala alivosema eti Omar r a, alivyokwenda kuvunja nyumba ya Fatma mtoto wa mtume akagonga mlango ukamuangukia na mimba kuharibika, eti na mtoto alikuwa apewe jina LA mohsin sasa wakati huo sijui walikuwa wanajuaje mtoto aliekuwepo tumboni,hoja yangu huoni hapo mnawatukana maswahaba.

    • @mirajiwenge
      @mirajiwenge ปีที่แล้ว

      Wewe 0+0=0 pole sana matusi + matusi= mitusi

    • @omarsuleiman9064
      @omarsuleiman9064 ปีที่แล้ว

      Ndugu zangu suara la kutukanwa maswahaba hili halina wahabi wala salaf wala sufi wote sis ni Ahlusunna waljamaa kwahyo nilazima kuatetea maswahaba

    • @yusuphsasamalo504
      @yusuphsasamalo504 ปีที่แล้ว

      Hajui historia mashia wameanza kuingia miaka mingi sana

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      We pungu kweli

  • @ismailosanoomar3326
    @ismailosanoomar3326 ปีที่แล้ว

    Wewe sheikh Muhammad issa ni pimbi kabisa. Hujui unachokisema.
    عليك أن تكون واعيا. من قال لك أن الشيعة يعبدون الإمام الحسين؟؟

    • @أبوتيمية-ض9ث
      @أبوتيمية-ض9ث ปีที่แล้ว +1

      Mashia munaongopewa sana ....vitabu vyenu vinawabainisha ila kwa sababu ya ujinga uliowajaa katika kupenda mut'a, khumus,i'aaratul farji na nyengine kama kuhalalisha kuingilia wanawake kinyume na maumbile hivi hiii ndio dini؟!!

    • @أبوتيمية-ض9ث
      @أبوتيمية-ض9ث ปีที่แล้ว +2

      Mcheni ALLAAH ushia ni ukafiri zaidi ya ukristo na uyahudi

    • @ismailosanoomar3326
      @ismailosanoomar3326 ปีที่แล้ว

      @@أبوتيمية-ض9ث abuu taimiya, ukafiri wa Mashia umetoka wapi?? Na nani aliyekupa ruhusa ya kuwakufurisha?? Unachokisema au unachokifanya utaulizwa na Allah kesho siku ya kiyama.

    • @ismailosanoomar3326
      @ismailosanoomar3326 ปีที่แล้ว

      @@أبوتيمية-ض9ث Mashia ni watu wa qibla, wakristo ni ahlul kitaab. Vipi shia wawe makafiri zaidi ya wakristo??
      Hivi hujui kuwa Mashia wanasema kuwa Allah ndiye Mungu wao?? Na Muhammad bin abdillahi ndiye mtume wao?? Vipi wawe kafiri??

    • @ismailosanoomar3326
      @ismailosanoomar3326 ปีที่แล้ว

      @@أبوتيمية-ض9ث wewe waonekana kuwa umechizika, wafuata kauli za majihabi.

  • @KakaKaka-pr4bn
    @KakaKaka-pr4bn ปีที่แล้ว

    أبهذا السفلى neno hili unamuambia mufti wewe mrangi usiyojitambua

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Neno hili mnaambiwa nyinyi mashia mnaowatukana maswahaba mnaosababisha fujo

    • @zainabonlinetv2210
      @zainabonlinetv2210 ปีที่แล้ว

      Hana lolote ni kama kasuku

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 ปีที่แล้ว

      Usiyejitambua ni wewe uliyedangawa ukafua mkumbo kwa ajili ya nyama ya mbuzi

    • @middlemamba6062
      @middlemamba6062 ปีที่แล้ว

      Shia ni kikundi cha washenzi

    • @daudkindy8062
      @daudkindy8062 ปีที่แล้ว

      Huyo sio shekhe wamchongo wala sio wale mashekhe washirikina

  • @abuulukman4394
    @abuulukman4394 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana shekhe