Simu ilikuwa mfukoni wimbo huu ukaja, nikavutiwa nao nikataka kujua choir gani imeimba, nikawa surprised kumbe ni wamoravian wenzangu. Mungu awatunze kazi nzuri sana
Paradise, mimi nawaza kwamba hilo neno la mwishoni mwa wimbo huu( Bwana Yesu asifiwee), liwe ni signature ya nyimbo zenu, kwa maana ya kwamba wimbo wenu ukiisha basi hilo neno litamkwe. Ni wazo tuu, asante
MUNGU awatumie Kama yeye alivyowakusudia,nakumbuka siku mlokuja kumchukua baba yetu odrck nyambo hapa TDM,songwe,mliimba huu,polen pia kuondokewa na yule baba🙏🙏🙏kiongoz,amen
Kwakweli Mungu atusaidie kumtumikia vile apendavyo atutenge namwuov atufannye hodari
Paradise mnajua na Mungu awabariki kwa huduma hii
Mubarikiwe watumish wa mungu nimebarikiwa na ujumbe pya na sauti mpo vzuri san
Ahsantee dada Mungu mwema
Mubarikiwe sana wimbo mzuli Ujumbe unaupako wa Mungu ,
Mungu awabariki mnanibariki sana na huu wimbo,Lulu Mungu azidi kuinua kipawa chako
Waoooo paradise ........hongereni Sana ..NENO la MUNGU halifungwii 😊😊😊
MBARIKIWE sana.
Huu wimbo haunichoshi kila nikianza kuusikiliza najikuta tuu naurudia mbarikiwe sana 😍😍
Congratulations 🎉 kaz nzr Mungu awabariki mno Zaid.jems mdogo Angu big up ☑️💚💛🙏
Nice nice paradise from mbeya nawapenda sana
Tujuane tuopenda kurudia nyimbo hii
Mimi mkenya na ninaupenda sana
Simu ilikuwa mfukoni wimbo huu ukaja, nikavutiwa nao nikataka kujua choir gani imeimba, nikawa surprised kumbe ni wamoravian wenzangu. Mungu awatunze kazi nzuri sana
Ameen barikiwa sana
Paradise, mimi nawaza kwamba hilo neno la mwishoni mwa wimbo huu( Bwana Yesu asifiwee), liwe ni signature ya nyimbo zenu, kwa maana ya kwamba wimbo wenu ukiisha basi hilo neno litamkwe. Ni wazo tuu, asante
Nitume nipeleke neno lako kwa watu wote,kwamaana ctaionea haya injiri maana niuwezo wa MUNGU uletao wokovu 🙏🙏🙏❤️❤️💪
One of my favourite song,,Mungu awabariki mnooo paradise
Ameen Christine tunakupenda
@@paradisechoirruandamoravia4726 Ameen nawapenda zaidi
Hongeren sana watumish na mungu awape moyo wa unyenyekevu.
Nawapenda mno hata Mungu anajua. Nabarikiwa sana
AMEEN
MUNGU awatumie Kama yeye alivyowakusudia,nakumbuka siku mlokuja kumchukua baba yetu odrck nyambo hapa TDM,songwe,mliimba huu,polen pia kuondokewa na yule baba🙏🙏🙏kiongoz,amen
@@lusajomlwafu7609 Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo......mwezi wa nne tarehe 11 tutakuepo tena hapo karibu
Karibun Sana tunduma, MUNGU awabarik 🙏🙏🙏
Karibu sanaa Happy
Mungu awabariki sana paradise choir naipenda huduma yenu
Hongereni kwa kazi nzuri
Hakika huu ni miongoni mwa nyimbo bora za choir ninazozipenda!
Nawakubali. Mmetisha pande zote
UTUKUFU KWA MUNGU AHSANTE SANAA
Kwaya nzuri. Sauti nzuri pia. Live performance safi.
SIa na Utukufu kwa Mungu kaka AMEEN Ubarikiwe
Nambarikiwe sana....love you from Kenya machakos
wooow ur most welcome sir and God bless you so much
Nabarikiwa Sana na huu wimbo , Mungu azidi kuwainua
Bado naisikiliza...Bwana awabariki huduma yenu njema
Mungu azidi kuwabariki watumishi.
Safi sana,Mungu wangu azidi kuwabariki.
Ameen kaka
Wimbo mzuri saana, Mungu awabariki sana na saana zaidi.. Tunaomba Official video kama IPO PLEASE
Kila siku naangalia na hauchuji. Tukutane December tumuadhimishe Mungu wetu.
Iyo Efatha uko nyuma inanikumbushaa Mwamakulaa
Nawakubali hawa jamaa hatari. Nimewamic jamaa hatari ,
Mungu akubariki sanaa mkuu.... karibu
Mambo n mengi magumu n mengi yakunikatisha tamaa, nitume Bwana Niko hapa
full of anointing, be blessed Eden Choir. Najikuta naimba kila kwa kuugua moyoni kila wakati
This is Paradise choir @Gideon Kapanga
Hawa ni Paradise Choir na sio Eden Choir
mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
ameen kaka eze
Aisee kweli Mungu kawapa kibari
AMEEN TUNAMSHUKURU MUNGU
Nimebarikiwa sana hakika Mungu awabariki
Barikiweni sana wana Paradise choir
Mmenibariki sana karibuni sana Arusha
Jamani paradise andaeni live record jamani
Nawapenda sana jaman Mungu asmame na ninyi
God be with you all the time be blessed .Nawapenda
Ameen kaka
❤
Nawapenda sana kwaya yangu safiii
Mungu akubariki Pastor
The band...super amazing! Heko
Mungu awatunze na kuwabariki
AMEEN Dada Mary
Live recording.... I love your microphone handling
Hakika neno la MUNGU halifungwi na mtu yeyote
Mmebarikiwa Sana nawapenda
AMEEN SANAA
Mnajua saana nyiie watu
MUNGU awabariki Xana wimbo unagusa hadi ndani ya moyo
Bwana ufanyike njia kwangu ufanyike silaha
Very nice song,blessings
ivii
My choir🙌🙌
Mungu awabariki
Hakika ni fire
Hakika huu ni wimbo mkubwa kuwahi kusikia sio kwa uimbaji huo viwango vyake sijawahi kuona
karibu kaka uzidi kubarikiwa
royaume-uni
🔥🔥🔥🔥🔥
MUNGU AWABARIKI SANA
Nawependa
Tunakupenda pia sana
Mnanibariki sana paradise
Salute
Tunashukuru Mkuu
Duh!
kaka hahaha
ромолос
Code 100%perfect
Good
Hii kwaya ni ya wapi? Ni baghaa(balaa) sana na nusu
kutoka mbeya
Moravian Ushirika wa Ruanda Mbeya
Nawependa sana
Tunakupenda pia sanaa karibu
Kwa kweli sitaionea haya injili
Mungu akubariki sanaa Chair
Nawapenda sana
tunakupenda pia mkuu