EDEN CHOIR MORAVIAN TABATA - WAKOMA 10 (FHD)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Wimbo huu wa Wakoma 10 ni wimbo Maalumu wa Shukurani ulioimbwa na Eden choir kutoka katika kanisa la Moravian Jimbo la Mashariki Ushirika wa Tabata

ความคิดเห็น • 351

  • @user-zs4po5pr8h
    @user-zs4po5pr8h 8 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo unanifanya naongezeka Imani yangu kwa Mungu ni kweli pasipo mkono wa YESU mm nisnge weza❤❤❤❤❤❤❤🙏

  • @graciousgod4865
    @graciousgod4865 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuja tena huku ili niconfirm kama aliyefariki ni huyo dada mzuri anayesmile muda wote!! Jamani poleni sana Eden nawapenda sana na Yesu aendelee kuwatetea!!

  • @jacklineswai9868
    @jacklineswai9868 2 ปีที่แล้ว

    ........nimeongezeka imaniii ya kukutegemeaa...... kwa shidaaa zileee ......tabuuu zilee😔😪 ameen mbarikiwe na sadaka yenu ya uimbajii ..tujifunze kushukukuru.

  • @joyceeliezer4816
    @joyceeliezer4816 ปีที่แล้ว

    Wimbo wangu bora sichoki kuusikiliza three times a day.Mungu awabariki

  • @nereaigogo4442
    @nereaigogo4442 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu ulipikwa madhabahu
    Lazima kuna mtu au watu walilipa gharama ya maombi
    Ukiona unasikiliza wimbo na unakupeka kufanya lililo kusudi la Mungu, jua huo wimbo upo anointed na ni mtumishi wa Mungu
    Kila nikisikiliza huu wimbo najiona simshukuru Mungu, nagundua vitu vingi ambavyo Mungu amenifanyia
    Mungu awabariki kwa kulipa gharama

  • @graceedasalemba8962
    @graceedasalemba8962 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo kwangu kila siku hauzoeleki.Mungu awakumbuke Eden choir ...

  • @stellahmsafiri4142
    @stellahmsafiri4142 3 ปีที่แล้ว +5

    Hii nyimbo naipenda sana mwanzo mwisho ni nzuri

  • @fundihurumwakanani712
    @fundihurumwakanani712 3 ปีที่แล้ว +17

    Wimbo huu nauelewa Sana voco za kutisha, masolorist wakali producer mkali .......Mungu awabariki

  • @TabithaMhina-kg9bs
    @TabithaMhina-kg9bs 9 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana Eden choir mungu awabariki Kwa huduma yenu nzuri

  • @lukandaireen583
    @lukandaireen583 3 ปีที่แล้ว +6

    Amen. Big up masololist mpo vizuri Mungu awabariki wadada! Hakika sifa kwa Bwana.

  • @HawaAdam-il2mk
    @HawaAdam-il2mk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe Sana kwa wimbo wenye Baraka,na ujumbe,hu mwimbo naupenda Sana..

  • @mosesduguda5917
    @mosesduguda5917 3 ปีที่แล้ว +18

    Huu wimbo kwangu sio wa kawaida.natamani nikutane na mtunzi ili nijue ilikuwaje kupata haya mafunuo

  • @mathewmwasangwale4205
    @mathewmwasangwale4205 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen I'm blessed

  • @wiza2309
    @wiza2309 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe kwa wimbo mzuri wa shukurani kwa Mungu kwa matendo yake makuu kwetu.

  • @rafaelerick896
    @rafaelerick896 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo ni ushuhuda kwangu niliuona upendo tv tangu siku ya kwanza mpaka leo unanitia nguvu barikiwa sana hakika kazi hii ni muujiza kwa wengi Ameen.

  • @deborabrownsentimea3901
    @deborabrownsentimea3901 2 ปีที่แล้ว +3

    Unaniliza sana huu wimbo hasa kile kipande Cha nayaelewa Bwanaaaaaaa maisha ya dunianiiiiiiii pasipo mkono wako mwokoziiiiiii kamwe nisingeweza,😭😭😭😭😭

  • @gwantwaseke8406
    @gwantwaseke8406 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupo unaimba vzr sana jmn nabarikiwa sana MUNGU azidi kuiinua huduma yako kipenz

  • @tutindagamtalege1295
    @tutindagamtalege1295 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe Edeni kwaya,naomba mrushe na wimbo mlioimba siku ya kumsimika Askofu wetu

    • @edenchoirtabatamoravian6905
      @edenchoirtabatamoravian6905  ปีที่แล้ว

      Unaweza kuupata kupitia Channel ya MORAVIAN CHURCH TABATA (Song - Ameletwa na Mungu by Eden Choir)

  • @ayubumwashilindi9394
    @ayubumwashilindi9394 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiwe sana

  • @ahadimbindi4135
    @ahadimbindi4135 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu aliachilia Mafuta mabichi juu yenu ni chaguo langu la kwanza Mungu aendelee kuwapa kibali zaidi Mnajuwa kutufurahisha 100%

  • @christopherkimati5372
    @christopherkimati5372 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU wa mbinguni awabariki sana kwa wimbo mzuri ambao hauchoshi kusikiliza mbarikiwe nyote kwa umoja wenu

  • @christopherjaha6457
    @christopherjaha6457 ปีที่แล้ว

    Nc huu wimbo mkubwa sana ukiwa unausikiliza kwa umakini sana hata hao masolo wameuvaa sana huu wimbo nampongeza sana mtunzi wa huu wimbo amepata mafunuo makubwa sana MUNGU awabariki sana

  • @nsajigwarichard1951
    @nsajigwarichard1951 3 ปีที่แล้ว +6

    Utukufu kwa Bwana....mzidi kuinuliwa zaidi huku mkinyenyekea kwa Yesu

  • @user-hu2dw1us2m
    @user-hu2dw1us2m ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki wajoli wake Kwa kuimba ktk Roho na kweli!

  • @dicksonandrew6947
    @dicksonandrew6947 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ibariki Moravian Tanzania na Duniani kote

  • @siyenukabujile2802
    @siyenukabujile2802 3 ปีที่แล้ว +2

    Natafuta sanaa album yenu ile ina wimbo nimekutegemeaaa .....nyimbo zenu n baraka ....wap nitaipataa hyo album @eden choir

  • @nsajigwamwasalemba1823
    @nsajigwamwasalemba1823 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo Bora Kwa muda wote,Barikiwa Kwa huduma njema

  • @elizasichone6104
    @elizasichone6104 2 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo umekuwa faraja kubwa kwangu kila nikikutana uzio ktk jambo lolote najikuta nauimba...mbariwe sana

  • @bahatimwakapusya2527
    @bahatimwakapusya2527 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzidi kubarikiwa nawapenda

  • @jeremiahbutungo1257
    @jeremiahbutungo1257 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakika wimbo huu untafakarisha ukuu wa matendo ya Mungu! Mbarikiwe sana Eden choir

  • @jefredyfrednandy5880
    @jefredyfrednandy5880 3 ปีที่แล้ว +3

    Jaman jaman jaman kiwango masolooooo mko pouwaaa sanaaaaaa

  • @sethlawranceanthony3893
    @sethlawranceanthony3893 3 ปีที่แล้ว +6

    Wakwanza mimi 🖖😍😍😍 hakika MUNGU ametutendea

  • @julietmateru5789
    @julietmateru5789 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo c wa kawaida naamini ni Mungu aliwapa.muinuliwe zaidi

  • @mosesduguda5917
    @mosesduguda5917 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwa mara ya kwanza niliusikia kawe mkiuimba kwenye mkutano nilibubujika sana.hakika kuna nguvu ya mungu katika wimbo huu.

  • @tegemlowe1144
    @tegemlowe1144 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutane na haja za mioyo yenu nawapenda Sana Eden

  • @joyfurniture5994
    @joyfurniture5994 ปีที่แล้ว +1

    Ikiwapendeza mngesogeza nyimbo zenu kwenye platform mbali mbali za music ili kuwafikia wasililizaji wengi…
    natamani kuwaona mkifika AudioMack na Boomplay kwanza.
    wimbo wenu ni mzuri sana🙏

    • @edenchoirtabatamoravian6905
      @edenchoirtabatamoravian6905  ปีที่แล้ว

      Amen tunashukuru sana, ndani ya kipindi kifupi tutawajulisha uwepo wetu katika platforms zote. Tumezingatia

  • @georgekapongo962
    @georgekapongo962 3 ปีที่แล้ว +10

    Barikiweni sana watumishi, nilihudhuria sherehe ya kusimika wachungaji Moraviani Kimanga mliimba huu wimbo nilijisikia kuinuliwa sana.

  • @milkasangati5306
    @milkasangati5306 ปีที่แล้ว +1

    Glory ,glory...🙌🙌..nimerudi Mwokozi 🙌

  • @marthankola3316
    @marthankola3316 ปีที่แล้ว +1

    AMEN 🙏. Wimbo unabariki. Mungu azidi kukupa mafunuo zaidi mtunzi.

  • @hellenmgoba8115
    @hellenmgoba8115 2 ปีที่แล้ว +2

    Ametenda kwa wakati BWANA!!!!EDENI BARAKA za MUNGU ziwe juu yenu hakika mnanibariki sana!!!natamani siku Moja niwaone LIVE!!!

  • @paschalnjige5477
    @paschalnjige5477 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana na huu Wimbo

  • @florencemwakikao5714
    @florencemwakikao5714 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awabariki sana watumishi kwa kazi nzuri sana

  • @pendaeltukei6939
    @pendaeltukei6939 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Sana mungu awafungulie milango hongereni Sana kwakujitoa kikamilifu kufanya kazi ya mungu. Hatawaacha

  • @levinaliving4058
    @levinaliving4058 3 ปีที่แล้ว +13

    Wakoma kumi ni nyimbo yangu bora sanaaaa hawa watu wanajua sana. Kwaya yakwanza kufanya live record

    • @edenchoirtabatamoravian6905
      @edenchoirtabatamoravian6905  3 ปีที่แล้ว

      Amen amen, tunashukuru

    • @BGHaule
      @BGHaule 2 ปีที่แล้ว

      Mmefanya kwa viwango vingine vya mbali sana

    • @BGHaule
      @BGHaule 2 ปีที่แล้ว

      Many congratulations

  • @KISSAMWAKIBINGA
    @KISSAMWAKIBINGA หลายเดือนก่อน

    Wimbo una ujumbe mzur,mungu awabariki

  • @paulovicent3797
    @paulovicent3797 3 ปีที่แล้ว +6

    Drummerrrrrrrr🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hivi Ni Nani huyu jamaaaa

    • @festoamosi6215
      @festoamosi6215 3 ปีที่แล้ว

      Balikiwa sana watu wa mungu kwa wimbo mzuri mungu azidi kuwatia nguvu zaidi.

    • @yohanamayenga
      @yohanamayenga 3 ปีที่แล้ว

      Anaitwa Abraham

    • @brightmwakalindile3793
      @brightmwakalindile3793 3 ปีที่แล้ว

      Mr.Ibra ahsante mdogo wangu Ibu Mungu aendelee kukuinua katika huduma yake endelea kushuka lakini endelea kumuomba zaidi atunze uwezo wako.

  • @lilianlawrence913
    @lilianlawrence913 ปีที่แล้ว

    Niko hapa tena 2023❤❤

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimesikiliza huu wimbo umenigusaa kabisaa

  • @wemaeliaugustino-fk2jb
    @wemaeliaugustino-fk2jb ปีที่แล้ว +1

    Wimbo naupenda sana huu❤

  • @georgekyonjola
    @georgekyonjola 3 ปีที่แล้ว +6

    Wow always you are the best

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwe MUNGU usiwaache Eden choir. Nawapendaga sana

  • @franswamwandenuka6853
    @franswamwandenuka6853 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa wap kuujua huu wimbo, Kwasiku nausikiliza zaidi ya mara 10, ujumbe mzito Mungu awabariki saana ❤🙏🙏🙏👏

  • @suzanatanasi6792
    @suzanatanasi6792 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupend San dad riri

  • @namsifumaduhumwita2495
    @namsifumaduhumwita2495 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo tena oooh pasipo mkono wako Mwokozi kamwe nisingeweza

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo 3 ปีที่แล้ว +3

    Baraka zipo ndani ya BWANA mfurahishe MUNGU kwa kumshukuru

  • @rev.emanuelmahembo9991
    @rev.emanuelmahembo9991 3 ปีที่แล้ว +7

    Mbarikiwe Sana wana Eden,Yesu awape kibali ktk kumtumikia yeye...Amina.

  • @mamapraise9382
    @mamapraise9382 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni kwa wimbo mzuri. Mbarikiwe sana Eden Choir.

  • @jeandidodhedonga6691
    @jeandidodhedonga6691 3 ปีที่แล้ว +2

    Eee mungu wetu unastahili sifa pasipo wewe atungeweza

  • @gideonkapange3905
    @gideonkapange3905 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuwa nikiipenda Huduma yenu Siku zote. Mungu azidi kuwamiminia Mafuta ya Baraka za Mwilini na Rohoni. Kazi nzuri sana Hii

  • @geofreychelelo2733
    @geofreychelelo2733 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiwe sana wana Eden mnahuduma kubwa sana mmeibeba hakika,wimbo huu ni dawa ya kiroho ambayo itaishi vizazi na vizazi 🙏🙏🙏

  • @tonymwanjala3449
    @tonymwanjala3449 3 ปีที่แล้ว +6

    KIUKWELI MNAJUA😘😘😘😘

  • @upendokiwanga9538
    @upendokiwanga9538 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape mnachohitaji nawapenda saana kwaya hii

  • @tegemeaemilly2252
    @tegemeaemilly2252 3 ปีที่แล้ว +4

    Kuna raha ndani ya YESU Jaman MUNGU Aibarik Eden kwaya

  • @wiza2309
    @wiza2309 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana waimbaji, wapiga vyombo na Walimu

  • @joycelinemmari8439
    @joycelinemmari8439 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana,Mbarikiwe Wana wa Mungu mzidi Kumtumikia Mungu,Kabla ya kulala lazima niutazame!!

  • @kmone7306
    @kmone7306 3 ปีที่แล้ว +4

    hakika Mungu mnaemtumikia msimwache,imepew kipaji kikubwa sana katika utumishi wa mungu, kazi nzuri sana, tunabarikiwa sana, ujumbe mzuri sanaaaaaaa

  • @josephsamuel7088
    @josephsamuel7088 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe ssna watumishi wa Bwana.

  • @luganombila939
    @luganombila939 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu aikumbuke huduma yenu

  • @denismwalukunga8686
    @denismwalukunga8686 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakika Mungu ni wa huruma mno barikiwa Edeni kwaya 🙏🏻🙏🏻

  • @tamikamwakyembe2549
    @tamikamwakyembe2549 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wangu wa kila siku maana kuamka na kuiona siku mpya inatubidi tushukuru.Barikiweni sana maana mmeganga mioyo ya watu wengi!

  • @saumulyimo9856
    @saumulyimo9856 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu aliye hai ailinde huduma yenu hata siku ya Kristo YESU nawapenda sana ndugu zangu huduma ni njema

  • @praynath
    @praynath 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awabariki watumishi hakika anointing inayotoka nimebarikiwa na uimbaji wenu

  • @florenceakyomo4319
    @florenceakyomo4319 3 ปีที่แล้ว +8

    Mungu awatunze Eden,, Nawapenda sn sn

  • @dorcasmakoba8999
    @dorcasmakoba8999 3 ปีที่แล้ว +5

    Mbarikiwee nawapenda

  • @anoldissangya1458
    @anoldissangya1458 ปีที่แล้ว

    The song. I remember mliuimba kanisani that day I felt crying.

  • @georgempella6116
    @georgempella6116 3 ปีที่แล้ว +6

    Vocal
    Video
    Music bora sana.

  • @sarahfavoured7097
    @sarahfavoured7097 3 ปีที่แล้ว +1

    Pasipo mkono wako Mungu nisingeweza. Wimbo unaongea na Mimi kabisa. Mbarikiwe watumishi

  • @bwiganemwakalinga1817
    @bwiganemwakalinga1817 3 ปีที่แล้ว +10

    Hongreni sana, Mungu awatunze na kuitunza huduma hii.

  • @sarahkomba1938
    @sarahkomba1938 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana mungu awakumbuke katika huduma take Eden choir God bless you uuuuuuuu!

  • @imanimwakijolo4951
    @imanimwakijolo4951 3 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni sana watumishi,. Kazi nzuri sana

  • @namsifumaduhumwita2495
    @namsifumaduhumwita2495 3 ปีที่แล้ว +5

    Ameeen.... napenda nimjue mtunzi jaman..... May the way be wide for more blessings 🙏

  • @sarahmwamahusi2858
    @sarahmwamahusi2858 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni Wimbo wa toka vilindi vya moyo!

  • @erickmwankenja2998
    @erickmwankenja2998 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awazidishie

  • @eddahbalole1616
    @eddahbalole1616 3 ปีที่แล้ว +2

    Woooo w... Hakika MUNGU JEHOVAH pekee kwa jinsi ya utukufu wake azidi kuwainua na kuwang'arisha katika mibaraka telee iletayo utukufu kwake

  • @kmlproduction2694
    @kmlproduction2694 3 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri sana

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 ปีที่แล้ว +5

    Hallelujah hallelujah hallelujah Eden Mungu awabariki munooooo ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️😭😭😭😭😭😭❣️♥️♥️♥️🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @neemaandrew6593
    @neemaandrew6593 3 ปีที่แล้ว +5

    Aiseee,,,Mungu awatunze Eden Choir,,,wimbo huu unagusa sana,,nawapendaaaaa

  • @happyswai2009
    @happyswai2009 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri unanipa nguvu ya kumshukuru Mungu hata kwenye magumu,mbarikiwe sana

  • @alexlitama4873
    @alexlitama4873 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni sanaa,watumishi Mungu awabarikini sana mzidi kumtumia Mungu kwa namna hiyo

  • @elizabethmnzava616
    @elizabethmnzava616 2 ปีที่แล้ว

    LUKE 17:17.... KATIKA MASTERS ULIZOBARIKI WATOTO WAKO MWAKA 2021, NIMERUDI KUKUSHUKURU MUNGU! HAKIKA NI NEEMA YAKO NA UPENDO WAKO. AHSANTE YESU.

  • @irenemwakajinga9492
    @irenemwakajinga9492 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awabariki mno

  • @georgempella6116
    @georgempella6116 3 ปีที่แล้ว +5

    Waoo nilitarajia ukubwa huu.

  • @marthasokolo4903
    @marthasokolo4903 3 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri wapendwa

  • @ESymon-tz7sc
    @ESymon-tz7sc 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu na azidi kuwatumia siku adi siku

  • @lilianlawrence913
    @lilianlawrence913 2 หลายเดือนก่อน

    2024 ❤❤bado nairudia🥰🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @wemamwakilama594
    @wemamwakilama594 3 ปีที่แล้ว +6

    Gud job 👍👍👍

  • @brotherkakapielo
    @brotherkakapielo 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongereni sana kwa kazi nzuri sana

  • @jackyflavian9857
    @jackyflavian9857 ปีที่แล้ว

    Wimbo wangu pendwa nyakati zote

  • @salually7125
    @salually7125 3 ปีที่แล้ว +4

    As usually Nyie watu Mimi nawakubali sanaaa . Mungu akawatie nguvu katika kaz yake AMEN

  • @monicazacharia3907
    @monicazacharia3907 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunashukuru kwa wimbo mzuri na wenye ujumbe 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 unanipa faraja sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾